Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 3 | alimzaa Faresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Faresi
2 Matt 1 5 | 5 Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu).
3 Matt 1 6 | Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa mke
4 Matt 1 16| aliyekuwa mume wake Maria, mama yake Yesu, aitwaye Kristo.~
5 Matt 1 18| Kristo alivyozaliwa: Maria, mama yake, alikuwa ameposwa na
6 Matt 2 11| yule mtoto pamoja na Maria mama yake; wakapiga magoti, wakamsujudia.
7 Matt 2 13| Mchukue mtoto pamoja na mama yake, mkimbilie Misri. Kaeni
8 Matt 2 14| akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akaondoka usiku, akaenda
9 Matt 2 20| Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika
10 Matt 2 21| akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea katika nchi
11 Matt 8 14| nyumbani kwa Petro, akamkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani,
12 Matt 8 15| Basi, Yesu akamgusa huyo mama mkono, na homa ikamwacha;
13 Matt 9 20| 20 Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa
14 Matt 9 22| Imani yako imekuponya." Mama huyo akapona saa ileile.~
15 Matt 10 35| baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe
16 Matt 10 37| 37 "Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo
17 Matt 12 46| na umati wa watu wakati mama yake na ndugu zake walipofika
18 Matt 12 47| mtu mmoja akamwambia, "Mama yako na ndugu zako wako
19 Matt 12 48| Yesu akamjibu mtu huyo, "Mama yangu ni nani? Na ndugu
20 Matt 12 49| wake, akasema, "Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu!~
21 Matt 12 50| ndugu yangu, dada yangu na mama yangu."~ ~~ ~
22 Matt 13 33| umefanana na chachu aliyotwaa mama mmoja, akaichanganya na
23 Matt 13 55| yule mwana wa seremala? Je, mama yake si anaitwa Maria, na
24 Matt 14 8 | Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, "Nipe papahapa
25 Matt 14 11| msichana, naye akampelekea mama yake.~
26 Matt 15 4 | Waheshimu baba yako na mama yako,` na `Anayemkashifu
27 Matt 15 4 | Anayemkashifu baba yake au mama yake, lazima auawe`.~
28 Matt 15 5 | kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema: `Kitu
29 Matt 15 22| 22 Basi, mama mmoja Mkaanani wa nchi hiyo
30 Matt 15 25| 25 Hapo huyo mama akaja, akapiga magoti mbele
31 Matt 15 27| 27 Huyo mama akajibu, "Ni kweli, Mheshimiwa;
32 Matt 15 28| 28 Hapo Yesu akamjibu, "Mama, imani yako ni kubwa; basi,
33 Matt 19 5 | mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake,
34 Matt 19 19| 19 waheshimu baba yako na mama yako; na, mpende jirani
35 Matt 19 29| ndugu, au dada, au baba, au mama, au watoto, au mashamba,
36 Matt 20 20| 20 Hapo mama yao wana wa Zebedayo alimjia
37 Matt 20 21| akamwuliza, "Unataka nini?" Huyo mama akamwambia, "Ahidi kwamba
38 Matt 22 24| lazima ndugu yake amwoe huyo mama mjane, amzalie ndugu ~yake
39 Matt 22 27| wote kufa, akafa pia yule mama. ~
40 Matt 22 28| siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani ~
41 Matt 24 19| 19 Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha
42 Matt 24 41| 41 Kina mama wawili watakuwa wanasaga
43 Matt 26 7 | 7 mama mmoja aliyekuwa na chupa
44 Matt 26 10| Mbona mnamsumbua huyu mama? Yeye amenitendea jambo
45 Matt 26 12| 12 Huyu mama amenimiminia marashi ili
46 Matt 26 13| kitendo hiki alichofanya mama huyu kitatajwa kwa kumkumbuka
47 Matt 27 56| walikuwa Maria Magdalene, Maria mama yao Yakobo na Yosefu, pamoja
48 Matt 27 56| Yakobo na Yosefu, pamoja na mama yao wana wa Zebedayo.~
49 Mark 1 30| 30 Basi, mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa
50 Mark 1 31| 31 Yesu akamwendea huyo mama, akamshika mkono, akamwinua.
51 Mark 3 31| 31 Mama yake Yesu na ndugu zake
52 Mark 3 32| kumzunguka. Basi, wakamwambia, "Mama yako na ndugu zako wako
53 Mark 3 33| 33 Yesu akawaambia, "Mama yangu na ndugu zangu ni
54 Mark 3 34| akasema, "Tazameni! Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.~
55 Mark 3 35| kaka yangu, dada yangu na mama yangu."~ ~~ ~
56 Mark 5 40| nje, akawachukua baba na mama ya huyo msichana na wale
57 Mark 6 24| msichana akatoka, akamwuliza mama yake, "Niombe nini?" Naye
58 Mark 6 28| msichana naye msichana akampa mama yake.~
59 Mark 7 10| Waheshimu baba yako na mama yako,` na, `Anayemlaani
60 Mark 7 10| na, `Anayemlaani baba au mama, lazima afe.`~
61 Mark 7 11| kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema kwamba
62 Mark 7 26| 26 Mama huyo alikuwa Mgiriki, mwenyeji
63 Mark 7 28| 28 Lakini huyo mama akasema, "Sawa, Bwana, lakini
64 Mark 10 7 | mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe,~
65 Mark 10 19| Usidanganye; Waheshimu baba na mama yako."`~
66 Mark 10 29| nyumba, au ndugu, au dada, au mama, au baba, au watoto au mashamba
67 Mark 10 30| sasa nyumba, ndugu, dada, mama, watoto na mashamba pamoja
68 Mark 12 19| yake lazima amchukue huyo mama mjane amzalie watoto ndugu
69 Mark 12 22| kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa.~
70 Mark 12 23| siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani?
71 Mark 12 42| 42 Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa
72 Mark 12 43| Kweli nawaambieni, huyu mama mjane maskini ametoa zaidi
73 Mark 12 44| ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa
74 Mark 14 3 | Alipokuwa mezani kula chakula, mama mmoja aliyekuwa na chupa
75 Mark 14 5 | maskini!" Wakamkemea huyo mama.~
76 Mark 15 40| Magdala, Salome, na Maria mama wa kina Yakobo mdogo na
77 Mark 15 47| Maria Magdalene na Maria mama yake Yose walipaona hapo
78 Mark 16 1 | Magdalene, Salome na Maria mama yake Yakobo walinunua manukato
79 Luke 1 15| Mtakatifu tangu tumboni mwa mama yake.~
80 Luke 1 43| 43 Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?~
81 Luke 1 60| 60 Lakini mama yake akasema, "La, sivyo,
82 Luke 2 33| 33 Baba na mama yake Yesu walikuwa wakistaajabia
83 Luke 2 34| akawabariki, akamwambia Maria mama yake, "Mtoto huyu atakuwa
84 Luke 2 48| walipomwona walishangaa. Maria, mama yake, akamwuliza, "Mwanangu,
85 Luke 2 51| Nazareti, akawa anawatii. Mama yake akaweka mambo hayo
86 Luke 4 38| akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa
87 Luke 4 39| nayo ikamwacha. Mara yule mama akainuka, akawatumikia.~
88 Luke 7 12| mmoja, mtoto wa pekee wa mama mjane. Watu wengi wa mji
89 Luke 7 12| walikuwa pamoja na huyo mama.~
90 Luke 7 13| 13 Bwana alipomwona mama huyo, alimwonea huruma,
91 Luke 7 15| Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake.~
92 Luke 7 37| katika mji ule kulikuwa na mama mmoja aliyekuwa anaishi
93 Luke 8 19| 19 Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia,
94 Luke 8 20| Yesu akapewa habari kwamba mama na ndugu zake walikuwa nje,
95 Luke 8 21| Yesu akawaambia watu wote, "Mama yangu na ndugu zangu ni
96 Luke 12 53| mwana dhidi ya baba yake; mama dhidi ya bintiye, binti
97 Luke 12 53| bintiye, binti dhidi ya mama yake; mama mkwe dhidi ya
98 Luke 12 53| binti dhidi ya mama yake; mama mkwe dhidi ya mke wa mwanawe
99 Luke 12 53| mwanawe na huyo dhidi ya mama mkwe wake."~
100 Luke 13 12| alimwita, akamwambia, "Mama, umeponywa ugonjwa wako."~
101 Luke 13 21| Ni kama chachu aliyoitwaa mama mmoja na kuichanganya pamoja
102 Luke 14 26| kwangu, asipowachukia baba na mama yake, mke wake, watoto,
103 Luke 18 3 | huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane, ambaye alimwendea
104 Luke 18 20| waheshimu baba yako na mama yako."`~
105 Luke 20 28| ndugu yake amchukue huyo mama mjane, amzalie watoto ndugu
106 Luke 21 2 | 2 akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza
107 Luke 21 3 | akasema, "Nawaambieni kweli, mama huyu mjane ametia zaidi
108 Luke 21 4 | ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa
109 Luke 23 28| akawageukia, akasema, "Enyi kina mama wa Yerusalemu! Msinililie
110 Luke 24 10| Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake
111 John 2 1 | mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo,~
112 John 2 3 | 3 Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, "Hawana
113 John 2 4 | 4 Yesu akamjibu, "Mama, usiniambie la kufanya.
114 John 2 5 | 5 Hapo mama yake akawaambia watumishi, "
115 John 2 12| Yesu alishuka pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi
116 John 3 4 | Hawezi kuingia tumboni mwa mama yake na kuzaliwa mara ya
117 John 3 6 | huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho
118 John 4 11| 11 Huyo mama akasema, "Mheshimiwa, wewe
119 John 4 25| 25 Huyo mama akamwambia, "Najua kwamba
120 John 4 28| 28 Huyo mama akauacha mtungi wake pale,
121 John 4 39| ya maneno aliyosema huyo mama: "Ameniambia mambo yote
122 John 4 42| 42 Wakamwambia yule mama, "Sisi hatuamini tu kwa
123 John 6 42| Tunawajua baba yake na mama yake! Basi, anawezaje kusema
124 John 12 7 | akasema, "Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili
125 John 16 21| 21 Wakati mama anapojifungua huona huzuni
126 John 19 25| Yesu walikuwa wamesimama mama yake, na dada ya mama yake,
127 John 19 25| wamesimama mama yake, na dada ya mama yake, Maria mke wa Kleopa,
128 John 19 26| 26 Yesu alipomwona mama yake, na karibu naye amesimama
129 John 19 26| aliyempenda, akamwambia mama yake: "Mama! Tazama, huyo
130 John 19 26| akamwambia mama yake: "Mama! Tazama, huyo ndiye mwanao."~
131 John 19 27| mwanafunzi: "Tazama, huyo ndiye mama yako." Na tangu saa ile
132 John 20 13| Hao malaika wakamwuliza, "Mama, kwa nini unalia?" Naye
133 John 20 15| 15 Yesu akamwuliza, "Mama, kwa nini unalia? Unamtafuta
134 Acts 1 14| kadha wa kadha, na Maria mama yake Yesu, na ndugu zake.~
135 Acts 12 12| mpaka nyumbani kwa Maria mama yake Yohane aitwaye Marko.
136 Acts 16 1 | mmoja aitwaye Timotheo. Mama yake ambaye pia alikuwa
137 Acts 16 15| 15 Baada ya huyo mama pamoja na jamaa yake kubatizwa,
138 Roma 16 13| katika kazi ya Bwana, na mama yake ambaye ni mama yangu
139 Roma 16 13| na mama yake ambaye ni mama yangu pia.~
140 1Cor 7 16| 16 Wewe mama Mkristo, unawezaje kuwa
141 1Cor 7 39| aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda
142 Gala 4 19| Watoto wangu, kama vile mama mja mzito anavyotaabika
143 Gala 4 24| Mambo hayo yamekuwa mfano; mama hao wawili ni mfano wa maagano
144 Gala 4 26| ni mji ulio huru, nao ni mama yetu.~
145 Gala 4 30| yasemaje? Yasema: "Mfukuze mama mtumwa pamoja na mwanawe;
146 Gala 4 30| hatarithi pamoja na mtoto wa mama huru."~
147 Gala 4 31| watoto wa mtumwa bali wa mama huru.~ ~ ~~ ~
148 Ephe 5 31| mwanamume atawaacha baba na mama yake, ataungana na mkewe,
149 Ephe 6 2 | 2 "Waheshimu Baba na mama yako," hii ndiyo amri ya
150 Colo 3 18| 18 Enyi akina mama, watiini waume zenu, kwani
151 1The 2 7 | Wapole kati yenu kama alivyo mama kwa watoto wake.~
152 1The 5 3 | uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu
153 1Tim 1 9 | Watu wanaowaua baba na mama zao, au wauaji wowote wale;~
154 1Tim 5 2 | 2 wanawake wazee kama mama yako, na wasichana kama
155 1Tim 5 16| 16 Lakini kama mama Mkristo anao wajane katika
156 2Tim 1 5 | nyanya yako Loisi, na pia mama yako Eunike. Nina hakika
157 Titus 2 4| 4 ili wawazoeze kina mama vijana kuwapenda waume zao
158 Hebr 7 3 | 3 Baba yake na mama yake hawatajwi, wala ukoo
159 Rev 12 4 | lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua
160 Rev 12 5 | 5 Kisha mama huyo akajifungua mtoto wa
161 Rev 12 6 | 6 Huyo mama akakimbilia jangwani, ambako
162 Rev 12 13 | likaanza kumwinda yule mama aliyekuwa amejifungua mtoto
163 Rev 12 14 | 14 Lakini mama huyo akapewa mabawa mawili
164 Rev 12 15 | kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue.~
165 Rev 12 16 | Lakini nchi ikamsaidia huyo mama: ikajifunua kama mdomo na
166 Rev 12 17 | hilo likamkasirikia huyo mama, likajiondokea, likaenda
167 Rev 12 17 | na wazawa wengine wa huyo mama, yaani wote wanaotii amri
168 Rev 17 5 | la fumbo "Babuloni mkuu, mama wa wazinzi na wa mambo yote
|