Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
chini 133
chinja 1
chinjwa 1
chochote 132
chokaa 2
chombo 12
chongo 1
Frequency    [«  »]
135 mtakatifu
133 chini
132 28
132 chochote
132 ufalme
128 nje
127 kwake

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

chochote

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 37 | basi iwe kweli `Siyo`. Chochote kinachozidi hayo hutoka 2 Matt 13 34 | kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano,~ 3 Matt 14 7 | kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.~ 4 Matt 17 20 | nao utakwenda. Hakuna chochote ambacho hakingewezekana 5 Matt 18 25 | 25 Mtu huyo hakuwa na chochote cha kulipa; hivyo bwana 6 Matt 19 3 | kumpa talaka mkewe kwa kisa chochote?"~ 7 Matt 21 19 | akauendea; lakini aliukuta hauma chochote ila majani matupu. Basi 8 Matt 21 22 | 22 Na mkiwa na imani, chochote mtakachoomba katika sala, 9 Matt 23 3 | hiyo shikeni na kutekeleza chochote watakachowaambieni. Lakini ~ 10 Matt 23 20 | kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote ~kilichowekwa juu yake. ~ 11 Matt 27 24 | alipotambua kwamba hafanikiwi chochote na kwamba maasi yalikuwa 12 Mark 4 34 | 34 Hakuongea nao chochote bila kutumia mifano; lakini 13 Mark 6 8 | na kuwaamuru, "Msichukue chochote mnapokwenda isipokuwa fimbo 14 Mark 6 22 | akamwambia huyo msichana, "Niombe chochote utakacho, nami nitakupa."~ 15 Mark 6 23 | 23 Tena akamwapia, "Chochote utakachoniomba, nitakupa: 16 Mark 7 4 | 4 Tena hawali kitu chochote kutoka sokoni mpaka wamekiosha 17 Mark 11 25 | sameheni kila mtu aliyewakosea chochote, ili Baba yenu aliye mbinguni 18 Mark 13 11 | ile itakapofika, semeni chochote mtakachopewa, maana si ninyi 19 Mark 16 18 | Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. 20 Luke 4 2 | Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia 21 Luke 6 49 | maneno yangu lakini asifanye chochote, huyo anafanana na mtu aliyejenga 22 Luke 8 17 | 17 "Chochote kilichofichwa kitafichuliwa 23 Luke 9 3 | Mnaposafiri msichukue chochote: msichukue fimbo, wala mkoba, 24 Luke 9 13 | chakula." Wakamjibu, "Hatuna chochote ila mikate mitano na samaki 25 Luke 10 19 | zote za yule adui; hakuna chochote kitakachowadhuru.~ 26 Luke 10 35 | akamwambia, `Muuguze mtu huyu; na chochote utakachotumia zaidi, nitakulipa 27 Luke 11 8 | kuendelea kumwomba, ataamka ampe chochote anachohitaji.~ 28 Luke 22 35 | wala viatu, mlitindikiwa chochote?" Wakajibu, "La."~ 29 Luke 23 15 | kwamba mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya 30 Luke 23 41 | Lakini mtu huyu hakufanya chochote kibaya."~ 31 Luke 24 41 | akawauliza, "Mnacho chakula chochote hapa?"~ 32 John 2 25 | 25 Hakuhitaji kuambiwa chochote juu ya watu, maana aliyajua 33 John 8 28 | ndimi`, na kwamba sifanyi chochote mimi mwenyewe, ila nasema 34 John 9 33 | Mungu, hangeweza kufanya chochote!"~ 35 John 11 22 | Lakini najua kwamba hata sasa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa."~ 36 John 12 6 | hivyo, si kwa kuwa alijali chochote juu ya maskini, bali kwa 37 John 12 19 | Mnaona? Hatuwezi kufanya chochote! Tazameni, ulimwengu wote 38 John 13 29 | alikuwa amemwambia akatoe chochote kwa maskini.~ 39 John 14 13 | 13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu 40 John 14 14 | 14 Mkiniomba chochote kwa jina langu, nitawafanyieni.~ 41 John 15 5 | bila mimi hamwezi kufanya chochote.~ 42 John 15 7 | ndani yenu, basi, ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.~ 43 John 15 16 | Baba apate kuwapa ninyi chochote mumwombacho kwa jina langu.~ 44 John 16 23 | 23 Siku hiyo hamtaniomba chochote. Kweli nawaambieni, chochote 45 John 16 23 | chochote. Kweli nawaambieni, chochote mtakachomwomba Baba kwa 46 John 16 24 | 24 Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi 47 John 18 20 | Wayahudi wote; na wala sijasema chochote kwa siri.~ 48 John 21 3 | lakini usiku huo hawakupata chochote.~ 49 Acts 3 2 | na kumweka hapo ili aombe chochote kwa wale waliokuwa wakiingia 50 Acts 3 3 | Hekaluni, aliwaomba wampe chochote.~ 51 Acts 4 32 | mmoja aliyekuwa na kitu chochote akakiweka kuwa mali yake 52 Acts 7 11 | hawakuweza kupata chakula chochote.~ 53 Acts 8 36 | hapa pana maji; je, kuna chochote cha kunizuia nisibatizwe?"* 54 Acts 9 8 | macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza 55 Acts 9 9 | wakati huo hakula au kunywa chochote.~ 56 Acts 10 14 | Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu."~ 57 Acts 10 22 | nyumbani kwake ili asikilize chochote ulicho nacho cha kusema."~ 58 Acts 10 33 | mbele ya Mungu, kusikiliza chochote ambacho bwana amekuamuru 59 Acts 11 8 | nikasema: `La, Bwana; maana chochote kilicho najisi au kichafu 60 Acts 11 29 | kadiri ya uwezo wake apeleke chochote ili kuwasaidia wale ndugu 61 Acts 13 10 | Ibilisi! Wewe ni adui wa chochote kile kilicho cha kweli; 62 Acts 17 25 | watu kana kwamba anahitaji chochote kile, kwa maana yeye mwenyewe 63 Acts 19 36 | basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari.~ 64 Acts 20 20 | nyumbani mwenu na kuwafundisha chochote ambacho kingewasaidieni.~ 65 Acts 21 25 | mambo tuliyoamua: wasile chochote kilichotambikiwa miungu 66 Acts 23 9 | yao kwa nguvu: "Hatuoni chochote kilicho kiovu katika mtu 67 Acts 23 14 | tumeapa kwamba hatutaonja chochote kwa vinywa vyetu mpaka hapo 68 Acts 23 29 | sikuona kwamba amefanya chochote kinachostahili auawe au 69 Acts 24 19 | kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha kusema dhidi yangu.~ 70 Acts 25 5 | yao juu yake kama amefanya chochote kiovu."~ 71 Acts 25 25 | sikuona kuwa alikuwa ametenda chochote kibaya hata astahili kupewa 72 Acts 26 31 | waliambiana, "Mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya 73 Acts 27 33 | bila kula; hamjala kitu chochote.~ 74 Acts 28 17 | mimi, ingawa sikufanya chochote kibaya wala kupinga desturi 75 Acts 28 19 | Kaisari, ingawa sikuwa na chochote cha kuwashtaki wananchi 76 Acts 28 21 | kutoa habari rasmi au kusema chochote kibaya juu yako.~ 77 Roma 3 19 | hawawezi kuwa na kisingizio chochote, na ulimwengu wote uko chini 78 Roma 8 39 | chini kabisa. Hakuna kiumbe chochote kitakachoweza kututenga 79 Roma 14 14 | hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili 80 Roma 14 21 | kunywa divai, au kufanya chochote ambacho chaweza kumsababisha 81 Roma 14 23 | haumo katika imani. Na, chochote kisicho na msingi wake katika 82 Roma 15 18 | Sithubutu kusema kitu kingine chochote isipokuwa tu kile ambacho 83 1Cor 1 7 | hata hampungukiwi kipaji chochote cha kiroho mkiwa mnangojea 84 1Cor 1 29 | hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu.~ 85 1Cor 2 2 | Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua 86 1Cor 6 12 | sitaki kutawaliwa na kitu chochote.~ 87 1Cor 8 2 | anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.~ 88 1Cor 9 12 | kitu ili tusiiwekee kizuizi chochote Habari Njema ya Kristo.~ 89 1Cor 10 25 | 25 Kuleni chochote kile kiuzwacho sokoni bila 90 1Cor 10 31 | 31 Basi, chochote mfanyacho iwe ni kula au 91 1Cor 13 3 | sina upendo hiyo hainifai chochote.~ 92 1Cor 14 6 | itawafaa nini? Haitawafaa chochote, isipokuwa tu kama nitawaelezeni 93 2Cor 3 5 | kwamba sisi tunaweza kufanya chochote kwa nguvu zetu wenyewe, 94 2Cor 6 3 | kumwekea mtu yeyote kizuio chochote.~ 95 2Cor 6 10 | twaonekana kuwa watu tusio na chochote, kumbe tuna kila kitu.~ 96 2Cor 6 12 | Kama mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko 97 2Cor 7 1 | hizi zote, na tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili 98 Gala 5 2 | kutahiriwa, Kristo hatawafaidia chochote.~ 99 Gala 6 14 | Lakini mimi sitajivunia kamwe chochote isipokuwa msalaba wa Bwana 100 Ephe 5 5 | wa aina hiyo hataambulia chochote katika Utawala wa Kristo 101 Ephe 5 27 | lisilo na doa, kasoro au chochote cha namna hiyo.~ 102 Colo 2 23 | lakini kwa kweli, haifai chochote kuzuia tamaa za mwili.~ ~~ ~ 103 1The 3 10 | uso ili tuweze kurekebisha chochote kilichopungua katika imani 104 2The 3 11 | wavivu na ambao hawafanyi chochote, isipokuwa tu kujiingiza 105 1Tim 1 10 | wanaoapa uongo au wanaofanya chochote ambacho ni kinyume cha mafundisho 106 1Tim 6 4 | amejaa majivuno na wala hajui chochote. Ni mtu wa kupenda ubishi 107 1Tim 6 7 | 7 Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua 108 1Tim 6 7 | duniani, wala hatutachukua chochote.~ 109 2Tim 3 3 | walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema;~ 110 Titus 1 15| walio safi; lakini hakuna chochote kilicho safi kwa wale waliochafuliwa 111 Titus 2 8 | zako waaibike wasipopata chochote kibaya cha kusema juu yetu.~ 112 Phil 1 14 | 14 Lakini sitafanya chochote bila kibali chako. Sipendi 113 Hebr 4 2 | Lakini ujumbe huo haukuwafaa chochote, maana waliusikia lakini 114 Hebr 4 13 | 13 Hakuna kiumbe chochote kilichofichika mbele ya 115 Hebr 8 13 | alilichakaza lile la kwanza; na chochote kinachochakaa na kuwa kikuukuu 116 James 1 4 | watimilifu, bila kupungukiwa chochote.~ 117 James 1 7 | asidhani ya kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.~ 118 James 5 12| dunia, wala kwa kitu kingine chochote. Semeni "Ndiyo" kama maana 119 2Pet 2 12 | Watu hao ambao hutukana chochote kile wasichoelewa, ni sawa 120 2Pet 2 13 | kufanya, tena mchana kabisa, chochote kinachotosheleza anasa zao 121 2Pet 2 19 | maana mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.~ 122 1Joh 2 10 | katika mwanga, na hamna chochote ndani yake kiwezacho kumkwaza 123 1Joh 2 15 | Msiupende ulimwengu, wala chochote kilicho cha ulimwengu. Mtu 124 1Joh 3 22 | na twaweza kupokea kwake chochote tunachoomba, maana tunazitii 125 1Joh 5 14 | hakika kwamba tukimwomba chochote kadiri ya mapenzi yake, 126 Jude 1 10 | Lakini watu hawa hutukana chochote wasichokielewa; mambo yaleyale 127 Rev 3 2 | 2 Amka! Imarisha chochote chema kilichokubakia kabla 128 Rev 3 17 | ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote.` Kumbe, hujui kwamba wewe 129 Rev 21 27 | 27 Lakini hakuna chochote kilicho najisi kitakachoingia 130 Rev 22 3 | 3 Hapana kitu chochote kilicholaaniwa kitakachokuwa 131 Rev 22 18 | hiki: mtu yeyote akiongeza chochote katika mambo haya, Mungu 132 Rev 22 19 | Na mtu yeyote akipunguza chochote katika maneno ya unabii


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License