Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
wenu 166
wenye 167
wenyeji 13
wenyewe 140
wenzake 25
wenzako 1
wenzangu 16
Frequency    [«  »]
144 yerusalemu
142 maandiko
140 27
140 wenyewe
138 ila
136 pepo
135 kumi

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

wenyewe

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 15 3 | mnapendelea mapokeo yenu wenyewe na hamuijali Sheria ya Mungu?~ 2 Matt 15 6 | kufuata mafundisho yenu wenyewe.~ 3 Matt 15 14 | 14 Waacheni wenyewe! Wao ni vipofu, viongozi 4 Matt 23 4 | watu mabegani, lakini wao wenyewe hawataki kunyosha hata kidole 5 Matt 23 13 | ya macho ya watu. Ninyi wenyewe ~hamwingii ndani, wala hamwaruhusu 6 Matt 23 15 | wa Jehanamu ~kuliko ninyi wenyewe. ~ 7 Matt 23 31 | Hivyo mnathibitisha ninyi wenyewe kwamba ninyi ni watoto wa 8 Matt 24 6 | budi kutokea, lakini mwisho wenyewe ungali bado.~ 9 Matt 25 9 | mwende dukani mkajinunulie wenyewe!`~ 10 Matt 27 24 | cha mtu huyu; shauri lenu wenyewe."~ 11 Mark 4 28 | 28 Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na 12 Mark 13 7 | lazima yatokee, lakini mwisho wenyewe ungali bado.~ 13 Luke 5 2 | ukingoni mwa ziwa; wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha 14 Luke 8 3 | wakiwatumikia kwa mali yao wenyewe.~ 15 Luke 9 13 | samaki wawili. Labda twende wenyewe tukawanunulie chakula watu 16 Luke 11 17 | Ufalme wowote uliofarakana wenyewe, hauwezi kudumu; kadhalika, 17 Luke 11 46 | isiyochukulika, huku ninyi wenyewe hamnyoshi hata kidole kuwasaidia.~ 18 Luke 11 52 | wa mlango wa elimu; ninyi wenyewe hamkuingia na mmewazuia 19 Luke 12 57 | nini hamwezi kujiamulia wenyewe jambo jema la kufanya?~ 20 Luke 13 28 | Ufalme wa Mungu, lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje!~ 21 Luke 16 12 | atakayewakabidhi mali yenu wenyewe?~ 22 Luke 19 33 | wanamfungua yule mwana punda, wenyewe wakawauliza, "Kwa nini mnamfungua 23 Luke 22 71 | ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo 24 Luke 23 28 | ila lieni kwa ajili yenu wenyewe na kwa ajili ya watoto wenu.~ 25 John 3 28 | 28 Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa 26 John 4 42 | sababu ya maneno yako; sisi wenyewe tumesikia, na tunajua kwamba 27 John 5 45 | sifa kutoka kwenu ninyi wenyewe, wala hamtafuti sifa kutoka 28 John 18 31 | Haya, mchukueni ninyi wenyewe, mkamhukumu kufuatana na 29 John 19 6 | Mchukueni basi, ninyi wenyewe mkamsulubishe, kwa maana 30 John 21 25 | nadhani hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu 31 Acts 2 11 | wakisema kwa lugha zetu wenyewe mambo makuu ya Mungu."~ 32 Acts 3 12 | zetu au utakatifu wetu sisi wenyewe tumemfanya mtu huyu aweze 33 Acts 3 22 | mimi kutoka kati yenu ninyi wenyewe.~ 34 Acts 4 19 | wakawajibu, "Amueni ninyi wenyewe kama ni haki mbele ya Mungu 35 Acts 7 37 | katika ndugu zenu ninyi wenyewe.`~ 36 Acts 7 41 | ambacho ni kazi ya mikono yao wenyewe.~ 37 Acts 10 28 | Petro akawaambia, "Ninyi wenyewe mnajua kwamba Myahudi yeyote 38 Acts 10 47 | Roho Mtakatifu kama sisi wenyewe tulivyompokea. Je, kuna 39 Acts 12 10 | Huo mlango ukawafungukia wenyewe, nao wakatoka nje. Wakawa 40 Acts 15 27 | hawa watawaambieni wao wenyewe haya tuliyoandika.~ 41 Acts 16 37 | Hata kidogo! Ni lazima wao wenyewe waje hapa watufungulie."~ 42 Acts 18 6 | Mkipotea ni shauri lenu wenyewe; mimi sina lawama yoyote 43 Acts 18 15 | Sheria yenu, amueni ninyi wenyewe. Mimi sitaki kuwa hakimu 44 Acts 19 26 | mnaweza kusikia na kujionea wenyewe mambo Paulo anayofanya, 45 Acts 20 28 | 28 Jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo 46 Acts 20 34 | 34 Mnajua ninyi wenyewe kwamba nimefanya kazi kwa 47 Acts 22 3 | wote kwa Mungu kama ninyi wenyewe mlivyo hivi leo.~ 48 Acts 27 19 | vya meli kwa mikono yao wenyewe.~ 49 Roma 1 27 | aibu, na hivyo wanajiletea wenyewe adhabu wanayostahili kwa 50 Roma 1 32 | wanafanya mambo hayo wao wenyewe, bali hata huwapongeza wale 51 Roma 2 14 | wakiongozwa na dhamiri zao, wao wenyewe wanakuwa kipimo cha Sheria 52 Roma 6 13 | Badala yake, jitoleeni ninyi wenyewe kwa Mungu kama watu waliofufuliwa 53 Roma 6 16 | kwamba mkijitolea ninyi wenyewe kama watumwa na kumtii fulani, 54 Roma 6 19 | kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe.) Kama vile wakati fulani 55 Roma 6 19 | fulani mlivyojitolea ninyi wenyewe kutumikia uchafu na uhalifu 56 Roma 6 19 | sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe kutumikia uadilifu kwa ajili 57 Roma 10 3 | wamejaribu kuanzisha mtindo wao wenyewe, na hivyo hawakuikubali 58 Roma 13 2 | hivyo wanajiletea hukumu wenyewe,~ 59 Roma 15 1 | yao. Tusijipendelee sisi wenyewe tu.~ 60 Roma 15 27 | 27 Wao wenyewe wameamua kufanya hivyo; 61 Roma 16 18 | wanayatumikia matumbo yao wenyewe. Kwa maneno yao matamu na 62 1Cor 1 21 | Mungu kwa njia ya hekima yao wenyewe. Badala yake, Mungu amependa 63 1Cor 3 17 | na hekalu hilo ni ninyi wenyewe.~ 64 1Cor 4 12 | kufanya kazi kwa mikono yetu wenyewe. Tukitukanwa, tunawatakia 65 1Cor 5 12 | katika jamii yenu ninyi wenyewe?~ 66 1Cor 6 7 | kweli huko kushtakiana tu wenyewe kwa wenyewe kwabainisha 67 1Cor 6 7 | kushtakiana tu wenyewe kwa wenyewe kwabainisha kwamba mmeshindwa 68 1Cor 6 19 | Ninyi basi, si mali yenu wenyewe.~ 69 1Cor 10 15 | wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo.~ 70 1Cor 10 18 | Chukueni, kwa mfano, Wayahudi wenyewe: kwao, wenye kula vilivyotambikiwa 71 1Cor 11 13 | 13 Amueni wenyewe: Je, inafaa mwanamke kumwomba 72 1Cor 11 31 | 31 Kama tungejichunguza wenyewe vizuri hatungeadhibiwa hivyo.~ 73 2Cor 1 9 | kutegemea nguvu zetu sisi wenyewe.~ 74 2Cor 3 2 | 2 Ninyi wenyewe ni barua yetu; barua iliyoandikwa 75 2Cor 3 5 | chochote kwa nguvu zetu wenyewe, ila uwezo wetu wote hutoka 76 2Cor 4 5 | Maana hatujitangazi sisi wenyewe, ila tunamhubiri Yesu Kristo 77 2Cor 4 5 | Kristo aliye Bwana, sisi wenyewe tukiwa watumishi wenu kwa 78 2Cor 4 7 | Mungu wala si kwetu sisi wenyewe.~ 79 2Cor 5 15 | wanaoishi wasiishi kwa ajili yao wenyewe, bali kwa ajili yake yeye 80 2Cor 6 12 | kizuizi hicho kiko kwenu ninyi wenyewe, na si kwa upande wetu.~ 81 2Cor 8 3 | hata zaidi. Kwa hiari yao wenyewe,~ 82 2Cor 8 5 | Kwanza walijitolea wao wenyewe kwa Bwana, kisha wakajitolea 83 2Cor 8 5 | Bwana, kisha wakajitolea wenyewe kwetu pia, kufuatana na 84 2Cor 9 4 | kutaja aibu mtakayopata ninyi wenyewe - kwa sababu tutakuwa tumewatumainia 85 2Cor 10 12 | na wale watu wanaojisifia wenyewe. Watu wenye kujifanya wao 86 2Cor 10 12 | na watu wanaojilinganisha wenyewe kwa wenyewe, ni wapumbavu.~ 87 2Cor 10 12 | wanaojilinganisha wenyewe kwa wenyewe, ni wapumbavu.~ 88 2Cor 12 14 | mali zenu, bali ni ninyi wenyewe. Ni kawaida ya wazazi kuwawekea 89 2Cor 12 19 | sasa tumekuwa tukijitetea wenyewe mbele yenu! Lakini, tunasema 90 2Cor 13 3 | 3 Mtajionea wenyewe kwamba Kristo anasema ndani 91 2Cor 13 5 | 5 Jichunguzeni ninyi wenyewe mpate kujua kama kweli mnayo 92 2Cor 13 5 | imani. Jichunguzeni ninyi wenyewe. Je, hamjui kwamba Kristo 93 Gala 3 3 | kumaliza kwa nguvu zenu wenyewe?~ 94 Gala 5 12 | wanaowavurugeni wangejikatakata wenyewe!~ 95 Gala 5 15 | jihadharini msije mkaangamizana wenyewe kwa wenyewe!~ 96 Gala 5 15 | mkaangamizana wenyewe kwa wenyewe!~ 97 Gala 5 17 | kufanya yale mnayotaka ninyi wenyewe.~ 98 Gala 6 1 | na tahadhari msije nanyi wenyewe mkajaribiwa.~ 99 Gala 6 12 | sababu moja tu: kusudi wao wenyewe wasije wakadhulumiwa kwa 100 Gala 6 13 | 13 Maana, hao wenyewe waliotahiriwa hawaishiki 101 Ephe 2 9 | halitokani na matendo yenu wenyewe, asije mtu akajivunia kitu.~ 102 Ephe 5 28 | wake zao kama miili yao wenyewe. ((~ 103 Colo 1 25 | alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu 104 Colo 2 17 | yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.~ 105 Colo 2 23 | namna ya ibada ya kujitakia wenyewe, unyenyekevu wa uongo na 106 1The 2 1 | 1 Ndugu, ninyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu 107 1The 2 19 | itakuwa nini? Itakuwa ni ninyi wenyewe; ninyi ndio tumaini letu 108 1The 4 9 | ndugu zenu waumini. Ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu namna 109 1The 5 2 | 2 Maana ninyi wenyewe mwajua kwamba Siku ya Bwana 110 2The 3 7 | 7 Ninyi wenyewe mnajua kwamba mnapaswa kufuata 111 2The 3 12 | ili wajipatie maslahi yao wenyewe.~ 112 1Tim 1 7 | lakini hawaelewi maneno yao wenyewe au mambo wanayosisitiza.~ 113 1Tim 5 4 | wa kidini kwa jamaa zao wenyewe na hivyo kuwalipa wazazi 114 2Tim 1 9 | kwa sababu ya matendo yetu wenyewe bali kwa sababu ya kusudi 115 2Tim 3 13 | wengine na kudanganyika wao wenyewe.~ 116 2Tim 4 3 | ila watafuata tamaa zao wenyewe na kujikusanyia walimu tele 117 Hebr 9 7 | watu wamezitenda bila wao wenyewe kujua.~ 118 Hebr 11 14 | kwamba wanaitafuta nchi yao wenyewe.~ 119 Hebr 12 10 | walituadhibu kwa muda, kama wao wenyewe walivyoona kuwa vema; lakini 120 Hebr 12 10 | kwa ajili ya faida yetu wenyewe, tupate kuushiriki utakatifu 121 James 1 22| 22 Msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, 122 1Pet 1 12 | yao haikuwa kwa faida yao wenyewe, bali kwa ajili yenu. Hayo 123 2Pet 1 16 | utukufu wake kwa macho yetu wenyewe.~ 124 2Pet 1 18 | 18 Tena, sisi wenyewe tulisikia sauti hiyo kutoka 125 2Pet 2 1 | watasababisha ghafla maangamizi yao wenyewe.~ 126 2Pet 2 12 | kutokana na uharibifu wao wenyewe,~ 127 2Pet 2 19 | watakuwa huru, kumbe wao wenyewe ni watumwa wa upotovu - 128 2Pet 3 16 | wanasababisha maangamizi yao wenyewe.~ 129 1Joh 1 1 | na kuliona kwa macho yetu wenyewe; tulilitazama na kulishika 130 1Joh 1 1 | kulishika kwa mikono yetu wenyewe.~ 131 1Joh 1 8 | hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe na ukweli haumo ndani yetu.~ 132 1Joh 5 11 | 11 Na, ushahidi wenyewe ndio huu: Mungu alitupatia 133 2Joh 1 8 | Basi, jihadharini ninyi wenyewe ili msije mkapoteza kile 134 3Joh 1 12 | anamsifu Demetrio; naam, ukweli wenyewe unamsifu. Nasi pia tunatoa 135 Jude 1 8 | katika kuichafua miili yao wenyewe, kuyadharau mamlaka ya Mungu 136 Jude 1 12 | Bwana. Hujipendelea wao wenyewe tu, na wako kama mawingu 137 Rev 6 11 | ambao watawaua kama wao wenyewe walivyouawa.~ 138 Rev 9 20 | wametengeneza kwa mikono yao wenyewe; bali wakaendelea kuabudu 139 Rev 21 16 | 16 Mji wenyewe ulikuwa wa mraba, upana 140 Rev 21 18 | mekundu ya thamani, na mji wenyewe ulikuwa umejengwa kwa dhahabu


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License