Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 7 | Lakini alipowaona Mafarisayo wengi na Masadukayo wanamjia ili
2 Matt 7 13 | mpana; waendao njia hiyo ni wengi.~
3 Matt 7 22 | 22 Wengi wataniambia Siku ile ya
4 Matt 8 11 | nawaambieni kwamba watu wengi watakuja kutoka mashariki
5 Matt 8 16 | Ilipokuwa jioni, walimletea watu wengi waliokuwa wamepagawa na
6 Matt 8 30 | hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.~
7 Matt 9 10 | kula chakula, watoza ushuru wengi na wahalifu walikuja wakaketi
8 Matt 10 31 | wa thamani kuliko shomoro wengi. ic~
9 Matt 12 15 | akatoka mahali pale. Watu wengi walimfuata, akawaponya wagonjwa
10 Matt 13 17 | nawaambieni, manabii na watu wengi wema walitamani kuyaona
11 Matt 15 30 | 30 Watu wengi sana wakamjia wakiwaleta
12 Matt 15 30 | viwete, bubu na wengine wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaweka
13 Matt 15 33 | chakula cha kuwatosha watu wengi hivi?"~
14 Matt 19 2 | 2 Watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.~
15 Matt 20 28 | yake kuwa fidia ya watu wengi."~
16 Matt 21 36 | tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza.
17 Matt 22 14 | Yesu akamaliza kwa kusema, "Wengi wamealikwa, lakini wachache ~
18 Matt 24 5 | 5 Maana wengi watatokea na kulitumia jina
19 Matt 24 5 | nao watawapotosha watu wengi.~
20 Matt 24 10 | 10 Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana
21 Matt 24 11 | 11 Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha
22 Matt 24 11 | uongo watakaowapotosha watu wengi.~
23 Matt 24 12 | uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.~
24 Matt 26 28 | inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi ili kuwaondolea dhambi.~
25 Matt 26 47 | Pamoja naye walikuja watu wengi wenye mapanga na marungu
26 Matt 26 60 | ingawa walikuja mashahidi wengi wa uongo. Mwishowe wakaja
27 Matt 27 52 | makaburi yakafunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa wakafufuliwa;~
28 Matt 27 53 | Mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.~
29 Matt 27 55 | hapo walikuwapo wanawake wengi wakitazama kwa mbali. Hao
30 Mark 1 34 | Naye Yesu akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa mbalimbali;
31 Mark 1 34 | mbalimbali; aliwafukuza pepo wengi, lakini hakuwaruhusu kusema
32 Mark 2 2 | 2 Basi, wakaja watu wengi sana hata nafasi yoyote
33 Mark 2 15 | kula chakula. Watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuwa
34 Mark 2 15 | walikuwa wamemfuata Yesu na wengi wao wakawa wamekaa mezani
35 Mark 3 8 | Tiro na Sidoni. Watu hao wengi walimwendea Yesu kwa sababu
36 Mark 3 10 | Alikuwa amewaponya watu wengi, na wagonjwa wote wakawa
37 Mark 5 9 | ni `Jeshi`, maana sisi tu wengi."~
38 Mark 5 24 | akaondoka pamoja naye. Watu wengi sana wakamfuata, wakawa
39 Mark 5 26 | sumbuka sana kuwaendea waganga wengi. Na ingawa alikuwa amekwisha
40 Mark 6 2 | kufundisha katika sunagogi. Wengi waliomsikia walishangaa,
41 Mark 6 13 | 13 Waliwafukuza pepo wengi wabaya; wakawapaka mafuta
42 Mark 6 13 | wakawapaka mafuta wagonjwa wengi, wakawaponya.~
43 Mark 6 31 | kwa kuwa kulikuwa na watu wengi mno walikuwa wanafika hapo
44 Mark 6 33 | 33 Lakini watu wengi waliwaona wakienda, wakawatambua.
45 Mark 6 33 | wakienda, wakawatambua. Hivyo wengi wakatoka katika kila mji,
46 Mark 10 31 | 31 Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa
47 Mark 10 45 | yake kuwa fidia ya watu wengi."~
48 Mark 10 48 | 48 Watu wengi walimkemea ili anyamaze,
49 Mark 11 8 | 8 Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani;
50 Mark 12 5 | na huyo wakamuua. Wengine wengi waliotumwa, baadhi yao walipigwa,
51 Mark 12 5 | baadhi yao walipigwa, na wengi wakauawa.~
52 Mark 12 41 | Akawa anatazama jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa fedha
53 Mark 12 41 | hazina ya Hekalu. Matajiri wengi walitoa fedha nyingi.~
54 Mark 13 6 | 6 Maana wengi watakuja wakilitumia jina
55 Mark 13 6 | nao watawapotosha watu wengi.~
56 Mark 14 24 | inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi.~
57 Mark 14 56 | 56 Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo
58 Mark 15 8 | 8 Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba
59 Mark 15 41 | Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja
60 Luke 1 1 | Mheshimiwa Theofilo: Watu wengi wamejitahidi kuandika juu
61 Luke 1 14 | na furaha kubwa na watu wengi watashangilia kwa sababu
62 Luke 1 16 | 16 Atawaelekeza wengi wa watu wa Israeli kwa Bwana
63 Luke 2 34 | kupotea na kuokoka kwa watu wengi katika Israeli. Naye atakuwa
64 Luke 2 35 | na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. Nawe mwenyewe,
65 Luke 3 7 | Yohane akawa anawaambia watu wengi waliofika ili awabatize: "
66 Luke 4 25 | Kweli kulikuwa na wajane wengi katika nchi ya Israeli nyakati
67 Luke 4 27 | kulikuwa na wenye ukoma wengi. Hata hivyo, hakuna yeyote
68 Luke 4 41 | 41 Pepo waliwatoka watu wengi, wakapiga kelele wakisema: "
69 Luke 5 1 | ziwa Genesareti, na watu wengi walikuwa wamemzunguka wakisongana
70 Luke 5 6 | kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza
71 Luke 5 9 | walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.~
72 Luke 7 12 | pekee wa mama mjane. Watu wengi wa mji ule walikuwa pamoja
73 Luke 7 21 | alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa
74 Luke 7 21 | wabaya, akawawezesha vipofu wengi kuona tena.~
75 Luke 8 30 | Jeshi"`--kwa sababu pepo wengi walikuwa wamempagaa.~
76 Luke 12 7 | thamani zaidi kuliko shomoro wengi!~
77 Luke 13 24 | mwembamba; maana nawaambieni, wengi watajaribu kuingia lakini
78 Luke 14 16 | karamu kubwa, akaalika watu wengi.~
79 Luke 15 1 | watoza ushuru na wahalifu wengi walikwenda kumsikiliza Yesu.~
80 Luke 15 17 | Mbona kuna wafanyakazi wengi wa baba yangu wanaokula
81 Luke 21 8 | msije mkadanganyika. Maana wengi watatokea na kulitumia jina
82 John 2 23 | sikukuu ya Pasaka, watu wengi walimwamini walipoona ishara
83 John 4 1 | anabatiza na kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane.~
84 John 4 39 | 39 Wasamaria wengi wa kijiji kile waliamini
85 John 4 41 | 41 Watu wengi zaidi walimwamini kwa sababu
86 John 4 45 | alipofika Galilaya, Wagalilaya wengi walimkaribisha. Maana nao
87 John 5 3 | barazani mlikuwa na wagonjwa wengi wamekaa: vipofu, viwete
88 John 6 9 | hivi vyatosha nini kwa watu wengi kama hawa?"~
89 John 6 60 | 60 Basi, wengi wa wafuasi wake waliposikia
90 John 6 66 | 66 Kutokana na hayo, wengi wa wafuasi wake walirudi
91 John 7 31 | 31 Wengi katika ule umati wa watu
92 John 8 30 | Baada ya kusema hayo watu wengi walimwamini.~
93 John 10 20 | 20 Wengi wao wakasema, "Ana pepo;
94 John 10 41 | 41 Watu wengi walimwendea wakasema, "Yohane
95 John 10 42 | 42 Watu wengi mahali hapo wakamwamini.~ ~ ~~ ~
96 John 11 19 | 19 Wayahudi wengi walikuwa wamefika kwa Martha
97 John 11 45 | 45 Basi, Wayahudi wengi waliokuwa wamefika kwa Maria
98 John 11 55 | ilikuwa karibu, na watu wengi walikwenda Yerusalemu ili
99 John 12 9 | 9 Wayahudi wengi walisikia kwamba Yesu alikuwa
100 John 12 11 | sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao,
101 John 12 42 | 42 Hata hivyo, wengi wa viongozi wa Wayahudi
102 John 19 20 | 20 Wayahudi wengi waliisoma ilani hiyo, maana
103 John 21 11 | watatu. Na ingawa walikuwa wengi hivyo wavu haukukatika.~
104 Acts 2 41 | 41 Wengi waliyakubali maneno yake,
105 Acts 4 4 | 4 Lakini wengi kati ya wale waliosikia
106 Acts 5 16 | 16 Watu wengi walifika kutoka katika miji
107 Acts 8 7 | waliokuwa wamewapagaa watu wengi waliwatoka wakipiga kelele
108 Acts 8 7 | kelele kubwa; na pia watu wengi waliokuwa wamepooza viungo
109 Acts 9 13 | mtu huyu kutoka kwa watu wengi; nimesikia juu ya mabaya
110 Acts 9 39 | kile chumba. Huko wajane wengi walimzunguka Petro wakilia
111 Acts 9 42 | mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.~
112 Acts 10 27 | nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.~
113 Acts 12 12 | aitwaye Marko. Humo watu wengi walikuwa wamekusanyika wakisali.~
114 Acts 13 43 | ulipomalizika, Wayahudi wengi na watu wa mataifa mengine
115 Acts 14 1 | kwa uhodari hata Wayahudi wengi na Wagiriki wakawa waumini.~
116 Acts 14 21 | Derbe na kupata wafuasi wengi, walifunga safari kwenda
117 Acts 15 35 | pamoja na watu wengine wengi.~
118 Acts 17 4 | Mungu pamoja na wanawake wengi wa tabaka la juu, walijiunga
119 Acts 17 12 | 12 Wengi wao waliamini na pia wanawake
120 Acts 18 8 | jamaa yake yote. Wakorintho wengi waliusikiliza ujumbe huo,
121 Acts 18 10 | maana hapa mjini pana watu wengi walio upande wangu."~
122 Acts 19 18 | 18 Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani
123 Acts 19 32 | ule mkutano ukavurugika. Wengi hawakujua hata sababu ya
124 Acts 26 10 | nilipata kuwatia gerezani wengi wa watu wa Mungu. Nao walipohukumiwa
125 Acts 27 12 | kukaa wakati wa baridi, wengi walipendelea kuendelea na
126 Acts 28 23 | siku kamili ya kukutana, na wengi wakafika huko alikokuwa
127 Roma 4 18 | yasemavyo: "Wazao wako watakuwa wengi kama nyota!"~
128 Roma 5 16 | baada ya makosa ya watu wengi, Mungu aliwapa zawadi yake
129 Roma 5 19 | kutotii kwa mtu mmoja watu wengi walifanywa wenye dhambi,
130 Roma 5 19 | kwa mtu mmoja kutawafanya wengi wakubaliwe kuwa waadilifu.~
131 Roma 8 29 | kwanza miongoni mwa ndugu wengi.~
132 Roma 9 27 | kama watoto wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni
133 Roma 12 5 | kadhalika ingawa sisi ni wengi, tu mwili mmoja kwa kuungana
134 Roma 16 2 | amekuwa mwema sana kwa watu wengi na kwangu pia.~
135 1Cor 1 26 | kumbukeni wakati mlipoitwa: wengi wenu hawakuwa wenye hekima
136 1Cor 1 26 | kwa fikira za binadamu; wengi hawakuwa wenye nguvu au
137 1Cor 8 5 | kama wako miungu na mabwana wengi,~
138 1Cor 9 19 | ili nimpatie Kristo watu wengi iwezekanavyo.~
139 1Cor 10 5 | 5 Hata hivyo, wengi wao hawakumpendeza Mungu,
140 1Cor 10 17 | ni mmoja, sisi, ingawa ni wengi, tu mwili mmoja; maana sote
141 1Cor 11 30 | 30 Ndiyo maana wengi kati yenu ni dhaifu na wagonjwa,
142 1Cor 15 6 | mia tano kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado, lakini
143 1Cor 16 9 | ingawa wapinzani nao ni wengi.~
144 2Cor 1 11 | kutokana na maombi ya watu wengi hivyo, ziwe sababu ya watu
145 2Cor 1 11 | hivyo, ziwe sababu ya watu wengi zaidi kumshukuru Mungu kwa
146 2Cor 2 6 | aliyokwisha pata kutoka kwa wengi wenu inamtosha.~
147 2Cor 4 15 | Mungu inavyoenea kwa watu wengi zaidi na zaidi vivyo hivyo
148 2Cor 4 15 | na zaidi vivyo hivyo watu wengi zaidi watoe shukrani nyingi
149 2Cor 6 10 | lakini twatajirisha watu wengi; twaonekana kuwa watu tusio
150 2Cor 9 2 | umekwisha wahimiza watu wengi zaidi.~
151 2Cor 9 12 | bali pia itasababisha watu wengi wamshukuru Mungu.~
152 2Cor 11 18 | 18 Maadam wengi hujivuna kwa sababu za kidunia,
153 2Cor 12 21 | nitaomboleza kwa ajili ya wengi wa wale waliotenda dhambi
154 Gala 1 14 | Naam, mimi niliwashinda wengi wa wananchi wenzangu wa
155 Gala 3 16 | Na wazawa wake," yaani wengi, bali yasema, "Na mzawa
156 Gala 4 27 | watoto wa yule aliyeachwa ni wengi zaidi kuliko wa yule aliye
157 1Tim 6 12 | yako mbele ya mashahidi wengi.~
158 2Tim 2 2 | nikitangaza mbele ya mashahidi wengi, uyakabidhi kwa watu wanaoaminika,
159 Titus 1 10| 10 Maana, wako watu wengi, hasa wale walioongoka kutoka
160 Hebr 2 10 | mateso, ili awalete watoto wengi waushiriki utukufu wake.
161 Hebr 6 14 | nitakubariki na nitakupa wazawa wengi."~
162 Hebr 7 23 | makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza
163 Hebr 9 28 | ajili ya kuziondoa dhambi za wengi. Atakapotokea mara ya pili
164 Hebr 11 12 | amekufa, walitokea watu wengi wasiohesabika kama vile
165 Hebr 12 15 | usizuke kati yenu na kuwaua wengi kwa sumu yake.~
166 James 3 1 | 1 Ndugu zangu, wengi wenu msiwe walimu. Kama
167 2Pet 2 2 | 2 Tena watu wengi watazifuata hizo njia zao
168 1Joh 2 18 | Kristo anakuja, na sasa adui wengi wa Kristo wamekwisha fika,
169 1Joh 4 1 | Mungu au la, Maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni.~
170 2Joh 1 7 | 7 Wadanganyifu wengi wamezuka duniani, watu ambao
171 Rev 5 11 | nikasikia sauti ya malaika wengi sana, idadi isiyohesabika,
172 Rev 8 11 | maji yakawa machungu; watu wengi wakafa kutokana na maji
173 Rev 9 9 | msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani.~
174 Rev 10 11 | ujumbe wa Mungu kuhusu watu wengi, mataifa, watu wa lugha
175 Rev 19 1 | sauti kubwa ya umati wa watu wengi mbinguni ikisema, "Haleluya!
176 Rev 20 8 | ajili ya vita; nao watakuwa wengi kama mchanga wa pwani.~
|