Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 18 | mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu
2 Matt 5 46 | wale wanaowapenda ninyi? Hakuna! Kwa maana hata watoza ushuru
3 Matt 6 24 | 24 "Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana
4 Matt 8 28 | wenye kutisha mno, hata hakuna mtu aliyethubutu kupita
5 Matt 9 16 | 16 "Hakuna mtu atiaye kiraka cha nguo
6 Matt 9 17 | 17 Wala hakuna mtu awekaye divai mpya katika
7 Matt 11 27 | amenikabidhi vitu vyote. Hakuna amjuaye Mwana ila Baba,
8 Matt 17 20 | uende pale,` nao utakwenda. Hakuna chochote ambacho hakingewezekana
9 Matt 20 7 | 7 Wakamjibu: `Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri.` Yeye
10 Matt 22 46 | 46 Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu
11 Matt 22 46 | neno. Na tangu siku hiyo ~hakuna aliyethubutu tena kumwuliza
12 Matt 24 2 | yote! Kweli nawaambieni, hakuna hata jiwe moja litakalosalia
13 Matt 24 22 | hizo hazingalipunguzwa, hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka;
14 Matt 24 36 | juu ya siku au saa hiyo, hakuna mtu ajuaye itakuja lini;
15 Mark 2 7 | hivyo? Anamkufuru Mungu! Hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi
16 Mark 2 21 | 21 "Hakuna mtu anayekata kiraka kutoka
17 Mark 2 22 | 22 Wala hakuna mtu atiaye divai mpya katika
18 Mark 3 27 | 27 "Hakuna mtu awezaye kuivamia nyumba
19 Mark 5 3 | akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga
20 Mark 5 4 | kuzivunja hizo pingu, wala hakuna mtu aliyeweza kumzuia.~
21 Mark 7 15 | 15 Hakuna kitu kinachoingia ndani
22 Mark 9 39 | akasema, "Msimkataze, maana hakuna mtu anayefanya muujiza kwa
23 Mark 10 18 | Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke
24 Mark 12 18 | Masadukayo wasemao kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu,
25 Mark 12 31 | unavyojipenda mwenyewe.` Hakuna amri nyingine iliyo kuu
26 Mark 12 32 | kwamba Mungu ni mmoja tu wala hakuna mwingine ila yeye.~
27 Mark 12 34 | wa Mungu." Baada ya hayo, hakuna mtu aliyethubutu tena kumwuliza
28 Mark 13 2 | unayaona majengo haya makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalosalia
29 Mark 13 20 | asingepunguza siku hizo, hakuna binadamu ambaye angeokolewa.
30 Mark 13 32 | 32 "Lakini hakuna mtu ajuaye siku au saa hiyo
31 Luke 1 37 | 37 Kwa maana hakuna jambo lisilowezekana kwa
32 Luke 1 61 | 61 Wakamwambia, "Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake
33 Luke 4 27 | ukoma wengi. Hata hivyo, hakuna yeyote aliyetakaswa ila
34 Luke 5 21 | anayemkufuru Mungu kwa maneno yake? Hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi
35 Luke 5 36 | Yesu akawaambia mfano huu: "Hakuna mtu akataye kiraka cha nguo
36 Luke 5 37 | 37 Wala hakuna mtu atiaye divai mpya katika
37 Luke 5 39 | 39 Wala hakuna mtu ambaye hutamani kunywa
38 Luke 6 32 | je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi
39 Luke 7 28 | Nawaambieni, kati ya binadamu wote hakuna aliye mkubwa zaidi kuliko
40 Luke 8 43 | mali yake yote kwa waganga, hakuna aliyefaulu kumponya.~
41 Luke 10 19 | nguvu zote za yule adui; hakuna chochote kitakachowadhuru.~
42 Luke 10 22 | ameweka yote mikononi mwangu. Hakuna amjuaye Mwana ni nani ila
43 Luke 10 42 | kitu bora zaidi ambacho hakuna mtu atakayemnyag`anya."~ ~ ~~ ~
44 Luke 11 33 | 33 "Hakuna mtu anayewasha taa na kuifunika
45 Luke 14 24 | Kwa maana, nawaambieni, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa
46 Luke 14 33 | 33 Vivyo hivyo, basi, hakuna hata mmoja wenu atakayekuwa
47 Luke 15 16 | waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu.~
48 Luke 16 13 | 13 "Hakuna mtumishi awezaye kuwatumikia
49 Luke 17 21 | 21 Wala hakuna atakayeweza kusema, `Uko
50 Luke 18 19 | akamwambia, "Mbona waniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke
51 Luke 21 6 | mnayoyaona - zitakuja siku ambapo hakuna hata jiwe moja litakalosalia
52 Luke 21 14 | msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati
53 John 1 3 | yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa
54 John 1 18 | 18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati
55 John 3 2 | uliyetumwa na Mungu, maana hakuna mtu awezaye kufanya ishara
56 John 3 13 | 13 Hakuna mtu aliyepata kwenda juu
57 John 3 32 | aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe wake.~
58 John 4 27 | anaongea na mwanamke. Lakini hakuna mtu aliyesema: "Unataka
59 John 6 44 | 44 Hakuna mtu awezaye kuja kwangu,
60 John 6 65 | maana niliwaambieni kwamba hakuna awezaye kuja kwangu asipowezeshwa
61 John 7 13 | 13 Hata hivyo hakuna mtu aliyethubutu kusema,
62 John 7 19 | hakuwapeni Sheria? Hata hivyo, hakuna hata mmoja wenu anayeishika
63 John 7 26 | Anawaonya hadharani, wala hakuna mtu anayemwambia hata neno.
64 John 7 27 | 27 Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka,
65 John 7 30 | wakataka kumtia nguvuni, lakini hakuna mtu aliyethubutu kumkamata
66 John 7 44 | walitaka kumtia nguvuni lakini hakuna aliyejaribu kumkamata.~
67 John 7 46 | 46 Walinzi wakawajibu, "Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema
68 John 8 10 | Wako wapi wale watu? Je, hakuna hata mmoja aliyekuhukumu?"~
69 John 8 11 | mwanamke akamjibu, "Mheshimiwa, hakuna hata mmoja!" Naye Yesu akamwambia, "
70 John 8 20 | anafundisha Hekaluni. Wala hakuna mtu aliyemtia nguvuni, kwa
71 John 10 18 | 18 Hakuna mtu anayeninyang`anya uhai
72 John 10 28 | hawatapotea milele, wala hakuna mtu atakayeweza kuwatoa
73 John 10 29 | ni mkuu kuliko wote, wale hakuna awezaye kuwatoa mikononi
74 John 13 28 | 28 Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa
75 John 14 6 | njia, na ukweli na uzima. Hakuna awezaye kwenda kwa Baba
76 John 15 13 | 13 Hakuna upendo mkuu zaidi kuliko
77 John 15 24 | nisingalifanya kwao mambo ambayo hakuna mtu mwingine amekwisha yafanya
78 John 16 5 | namwendea yule aliyenituma; na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: `
79 John 16 22 | mioyoni mwenu, na furaha hiyo hakuna mtu atakayeiondoa kwenu.~
80 John 17 12 | Mimi nimewalinda, wala hakuna hata mmoja wao aliyepotea,
81 John 21 12 | Njoni mkafungue kinywa." Hakuna hata mmoja wao aliyethubutu
82 Acts 4 32 | moyo mmoja na roho moja. Hakuna hata mmoja aliyekuwa na
83 Acts 4 34 | 34 Hakuna mtu yeyote aliyetindikiwa
84 Acts 8 33 | Alifedheheshwa na kunyimwa haki. Hakuna atakayeweza kuongea juu
85 Acts 18 10 | maana mimi niko pamoja nawe. Hakuna mtu atakayejaribu kukudhuru
86 Acts 19 36 | 36 Hakuna anayeweza kukana mambo haya.
87 Acts 20 25 | Mungu. Sasa lakini, najua hakuna hata mmoja wenu atakayeniona
88 Acts 23 8 | kwamba wafu hawafufuki, hakuna malaika, na roho nazo hazipo.
89 Acts 25 11 | adhabu hiyo. Lakini kama hakuna ukweli katika mashtaka waliyotoa
90 Acts 25 11 | mashtaka waliyotoa watu hawa, hakuna awezaye kunikabidhi kwao.
91 Acts 27 22 | ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza
92 Acts 28 21 | yoyote kutoka Yudea, wala hakuna ndugu yeyote aliyefika hapa
93 Roma 3 10 | Maandiko Matakatifu yasemavyo: "Hakuna hata mmoja aliye mwadilifu!~
94 Roma 3 11 | 11 Hakuna mtu anayeelewa, wala anayemtafuta
95 Roma 3 12 | wamepotoka wote wamekosa; hakuna atendaye mema, hakuna hata
96 Roma 3 12 | wamekosa; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.~
97 Roma 3 20 | 20 Maana hakuna binadamu yeyote anayekubaliwa
98 Roma 3 22 | hivyo kwa wote wanaoamini; hakuna ubaguzi wowote.~
99 Roma 3 27 | tunaweza kujivunia nini? Hakuna! Kwa nini? Je, kwa sababu
100 Roma 4 15 | husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna Sheria, haiwezekani kuivunja.~
101 Roma 8 1 | 1 Kwa hiyo, sasa hakuna hukumu kwa wale ambao katika
102 Roma 8 34 | Ni nani atakayewahukumu? Hakuna! Maana Kristo ndiye aliyekufa,
103 Roma 8 38 | Maana ninajua hakika kwamba hakuna kitu kiwezacho kututenganisha
104 Roma 8 39 | juu, wala wa chini kabisa. Hakuna kiumbe chochote kitakachoweza
105 Roma 10 12 | hili ni kwa wote, kwani hakuna tofauti kati ya Wayahudi
106 Roma 10 14 | watasikiaje habari zake kama hakuna mhubiri?~
107 Roma 14 7 | 7 Maana hakuna mtu yeyote miongoni mwetu
108 Roma 14 7 | ajili yake mwenyewe, wala hakuna anayekufa kwa ajili yake
109 Roma 14 14 | Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi
110 1Cor 1 15 | 15 Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa
111 1Cor 1 29 | 29 Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote
112 1Cor 2 11 | mtu huyo? Hali kadhalika, hakuna ajuaye mambo ya Mungu isipokuwa
113 1Cor 3 11 | 11 Hakuna mtu awezaye kuweka msingi
114 1Cor 6 5 | Aibu kwenu! Ndiyo kusema hakuna hata mmoja miongoni mwenu
115 1Cor 14 10 | mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana.~
116 1Cor 14 28 | 28 Lakini kama hakuna awezaye kufafanua, basi,
117 1Cor 15 12 | wanawezaje kusema kwamba hakuna ufufuo wa wafu?~
118 1Cor 15 13 | 13 Kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, Kristo
119 1Cor 15 29 | 29 Kama hakuna ufufuo, je watu wale wanaobatizwa
120 2Cor 7 10 | lenye kuleta wokovu; hivyo hakuna sababu ya kujuta. Lakini
121 2Cor 10 11 | hivyo heri akumbuke kwamba hakuna tofauti ya yale tunayoandika
122 2Cor 11 10 | ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza kunizuia kujivunia
123 Gala 1 7 | 7 Lakini hakuna "Habari Njema" nyingine.
124 Gala 3 28 | 28 Hivyo, hakuna tena tofauti kati ya Myahudi
125 Gala 5 6 | kutahiriwa au kutotahiriwa hakuna maana; cha maana ni imani
126 Gala 5 23 | upole na kuwa na kiasi. Hakuna Sheria inayoweza kupinga
127 Ephe 5 29 | 29 Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili
128 Colo 3 11 | 11 Katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya Mgiriki
129 1The 4 9 | 9 Hakuna haja ya kuwaandikieni juu
130 1The 5 1 | 1 Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu
131 1Tim 3 16 | 16 Hakuna mashaka yoyote juu ya ukuu
132 1Tim 4 4 | alichoumba Mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa,
133 1Tim 6 16 | usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata kumwona au
134 2Tim 4 16 | nilipojitetea kwa mara ya kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu;
135 Titus 1 15| watu walio safi; lakini hakuna chochote kilicho safi kwa
136 Hebr 4 13 | 13 Hakuna kiumbe chochote kilichofichika
137 Hebr 5 4 | 4 Hakuna mtu awezaye kujitwalia mwenyewe
138 Hebr 6 13 | jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu
139 Hebr 7 7 | 7 Hakuna mashaka hata kidogo kwamba
140 Hebr 7 13 | kabila lingine, na wala hakuna hata mmoja wa kabila lake
141 Hebr 8 11 | 11 Hakuna mtu atakayemfundisha mwananchi
142 Hebr 10 26 | baada ya kufahamu ukweli, hakuna dhabihu iwezayo kutolewa
143 Hebr 12 14 | ya utakatifu, kwa sababu hakuna mtu atakayemwona Bwana bila
144 James 3 8 | 8 Lakini hakuna mtu aliyeweza kuufuga ulimi.
145 2Pet 1 20 | lakini, kumbukeni kwamba hakuna mtu yeyote awezaye kufafanua
146 2Pet 1 21 | 21 Maana hakuna ujumbe wa kinabii unaotokana
147 2Pet 3 8 | kimoja! Mbele ya Bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja
148 1Joh 4 12 | 12 Hakuna mtu aliyekwisha mwona Mungu
149 3Joh 1 4 | 4 Hakuna kitu kinachonifurahisha
150 Rev 2 17 | lililoandikwa jina jipya ambalo hakuna mtu aliyelijua isipokuwa
151 Rev 3 7 | Daudi, na ambaye hufungua na hakuna mtu awezaye kufungua.~
152 Rev 3 8 | mbele yako mlango ambao hakuna mtu awezaye kuufunga; najua
153 Rev 14 3 | hai wanne na wale wazee. Hakuna mtu aliyeweza kujifunza
154 Rev 15 8 | utukufu na nguvu ya Mungu, na hakuna mtu aliyeweza kuingia Hekaluni
155 Rev 18 11 | kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa
156 Rev 18 12 | 12 hakuna tena wa kununua dhahabu
157 Rev 18 22 | hazitasikika tena ndani yako. Hakuna fundi wa namna yoyote ile
158 Rev 19 12 | Alikuwa ameandikwa jina ambalo hakuna mtu alijuaye isipokuwa tu
159 Rev 21 27 | 27 Lakini hakuna chochote kilicho najisi
|