Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
haweki 1
hawezi 32
hawi 2
haya 175
hayaafikiani 1
hayafai 3
hayafanyi 2
Frequency    [«  »]
177 sana
176 23
176 wengi
175 haya
174 maneno
171 bila
170 hapa

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

haya

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 22 | 22 Basi, haya yote yalitukia ili litimie 2 Matt 3 9 | Mungu anaweza kuyafanya mawe haya yawe watoto wa Abrahamu.~ 3 Matt 4 3 | Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate."~ 4 Matt 7 26 | anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia, anafanana 5 Matt 8 32 | 32 Yesu akawaambia, "Haya, nendeni." Hapo wakawatoka 6 Matt 9 13 | kajifunzeni maana ya maneno haya: `Nataka huruma, wala si 7 Matt 10 2 | mitume kumi na wawili ni haya: wa kwanza ni Simoni aitwae 8 Matt 10 5 | wawili na kuwapa maagizo haya: "Msiende kwa watu wa mataifa 9 Matt 11 25 | umewaficha wenye hekima mambo haya, ukawafumbulia watoto wadogo.~ 10 Matt 12 7 | mngejua maana ya maneno haya: `Nataka huruma wala si 11 Matt 13 51 | akawauliza, "Je, mmeelewa mambo haya yote?" Wakamjibu, "Naam."~ 12 Matt 13 56 | nasi? Basi amepata wapi haya yote?"~ 13 Matt 14 29 | 29 Yesu akasema, "Haya, njoo." Basi, Petro akashuka 14 Matt 17 26 | wageni." Yesu akamwambia, "Haya basi, wananchi hawahusiki.~ 15 Matt 21 16 | nasikia! Je hamjasoma Maandiko haya Matakatifu? `Kwa vinywa 16 Matt 21 23 | wakamwuliza, "Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani amekupa 17 Matt 21 23 | gani? Nani amekupa mamlaka haya?"~ 18 Matt 21 24 | nitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.~ 19 Matt 21 27 | sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.~ 20 Matt 22 17 | 17 Haya, twambie maoni yako. Je, 21 Matt 23 23 | vile haki, huruma na imani. Haya ~ndiyo hasa mliyopaswa kuyazingatia 22 Matt 23 32 | 32 Haya, kamilisheni ile kazi wazee 23 Matt 23 36 | adhabu kwa sababu ya ~mambo haya. ~ Jinsi Yesu alivyoupenda 24 Matt 23 38 | 38 Haya basi, nyumba yako itaachwa 25 Matt 24 2 | Sawa, mnaweza kuyatazama haya yote! Kweli nawaambieni, 26 Matt 24 3 | wakamwuliza, "Twambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara 27 Matt 24 33 | kadhalika nanyi mtakapoona mambo haya yote yakitendeka, jueni 28 Matt 25 6 | manane kukawa na kelele: `Haya, haya! Bwana arusi anakuja; 29 Matt 25 6 | kukawa na kelele: `Haya, haya! Bwana arusi anakuja; nendeni 30 Matt 25 45 | mlipokataa kumtendea mambo haya mmojawapo wa hawa wadogo, 31 Matt 26 9 | 9 Marashi haya yangaliweza kuuzwa kwa bei 32 Matt 26 56 | 56 Lakini haya yote yametendeka ili Maandiko 33 Matt 26 68 | 68 wakasema, "Haya Kristo, tutabirie; ni nani 34 Matt 27 65 | 65 Pilato akawaambia, "Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde 35 Matt 28 7 | Galilaya; huko mtamwona. Haya, mimi nimekwisha waambieni."~ 36 Mark 1 27 | wakaulizana, "Ni mambo gani haya? Je, ni mafundisho mapya? 37 Mark 6 2 | Je, ameyapata wapi mambo haya? Ni hekima gani hii aliyopewa? 38 Mark 6 2 | Tena, anatendaje maajabu haya anayoyafanya?~ 39 Mark 11 28 | wakamwuliza, "Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa 40 Mark 11 28 | mamlaka ya kufanya mambo haya?"~ 41 Mark 11 29 | mamlaka gani ninafanya mambo haya.~ 42 Mark 11 33 | sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani."~ ~~ ~ 43 Mark 12 10 | 10 Je, hamjasoma Maandiko haya? `Jiwe walilokataa waashi 44 Mark 13 1 | Mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo 45 Mark 13 1 | jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo ya ajabu!"~ 46 Mark 13 2 | akamwambia, "Je, unayaona majengo haya makubwa? Hakuna hata jiwe 47 Mark 13 4 | 4 "Twambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara 48 Mark 13 4 | itakayoonyesha kwamba mambo haya karibu yatimizwe?"~ 49 Mark 13 8 | ya ardhi na njaa. Mambo haya ni kama tu maumivu ya kwanza 50 Mark 14 4 | nini kupoteza ovyo marashi haya?~ 51 Luke 1 20 | bubu kwa sababu huyasadiki haya maneno yatakayotimia kwa 52 Luke 1 29 | alifadhaika sana, akawaza: maneno haya yanamaanisha nini?~ 53 Luke 3 8 | Mungu anaweza kuyageuza mawe haya yawe watoto wa Abrahamu!~ 54 Luke 9 44 | masikio, myasikie mambo haya: Mwana wa Mtu anakwenda 55 Luke 10 21 | wenye hekima na elimu mambo haya, ukawafumbulia wadogo. Naam, 56 Luke 11 42 | upendo kwa Mungu. Mambo haya iliwapasa muwe mmeyazingatia 57 Luke 11 51 | kitaadhibiwa kwa matendo haya.~ 58 Luke 13 35 | 35 Haya, utaachiwa mwenyewe nyumba 59 Luke 16 2 | akamwambia: `Ni mambo gani haya ninayosikia juu yako? Toa 60 Luke 20 2 | Tuambie! Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani?"~ 61 Luke 20 8 | sitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani."~ 62 Luke 20 17 | akawatazama, akawaambia, "Maandiko haya Matakatifu yana maana gani 63 Luke 21 6 | 6 "Haya yote mnayoyaona - zitakuja 64 Luke 21 34 | ulevi na shughuli za maisha haya. La sivyo, Siku ile itawajieni 65 Luke 21 36 | kupita salama katika mambo haya yote yatakayotokea, na kusimama 66 Luke 22 37 | 37 Maana nawaambieni, haya maneno ya Maandiko Matakatifu: ` 67 Luke 23 38 | 38 Vilevile maandishi haya yalikuwa yameandikwa na 68 Luke 23 41 | mimi tunastahili, maana haya ni malipo ya yale tuliyotenda. 69 John 1 28 | 28 Mambo haya yalifanyika huko Bethania, 70 John 1 50 | Utaona makubwa zaidi kuliko haya."~ 71 John 2 18 | unayo haki kufanya mambo haya?"~ 72 John 3 9 | Nikodemo akamwuliza, "Mambo haya yanawezekanaje?"~ 73 John 3 10 | Israel na huyajui mambo haya?~ 74 John 4 13 | Kila anayekunywa maji haya ataona kiu tena.~ 75 John 5 19 | 18 Kwa sababu ya maneno haya, viongozi wa Wayahudi walizidi 76 John 5 21 | atamwonyesha mambo makuu kuliko haya, nanyi mtastaajabu.~ 77 John 5 35 | wanadamu, lakini nasema mambo haya ili mpate kuokolewa.~ 78 John 6 39 | ya yule aliyenituma ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja 79 John 6 60 | waliposikia hayo, wakasema, "Haya ni mambo magumu! Nani awezaye 80 John 7 4 | watu. Maadam unafanya mambo haya, basi, jidhihirishe kwa 81 John 7 52 | wewe pia umetoka Galilaya? Haya, kayachunguze Maandiko Matakatifu 82 John 10 19 | Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.~ 83 John 10 21 | 21 Wengine wakasema, "Haya si maneno ya mwenye pepo. 84 John 11 15 | huko, ili mpate kuamini. Haya, twendeni kwake."~ 85 John 12 41 | 41 Isaya alisema maneno haya kwa sababu aliuona utukufu 86 John 13 18 | 18 "Haya nisemayo hayawahusu ninyi 87 John 13 19 | Mimi nimewaambieni mambo haya sasa kabla hayajatokea, 88 John 14 25 | 25 "Nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi~ 89 John 14 29 | 29 Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, 90 John 15 11 | 11 Nimewaambieni mambo haya ili furaha yangu ikae ndani 91 John 16 4 | Basi, nimewaambieni mambo haya ili saa yake itakapofika 92 John 16 4 | niliwaambieni. "Sikuwaambieni mambo haya tangu mwanzo kwa sababu 93 John 16 33 | 33 Nimewaambieni mambo haya ili mpate kuwa na amani 94 John 17 13 | kwako, na nimesema mambo haya ulimwenguni, ili waweze 95 John 18 31 | 31 Pilato akawaambia, "Haya, mchukueni ninyi wenyewe, 96 John 21 24 | yule aliyeshuhudia mambo haya na kuyaandika. Nasi twajua 97 Acts 2 22 | Israeli, sikilizeni maneno haya! Yesu wa Nazareti alikuwa 98 Acts 3 24 | walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka 99 Acts 5 20 | kila kitu kuhusu maisha haya mapya."~ 100 Acts 7 1 | Mkuu akamwuliza, "Je, mambo haya ni kweli?"~ 101 Acts 8 34 | juu ya nani? Anasema mambo haya juu yake yeye mwenyewe au 102 Acts 15 16 | 16 `Baada ya mambo haya nitarudi. Nitaijenga tena 103 Acts 15 27 | watawaambieni wao wenyewe haya tuliyoandika.~ 104 Acts 15 28 | tusiwatwike mzigo zaidi ya mambo haya muhimu:~ 105 Acts 17 20 | Tungependa kujua mambo haya yana maana gani."~ 106 Acts 18 15 | sitaki kuwa hakimu wa mambo haya!"~ 107 Acts 19 36 | Hakuna anayeweza kukana mambo haya. Hivyo basi, tulieni; msifanye 108 Acts 22 22 | lakini aliposema maneno haya, walianza kusema kwa sauti 109 Acts 24 6 | utaweza kubainisha mambo haya yote tunayomshtaki kwayo."* 110 Acts 24 21 | 21 isipokuwa tu maneno haya niliyosema niliposimama 111 Acts 25 9 | mbele yangu kuhusu mashtaka haya?"~ 112 Acts 26 26 | Mfalme unayafahamu mambo haya, kwa hiyo ninaweza kuongea 113 Roma 6 21 | Maana, matokeo ya mambo haya ni kifo!~ 114 Roma 8 37 | 37 Lakini, katika mambo haya yote, tumepata ushindi mkubwa 115 1Cor 4 8 | 8 Haya, mmekwisha shiba! Mmekwisha 116 1Cor 4 14 | 14 Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha 117 1Cor 7 35 | 35 Nawaambieni haya kwa faida yenu, na si kwa 118 1Cor 9 8 | 8 Je, nasema mambo haya kibinadamu tu? Je, Sheria 119 1Cor 9 10 | sisi aliposema hivyo? Naam, haya yaliandikwa kwa ajili yetu; 120 1Cor 9 23 | 23 Nafanya haya yote kwa ajili ya Habari 121 1Cor 11 17 | Nikiwa bado nawapeni maagizo haya, siwezi hata kidogo kuwapa 122 1Cor 11 17 | kuwapa ninyi hongera kuhusu haya yafuatayo: mikutano yenu 123 1Cor 12 1 | napenda mfahamu vizuri mambo haya:~ 124 1Cor 13 13 | 13 Sasa yanadumu haya matatu: imani, tumaini na 125 1Cor 14 37 | cha Roho, na ajue kwamba haya ninayowaandikia ninyi ni 126 1Cor 15 19 | Kristo yanahusu tu maisha haya ya sasa, basi, sisi ni watu 127 2Cor 4 15 | 15 Yote haya ni kwa faida yenu; ili kama 128 2Cor 5 8 | tungependelea hata kuyahama makao haya, tukahamie kwa Bwana.~ 129 2Cor 7 3 | 3 Sisemi mambo haya kwa ajili ya kumhukumu mtu; 130 2Cor 12 7 | 7 Lakini, kusudi mambo haya makuu niliyofunuliwa yasinifanye 131 2Cor 12 19 | Lakini, tunasema mambo haya mbele ya Mungu, tukiwa tumeungana 132 Gala 1 20 | 20 Haya ninayowaandikieni, Mungu 133 Gala 2 20 | anaishi ndani yangu. Maisha haya ninayoishi sasa naishi kwa 134 Ephe 5 32 | uliofichika katika maneno haya, nami naona kwamba yamhusu 135 Colo 3 8 | mnapaswa kuachana na mambo haya yote: hasira, tamaa, uovu; 136 Colo 4 18 | 18 Naandika haya kwa mkono wangu mwenyewe: 137 1The 4 18 | farijianeni kwa maneno haya.~1 Thessalonians ~~ ~ 138 1The 5 1 | majira yatakapotukia mambo haya.~ 139 2The 2 5 | hamkumbuki kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja 140 1Tim 4 6 | ukiwapa ndugu wote maagizo haya, utakuwa mtumishi mwema 141 1Tim 5 7 | 7 Wape maagizo haya, wasije wakawa na lawama.~ 142 1Tim 5 21 | watakatifu uyazingatie maagizo haya bila kuacha hata moja, wala 143 1Tim 6 2 | kufundisha na kuhubiri mambo haya.~ 144 1Tim 6 3 | anayefundisha kinyume cha mambo haya, na ambaye hakubaliani na 145 2Tim 1 8 | 8 Basi, usione haya kumshuhudia Bwana wetu, 146 2Tim 1 8 | Bwana wetu, wala usione haya kwa sababu yangu mimi niliye 147 2Tim 1 12 | 12 nami nateseka mambo haya kwa sababu hiyo. Lakini 148 2Tim 1 16 | mara nyingi, wala hakuona haya kwa kuwa nilikuwa kifungoni, 149 2Tim 2 14 | wakumbushe watu wako mambo haya, na kuwaonya mbele ya Mungu 150 2Tim 2 15 | mfanyakazi ambaye haoni haya juu ya kazi yake, na ambaye 151 2Tim 2 19 | yake yameandikwa maneno haya: "Bwana anawafahamu wale 152 Titus 3 8 | Ninakutaka uyatilie mkazo mambo haya, ili wale wanaomwamini Mungu, 153 Phil 1 20 | 20 Haya, basi, ndugu yangu, nifanyie 154 Phil 1 21 | kwamba utafanya hata zaidi ya haya ninayokuomba.~ 155 Hebr 9 10 | 10 kwani haya yote yanahusika na vyakula, 156 Hebr 11 16 | Ndiyo maana Mungu haoni haya wakimwita yeye Mungu wao, 157 James 2 18| imani, mimi ninayo matendo!" Haya! Nionyeshe jinsi mtu anavyoweza 158 James 3 10| kimoja. Ndugu zangu, mambo haya hayapaswi kuwa hivyo.~ 159 2Pet 1 12 | kuwakumbusheni daima mambo haya, ingawa mmekwisha yafahamu, 160 2Pet 1 13 | kuwakumbusheni juu ya mambo haya.~ 161 2Pet 1 15 | njia ya kuyakumbuka mambo haya kila wakati, baada ya kufariki 162 2Pet 3 1 | kwa kuwakumbusheni mambo haya.~ 163 1Joh 1 4 | Tunawaandikia ninyi mambo haya kusudi furaha yetu ikamilike.~ 164 1Joh 2 1 | wangu, ninawaandikieni mambo haya, kusudi msitende dhambi. 165 1Joh 2 26 | 26 Nimewaandikieni mambo haya kuhusu wale wanaotaka kuwapotosha 166 Rev 1 3 | umekaribia ambapo mambo haya yatatukia.~ 167 Rev 1 11 | ukipeleke kwa makanisa haya saba: Efeso, Smurna, Pergamoni, 168 Rev 1 19 | Basi, sasa andika mambo haya unayoyaona, mambo yanayotukia 169 Rev 19 9 | malaika akaniambia, "Andika haya: Heri wale walioalikwa kwenye 170 Rev 21 5 | Andika hili, maana maneno haya ni ya kuaminika na ya kweli!"~ 171 Rev 22 6 | malaika akaniambia, "Maneno haya ni ya kweli na ya kuaminika. 172 Rev 22 8 | niliyaona na kusikia mambo haya. Nilipokwisha sikia na kuona 173 Rev 22 16 | wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa. Mimi ni 174 Rev 22 18 | akiongeza chochote katika mambo haya, Mungu atamwongezea mabaa 175 Rev 22 20 | ushahidi wake juu ya mambo haya asema: "Naam! Naja upesi."


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License