Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
bidhaa 1
bidii 34
bikira 5
bila 171
bimkubwa 2
binadamu 75
binafsi 13
Frequency    [«  »]
176 wengi
175 haya
174 maneno
171 bila
170 hapa
170 ndiye
169 hilo

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

bila

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 7 26 | anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia, anafanana 2 Matt 10 29 | mmoja wao haanguki chini bila kibali cha Baba yenu.~ 3 Matt 12 29 | kumnyang`anya mali yake, bila kwanza kumfunga huyo mtu 4 Matt 13 19 | asikiaye ujumbe wa ufalme bila kuuelewa, ni kama zile mbegu 5 Matt 13 27 | wakamwambia, `Mheshimiwa, bila shaka ulipanda mbegu nzuri 6 Matt 13 34 | mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano,~ 7 Matt 14 21 | wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.~ 8 Matt 15 20 | najisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu 9 Matt 15 32 | Sipendi kuwaacha waende bila kula wasije wakazimia njiani."~ 10 Matt 15 38 | walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.~ 11 Matt 18 8 | kwako kuingia katika uzima bila mkono au mguu, kuliko kutupwa 12 Matt 20 6 | mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?`~ 13 Matt 21 21 | nawaambieni, kama mkiwa na imani bila kuwa na mashaka, mnaweza 14 Matt 22 12 | Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la arusi?> ~Lakini 15 Matt 22 24 | alisema mtu aliyeoa akifa bila ~kuacha watoto, lazima ndugu 16 Matt 22 25 | kwanza alioa kisha ~akafa bila kujaliwa watoto, akamwachia 17 Matt 23 23 | mliyopaswa kuyazingatia bila kusahau yale mengine. ~ 18 Matt 25 38 | nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika?~ 19 Matt 25 44 | njaa au kiu, ukiwa mgeni au bila nguo, ukiwa mgonjwa au mfungwa, 20 Matt 26 42 | kikombe*fp* hiki kinipite bila mimi kukinywa, basi, mapenzi 21 Mark 4 34 | 34 Hakuongea nao chochote bila kutumia mifano; lakini alipokuwa 22 Mark 5 36 | 36 Lakini, bila kujali walichosema, Yesu 23 Mark 7 2 | kwa mikono najisi, yaani bila kunawa.~ 24 Mark 9 43 | Afadhali kuingia kwenye uzima bila mkono mmoja, kuliko kuwa 25 Mark 9 45 | Afadhali kuingia katika uzima bila mguu mmoja, kuliko kuwa 26 Mark 11 13 | lolote. Alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila majani 27 Mark 11 23 | oka ukajitose baharini` bila kuona shaka moyoni mwake, 28 Mark 12 19 | Mtu akifa na kuacha mke bila mtoto, ndugu yake lazima 29 Mark 12 20 | Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto.~ 30 Mark 12 21 | huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu 31 Mark 12 22 | 22 Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule 32 Mark 15 43 | Basi, alimwendea Pilato bila uoga, akaomba apewe mwili 33 Luke 1 6 | na maagizo yote ya Bwana bila lawama.~ 34 Luke 1 74 | zetu, tupate kumtumikia bila hofu,~ 35 Luke 2 43 | Yesu alibaki Yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari.~ 36 Luke 4 23 | 23 Naye akawaambia, "Bila shaka mtaniambia msemo huu: ` 37 Luke 4 35 | yule mtu chini, akamtoka bila kumdhuru hata kidogo.~ 38 Luke 5 5 | kuvua samaki usiku kucha bila kupata kitu, lakini kwa 39 Luke 6 35 | kuwatendea mema; kopesheni bila kutazamia malipo, na tuzo 40 Luke 6 49 | aliyejenga nyumba juu ya udongo, bila msingi. Mafuriko ya mto 41 Luke 11 36 | mwili wako wote una mwanga, bila kuwa na sehemu yoyote yenye 42 Luke 11 38 | kuona kwamba alikula chakula bila kunawa.~ 43 Luke 11 42 | iliwapasa muwe mmeyazingatia bila kuyasahau yale mengine.~ 44 Luke 11 44 | watu hutembea juu yake bila kufahamu."~ 45 Luke 12 48 | afanyaye yanayostahili adhabu bila kujua, atapigwa kidogo. 46 Luke 18 1 | kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa.~ 47 Luke 18 13 | akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake mbinguni, 48 Luke 20 28 | akifa na kumwacha mjane wake bila watoto, ni lazima ndugu 49 Luke 20 29 | kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto.~ 50 Luke 20 31 | wote saba - wote walikufa bila kuacha watoto.~ 51 Luke 22 6 | nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua.~ 52 Luke 22 27 | ama yule anayetumikia? Bila shaka ni yule anayeketi 53 Luke 22 35 | wake, "Wakati nilipowatuma bila mfuko wa fedha wala mkoba 54 John 3 34 | humjalia mtu huyo Roho wake bila kipimo.~ 55 John 6 61 | 61 Yesu alijua bila kuambiwa na mtu kwamba wanafunzi 56 John 15 5 | atazaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote.~ 57 John 16 29 | unasema waziwazi kabisa bila kutumia mafumbo.~ 58 John 19 23 | imefumwa kwa kipande kimoja tu, bila mshono.~ 59 Acts 4 31 | wakaanza kuhubiri neno la Mungu bila uoga.~ 60 Acts 5 7 | saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, 61 Acts 8 31 | akamjibu, "Ninawezaje kuelewa bila mtu kunielewesha?" Hapo 62 Acts 9 9 | 9 Saulo alikaa siku tatu bila kuona, na wakati huo hakula 63 Acts 9 27 | Saulo alivyokuwa amehubiri bila uoga kule Damasko.~ 64 Acts 9 28 | akihubiri neno la Bwana bila hofu.~ 65 Acts 10 29 | hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: 66 Acts 10 33 | hiyo nilikutumia ujumbe bila kuchelewa, nawe umefanya 67 Acts 11 12 | aliniambia niende pamoja nao bila kusita. Hawa ndugu sita 68 Acts 15 24 | Lakini wamefanya hivyo bila ya idhini yoyote kutoka 69 Acts 16 10 | tulijitayarisha kwenda Makedonia bila kukawia, tukiwa na hakika 70 Acts 17 23 | Basi, huyo mnayemwabudu bila kujua, ndiye ninayemhubiri 71 Acts 18 9 | Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,~ 72 Acts 19 36 | tulieni; msifanye chochote bila hadhari.~ 73 Acts 20 16 | kuendelea na safari kwa meli bila kupitia Efeso ili asikawie 74 Acts 20 22 | Roho, nakwenda Yerusalemu bila kufahamu yatakayonipata 75 Acts 24 4 | 4 Lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, 76 Acts 25 27 | kichekesho kumpeleka mfungwa bila kutaja wazi mashtaka yanayomkabili."~ ~ ~~ ~ 77 Acts 26 26 | kwa hiyo ninaweza kuongea bila uoga mbele yako. Sina mashaka 78 Acts 26 29 | kama nilivyo mimi, lakini bila hii minyororo."~ 79 Acts 27 21 | Baada ya kukaa muda mrefu bila kula chakula, Paulo alisimama 80 Acts 27 33 | mmekuwa katika mashaka na bila kula; hamjala kitu chochote.~ 81 Acts 27 41 | ilikuwa imezama mchangani bila kutikisika. Sehemu ya nyuma 82 Acts 28 4 | mkono wake waliambiana, "Bila shaka mtu huyu amekwisha 83 Acts 28 6 | kungojea kwa muda mrefu bila kuona kwamba Paulo amepatwa 84 Acts 28 31 | Yesu Kristo kwa uhodari, bila kizuizi.~ ~ 85 Roma 2 4 | uvumilivu wake na saburi yake, bila kutambua kwamba wema wake 86 Roma 2 12 | 12 Wale wanaotenda dhambi bila kuijua Sheria ya Mose wataangamia 87 Roma 2 25 | ni afadhali ungalibaki bila kutahiriwa.~ 88 Roma 3 21 | imekwisha dhihirishwa, tena bila kutegemea Sheria. Sheria 89 Roma 3 25 | Mungu alikuwa mvumilivu bila kuzijali dhambi za watu;~ 90 Roma 4 6 | amemkubali kuwa mwadilifu bila kuyajali matendo yake:~ 91 Roma 4 18 | ingawa hali yenyewe ilikuwa bila matumaini, na hivyo amekuwa 92 Roma 5 13 | haiwekwi katika kumbukumbu bila sheria.~ 93 Roma 7 1 | 1 Ndugu zangu, bila shaka mtaelewa yafuatayo, 94 Roma 7 7 | dhambi? Hata kidogo! Lakini bila Sheria, mimi nisingalijua 95 Roma 7 8 | mbaya ndani yangu. Maana, bila Sheria dhambi ni kitu kilichokufa.~ 96 Roma 12 9 | 9 Mapendo yenu na yawe bila unafiki wowote. Chukieni 97 Roma 15 15 | na pale katika barua hii bila woga, nipate kuwakumbusheni 98 Roma 16 19 | hekima katika mambo mema, na bila hatia kuhusu mambo mabaya.~ 99 1Cor 1 8 | mpaka mwisho mpate kuonekana bila hatia Siku ile ya Bwana 100 1Cor 1 17 | Habari Njema; tena, niihubiri bila kutegemea maarifa ya hotuba 101 1Cor 4 8 | matajiri! Mmekuwa wafalme bila ya sisi! Naam, laiti mngekuwa 102 1Cor 7 11 | akiachana naye, basi abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe 103 1Cor 9 18 | kuihubiri Habari Njema bure, bila kudai haki ninazostahili 104 1Cor 10 25 | chochote kile kiuzwacho sokoni bila ya kuulizauliza kwa sababu 105 1Cor 10 27 | vyote atakavyowaandalieni bila kuulizauliza kwa sababu 106 1Cor 10 33 | kuwapendeza wote kwa kila njia, bila kutafuta faida yangu mwenyewe 107 1Cor 11 5 | kutangaza ujumbe wa Mungu bila kufunika kichwa chake, anamdharau 108 1Cor 11 11 | ya Bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume 109 1Cor 11 11 | naye mwanamume si kitu bila mwanamke.~ 110 1Cor 11 13 | mwanamke kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani?~ 111 1Cor 11 27 | kunywa kikombe cha Bwana bila kustahili, atakuwa na hatia 112 1Cor 11 29 | maana anayekula na kunywa bila kutambua maana ya mwili 113 1Cor 14 8 | 8 La mgambo likilia bila kufuata taratibu zake, nani 114 2Cor 3 11 | kilikuwa na utukufu wake, bila shaka kile chenye kudumu 115 2Cor 4 9 | twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na ingawa tumeangushwa 116 2Cor 5 3 | tukasimama mbele ya Mungu bila vazi.~ 117 2Cor 5 19 | naye kwa njia ya Kristo, bila kutia maanani dhambi zao 118 2Cor 6 5 | tukachoka; tumekesha na kukaa bila kula.~ 119 2Cor 9 4 | hapo sisi tutaaibika - bila kutaja aibu mtakayopata 120 2Cor 11 7 | kwenu Habari Njema ya Mungu bila kudai mshahara; nilijinyenyekeza 121 2Cor 11 27 | na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa 122 2Cor 11 27 | nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.~ 123 2Cor 13 2 | wale wote waliotenda uovu bila kutubu, na pia wale wengine, 124 Gala 1 13 | 13 Bila shaka mlikwisha sikia jinsi 125 Gala 1 16 | watu wa mataifa mengine, bila kutafuta maoni ya binadamu,~ 126 Gala 1 17 | 17 na bila kwenda kwanza Yerusalemu 127 Gala 6 4 | fahari juu ya alichofanya bila kuwa na sababu ya kujilinganisha 128 Ephe 1 4 | Kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. Kwa 129 Ephe 1 8 | 8 aliotukirimia bila kipimo! Kwa hekima na ujuzi 130 Ephe 2 12 | Wakati ule ninyi mlikuwa bila Kristo; mlikuwa nje ya jamii 131 Ephe 2 12 | agano la zile ahadi. Mlikuwa bila matumaini Mungu hapa duniani.~ 132 Ephe 3 2 | 2 Bila shaka mmekwisha sikia kwamba 133 Ephe 6 18 | kwa nguvu ya Roho. Kesheni bila kuchoka mkisali kwa ajili 134 Colo 1 22 | mkiwa watakatifu, safi na bila lawama.~ 135 2The 3 8 | hatukula chakula kwa mtu yeyote bila ya kumlipa. Tulifanya kazi 136 1Tim 2 8 | kuinua mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi.~ 137 1Tim 3 13 | mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika 138 1Tim 5 21 | uyazingatie maagizo haya bila kuacha hata moja, wala kumpendelea 139 Titus 3 6 | alitumiminia Roho Mtakatifu bila kipimo kwa njia ya Yesu 140 Phil 1 14 | Lakini sitafanya chochote bila kibali chako. Sipendi kukulazimisha 141 Hebr 2 8 | mtawala wa vitu vyote yaani bila kuacha hata kimoja. Hata 142 Hebr 4 16 | 16 Basi, na tukikaribie bila hofu kiti cha enzi cha Mungu, 143 Hebr 9 7 | ambazo watu wamezitenda bila wao wenyewe kujua.~ 144 Hebr 9 18 | agano la kwanza halikuwekwa bila damu kumwagwa.~ 145 Hebr 10 28 | asiyeitii Sheria ya Mose, huuawa bila ya huruma kukiwa na ushahidi 146 Hebr 11 27 | alihama kutoka nchi ya Misri bila kuogopa hasira ya mfalme; 147 Hebr 12 2 | alivumilia kifo msalabani, bila kujali juu ya aibu yake, 148 Hebr 12 14 | hakuna mtu atakayemwona Bwana bila ya maisha kama hayo.~ 149 Hebr 13 2 | walipata kuwakaribisha malaika bila kujua.~ 150 James 1 4 | wakamilifu na watimilifu, bila kupungukiwa chochote.~ 151 James 1 6 | anapaswa kuomba kwa imani bila mashaka yoyote. Mtu aliye 152 James 2 16| mkaote moto na kushiba," bila kuwapatia mahitaji yao ya 153 James 2 17| Vivyo hivyo, imani peke yake bila matendo imekufa.~ 154 James 2 18| anavyoweza kuwa na imani bila matendo, nami nitakuonyesha 155 James 2 20| kuonyeshwa kwamba imani bila matendo imekufa?~ 156 James 2 26| 26 Basi, kama vile mwili bila roho umekufa, vivyo hivyo 157 James 2 26| umekufa, vivyo hivyo imani bila matendo imekufa.~ ~~ ~ 158 1Pet 1 17 | kadiri ya matendo yake, bila ubaguzi. Hivyo tumieni wakati 159 1Pet 1 22 | zenu na kuwapenda wenzenu bila unafiki, basi, pendaneni 160 1Pet 3 6 | zake kama mkitenda mema bila kuogopa tisho lolote.~ 161 1Pet 4 9 | ukarimu ninyi kwa ninyi bila kunung`unika.~ 162 2Pet 3 14 | fanyeni bidii kuwa safi kabisa bila hatia mbele ya Mungu, na 163 1Joh 2 28 | atakapotokea tuwe hodari bila kuwa na sababu ya kujificha 164 1Joh 3 17 | lakini akawa na moyo mgumu bila kumwonea huruma, anawezaje 165 2Joh 1 10 | Basi, kama mtu akija kwenu bila kuwaleteeni mafundisho hayo, 166 3Joh 1 7 | katika utumishi wa Kristo bila kupokea msaada wowote kutoka 167 Jude 1 12 | yanayopeperushwa huko na huko na upepo bila ya kuleta mvua. Wao ni kama 168 Jude 1 24 | mkaanguka, na kuwaleta ninyi bila hatia mpaka mbele ya utukufu 169 Rev 4 8 | na nje. Usiku na mchana, bila kupumzika huimba: "Mtakatifu, 170 Rev 14 10 | kikombe cha ghadhabu yake bila kuchanganywa na maji. Mtu 171 Rev 22 17 | maji ya uzima na apokee bila malipo yoyote.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License