Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mtoka 1
mtokapo 1
mtoke 5
mtoto 120
mtoza 6
mtu 1087
mtukufu 6
Frequency    [«  »]
122 ukweli
121 29
120 moyo
120 mtoto
120 utukufu
118 muda
118 nchi

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

mtoto

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 21| 21 Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina 2 Matt 1 23| atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, naye ataitwa Emanueli" ( 3 Matt 1 25| hata Maria alipojifungua mtoto wa kiume. Naye Yosefu akampa 4 Matt 2 2 | 2 wakauliza, "Yuko wapi mtoto, Mfalme wa Wayahudi, aliyezaliwa? 5 Matt 2 8 | mkachunguze kwa makini habari za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni 6 Matt 2 9 | ya mahali pale alipokuwa mtoto.~ 7 Matt 2 11| nyumbani, wakamwona yule mtoto pamoja na Maria mama yake; 8 Matt 2 13| akamwambia, "Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, mkimbilie 9 Matt 2 13| Herode anakusudia kumwua huyu mtoto."~ 10 Matt 2 14| Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akaondoka 11 Matt 2 20| akamwambia, "Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi 12 Matt 2 20| maana wale waliotaka kumwua mtoto huyo wamekwisha kufa."~ 13 Matt 2 21| Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea 14 Matt 7 9 | yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa 15 Matt 17 17| lini? Mleteni hapa huyo mtoto."~ 16 Matt 17 18| naye akamtoka, na yule mtoto akapona wakati huohuo.~ 17 Matt 18 2 | 2 Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati 18 Matt 18 4 | anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkubwa 19 Matt 18 5 | 5 Yeyote anayemkaribisha mtoto mmoja kama huyu kwa jina 20 Matt 21 2 | mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete 21 Matt 21 5 | amepanda punda, mwana punda, mtoto wa punda."~ 22 Matt 21 7 | Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao 23 Matt 21 30| 30 Yule baba akamwambia mtoto wake wa pili vivyo hivyo, 24 Matt 21 31| yake?" Wakamjibu, "Yule mtoto wa kwanza." Basi, Yesu akawaambia, " 25 Matt 24 8 | wa maumivu ya kujifungua mtoto.~ 26 Mark 7 30| nyumbani kwake, akamkuta mtoto amelala kitandani, na pepo 27 Mark 9 20| alipomwona Yesu, alimtia mtoto kifafa, naye mtoto akaanguka 28 Mark 9 20| alimtia mtoto kifafa, naye mtoto akaanguka chini, akagaagaa 29 Mark 9 20| akamwuliza baba yake huyo mtoto,~ 30 Mark 9 25| Pepo unayemfanya huyu mtoto kuwa bubu-kiziwi, nakuamuru, 31 Mark 9 25| bubu-kiziwi, nakuamuru, mtoke mtoto huyu wala usimwingie tena!"~ 32 Mark 9 26| sauti, akamwangusha huyo mtoto chini, kisha akamtoka. Mtoto 33 Mark 9 26| mtoto chini, kisha akamtoka. Mtoto alionekana kama maiti, hata 34 Mark 9 36| 36 Kisha akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha kati 35 Mark 9 37| 37 "Anayempokea mtoto kama huyu kwa jina langu, 36 Mark 10 15| asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hataingia katika Ufalme 37 Mark 12 19| akifa na kuacha mke bila mtoto, ndugu yake lazima amchukue 38 Mark 12 20| alioa, akafa bila kuacha mtoto.~ 39 Mark 12 21| naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika.~ 40 Mark 12 22| saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane 41 Mark 13 8 | ya kwanza ya kujifungua mtoto.~ 42 Luke 1 13| Elisabeti mkeo atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utampa jina 43 Luke 1 31| Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume na utampa jina 44 Luke 1 35| kivuli; kwa sababu hiyo, mtoto atakayezaliwa ataitwa Mtakatifu, 45 Luke 1 41| aliposikia sauti ya Maria, mtoto mchanga tumboni mwake Elisabeti 46 Luke 1 44| niliposikia sauti yako, mtoto mchanga tumboni mwangu aliruka 47 Luke 1 57| Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume.~ 48 Luke 1 59| nane walifika kumtahiri mtoto, wakataka kumpa jina la 49 Luke 1 62| yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.~ 50 Luke 1 66| mioyoni mwao wakisema: "Mtoto huyu atakuwa mtu wa namna 51 Luke 1 67| 67 Zakariya, baba yake mtoto, akajazwa Roho Mtakatifu, 52 Luke 1 80| 80 Mtoto akakua, akapata nguvu rohoni. 53 Luke 2 7 | 7 akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, 54 Luke 2 12| kitambulisho kwenu: mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za 55 Luke 2 16| Maria na Yosefu na yule mtoto mchanga amelazwa horini.~ 56 Luke 2 17| Hao wachungaji walipomwona mtoto huyo wakawajulisha wote 57 Luke 2 21| baadaye, wakati wa kumtahiri mtoto ulipofika, walimpa jina 58 Luke 2 22| wazazi hao walimchukua mtoto, wakaenda naye Yerusalemu 59 Luke 2 27| Yesu walipomleta Hekaluni mtoto wao ili wamfanyie kama ilivyotakiwa 60 Luke 2 28| 28 Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku 61 Luke 2 33| aliyosema Simeoni juu ya mtoto.~ 62 Luke 2 34| akamwambia Maria mama yake, "Mtoto huyu atakuwa sababu ya kupotea 63 Luke 2 38| akaeleza habari za huyo mtoto kwa watu wote waliokuwa 64 Luke 2 40| 40 Mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, 65 Luke 2 42| 42 Mtoto alipokuwa na umri wa miaka 66 Luke 7 12| wamebeba maiti ya kijana mmoja, mtoto wa pekee wa mama mjane. 67 Luke 8 52| akawaambia, "Msilie, kwa maana mtoto hajafa, amelala tu!"~ 68 Luke 8 54| akamshika mkono akasema, "Mtoto amka!"~ 69 Luke 9 41| akamwambia huyo mtu, "Mlete mtoto wako hapa."~ 70 Luke 9 42| 42 Wakati mtoto huyo alipokuwa anamjia Yesu, 71 Luke 9 42| yule pepo mchafu akamponya mtoto na kumkabidhi kwa baba yake.~ 72 Luke 9 47| mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye,~ 73 Luke 9 48| Mtu yeyote anayempokea mtoto huyu mdogo kwa jina langu, 74 Luke 11 11| 11 Mtoto akimwomba baba yake samaki, 75 Luke 14 5 | Ni nani kati yenu ambaye mtoto wake au ng`ombe wake akitumbukia 76 Luke 15 30| 30 Lakini mtoto wako huyu aliyekula mali 77 Luke 18 17| asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hataingia katika 78 Luke 20 29| baadaye akafa bila kuacha mtoto.~ 79 John 4 46| ofisa mmoja aliyekuwa na mtoto mgonjwa huko Kafarnaumu.~ 80 John 4 47| akamwomba aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.~ 81 John 4 52| 52 Naye akawauliza saa mtoto alipopata nafuu; nao wakamwambia, " 82 John 6 9 | 9 "Yupo hapa mtoto mmoja aliye na mikate mitano 83 John 9 19| wazazi, "Je, huyu ndiye mtoto wenu ambaye ninyi mwasema 84 John 9 20| Tunajua kwamba huyu ni mtoto wetu, na kwamba alizaliwa 85 Acts 7 5 | ingawaje wakati huu hakuwa na mtoto.~ 86 Acts 7 8 | Hivyo, Abrahamu alimtahiri mtoto wake Isaka, siku ya nane 87 Acts 7 20| alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani 88 Acts 7 21| alimchukua, akamlea kama mtoto wake.~ 89 Acts 13 10| na mlaghai wewe! Wewe ni mtoto wa Ibilisi! Wewe ni adui 90 Acts 13 21| na Mungu akawapa Saulo, mtoto wa Kishi wa kabila la Benyamini, 91 Acts 13 22| akisema: `Nimemwona Daudi mtoto wa Yese; ni mtu anayepatana 92 Acts 23 16| 16 Lakini mtoto wa kiume wa dada yake Paulo 93 Roma 8 22| maumivu kama ya kujifungua mtoto.~ 94 Roma 9 9 | maalum, naye Sara atapata mtoto."~ 95 Roma 9 12| Rebeka aliambiwa kwamba yule mtoto wa kwanza atamtumikia yule 96 1Cor 4 17| Timetheo kwenu. Yeye ni mtoto wangu mpenzi na mwaminifu 97 1Cor 13 11| 11 Nilipokuwa mtoto mchanga nilisema kitoto, 98 Gala 4 1 | hivi: mrithi, akiwa bado mtoto, hawi tofauti na mtumwa 99 Gala 4 27| wewe usiyepata kujifungua mtoto; maana watoto wa yule aliyeachwa 100 Gala 4 29| kama vile siku zile yule mtoto aliyezaliwa kwa njia ya 101 Gala 4 30| pamoja na mwanawe; maana mtoto wa mtumwa hatarithi pamoja 102 Gala 4 30| mtumwa hatarithi pamoja na mtoto wa mama huru."~ 103 Hebr 5 13| anayepaswa kunywa maziwa huyo ni mtoto bado, hajui uadilifu ni 104 Hebr 11 23| wa Mose walimficha huyo mtoto kwa muda wa miezi mitatu 105 Hebr 11 23| kwake. Walimwona kuwa ni mtoto mzuri, wala hawakuiogopa 106 1Joh 2 29| atendaye mambo adili ni mtoto wa Mungu.~~ ~ 107 1Joh 3 9 | 9 Kila aliye mtoto wa Mungu hatendi dhambi, 108 1Joh 3 9 | dhambi kwa sababu yeye ni mtoto wa Mungu.~ 109 1Joh 3 10| asiyempenda ndugu yake, huyo si mtoto wa Mungu. Hiyo ndiyo tofauti 110 1Joh 4 7 | Kila mtu aliye na upendo ni mtoto wa Mungu, na anamjua Mungu.~ 111 1Joh 5 1 | Yesu ni Kristo, huyo ni mtoto wa Mungu; na, anayempenda 112 1Joh 5 1 | anayempenda mzazi humpenda pia mtoto wa huyo mzazi.~ 113 1Joh 5 4 | 4 maana kila aliye mtoto wa Mungu anaweza kuushinda 114 1Joh 5 18| Tunajua kwamba kila aliye mtoto wa Mungu hatendi dhambi, 115 Rev 12 2 | na uchungu wa kujifungua mtoto.~ 116 Rev 12 4 | aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, 117 Rev 12 4 | mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa.~ 118 Rev 12 5 | Kisha mama huyo akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala 119 Rev 12 5 | kwa fimbo ya chuma. Lakini mtoto akanyakuliwa na kupelekwa 120 Rev 12 13 | mama aliyekuwa amejifungua mtoto wa kiume.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License