Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 13| Haifai kitu tena, ila hutupwa nje na kukanyagwa na watu.~
2 Matt 7 15| wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa
3 Matt 8 12| katika Ufalme huo watatupwa nje, gizani, ambako watalia
4 Matt 12 14| Basi, Mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza
5 Matt 12 46| zake walipofika na kusimama nje, wakitaka kusema naye.~
6 Matt 12 47| yako na ndugu zako wako nje, wanataka kusema nawe."~
7 Matt 15 17| tumboni na baadaye hutupwa nje chooni?~
8 Matt 21 12| akaingia Hekaluni, akawafukuza nje watu waliokuwa wanauza na
9 Matt 21 17| Basi, akawaacha, akatoka nje ya mji na kwenda Bethania,
10 Matt 21 39| Basi, wakamkamata, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu,
11 Matt 22 13| miguu na mikono ~mkamtupe nje gizani; huko atalia na kusaga
12 Matt 23 25| Mnasafisha ~kikombe na bakuli kwa nje, lakini ndani mnaacha kumejaa
13 Matt 23 26| kikombe ndani kwanza na nje kutakuwa ~safi pia. ~
14 Matt 23 27| yaliyopakwa chokaa ambayo kwa nje yanaonekana kuwa mazuri, ~
15 Matt 23 28| ninyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini ~kwa ndani
16 Matt 25 30| asiye na faida, mtupeni nje gizani! Huko kutakuwa na
17 Matt 26 69| 69 Petro alikuwa ameketi nje uani. Basi, mtumishi mmoja
18 Matt 26 75| mara tatu." Basi, akatoka nje akalia sana.~ ~~ ~
19 Matt 27 5 | fedha Hekaluni, akatoka nje, akaenda akajinyonga.~
20 Mark 1 33| wa mji ule wakakusanyika nje ya mlango.~
21 Mark 1 45| waziwazi; ikamlazimu kukaa nje, mahali pa faragha. Hata
22 Mark 3 6 | Mara Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri pamoja
23 Mark 3 31| walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kutaka
24 Mark 3 32| yako na ndugu zako wako nje, wanataka kukuona."~
25 Mark 4 11| Mungu, lakini wale walio nje wataambiwa kila kitu kwa
26 Mark 5 40| wakamcheka. Basi, akawaondoa wote nje, akawachukua baba na mama
27 Mark 7 15| kinachoingia ndani ya mtu toka nje ambacho chaweza kumtia mtu
28 Mark 7 18| kinachomwingia mtu toka nje hakiwezi kumtia unajisi,~
29 Mark 7 19| tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?" (Kwa kusema hivyo,
30 Mark 8 23| huyo kipofu, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate
31 Mark 11 15| Hekaluni, akaanza kuwafukuza nje watu waliokuwa wanauza na
32 Mark 12 8 | wakamkamata, wakamuua na kumtupa nje ya lile shamba la mizabibu.
33 Mark 14 68| Petro akaondoka, akaenda nje uani. Hapo jogoo akawika.~
34 Luke 1 10| walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza
35 Luke 1 22| 22 Alipotoka nje, hakuweza kusema nao. Ikawa
36 Luke 4 29| 29 Wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa
37 Luke 5 27| Baada ya hayo, Yesu akatoka nje, akamwona mtoza ushuru mmoja
38 Luke 8 20| mama na ndugu zake walikuwa nje, wanataka kumwona.~
39 Luke 11 39| huosha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu
40 Luke 11 40| ninyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza
41 Luke 13 25| mlango. Ninyi mtasimama nje na kuanza kupiga hodi mkisema: `
42 Luke 13 28| lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje!~
43 Luke 13 33| sababu si sawa nabii auawe nje ya Yerusalemu.~
44 Luke 15 28| nyumbani. Baba yake akatoka nje na kumsihi aingie.~
45 Luke 19 45| Hekaluni, akaanza kuwafukuzia nje wafanyabiashara~
46 Luke 20 15| 15 Basi, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu,
47 Luke 22 62| 62 Hapo akatoka nje, akalia sana.~
48 Luke 24 50| 50 Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua
49 John 2 15| kamba, akawafukuza wote nje ya Hekalu pamoja na kondoo
50 John 6 37| watakuja kwangu; nami sitamtupa nje yeyote anayekuja kwangu,~
51 John 7 24| 24 Msihukumu mambo kwa nje tu; toeni hukumu ya haki."~
52 John 9 22| Yesu ni Kristo atafukuzwa nje ya sunagogi.~
53 John 10 3 | jina lake na kuwaongoza nje.~
54 John 10 4 | 4 Akisha watoa nje huwatangulia mbele nao kondoo
55 John 11 31| walipomwona ameinuka na kutoka nje ghafla, walimfuata. Walidhani
56 John 11 43| sauti kubwa: "Lazaro! Toka nje!"~
57 John 11 44| aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu
58 John 13 30| kipande cha mkate, akatoka nje mara. Na ilikuwa usiku.~
59 John 15 6 | asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje
60 John 15 6 | nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota
61 John 18 16| Petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. Basi,
62 John 18 16| kwa Kuhani Mkuu alitoka nje akasema na mjakazi, mngoja
63 John 18 29| hiyo, Pilato aliwaendea nje, akasema, "Mna mashtaka
64 John 18 38| aliwaendea tena Wayahudi nje, akawaambia, "Mimi sioni
65 John 19 4 | 4 Pilato akatoka tena nje, akawaambia, "Tazameni,
66 John 19 4 | akawaambia, "Tazameni, namleta nje kwenu, mpate kujua kwamba
67 John 19 5 | 5 Basi, Yesu akatoka nje amevaa taji ya miiba na
68 John 19 13| maneno hayo akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti cha
69 John 20 11| Maria alikuwa amesimama nje ya kaburi, akilia. Huku
70 Acts 1 18| matumbo yake yakamwagika nje.~
71 Acts 4 15| Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki
72 Acts 5 6 | wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika.~
73 Acts 5 10| amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume
74 Acts 5 19| milango ya gereza, akawatoa nje, akawaambia,~
75 Acts 5 34| akataka wale mitume watolewe nje kwa muda mfupi.~
76 Acts 5 41| 41 Basi, mitume wakatoka nje ya ule mkutano wa halmashauri
77 Acts 7 19| kwa kuwalazimisha waweke nje watoto wao wachanga ili
78 Acts 7 21| 21 na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua,
79 Acts 7 58| 58 wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe.
80 Acts 8 3 | katika kila nyumba, akawatoa nje waumini, wanaume kwa wanawake,
81 Acts 9 40| 40 Petro aliwatoa nje wote, akapiga magoti, akasali.
82 Acts 10 25| anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti
83 Acts 12 9 | 9 Petro akamfuata nje lakini hakujua kama hayo
84 Acts 12 10| ukawafungukia wenyewe, nao wakatoka nje. Wakawa wanatembea katika
85 Acts 12 13| Petro alibisha mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana
86 Acts 12 14| Petro alikuwa amesimama nje mlangoni.~
87 Acts 14 13| hekalu la Zeu lililokuwa nje ya mji akaleta fahali na
88 Acts 14 19| Paulo na kumburuta hadi nje ya mji wakidhani amekwisha
89 Acts 16 13| Siku ya Sabato tulitoka nje ya mji, tukaenda kando ya
90 Acts 16 30| 30 Halafu aliwaongoza nje, akawauliza, "Waheshimiwa,
91 Acts 21 5 | wao walitusindikiza mpaka nje ya mji. Tulipofika pwani,
92 Acts 21 30| Paulo, wakamburuta, wakamtoa nje ya Hekalu na papo hapo milango
93 Acts 27 18| kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.~
94 Roma 2 28| si kila anayeonekana kwa nje kuwa Myahudi ni Myahudi
95 1Cor 5 12| langu kuwahukumu watu walio nje? Hao Mungu atawahukumu.
96 1Cor 6 18| Dhambi nyingine zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda
97 1Cor 9 21| 21 Na kwa wale walio nje ya Sheria, naishi kama wao,
98 1Cor 9 21| Sheria, naishi kama wao, nje ya Sheria, ili niwapate
99 1Cor 9 21| ili niwapate hao walio nje ya Sheria. Hii haimaanishi
100 1Cor 9 21| haimaanishi kwamba mimi niko nje ya sheria ya Mungu, maana
101 2Cor 4 16| hata kama maumbile yetu ya nje yataoza, lakini kwa ndani
102 2Cor 5 12| wanaojivunia hali yao ya nje zaidi kuliko jinsi walivyo
103 2Cor 7 5 | upande tulikabiliwa na taabu: nje ugomvi; ndani hofu.~
104 2Cor 10 7 | Ninyi hutazama mambo kwa nje tu. Je, yupo mtu yeyote
105 2Cor 11 33| kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani,
106 Gala 2 6 | hahukumu kwa kuangalia mambo ya nje - watu hawa hawakuwa na
107 Gala 5 4 | mmejitenga mbali na Kristo; mko nje ya neema ya Mungu.~
108 Ephe 2 12| mlikuwa bila Kristo; mlikuwa nje ya jamii ya Israeli; mlikuwa
109 Ephe 2 19| wageni tena, wala si watu wa nje; ninyi ni raia pamoja na
110 1Tim 3 7 | njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa
111 2Tim 3 5 | 5 Kwa nje wataonekana kama watu wenye
112 Hebr 9 2 | hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa Mahali Patakatifu.
113 Hebr 9 6 | kila siku katika hema ya nje kutoa huduma zao.~
114 Hebr 9 8 | kwamba wakati ile hema ya nje ingali ipo imesimama, njia
115 Hebr 13 11| hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.~
116 Hebr 13 12| mwenyewe, aliteswa na kufa nje ya mji.~
117 Hebr 13 13| 13 Basi, tumwendee huko nje ya kambi tukajitwike laana
118 3Joh 1 10| na hujaribu kuwafukuzia nje ya kanisa.~
119 Rev 4 8 | vimejaa macho, ndani na nje. Usiku na mchana, bila kupumzika
120 Rev 5 1 | kilikuwa kimeandikwa ndani na nje na kufungwa na mihuri saba.~
121 Rev 11 2 | Lakini uache ukumbi ulio nje ya Hekalu; usiupime, maana
122 Rev 12 9 | joka hilo kuu likatupwa nje. Joka hilo ndiye yule nyoka
123 Rev 12 10 | na mchana, sasa ametupwa nje.~
124 Rev 14 20 | hilo shinikizo lililoko nje ya mji, na damu ikatoka
125 Rev 20 8 | 8 Basi, atatoka nje, ataanza kuyapotosha mataifa
126 Rev 20 13 | 13 Bahari ikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yake;
127 Rev 20 13 | kifo na kuzimu vikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yao.
128 Rev 22 15 | wanaopenda kusema uongo, watakaa nje ya mji.~
|