Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 13| ladha yake itakolezwa na nini? Haifai kitu tena, ila hutupwa
2 Matt 6 28| 28 "Na kuhusu mavazi, ya nini kuwa na wasiwasi? Tazameni
3 Matt 6 31| msiwe na wasiwasi: `Tutakula nini, tutakunywa nini, tutavaa
4 Matt 6 31| Tutakula nini, tutakunywa nini, tutavaa nini!`~
5 Matt 6 31| tutakunywa nini, tutavaa nini!`~
6 Matt 7 3 | 3 Kwa nini wakiona kibanzi kilicho
7 Matt 9 4 | mawazo yao, akasema, "Kwa nini mnawaza mabaya mioyoni mwenu?~
8 Matt 10 19| msiwe na wasiwasi mtasema nini au namna gani; wakati utakapofika,
9 Matt 11 7 | Yohane: "Mlikwenda kutazama nini kule jangwani? Je, mlitaka
10 Matt 11 8 | 8 Lakini mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumtazama mtu
11 Matt 11 9 | 9 Basi, mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, hakika ni
12 Matt 13 10| wakamwendea, wakamwuliza, "Kwa nini unasema na watu kwa mifano?"~
13 Matt 14 31| Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona shaka?"~
14 Matt 15 2 | 2 "Kwa nini wanafunzi wako hawajali
15 Matt 15 3 | 3 Yesu akawajibu, "Kwa nini nanyi mnapendelea mapokeo
16 Matt 16 26| atayapata. Je, mtu atafaidi nini akiupata utajiri wote wa
17 Matt 17 19| faragha, wakamwuliza, "Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa yule
18 Matt 19 7 | Lakini wao wakamwuliza, "Kwa nini basi, Mose alituagiza mwanamke
19 Matt 19 20| utoto wangu; sasa nifanye nini zaidi?"~
20 Matt 19 27| yote tukakufuata; tutapata nini basi?"~
21 Matt 20 21| Yesu akamwuliza, "Unataka nini?" Huyo mama akamwambia, "
22 Matt 20 22| akajibu, "Hamjui mnaomba nini. Je, mnaweza kunywa kikombe
23 Matt 20 32| kuwauliza, "Mnataka niwafanyie nini?"~
24 Matt 21 20| walishangaa wakisema, "Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?"~
25 Matt 24 39| 39 Hawakujua kuna nini mpaka ile gharika ilipotokea,
26 Matt 26 8 | wakakasirika, wakasema, "Ya nini hasara hii?~
27 Matt 26 62| Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?"~
28 Matt 26 70| akisema, "Sijui hata unasema nini."~
29 Matt 27 4 | wao wakasema, "Yatuhusu nini sisi? Hilo ni shauri lako."~
30 Matt 27 22| akawauliza, "Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?"
31 Matt 27 23| 23 Pilato akauliza, "Kwa nini? Amefanya kosa gani?" Wao
32 Mark 1 24| 24 akapaaza sauti, "Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti?
33 Mark 2 16| wakawauliza wanafunzi wake, "Kwa nini anakula pamoja na watoza
34 Mark 2 18| wakamwuliza Yesu, "Kwa nini wanafunzi wa Yohane na wa
35 Mark 2 24| wakawaambia, "Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si
36 Mark 4 30| Tuufananishe Utawala wa Mungu na nini? Tuueleze kwa mifano gani?~
37 Mark 5 35| yako amekwisha kufa. Ya nini kuendelea kumsumbua Mwalimu?"~
38 Mark 6 24| akamwuliza mama yake, "Niombe nini?" Naye akamjibu, "Kichwa
39 Mark 9 12| kutayarisha yote. Hata hivyo, kwa nini basi imeandikwa katika Maandiko
40 Mark 9 16| akawauliza, "Mnajadiliana nini nao?"~
41 Mark 9 28| walimwuliza kwa faragha, "Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?"~
42 Mark 9 33| aliwauliza, "Mlikuwa mnajadiliana nini njiani?"~
43 Mark 9 50| ladha yake, itakolezwa na nini? Muwe na chumvi ndani yenu
44 Mark 10 36| akawauliza, "Mnataka niwafanyie nini?"~
45 Mark 10 51| akamwuliza, "Unataka nikufanyie nini?" Huyo kipofu akamwambia, "
46 Mark 11 5 | wamesimama hapo wakawauliza "Kwa nini mnamfungua huyo mwana punda?"~
47 Mark 12 9 | mwenye shamba atafanya nini? Atakuja kuwaangamiza hao
48 Mark 14 4 | walikasirika wakajisemea, "Kwa nini kupoteza ovyo marashi haya?~
49 Mark 14 6 | akawaambia, "Mwacheni; kwa nini mnamsumbua? Amenitendea
50 Mark 14 60| Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?"~
51 Mark 15 12| Basi, sasa mwataka nifanye nini na mtu huyu mnayemwita Mfalme
52 Mark 15 14| Pilato akawauliza, "Kwa nini! Amefanya kosa gani?" Lakini
53 Mark 15 24| kura waamue nani angepata nini.~
54 Luke 1 29| maneno haya yanamaanisha nini?~
55 Luke 2 48| akamwuliza, "Mwanangu, kwa nini umetutenda hivyo? Baba yako
56 Luke 2 49| 49 Yeye akawajibu, "Kwa nini mlinitafuta? Hamkujua kwamba
57 Luke 3 10| watu ukamwuliza, "Tufanye nini basi?"~
58 Luke 3 12| wakamwuliza, "Mwalimu, tufanye nini?"~
59 Luke 3 14| wakamwuliza, "Na sisi tufanye nini?" Naye akawajibu, "Msichukue
60 Luke 4 34| We! Yesu wa Nazareti! Kwa nini unatuingilia? Je, umekuja
61 Luke 5 22| yao, akawauliza, "Mnawaza nini mioyoni mwenu?~
62 Luke 7 25| 25 Basi, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona mtu aliyevalia
63 Luke 7 26| niambieni, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii?
64 Luke 8 49| Binti yako ameshakufa, ya nini kumsumbua Mwalimu zaidi?"~
65 Luke 9 33| Kwa kweli hakujua anasema nini.~
66 Luke 10 25| kumtega, "Mwalimu, nifanye nini ili nipate uzima wa milele?"~
67 Luke 10 26| akamwuliza, "Imeandikwa nini katika Sheria? Unaelewaje?"~
68 Luke 12 26| jambo dogo kama hilo, kwa nini kuwa na wasiwasi juu ya
69 Luke 12 56| kuangalia dunia na anga; kwa nini basi, hamwezi kujua maana
70 Luke 12 57| 57 "Na kwa nini hamwezi kujiamulia wenyewe
71 Luke 13 7 | nisiambulie kitu. Ukate! Kwa nini uitumie ardhi bure?`~
72 Luke 13 18| Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?~
73 Luke 13 18| nini? Nitaulinganisha na nini?~
74 Luke 13 20| Nitaulinganisha Ufalme wa Mungu na nini?~
75 Luke 14 34| ladha yake, itakolezwa na nini?~
76 Luke 15 4 | mmoja wao amepotea, atafanya nini? Atawaacha wale tisini na
77 Luke 15 8 | akipoteza moja, atafanya nini? Atawasha taa, aifagie nyumba
78 Luke 15 26| watumishi, akamwuliza: `Kuna nini?`~
79 Luke 15 29| hata mara moja. Umenipa nini? Hujanipa hata mwana mbuzi
80 Luke 16 3 | kazi ya ukarani; nitafanya nini? Kwenda kulima siwezi; kwenda
81 Luke 18 18| Mwalimu mwema, nifanye nini ili niweze kuupata uzima
82 Luke 18 36| ukipita aliuliza, "Kuna nini?"~
83 Luke 18 41| 41 "Unataka nikufanyie nini?" Naye akamjibu, "Bwana,
84 Luke 19 23| 23 Kwa nini basi, hukuiweka fedha yangu
85 Luke 19 31| Kama mtu akiwauliza, kwa nini mnamfungua, mwambieni, `
86 Luke 19 33| wenyewe wakawauliza, "Kwa nini mnamfungua mwana punda huyu?"~
87 Luke 20 13| shamba akafikiri: `Nitafanya nini? Nitamtuma mwanangu mpenzi;
88 Luke 20 15| mwenye shamba atawafanya nini hao wakulima?~
89 Luke 24 5 | wale watu wakawaambia, "Kwa nini mnamtafuta aliye hai kati
90 Luke 24 17| Akawauliza, "Mnazungumza nini huku mnatembea?" Nao wakasimama
91 Luke 24 38| Lakini yeye akawaambia, "Kwa nini mnafadhaika? Mbona mnakuwa
92 John 1 22| Basi, wewe ni nani? Wasema nini juu yako mwenyewe? Tuambie,
93 John 1 38| akawauliza, "Mnatafuta nini?" Nao wakamjibu, "Rabi (
94 John 4 27| mtu aliyesema: "Unataka nini?" au, "Kwa nini unaongea
95 John 4 27| Unataka nini?" au, "Kwa nini unaongea na mwanamke?"~
96 John 6 9 | wawili; lakini hivi vyatosha nini kwa watu wengi kama hawa?"~
97 John 6 28| Wao wakamwuliza, "Tufanye nini ili tuweze kuzitenda kazi
98 John 7 19| anayeishika Sheria. Kwa nini mnataka kuniua?"~
99 John 7 45| Mafarisayo; nao wakawauliza, "Kwa nini hamkumleta?"~
100 John 7 51| kwanza na kujua anafanya nini?"~
101 John 8 43| 43 Kwa nini hamwelewi hayo ninayosema?
102 John 8 46| basi nasema ukweli, kwa nini hamniamini?~
103 John 9 26| wakamwuliza, "Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?"~
104 John 9 27| nanyi hamkusikiliza; kwa nini mwataka kusikia tena? Je,
105 John 10 20| tena ni mwendawazimu! Ya nini kumsikiliza?"~
106 John 11 47| kuu, wakasema, "Tufanye nini? Mtu huyu anafanya ishara
107 John 12 5 | 5 "Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa
108 John 12 27| yangu imefadhaika, na niseme nini? Je, niseme: `Baba, usiruhusu
109 John 12 49| ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.~
110 John 12 49| aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.~
111 John 13 28| pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo.~
112 John 13 37| Petro akamwambia "Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Niko
113 John 16 18| kidogo?` Hatuelewi anaongelea nini."~
114 John 18 21| 21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize
115 John 18 21| Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua
116 John 18 35| wamekuleta kwangu. Umefanya nini?"~
117 John 20 13| wakamwuliza, "Mama, kwa nini unalia?" Naye akawaambia, "
118 John 20 15| Yesu akamwuliza, "Mama, kwa nini unalia? Unamtafuta nani?"
119 John 21 22| mpaka nitakapokuja, yakuhusu nini? Wewe nifuate mimi."~
120 John 21 23| mpaka nitakapokuja, yakuhusu nini?"~
121 Acts 2 37| wenzake: "Ndugu zetu, tufanye nini?"~
122 Acts 3 12| Wananchi wa Israeli, kwa nini mnashangazwa na jambo hili?
123 Acts 4 16| 16 Wakaulizana, "Tufanye nini na watu hawa? Kila mtu anayeishi
124 Acts 4 25| ya Roho Mtakatifu: `Kwa nini mataifa yameghadhibika?
125 Acts 5 4 | zako uzitumie utakavyo. Kwa nini basi, uliamua moyoni mwako
126 Acts 7 26| akisema: `Ninyi ni ndugu; kwa nini basi, kutendeana vibaya
127 Acts 9 4 | ikimwambia: "Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?"~
128 Acts 10 4 | hofu, akamwambia, "Kuna nini Mheshimiwa?" Huyo malaika
129 Acts 10 21| ndiye mnayemtafuta. Kwa nini mmekuja?"~
130 Acts 10 29| Basi, nawaulizeni: kwa nini mmeniita?"~
131 Acts 14 15| 15 "Ndugu, kwa nini mnafanya mambo hayo? Sisi
132 Acts 15 10| 10 Sasa basi, kwa nini kumjaribu Mungu kwa kuwatwika
133 Acts 16 30| akawauliza, "Waheshimiwa, nifanye nini nipate kuokoka?"~
134 Acts 16 37| Lakini Paulo alimjibu, "Ati nini? Ingawa hatukuwa na kosa,
135 Acts 17 18| walisema, "Anataka kusema nini huyu bwanamaneno?" Kwa kuwa
136 Acts 21 13| alijibu, "Mnataka kufanya nini? Mnataka kuvunja moyo wangu
137 Acts 21 33| mtu gani huyu, na amefanya nini?"~
138 Acts 22 7 | ikiniambia: `Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?`~
139 Acts 22 10| mimi nikauliza: `Nifanye nini Bwana?` Naye Bwana akaniambia: `
140 Acts 22 16| 16 Sasa basi, ya nini kukawia zaidi? Simama ubatizwe
141 Acts 22 26| akisema, "Unataka kufanya nini? Mtu huyu ni raia wa Roma!"~
142 Acts 23 19| faragha, akamwuliza, "Una nini cha kuniambia?"~
143 Acts 26 8 | 8 Kwa nini ninyi mnaona shida sana
144 Acts 26 14| Kiebrania: `Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa? Unajiumiza bure
145 Roma 2 21| unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe?
146 Roma 3 1 | 1 Basi, Myahudi ana nini zaidi kuliko watu wengine?
147 Roma 3 5 | anatenda kwa haki, tutasema nini? Je, tutasema kwamba anakosa
148 Roma 3 9 | 9 Tuseme nini, basi? Je, sisi Wayahudi
149 Roma 3 27| Basi, tunaweza kujivunia nini? Hakuna! Kwa nini? Je, kwa
150 Roma 3 27| kujivunia nini? Hakuna! Kwa nini? Je, kwa sababu ya kutimiza
151 Roma 4 1 | 1 Tuseme nini basi, juu ya Abrahamu baba
152 Roma 6 1 | 1 Tuseme nini basi? Je, twendelee kubaki
153 Roma 6 15| 15 Basi, tuseme nini? Je, tutende dhambi ati
154 Roma 7 7 | Maana, nisingalijua ni nini hasa kutamani mabaya, kama
155 Roma 8 31| Kutokana na hayo, tuseme nini zaidi? Ikiwa Mungu yuko
156 Roma 9 14| 14 Basi, tuseme nini? Je, Mungu amekosa haki?
157 Roma 9 20| kumwuliza mfinyanzi wake: "Kwa nini umenitengeneza namna hii?"~
158 Roma 9 30| 30 Basi, tuseme nini? Ni hivi: watu wa mataifa
159 Roma 9 32| 32 Kwa nini? Kwa sababu walitegemea
160 Roma 11 4 | 4 Je, Mungu alimjibu nini? Alimwambia: "Nimejiwekea
161 Roma 14 10| 10 Kwa nini, basi wewe wamhukumu ndugu
162 Roma 14 10| wamhukumu ndugu yako? Nawe, kwa nini wamdharau ndugu yako? Sisi
163 1Cor 4 7 | hukupewa? Na ikiwa umepewa, ya nini kujivunia kana kwamba hukukipewa?~
164 1Cor 6 2 | ulimwengu utahukumiwa nanyi, kwa nini hamstahili kuhukumu hata
165 1Cor 10 19| 19 Nataka kusema nini, basi? Kwamba chakula kilichotambikiwa
166 1Cor 10 29| aliyewaambieni. Mtaniuliza: "Kwa nini uhuru wangu utegemee dhamiri
167 1Cor 10 30| huku namshukuru Mungu, kwa nini nilaumiwe kwa chakula ambacho
168 1Cor 11 22| wasio na kitu? Niwaambie nini? Niwasifu? La hasha! Si
169 1Cor 14 6 | kwa lugha ngeni itawafaa nini? Haitawafaa chochote, isipokuwa
170 1Cor 14 15| 15 Nifanye nini, basi? Nitasali kwa roho
171 1Cor 14 26| 26 Ndugu, tuseme nini, basi? Mnapokutana pamoja,
172 1Cor 15 29| wafu wanatumainia kupata nini? Kama wafu hawafufuliwi,
173 1Cor 15 29| Kama wafu hawafufuliwi, ya nini kubatizwa kwa ajili yao?~
174 1Cor 15 30| 30 Na sisi, ya nini kujitia hatarini kila saa?~
175 2Cor 11 11| 11 Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu
176 2Cor 12 13| 13 Je, mlipungukiwa nini zaidi kuliko makanisa mengine,
177 Gala 3 19| 19 Ya nini basi, Sheria? Iliongezwa
178 Gala 4 15| wenye furaha; sasa kumetokea nini? Naapa kwamba wakati ule
179 Gala 5 11| kutahiriwa ni lazima, kwa nini basi, bado ninadhulumiwa?
180 Colo 2 20| watawala wa ulimwengu. Kwa nini, basi, kuishi tena kama
181 Colo 2 20| mngekuwa wa ulimwengu huu? Ya nini kuwekewa masharti:~
182 1The 2 19| ya ushindi wetu itakuwa nini? Itakuwa ni ninyi wenyewe;
183 Hebr 2 6 | katika Maandiko: "Mtu ni nini ee Mungu, hata umfikirie;
184 Hebr 2 6 | umfikirie; mwanaadamu ni nini hata umjali?~
185 Hebr 5 13| bado, hajui uadilifu ni nini.~
186 Hebr 11 32| 32 Basi, niseme nini zaidi? Wakati hauniruhusu
187 Hebr 13 6 | sitaogopa. Binadamu atanifanya nini?"~
188 1Joh 3 12| alimuua ndugu yake. Na, kwa nini alimuua? Kwa sababu matendo
189 1Joh 3 16| tumepata kujua upendo ni nini, kwani Kristo aliyatoa maisha
190 Rev 17 7 | malaika akaniambia, "Kwa nini unashangaa? Mimi nitakuambia
|