Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 11| anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi. Mimi sistahili hata
2 Matt 5 19| atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, na kuwafundisha wengine
3 Matt 5 29| kiungo kimoja cha mwili wako, kuliko mwili wako wote kutupwa
4 Matt 5 30| kiungo kimoja cha mwili, kuliko mwili wako wote uende katika
5 Matt 6 26| Je, ninyi si wa thamani kuliko hao?~
6 Matt 10 15| huo utapata adhabu kubwa kuliko ile iliyoipata miji ya Sodoma
7 Matt 10 24| 24 "Mwanafunzi si mkuu kuliko mwalimu wake, wala mtumishi
8 Matt 10 24| wake, wala mtumishi si mkuu kuliko bwana wake.~
9 Matt 10 31| msiogope; ninyi mu wa thamani kuliko shomoro wengi. ic~
10 Matt 10 37| Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo mimi, hanistahili.
11 Matt 10 37| Ampendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.~
12 Matt 11 11| watu, hajatokea aliye mkuu kuliko Yohane mbatizaji. Hata hivyo,
13 Matt 11 11| Ufalme wa mbinguni, ni mkubwa kuliko yeye.~
14 Matt 11 22| ninyi mtapata adhabu kubwa kuliko Tiro na Sidoni.~
15 Matt 11 24| zaidi kwa watu wa Sodoma, kuliko kwako wewe."~
16 Matt 12 6 | kwamba hapa pana kikuu*fd* kuliko Hekalu.~
17 Matt 12 12| 12 Mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali
18 Matt 12 41| na kumbe hapa kuna kikuu kuliko Yona!~
19 Matt 12 42| kumbe hapa kuna kikuu*fe* kuliko Solomoni.~
20 Matt 12 45| pepo wengine saba, wabaya kuliko yeye; na wote huja wakamwingia
21 Matt 12 45| mtu huyo sasa huwa mbaya kuliko hapo mwanzo. Ndivyo itakavyokuwa
22 Matt 13 32| 32 Yenyewe ni ndogo kuliko mbegu zote, lakini ikishaota
23 Matt 13 32| lakini ikishaota huwa kubwa kuliko mimea yote. Hukua ikawa
24 Matt 18 8 | uzima bila mkono au mguu, kuliko kutupwa katika moto wa milele
25 Matt 18 9 | katika uzima ukiwa chongo, kuliko kutupwa katika moto wa Jehanamu
26 Matt 18 13| nawaambieni kweli, humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo wale tisini
27 Matt 19 24| katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika
28 Matt 21 36| watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale
29 Matt 23 15| katika moto wa Jehanamu ~kuliko ninyi wenyewe. ~
30 Matt 27 64| wa mwisho utakuwa mbaya kuliko ule wa awali."~
31 Mark 1 7 | anakuja mwenye uwezo zaidi kuliko mimi, ambaye mimi sistahili
32 Mark 4 31| haradali ambayo ni ndogo kuliko mbegu zote.~
33 Mark 4 32| huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani.
34 Mark 9 43| uzima bila mkono mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili na
35 Mark 9 45| katika uzima bila mguu mmoja, kuliko kuwa na miguu yote miwili
36 Mark 9 47| ukiwa na jicho moja tu, kuliko kuwa na macho yako yote
37 Mark 10 25| katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika Ufalme
38 Mark 12 31| amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi."~
39 Mark 12 33| Jambo hili ni muhimu zaidi kuliko dhabihu na sadaka zote za
40 Mark 12 43| mjane maskini ametoa zaidi kuliko wengine wote waliotia fedha
41 Luke 1 42| sauti kubwa, "Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa
42 Luke 3 16| anakuja mwenye uwezo zaidi kuliko mimi ambaye sistahili hata
43 Luke 7 28| hakuna aliye mkubwa zaidi kuliko Yohane Mbatizaji. Hata hivyo,
44 Luke 7 28| wa Mungu ni mkubwa zaidi kuliko yeye."~
45 Luke 9 48| Maana yule aliye mdogo kuliko wote kati yenu ndiye aliye
46 Luke 9 48| yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."~
47 Luke 10 12| utapata adhabu kubwa zaidi kuliko ile ya watu wa Sodoma.~
48 Luke 10 14| mtapata adhabu kubwa zaidi kuliko ile ya watu wa Tiro na Sidoni.~
49 Luke 11 26| wengine saba waovu zaidi kuliko yeye; wote huenda na kumwingia
50 Luke 11 26| huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko pale mwanzo."~
51 Luke 11 31| kumbe hapa pana mkuu zaidi kuliko Solomoni.~
52 Luke 11 32| na hapa pana mkuu zaidi kuliko Yona!~
53 Luke 12 7 | ninyi mna thamani zaidi kuliko shomoro wengi!~
54 Luke 12 23| Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora
55 Luke 12 23| chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi.~
56 Luke 12 24| Ninyi mna thamani zaidi kuliko ndege!~
57 Luke 13 2 | walikuwa wahalifu zaidi kuliko Wagalilaya wengine, ati
58 Luke 13 4 | walikuwa wakosefu zaidi kuliko wengine wote walioishi Yerusalemu?~
59 Luke 14 8 | amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe;~
60 Luke 15 7 | kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini
61 Luke 16 8 | busara zaidi na mambo yao kuliko watu wa mwanga."~
62 Luke 16 17| mbingu na dunia kupita, kuliko hata herufi moja ya Sheria
63 Luke 17 2 | kusagia na kutoswa baharini, kuliko kumkwaza mmoja wa wadogo
64 Luke 18 25| katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika Ufalme
65 Luke 21 3 | ametia zaidi katika hazina kuliko wote.~
66 Luke 22 24| anayefikiriwa kuwa mkuu zaidi kuliko wengine.~
67 John 1 15| baada yangu ambaye ni mkuu kuliko mimi, maana alikuwako kabla
68 John 1 30| mtu mmoja aliye mkuu zaidi kuliko mimi, maana alikuwako kabla
69 John 1 50| mtini? Utaona makubwa zaidi kuliko haya."~
70 John 3 19| lakini watu wakapenda giza kuliko mwanga, kwani matendo yao
71 John 3 31| Anayekuja kutoka juu ni mkuu kuliko wote; atokaye duniani ni
72 John 3 31| kutoka mbinguni ni mkuu kuliko wote.~
73 John 4 1 | kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane.~
74 John 4 12| labda wewe wajifanya mkuu kuliko babu yetu Yakobo? Yeye alitupa
75 John 5 21| atamwonyesha mambo makuu kuliko haya, nanyi mtastaajabu.~
76 John 5 37| yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko ule wa Yohane. Kwa maana
77 John 7 31| atafanya ishara kubwa zaidi kuliko alizozifanya huyu?"~
78 John 8 53| Je, unajifanya mkuu zaidi kuliko baba yetu Abrahamu ambaye
79 John 10 29| ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wale hakuna awezaye
80 John 11 50| mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa zima liangamizwe?"~
81 John 12 43| Walipendelea kusifiwa na watu kuliko kusifiwa na Mungu~
82 John 13 16| mtumishi si mkuu zaidi kuliko bwana wake, wala mtume si
83 John 13 16| wala mtume si mkuu zaidi kuliko yule aliyemtuma.~
84 John 14 28| Baba, maana yeye ni mkuu kuliko mimi.~
85 John 15 13| Hakuna upendo mkuu zaidi kuliko upendo wa mtu atoaye uhai
86 John 15 20| mtumishi si mkuu zaidi kuliko bwana wake. Ikiwa wamenitesa
87 John 20 4 | mwingine alikimbia mbio zaidi kuliko Petro, akatangulia kufika
88 John 21 15| Je, wanipenda mimi zaidi kuliko hawa?" Naye akajibu, "Naam,
89 Acts 4 19| mbele ya Mungu kuwatii ninyi kuliko kumtii yeye.~
90 Acts 17 11| walikuwa wasikivu zaidi kuliko wale wa Thesalonika. Waliupokea
91 Acts 20 35| mwenyewe: `Heri zaidi kutoa kuliko kupokea."`~
92 Acts 22 2 | wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. Naye Paulo akaendelea
93 Acts 26 13| mchana, niliona mwanga mkubwa kuliko wa jua ukiangaza kutoka
94 Acts 27 11| nahodha na ya mwenye meli kuliko yale aliyosema Paulo.~
95 Roma 3 1 | Myahudi ana nini zaidi kuliko watu wengine? Au kutahiriwa
96 Roma 3 9 | sisi Wayahudi ni bora zaidi kuliko wengine? Hata kidogo! Kwa
97 Roma 12 3 | msijione kuwa ni kitu zaidi kuliko mnavyopaswa kuwa. Fikira
98 Roma 13 11| wetu u karibu zaidi sasa kuliko wakati ule tulipoanza kuamini.~
99 Roma 14 5 | fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza
100 1Cor 1 25| Mungu, kina busara zaidi kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana
101 1Cor 1 25| Mungu, kina nguvu zaidi kuliko nguvu za binadamu.~
102 1Cor 7 9 | maana ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa.~
103 1Cor 9 12| sisi hatuna haki zaidi kuliko hao? Lakini, sisi hatukuitumia
104 1Cor 9 15| kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kumfanya yeyote aone kwamba
105 1Cor 10 22| Mnadhani tuna nguvu zaidi kuliko yeye?~
106 1Cor 11 17| waumini yaleta hasara zaidi kuliko faida.~
107 1Cor 12 31| nitawaonyesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.~ ~~ ~
108 1Cor 14 5 | Mungu, ni wa maana zaidi kuliko yule mwenye kusema lugha
109 1Cor 14 18| nasema kwa lugha ngeni zaidi kuliko ninyi nyote.~
110 1Cor 14 19| ili niwafundishe wengine, kuliko kusema maneno elfu ya lugha
111 1Cor 15 10| bure. Mimi nimefanya kazi kuliko wote; si mimi hasa, ila
112 1Cor 15 19| watu wa kusikitikiwa zaidi kuliko wengine wote duniani.~
113 2Cor 5 12| wanaojivunia hali yao ya nje zaidi kuliko jinsi walivyo moyoni.~
114 2Cor 11 5 | Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao "mitume wakuu."~
115 2Cor 11 23| mtumishi wa Kristo zaidi kuliko wao. Mimi nimefanya kazi
116 2Cor 12 11| vyovyote, mimi si mdogo zaidi kuliko hao "mitume wakuu."~
117 2Cor 12 13| mlipungukiwa nini zaidi kuliko makanisa mengine, isipokuwa
118 Gala 4 27| aliyeachwa ni wengi zaidi kuliko wa yule aliye na mume."~
119 Ephe 3 8 | 8 Mimi ni mdogo kuliko watu wote wa Mungu; lakini
120 1Tim 1 15| dhambi. Nami ni mkosefu zaidi kuliko hao wote,~
121 1Tim 5 8 | imani, na ni mbaya zaidi kuliko mtu asiyeamini.~
122 1Tim 5 11| zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa Kristo
123 2Tim 3 4 | kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu.~
124 Hebr 1 4 | 4 Mwana ni mkuu zaidi kuliko malaika, kama vile jina
125 Hebr 1 4 | alilopewa na Mungu ni kuu zaidi kuliko jina lao.~
126 Hebr 1 9 | kukumiminia furaha kubwa zaidi kuliko wenzako."~
127 Hebr 2 7 | kidogo kuwa chini zaidi kuliko malaika; ukamvika taji ya
128 Hebr 2 9 | kidogo kuwa chini zaidi kuliko malaika, ili kwa neema ya
129 Hebr 3 3 | nyumba hupata heshima zaidi kuliko hiyo nyumba yenyewe. Hali
130 Hebr 3 3 | anastahili heshima kubwa zaidi kuliko Mose.~
131 Hebr 4 12| lina nguvu; ni kali zaidi kuliko upanga wenye makali kuwili.
132 Hebr 6 13| maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza
133 Hebr 6 16| kwa mmoja aliye mkuu zaidi kuliko wao, na kiapo hicho husuluhisha
134 Hebr 7 7 | anayebariki ni mkuu zaidi kuliko yule anayebarikiwa.~
135 Hebr 8 6 | kikuhani iliyo bora zaidi kuliko yao, kama vile agano alilothibitisha
136 Hebr 11 4 | dhabihu iliyokuwa bora zaidi kuliko ile ya Kaini. Kwa imani
137 Hebr 11 25| pamoja na watu wa Mungu kuliko kufurahia raha ya dhambi
138 Hebr 11 26| Masiha kuna faida kubwa zaidi kuliko utajiri wote wa nchi ya
139 Hebr 12 24| inasema mambo mema zaidi kuliko ile ya Abeli.~
140 James 3 1| tutapata hukumu kubwa zaidi kuliko wengine.~
141 1Pet 1 7 | ambayo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu, ni lazima ijaribiwe
142 1Pet 3 17| mema, kama Mungu akipenda, kuliko kuteseka kwa sababu ya kutenda
143 2Pet 2 11| wana uwezo na nguvu zaidi kuliko hao walimu wa uongo, hawawashtaki
144 2Pet 2 20| yao itakuwa mbaya zaidi kuliko awali.~
145 2Pet 2 21| kamwe njia hiyo ya uadilifu kuliko kujua na kisha kuiacha na
146 1Joh 3 20| kwamba Mungu ni mkuu zaidi kuliko dhamiri, na kwamba yeye
147 1Joh 4 4 | ndani yenu ana nguvu zaidi kuliko roho aliye ndani ya hao
148 3Joh 1 4 | kinachonifurahisha zaidi kuliko kusikia kwamba watoto wangu
149 Rev 2 19 | unafanya vizuri zaidi sasa kuliko pale awali.~
|