Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
ikusanyeni 1
ikuwezeshe 1
il 2
ila 138
ilani 3
ile 200
ileile 18
Frequency    [«  »]
142 maandiko
140 27
140 wenyewe
138 ila
136 pepo
135 kumi
135 mtakatifu

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

ila

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 4 | hataishi kwa mikate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu."`~ 2 Matt 5 13| nini? Haifai kitu tena, ila hutupwa nje na kukanyagwa 3 Matt 5 15| na kuifunika kwa chungu, ila huiweka juu ya kinara ili 4 Matt 6 18| asijue kwamba unafunga, ila ujulikane tu kwa Baba yako 5 Matt 7 21| katika Ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza mapenzi 6 Matt 8 4 | usimwambie mtu yeyote, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani, 7 Matt 9 12| Sikuja kuwaita watu wema, ila wenye dhambi.~ 8 Matt 9 17| navyo viriba vikaharibika. Ila divai mpya hutiwa katika 9 Matt 10 6 | 6 Ila nendeni kwa watu wa Israeli 10 Matt 11 27| vyote. Hakuna amjuaye Mwana ila Baba, wala amjuaye Baba 11 Matt 11 27| Baba, wala amjuaye Baba ila Mwana, na yeyote yule ambaye 12 Matt 12 39| hamtapewa ishara nyingine, ila tu ile ishara ya nabii Yona.~ 13 Matt 15 24| Yesu akajibu, "Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea 14 Matt 16 17| aliyekufunulia ukweli huu, ila Baba yangu aliye mbinguni.~ 15 Matt 17 8 | macho yao hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake.~ 16 Matt 17 20| hakingewezekana kwenu."*fg* kuondolewa ila kwa sala na kufunga."~ 17 Matt 20 26| Lakini kwenu isiwe hivyo, ila yeyote anayetaka kuwa mkuu 18 Matt 21 19| aliukuta hauma chochote ila majani matupu. Basi akauambia, " 19 Matt 24 14| 14 Ila, kabla ya mwisho kufika, 20 Matt 24 36| wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake ndiye ajuaye.~ 21 Matt 26 39| lakini isiwe nitakavyo mimi, ila utakavyo wewe."~ 22 Mark 1 44| Usimwambie mtu yeyote jambo hili, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani; 23 Mark 2 17| Sikuja kuwaita watu wema, ila wenye dhambi."~ 24 Mark 5 37| mtu yeyote kufuatana naye ila Petro, Yakobo na Yohane 25 Mark 6 5 | Hakuweza kutenda miujiza hapo, ila aliwawekea mikono wagonjwa 26 Mark 7 19| maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa 27 Mark 8 33| Fikira zako si za kimungu ila ni za kibinadamu!"~ 28 Mark 9 8 | hawakumwona mtu mwingine, ila Yesu peke yake pamoja nao.~ 29 Mark 10 18| mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake.~ 30 Mark 10 43| Lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka kuwa mkuu kati 31 Mark 10 45| wa Mtu hakuja kutumikiwa, ila alikuja kutumikia, na kutoa 32 Mark 11 13| aliukuta bila tunda lolote ila majani matupu, kwa vile 33 Mark 11 23| kuona shaka moyoni mwake, ila akaamini kwamba mambo yote 34 Mark 12 32| tu wala hakuna mwingine ila yeye.~ 35 Luke 4 26| hakutumwa kwa mjane yeyote ila kwa mwanamke mjane wa Sarepta, 36 Luke 4 27| hakuna yeyote aliyetakaswa ila tu Naamani, mwenyeji wa 37 Luke 5 21| awezaye kusamehe dhambi ila Mungu peke yake!"~ 38 Luke 6 35| 35 Ila nyinyi wapendeni adui zenu, 39 Luke 8 10| lakini hao wengine sivyo; ila hao huambiwa kwa mifano, 40 Luke 9 13| Wakamjibu, "Hatuna chochote ila mikate mitano na samaki 41 Luke 10 22| Hakuna amjuaye Mwana ni nani ila Baba, wala amjuaye Baba 42 Luke 10 22| wala amjuaye Baba ni nani ila Mwana, na yeyote yule ambaye 43 Luke 15 16| waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu.~ 44 Luke 16 30| akasema: `Sivyo baba Abrahamu, ila kama mtu atafufuka kutoka 45 Luke 17 18| aliyerudi kumtukuza Mungu ila tu huyu mgeni?"~ 46 Luke 18 13| kuinua macho yake mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, 47 Luke 18 19| mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake.~ 48 Luke 20 19| walitaka kumkamata palepale, ila tu waliogopa watu.~ 49 Luke 23 28| Yerusalemu! Msinililie mimi, ila lieni kwa ajili yenu wenyewe 50 Luke 24 24| waliyosema hao wanawake; ila yeye hawakumwona."~ 51 John 1 8 | Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu 52 John 4 2 | kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.)~ 53 John 6 7 | haiwatoshi watu hawa hata kama ila mmoja atapata kipande kidogo 54 John 6 22| pamoja na wanafunzi wake, ila wanafunzi hao walikuwa wamekwenda 55 John 6 38| ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule 56 John 6 39| mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.~ 57 John 7 28| mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye aliyenituma mimi ni 58 John 8 28| chochote mimi mwenyewe, ila nasema tu yale Baba aliyonifundisha.~ 59 John 8 42| mamlaka yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.~ 60 John 9 3 | wala dhambi za wazazi wake; ila alizaliwa kipofu ili nguvu 61 John 9 9 | Wengine wakasema, "La! Ila anafanana naye." Lakini 62 John 9 31| hawasikilizi watu wenye dhambi, ila humsikiliza yeyote mwenye 63 John 10 33| kwa ajili ya tendo jema, ila kwa sababu ya kukufuru! 64 John 11 4 | Ugonjwa huo hautaleta kifo, ila ni kwa ajili ya kumtukuza 65 John 11 30| alikuwa hajaingia kijijini, ila alikuwa bado mahali palepale 66 John 12 9 | kwa ajili ya kumwona Yesu, ila pia wapate kumwona Lazaro 67 John 12 30| haikutokea kwa ajili yangu mimi, ila kwa ajili yenu.~ 68 John 12 44| aliyeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule aliyenituma.~ 69 John 12 49| mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba aliyenituma ndiye aliyeniamuru 70 John 14 6 | awezaye kwenda kwa Baba ila kwa kupitia kwangu.~ 71 John 15 19| vile ninyi si wa ulimwengu, ila mimi nimewachagueni kutoka 72 John 16 12| bado mengi ya kuwaambieni, ila kwa sasa hamwezi kuyastahimili.~ 73 John 17 9 | hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea hao ulionipa, 74 John 18 40| wakapiga kelele: "La! Si huyu ila Baraba!" Naye Baraba alikuwa 75 John 19 21| Usiandike: `Mfalme wa Wayahudi`, ila `Yeye alisema, Mimi ni Mfalme 76 John 19 24| wakashauriana: "Tusiipasue, ila tuipigie kura itakuwa ya 77 John 20 27| mwangu. Usiwe na mashaka, ila amini!"~ 78 John 21 8 | hawakuwa mbali na nchi kavu, ila walikuwa yapata mita mia 79 John 21 23| kwamba mwanafunzi huyo hafi, ila, "Kama nataka abaki mpaka 80 Acts 2 34| hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: `Bwana alimwambia 81 Acts 4 32| kuwa mali yake binafsi, ila waligawana vyote walivyokuwa 82 Acts 10 41| 41 si kwa watu wote ila kwa wale Mungu aliokwisha 83 Acts 15 11| 11 Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama 84 Acts 19 26| anayofanya, si tu hapa Efeso, ila pia kote katika Asia. Yeye 85 Acts 21 13| kutiwa ndani kule Yerusalemu, ila hata kufa kwa ajili ya Bwana 86 Acts 25 17| walipofika hapa sikukawia, ila nilifanya kikao mahakamani 87 Acts 25 19| 19 Ila tu walikuwa na mabishano 88 Acts 26 20| 20 Ila nilianza kuhubiri kwanza 89 Acts 27 39| hawakuweza kuitambua nchi ile, ila waliona ghuba moja yenye 90 Roma 5 11| 11 Wala si hayo tu, ila tunafurahi pia katika Mungu 91 Roma 8 20| kabisa, si kwa hiari yao, ila vilifanywa hivyo kwa mapenzi 92 Roma 9 7 | ni watoto wake wa kweli. Ila, kama yasemavyo Maandiko 93 Roma 9 10| 10 Tena si hayo tu ila pia Rebeka naye alipata 94 Roma 11 20| yako. Lakini usijivune; ila uwe na tahadhari.~ 95 Roma 13 3 | hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka 96 Roma 15 3 | hakujipendelea mwenyewe; ila alikuwa kama yasemavyo Maandiko: " 97 1Cor 7 10| ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane 98 1Cor 10 13| mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye 99 1Cor 10 24| asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake.~ 100 1Cor 10 33| kutafuta faida yangu mwenyewe ila faida ya wote, wapate kuokolewa.~~ ~ 101 1Cor 11 8 | Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume.~ 102 1Cor 11 9 | hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, ila mwanamke aliumbwa kwa ajili 103 1Cor 14 33| Mungu si Mungu wa fujo, ila wa amani.~ 104 1Cor 14 34| waumini. Hawana ruhusa kusema; ila wawe watii kama isemavyo 105 1Cor 15 10| kuliko wote; si mimi hasa, ila ni neema ya Mungu ifanyayo 106 1Cor 15 46| si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida kisha 107 1Cor 15 51| siri: sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa~ 108 1Cor 16 11| hiyo mtu yeyote asimdharau, ila msaidieni aendelee na safari 109 1Cor 16 12| hapendelei kabisa kuja sasa ila atakuja mara itakapowezekana.~ 110 2Cor 2 5 | hakunihuzunisha mimi - ila amewahuzunisha ninyi nyote, 111 2Cor 3 5 | kwa nguvu zetu wenyewe, ila uwezo wetu wote hutoka kwa 112 2Cor 4 5 | hatujitangazi sisi wenyewe, ila tunamhubiri Yesu Kristo 113 2Cor 5 4 | kuuvua mwili huu wa kufa, ila tuna hamu ya kuvalishwa 114 2Cor 5 12| tena kujipendekeza kwenu, ila tunataka kuwapa ninyi sababu 115 2Cor 7 9 | kwa sababu mmehuzunika, ila kwa kuwa huzuni yenu imewafanya 116 2Cor 7 13| kwamba tulifarijika tu, ila pia Tito alitufurahisha 117 2Cor 8 13| wapunguziwe mzigo wao; sivyo, ila ni lazima tujali usawa na 118 2Cor 8 17| kwamba alikubali ombi letu, ila pia alikuwa na hamu kubwa 119 2Cor 10 4 | vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu za Mungu zenye 120 2Cor 10 15| zaidi ya kipimo tulichopewa; ila tunatumaini kwamba imani 121 Gala 3 12| Sheria haitegemei imani, ila Maandiko yasema: "Mwenye 122 Gala 5 13| kutawaliwa na tamaa za kidunia; ila mnapaswa kutumikiana kwa 123 Ephe 4 15| 15 Ila, sisi tukisema ukweli kwa 124 Ephe 6 4 | msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na 125 Colo 3 22| mnataka kujipendekeza kwao; ila fanyeni hivyo kwa moyo wote, 126 1The 5 15| mwingine maovu kwa maovu, ila nia yenu iwe kutendeana 127 2The 2 12| wote wasioamini ukweli, ila wafurahia dhambi, watahukumiwa.~ 128 2The 3 9 | haki ya kutaka msaada wenu, ila kwa sababu tunataka kuwapeni 129 2Tim 1 17| 17 ila mara tu alipofika Roma, 130 2Tim 2 14| maneno. Ubishi huo haufai, ila huleta tu uharibifu mkuu 131 2Tim 4 3 | hawatasikiliza mafundisho ya kweli, ila watafuata tamaa zao wenyewe 132 2Tim 4 8 | ile na wala si mimi tu, ila na wale wote wanaotazamia 133 Phil 1 16| sasa yeye si mtumwa tu, ila ni bora zaidi ya mtumwa: 134 Hebr 4 15| mkono katika unyonge wetu, ila ni Kuhani Mkuu ambaye alijaribiwa 135 Hebr 10 39| wanaorudi nyuma na kupotea, ila sisi tunaamini na tunaokolewa.~ ~ ~~ ~ 136 1Pet 4 13| 13 Ila furahini kwamba mnashiriki 137 Jude 1 9 | kumhukumu Ibilisi kwa matusi; ila alisema: "Bwana mwenyewe 138 Rev 9 5 | hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License