Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mwendo 1
mwenendo 27
mwenu 66
mwenye 183
mwenyeji 20
mwenyewe 238
mwenyezi 5
Frequency    [«  »]
184 wetu
183 huyu
183 mahali
183 mwenye
182 ambao
180 mwili
180 sauti

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

mwenye

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 7 24 | kuyazingatia, anafanana na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba 2 Matt 8 2 | 2 Basi, akaja mtu mmoja mwenye ukoma, akamsujudia akisema, " 3 Matt 9 38 | 38 Kwa hivyo mwombeni mwenye shamba atume wavunaji shambani 4 Matt 11 15 | 15 Mwenye masikio na asikie!~ 5 Matt 12 10 | 10 Kulikuwa na mtu mmoja mwenye mkono uliopooza. Basi, watu 6 Matt 12 29 | mtu kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyang`anya mali 7 Matt 12 29 | kwanza kumfunga huyo mtu mwenye nguvu? Hapo ndipo atakapoweza 8 Matt 13 9 | 9 Mwenye masikio na asikie!"~ 9 Matt 13 27 | 27 Watumishi wa yule mwenye shamba wakamwendea, wakamwambia, ` 10 Matt 13 45 | na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.~ 11 Matt 13 52 | wa mbinguni anafanana na mwenye nyumba atoaye katika hazina 12 Matt 14 31 | akamshika na kumwambia, "Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona 13 Matt 19 22 | hayo, alienda zake akiwa mwenye huzuni, maana alikuwa na 14 Matt 20 1 | mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba la mizabibu, ambaye 15 Matt 20 5 | 5 Basi, wakaenda. Huyo mwenye shamba akatoka tena mnamo 16 Matt 20 8 | 8 "Kulipokuchwa, huyo mwenye shamba alimwambia mtunza 17 Matt 21 33 | mfano mwingine. Mtu mmoja mwenye nyumba alilima shamba la 18 Matt 21 40 | 40 "Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, 19 Matt 24 30 | juu ya mawingu ya angani mwenye nguvu na utukufu mwingi.~ 20 Matt 24 43 | kumbukeni jambo hili: kama mwenye nyumba angejua siku mwizi 21 Matt 24 45 | basi mtumishi mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake 22 Matt 25 28 | anyeni hiyo fedha mkampe yule mwenye talanta kumi.~ 23 Matt 25 37 | Bwana, ni lini tulikuona mwenye njaa nasi tukakupa chakula, 24 Mark 1 7 | akisema, "Baada yangu anakuja mwenye uwezo zaidi kuliko mimi, 25 Mark 1 22 | wa Sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.~ 26 Mark 1 23 | ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,~ 27 Mark 1 40 | 40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga 28 Mark 3 27 | awezaye kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyang`anya mali 29 Mark 3 27 | kwanza amemfunga huyo mtu mwenye nguvu; hapo ndipo atakapoweza 30 Mark 4 9 | 9 Kisha akawaambia, "Mwenye masikio na asikie!"~ 31 Mark 4 23 | 23 Mwenye masikio na asikie!"~ 32 Mark 5 25 | Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu 33 Mark 12 5 | 5 Mwenye shamba akatuma mtumishi 34 Mark 12 9 | 9 "Basi, mwenye shamba atafanya nini? Atakuja 35 Mark 13 35 | basi, kwa maana hamjui mwenye nyumba atarudi lini; huenda 36 Mark 14 14 | atakayoingia, mkamwambie mwenye nyumba, `Mwalimu anasema: 37 Mark 15 29 | vyao na kusema, "Aha! Wewe mwenye kuvunja Hekalu na kulijenga 38 Luke 1 48 | sasa watu wote wataniita mwenye heri.~ 39 Luke 1 61 | yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?"~ 40 Luke 1 78 | 78 Mungu wetu ni mpole na mwenye huruma. Atasababisha pambazuko 41 Luke 3 16 | kwa maji, lakini anakuja mwenye uwezo zaidi kuliko mimi 42 Luke 5 8 | Bwana, kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi!"~ 43 Luke 5 12 | miji ya huko, mtu mmoja mwenye ukoma mwili mzima akamwona. 44 Luke 6 8 | mawazo yao, akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, "Inuka, 45 Luke 7 39 | namna gani, ya kwamba ni mwenye dhambi."~ 46 Luke 7 47 | ameonyesha upendo mkubwa. Mwenye kusamehe kidogo, hupenda 47 Luke 8 8 | akapaaza sauti, akasema, "Mwenye masikio na asikie!"~ 48 Luke 8 42 | wa pekee, mwana wa pekee mwenye umri wa miaka kumi na miwili, 49 Luke 10 2 | wachache. Kwa hivyo, mwombeni mwenye shamba atume wavunaji shambani 50 Luke 10 6 | 6 Kama akiwako mwenye kupenda amani, amani yenu 51 Luke 10 35 | dinari mbili akampa yule mwenye nyumba, akamwambia, `Muuguze 52 Luke 11 21 | 21 "Mtu mwenye nguvu anapolinda jumba lake 53 Luke 11 22 | 22 Lakini akija mwenye nguvu zaidi akamshambulia 54 Luke 12 39 | 39 Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo 55 Luke 12 42 | mtumishi aliye mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake 56 Luke 13 25 | 25 "Wakati utakuja ambapo mwenye nyumba atainuka na kufunga 57 Luke 14 21 | bwana wake jambo hilo. Yule mwenye nyumba alikasirika, akamwambia 58 Luke 15 7 | kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa 59 Luke 15 10 | malaika wa Mungu kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja anayetubu."~ 60 Luke 15 11 | Kulikuwa na mtu mmoja mwenye wana wawili.~ 61 Luke 18 13 | Mungu, unionee huruma mimi mwenye dhambi.`~ 62 Luke 19 7 | Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi."~ 63 Luke 20 13 | 13 Yule mwenye shamba akafikiri: `Nitafanya 64 Luke 20 15 | wakamwua." Yesu akauliza, "Yule mwenye shamba atawafanya nini hao 65 Luke 21 27 | Mtu akija katika wingu, mwenye nguvu na utukufu mwingi.~ 66 Luke 22 11 | 11 Mwambieni mwenye nyumba: `Mwalimu anakuuliza, 67 Luke 24 19 | Nazareti. Yeye alikuwa nabii mwenye uwezo wa kutenda na kufundisha 68 John 3 21 | 21 Lakini mwenye kuuzingatia ukweli huja 69 John 8 50 | wangu mwenyewe; yuko mmoja mwenye kuutafuta utukufu huo, naye 70 John 9 16 | Lakini wengine wakasema, "Mtu mwenye dhambi awezaje kufanya ishara 71 John 9 24 | tunajua kwamba mtu huyu ni mwenye dhambi."~ 72 John 9 25 | 25 Yeye akajibu, "Kama ni mwenye dhambi mimi sijui. Lakini 73 John 9 31 | ila humsikiliza yeyote mwenye kumcha na kutimiza mapenzi 74 John 10 21 | wakasema, "Haya si maneno ya mwenye pepo. Je, pepo anaweza kuyafumbua 75 Acts 4 36 | Barnaba (maana yake, "Mtu mwenye kutia moyo").~ 76 Acts 6 5 | Wakawachagua Stefano, mtu mwenye imani kubwa na mwenye kujawa 77 Acts 6 5 | mtu mwenye imani kubwa na mwenye kujawa na Roho Mtakatifu, 78 Acts 7 52 | watangaze kuja kwake yule Mwenye Haki. Na sasa, ninyi mmemsaliti, 79 Acts 10 22 | mtu mwema, mcha Mungu na mwenye kuheshimika mbele ya Wayahudi 80 Acts 11 24 | Barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa Roho Mtakatifu na 81 Acts 16 16 | mmoja aliyekuwa na pepo mwenye uwezo wa kuagua alikutana 82 Acts 18 24 | alifika Efeso. Alikuwa mtu mwenye ufasaha wa kuongea na mwenye 83 Acts 18 24 | mwenye ufasaha wa kuongea na mwenye ujuzi mkubwa wa Maandiko 84 Acts 21 11 | watamfunga namna hii mtu mwenye ukanda na kumtia mikononi 85 Acts 22 12 | Anania, mtu mcha Mungu, mwenye kuitii Sheria yetu na aliyeheshimika 86 Acts 26 2 | Mfalme Agripa, ninajiona mwenye bahati leo kujitetea mbele 87 Acts 27 11 | na maoni ya nahodha na ya mwenye meli kuliko yale aliyosema 88 Roma 3 7 | singepaswa kuhukumiwa kuwa mwenye dhambi!"~ 89 Roma 8 3 | Mungu alimtuma Mwanae akiwa mwenye mwili sawa na miili yetu 90 Roma 8 7 | 7 Maana, mwenye kutawaliwa na fikira za 91 Roma 8 15 | Roho mliyempokea si Roho mwenye kuwafanya ninyi watumwa 92 Roma 8 15 | sivyo, bali mmempokea Roho mwenye kuwafanya ninyi watoto wa 93 Roma 9 29 | hapo awali: "Kama Bwana Mwenye Nguvu asingalituachia baadhi 94 Roma 12 1 | ndugu zangu, maadam Mungu ni mwenye huruma nyingi, nawasihi 95 Roma 12 6 | kufuatana na neema tuliyopewa. Mwenye kipaji cha unabii na akitumie 96 Roma 12 7 | 7 Mwenye kipaji cha utumishi na atumikie. 97 Roma 12 7 | cha utumishi na atumikie. mwenye kipaji cha kufundisha na 98 Roma 12 8 | 8 Mwenye kipaji cha kuwafariji wengine 99 Roma 12 8 | wengine na afanye hivyo. Mwenye kumgawia mwenzake alicho 100 Roma 12 8 | asimamie kwa bidii; naye mwenye kutenda jambo la huruma 101 Roma 13 3 | Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye 102 Roma 16 27 | Kwake Mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa 103 1Cor 1 20 | 20 Yu wapi basi, mwenye hekima? Yu wapi basi, mwalimu 104 1Cor 1 31 | yasemavyo Maandiko Matakatifu: "Mwenye kutaka kujivuna, basi, na 105 1Cor 3 10 | nimefaulu, kama mwashi stadi mwenye busara, kuweka msingi ambao 106 1Cor 3 18 | miongoni mwenu akijidhania mwenye hekima mtindo wa kidunia, 107 1Cor 5 11 | Mkristo aliye mzinzi, mchoyo, mwenye kuabudu sanamu, mchongezi 108 1Cor 6 5 | hata mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha kuweza 109 1Cor 8 10 | ni dhaifu, akikuona wewe mwenye ujuzi unakula vyakula hivyo 110 1Cor 13 4 | 4 Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; 111 1Cor 13 4 | upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, 112 1Cor 13 5 | 5 Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti 113 1Cor 13 7 | 7 Mwenye upendo huvumilia yote, huamini 114 1Cor 14 2 | 2 Mwenye kunena lugha ngeni hasemi 115 1Cor 14 3 | 3 Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe 116 1Cor 14 4 | 4 Mwenye kunena lugha ngeni anajijenga 117 1Cor 14 4 | anajijenga mwenyewe. Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe 118 1Cor 14 5 | ujumbe wa Mungu, maana mtu mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe 119 1Cor 14 5 | maana zaidi kuliko yule mwenye kusema lugha ngeni, isipokuwa 120 1Cor 14 13 | 13 Kwa hiyo, mwenye kunena lugha ngeni na aombe 121 1Cor 14 28 | awezaye kufafanua, basi, mwenye kusema lugha ngeni anyamaze 122 1Cor 14 32 | lazima kitawaliwe na huyo mwenye hicho kipaji.~ 123 1Cor 15 45 | kwanza, Adamu, alikuwa kiumbe mwenye uhai;" lakini adamu wa mwisho 124 2Cor 1 3 | Bwana wetu Yesu Kristo, Baba mwenye huruma na Mungu mwenye kuleta 125 2Cor 1 3 | Baba mwenye huruma na Mungu mwenye kuleta faraja yote.~ 126 2Cor 1 9 | tufundishwe kumtegemea Mungu mwenye kuwafufua wafu, badala ya 127 2Cor 1 21 | 21 Mungu mwenyewe ndiye mwenye kutuimarisha sisi na ninyi 128 2Cor 4 6 | uangaze kutoka gizani," ndiye mwenye kuiangaza mioyo yetu, na 129 2Cor 5 18 | 18 Yote ni kazi ya Mungu mwenye kutupatanisha sisi naye 130 2Cor 6 18 | waume kwa wake, asema Bwana Mwenye Uwezo."~ ~~ ~ 131 2Cor 7 6 | 6 Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge alitupa 132 2Cor 8 22 | mbalimbali, tukamwona kuwa ni mwenye hamu kubwa ya kusaidia; 133 2Cor 9 7 | maana Mungu humpenda yule mwenye kutoa kwa furaha.~ 134 2Cor 10 17 | kama yasemavyo Maandiko: "Mwenye kuona fahari na aone fahari 135 2Cor 11 20 | anayewafanya ninyi watumwa, mtu mwenye kuwanyonya, mwenye kuwakandamiza, 136 2Cor 11 20 | mtu mwenye kuwanyonya, mwenye kuwakandamiza, mwenye kuwadharau 137 2Cor 11 20 | kuwanyonya, mwenye kuwakandamiza, mwenye kuwadharau na kuwapiga usoni!~ 138 2Cor 12 7 | mwiba, mjumbe wa Shetani mwenye kunipiga nisijivune kupita 139 Gala 3 12 | imani, ila Maandiko yasema: "Mwenye kutimiza yanayotakiwa na 140 Gala 6 6 | 6 Mwenye kufundishwa neno la Mungu 141 Ephe 2 4 | 4 Lakini Mungu ni mwenye huruma nyingi. Alitupenda 142 Ephe 2 21 | 21 Yeye ndiye mwenye kulitengeneza jengo lote 143 Ephe 6 8 | Kumbukeni kwamba kila mtu mwenye kutenda mema, awe mtumwa 144 1Tim 1 11 | Njema ya Mungu mtukufu na mwenye heri.~ 145 1Tim 3 2 | awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; 146 1Tim 3 7 | 7 Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu 147 1Tim 5 10 | 10 na awe mwenye sifa nzuri: aliyewalea watoto 148 1Tim 6 15 | ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, 149 Titus 1 7 | mtu asiye na hatia. Asiwe mwenye majivuno, mwepesi wa hasira, 150 Titus 1 8 | mwadilifu, mtakatifu na mwenye nidhamu.~ 151 Hebr 2 17 | Mkuu wao aliye mwaminifu na mwenye huruma katika kumtumikia 152 Hebr 3 6 | ni mwaminifu kama Mwana mwenye mamlaka juu ya nyumba ya 153 Hebr 9 17 | wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.~ 154 James 1 7 | 7 Mtu wa namna hiyo, mwenye nia mbili na asiye na msimamo 155 James 1 20| 20 Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa 156 James 1 26| mtu akijiona kuwa ni mtu mwenye dini, lakini hawezi kuutawala 157 James 3 13| 13 Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni 158 James 4 12| 12 Mungu peke yake ndiye mwenye kuweka Sheria na kuhukumu. 159 James 5 4 | kimefika masikioni mwa Bwana, Mwenye Nguvu.~ 160 James 5 13| Anapaswa kusali. Je, yuko mwenye furaha? Anapaswa kuimba 161 James 5 20| kwamba, huyo anayemrudisha mwenye dhambi kutoka njia yake 162 1Pet 2 23 | matumaini yake kwa Mungu, hakimu mwenye haki.~ 163 1Joh 4 18 | hufukuza uoga wote. Basi, mtu mwenye uoga hajakamilika bado katika 164 Rev 1 8 | Omega," asema Bwana Mungu Mwenye Uwezo, aliyeko, aliyekuwako 165 Rev 3 19 | 19 Mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote 166 Rev 4 8 | mtakatifu ni Bwana, Mungu Mwenye Uwezo, aliyekuwako, aliyeko 167 Rev 5 2 | 2 Tena nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti 168 Rev 9 14 | ikamwambia huyo malaika wa sita mwenye tarumbeta, "Wafungulie malaika 169 Rev 10 1 | nikamwona malaika mwingine mwenye nguvu akishuka kutoka mbinguni. 170 Rev 11 17 | 17 wakisema: "Bwana Mungu Mwenye uwezo, uliyeko na uliyekuwako! 171 Rev 13 18 | lazima kutumia ujasiri! Mwenye akili anaweza kufafanua 172 Rev 14 18 | sauti kubwa yule malaika mwenye mundu wenye makali, "Nawe 173 Rev 15 3 | Mwanakondoo: "Bwana Mungu Mwenye Uwezo, matendo yako ni makuu 174 Rev 16 5 | na uliyekuwako! Wewe ni mwenye haki katika hukumu hii uliyotoa.~ 175 Rev 16 7 | ikisema, "Naam, Bwana Mungu Mwenye Uwezo! Hukumu zako ni za 176 Rev 16 14 | vita kuu Siku ile ya Mungu Mwenye Uwezo.~ 177 Rev 18 8 | moto, maana Bwana Mungu mwenye kumhukumu ni Mwenye Uwezo."~ 178 Rev 18 8 | Mungu mwenye kumhukumu ni Mwenye Uwezo."~ 179 Rev 18 21 | 21 Kisha malaika mmoja mwenye nguvu sana akainua jiwe 180 Rev 19 6 | Maana Bwana Mungu wetu Mwenye Uwezo ni Mfalme!~ 181 Rev 19 15 | za ghadhabu kuu ya Mungu Mwenye Uwezo.~ 182 Rev 21 22 | mji huo, maana Bwana Mungu Mwenye Uwezo na yule Mwanakondoo 183 Rev 22 11 | mchafu aendelee kuwa mchafu. Mwenye kutenda mema na azidi kutenda


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License