Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
uende 11
ueneavyo 1
ufaao 8
ufalme 132
ufanyalo 1
ufanyavyo 1
ufanye 1
Frequency    [«  »]
133 chini
132 28
132 chochote
132 ufalme
128 nje
127 kwake
127 nawaambieni

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

ufalme

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 2 | 2 "Tubuni, maana Ufalme wa mbinguni umekaribia."~ 2 Matt 4 17| akisema, "Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia!"~ 3 Matt 4 23| kuhubiri Habari Njema juu ya ufalme wa Mungu. Aliponya kila 4 Matt 5 3 | walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.~ 5 Matt 5 10| kufanya atakavyo Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao.~ 6 Matt 5 19| atakuwa mdogo kabisa katika Ufalme wa mbiguni. Lakini yule 7 Matt 5 19| huyo atakuwa mkubwa katika Ufalme wa mbinguni.~ 8 Matt 5 20| hamtaingia kamwe katika Ufalme wa mbinguni.~ 9 Matt 6 10| 10 Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike 10 Matt 6 33| Bali, zingatieni kwanza Ufalme wa Mungu na matakwa yake, 11 Matt 7 21| Bwana,` ataingia katika Ufalme wa mbinguni; ila ni yule 12 Matt 8 11| Isaka na Yakobo katika Ufalme wa mbinguni.~ 13 Matt 8 12| wangalipaswa kuwa katika Ufalme huo watatupwa nje, gizani, 14 Matt 9 35| akihubiri Habari Njema ya Ufalme wa Mungu, na kuponya magonjwa 15 Matt 10 7 | Mnapokwenda hubirini hivi: `Ufalme wa mbinguni umekaribia.`~ 16 Matt 11 11| aliye mdogo kabisa katika Ufalme wa mbinguni, ni mkubwa kuliko 17 Matt 11 12| mbatizaji mpaka leo hii, Ufalme wa mbinguni unashambuliwa 18 Matt 12 25| mawazo yao, akawaambia, "Ufalme wowote uliogawanyika makundimakundi 19 Matt 12 26| anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?~ 20 Matt 12 28| Mungu, basi jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekwisha fika 21 Matt 13 11| mmejaliwa kuzijua siri za Ufalme wa mbinguni, lakini wao 22 Matt 13 19| Yeyote asikiaye ujumbe wa ufalme bila kuuelewa, ni kama zile 23 Matt 13 24| akawaambia watu mfano mwingine: "Ufalme wa mbinguni unafanana na 24 Matt 13 31| akawaambia watu mfano mwingine: "Ufalme wa mbinguni unafanana na 25 Matt 13 33| akawaambia mfano mwingine: "Ufalme wa mbinguni umefanana na 26 Matt 13 38| nzuri ni watu wale ambao Ufalme ni wao. Lakini yale magugu 27 Matt 13 41| wawakusanye kutoka katika Ufalme wake wale wote wenye kusababisha 28 Matt 13 43| watang`ara kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Sikieni basi, 29 Matt 13 44| 44 "Ufalme wa mbinguni umefanana na 30 Matt 13 45| 45 "Tena, Ufalme wa mbinguni umefanana na 31 Matt 13 47| 47 "Tena, Ufalme wa mbinguni unafanana na 32 Matt 13 52| Sheria aliye mwanafunzi wa Ufalme wa mbinguni anafanana na 33 Matt 16 19| 19 Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga 34 Matt 16 28| Mwana wa Mtu akija katika Ufalme wake."~ ~~ ~ 35 Matt 18 1 | Ni nani aliye mkuu katika Ufalme wa mbinguni?"~ 36 Matt 18 3 | hamtaingia kamwe katika Ufalme wa mbinguni.~ 37 Matt 18 4 | ndiye aliye mkubwa katika Ufalme wa mbinguni.~ 38 Matt 18 23| 23 Ndiyo maana Ufalme wa mbinguni umefanana na 39 Matt 19 12| wameamua kutooa kwa ajili ya Ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea 40 Matt 19 14| kwangu, wala msiwazuie; maana Ufalme wa mbinguni ni wa watu walio 41 Matt 19 23| kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni.~ 42 Matt 19 24| kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni."~ 43 Matt 20 1 | 1 "Ufalme wa mbinguni unafanana na 44 Matt 20 21| akamwambia, "Ahidi kwamba katika Ufalme wako, hawa wanangu wawili 45 Matt 21 31| waasherati wataingia katika Ufalme wa Mungu kabla yenu.~ 46 Matt 21 43| 43 "Kwa hiyo nawaambieni, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu 47 Matt 22 2 | 2 "Ufalme wa mbinguni umefanana na 48 Matt 23 13| wanafiki! Mnaufunga ~mlango wa Ufalme wa mbinguni mbele ya macho 49 Matt 24 7 | litapigana na taifa lingine; ufalme mmoja utapigana na ufalme 50 Matt 24 7 | ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine. Hapa na pale patakuwa 51 Matt 24 14| kufika, hii Habari Njema ya Ufalme wa Mungu itahubiriwa ulimwenguni 52 Matt 25 1 | 1 "Wakati huo, Ufalme wa mbinguni utafanana na 53 Matt 25 34| mliobarikiwa na Baba yangu; pokeeni Ufalme mliotayarishiwa tangu kuumbwa 54 Matt 26 29| mpya pamoja nanyi katika Ufalme wa Baba yangu."~ 55 Mark 1 15| 15 "Wakati umetimia, na Ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni 56 Mark 4 26| Yesu akaendelea kusema, "Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. 57 Mark 6 23| nitakupa: hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu."~ 58 Mark 9 1 | hawatakufa kabla ya kuuona Ufalme wa Mungu ukija kwa enzi."~ 59 Mark 10 14| wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni kwa ajili ya 60 Mark 10 15| mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo 61 Mark 10 15| mtoto mdogo hataingia katika Ufalme huo."~ 62 Mark 10 23| matajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu!"~ 63 Mark 10 24| vigumu sana kuingia katika Ufalme wa Mungu!~ 64 Mark 10 25| kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu."~ 65 Mark 10 37| kushoto katika utukufu wa Ufalme wako."~ 66 Mark 11 10| 10 Ubarikiwe Ufalme ujao wa baba yetu Daudi. 67 Mark 12 34| akamwambia, "Wewe huko mbali na Ufalme wa Mungu." Baada ya hayo, 68 Mark 14 25| nitakapoinywa upya katika Ufalme wa Mungu."~ 69 Mark 15 43| alikuwa anatazamia kuja kwa Ufalme wa Mungu. Basi, alimwendea 70 Luke 1 33| ukoo wa Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho."~ 71 Luke 4 43| kuhubiri Habari Njema za Ufalme wa Mungu katika miji mingine 72 Luke 6 20| ninyi mlio maskini, maana Ufalme wa Mungu ni wenu.~ 73 Luke 7 28| aliye mdogo kabisa katika ufalme wa Mungu ni mkubwa zaidi 74 Luke 8 1 | akitangaza Habari Njema za Ufalme wa Mungu. Wale kumi na wawili 75 Luke 8 10| mmejaliwa kujua siri za Ufalme wa Mungu, lakini hao wengine 76 Luke 9 2 | akawatuma waende kuhubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.~ 77 Luke 9 11| akawakaribisha akawazungumzia juu ya Ufalme wa Mungu, akawaponya wale 78 Luke 9 27| hawatakufa kabla ya kuuona Ufalme wa Mungu."~ 79 Luke 9 60| bali wewe nenda ukatangaze Ufalme wa Mungu."~ 80 Luke 9 62| anaangalia nyuma, hafai kwa Ufalme wa Mungu."~ ~ ~~ ~ 81 Luke 10 9 | walioko huko, waambieni watu: `Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu.`~ 82 Luke 10 11| utieni. Lakini, jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.`~ 83 Luke 11 2 | Baba! Jina lako litukuzwe; Ufalme wako ufike.~ 84 Luke 11 17| mawazo yao, akawaambia, "Ufalme wowote uliofarakana wenyewe, 85 Luke 11 20| Mungu, basi jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekwisha fika 86 Luke 12 31| 31 Shughulikieni kwanza Ufalme wa Mungu, na hayo yote mtapewa 87 Luke 12 32| Baba yenu amependa kuwapeni Ufalme.~ 88 Luke 13 18| 18 Yesu akauliza: "Ufalme wa Mungu unafanana na nini? 89 Luke 13 20| akauliza: "Nitaulinganisha Ufalme wa Mungu na nini?~ 90 Luke 13 28| manabii wote wapo katika Ufalme wa Mungu, lakini ninyi wenyewe 91 Luke 13 29| kukaa kwenye karamu katika Ufalme wa Mungu.~ 92 Luke 14 15| atakayekula chakula katika Ufalme wa Mungu."~ 93 Luke 16 16| Yohane mbatizaji. Tangu hapo, Ufalme wa Mungu unahubiriwa, na 94 Luke 17 20| Mafarisayo walimwuliza Yesu, "Ufalme wa Mungu utakuja lini?" 95 Luke 17 20| lini?" Naye akawajibu, "Ufalme wa Mungu hauji kwa namna 96 Luke 17 21| au `Uko pale`. Kwa kweli Ufalme wa Mungu uko kati yenu."~ 97 Luke 18 16| wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni kwa ajili ya 98 Luke 18 17| mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, 99 Luke 18 17| mdogo, hataingia katika Ufalme huo."~ 100 Luke 18 24| matajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu!~ 101 Luke 18 25| kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu."~ 102 Luke 18 29| wazazi au watoto kwa ajili ya Ufalme wa Mungu,~ 103 Luke 19 11| walidhani kwamba muda si muda, Ufalme wa Mungu ungefika.)~ 104 Luke 19 12| mbali ili apokee madaraka ya ufalme, halafu arudi.~ 105 Luke 21 10| litapigana na taifa lingine, na ufalme mmoja utapigana na ufalme 106 Luke 21 10| ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine.~ 107 Luke 21 31| yanatendeka, mtatambua kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.~ 108 Luke 22 16| hapo itakapokamilika katika Ufalme wa Mungu."~ 109 Luke 22 18| tena divai ya zabibu mpaka Ufalme wa Mungu utakapokuja."~ 110 Luke 22 29| Baba yangu alivyonikabidhi Ufalme, vivyo hivyo nami nitawakabidhi 111 Luke 22 29| nami nitawakabidhi ninyi Ufalme.~ 112 Luke 22 30| kunywa mezani pangu katika ufalme wangu, na mtaketi katika 113 Luke 23 42| wakati utakapoingia katika ufalme wako."~ 114 Luke 23 51| Alikuwa akitazamia kuja kwa Ufalme wa Mungu. Ingawa alikuwa 115 John 3 3 | asipozaliwa upya hataweza kuuona ufalme wa Mungu."~ 116 John 3 5 | hawezi kamwe kuingia katika ufalme wa Mungu.~ 117 John 18 36| 36 Yesu akamjibu, "Ufalme wangu si wa ulimwengu huu. 118 John 18 36| si wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu 119 John 18 36| mwa Wayahudi. Lakini sasa ufalme wangu si wa hapa."~ 120 Acts 1 3 | naye aliongea nao juu ya ufalme wa Mungu.~ 121 Acts 1 6 | ndipo utakaporudisha ule ufalme kwa Israeli?"~ 122 Acts 8 12| Filipo juu ya Habari Njema ya Ufalme wa Mungu na jina la Yesu 123 Acts 14 22| nyingi ili tuingie katika ufalme wa Mungu."~ 124 Acts 19 8 | majadiliano ya kuvutia sana juu ya Ufalme wa Mungu.~ 125 Acts 20 25| huko kati yenu nikiuhubiri Ufalme wa Mungu. Sasa lakini, najua 126 Acts 28 23| na kuwafafanulia juu ya Ufalme wa Mungu akijaribu kuwafanya 127 Acts 28 31| 31 Alikuwa akihubiri Ufalme wa Mungu na kufundisha juu 128 1Cor 15 50| damu hakiwezi kuushiriki Ufalme wa Mungu; na chenye kuharibika 129 Gala 5 21| hawatakuwa na nafasi yao katika ufalme wa Mungu.~ 130 Colo 1 13| akatuleta salama katika ufalme wa Mwanae mpenzi,~ 131 Rev 1 6 | 6 akatufanya sisi kuwa ufalme wa makuhani, tumtumikie 132 Rev 5 10 | 10 Wewe umewafanya wawe ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License