Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 8 | 8 Heri wenye moyo safi, maana watamwona Mungu.~
2 Matt 6 21 | yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.~
3 Matt 9 2 | huyo mtu aliyepooza, "Jipe moyo mwanangu! Umesamehewa dhambi
4 Matt 9 22 | akamwambia, "Binti, jipe moyo! Imani yako imekuponya."
5 Matt 11 29 | mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni
6 Matt 18 35 | hatamsamehe ndugu yake kwa moyo wake wote."~ ~~ ~
7 Matt 22 37 | Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa ~roho yako
8 Mark 7 21 | maana kutoka ndani, katika moyo wa mtu, hutoka mawazo mabaya,
9 Mark 10 49 | kipofu, wakamwambia, "Jipe moyo! Simama, anakuita."~
10 Mark 12 30 | Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako
11 Mark 12 33 | lazima mtu kumpenda Mungu kwa moyo wote, kwa akili yote, na
12 Luke 1 47 | 47 "Moyo wangu wamtukuza Bwana, roho
13 Luke 2 35 | kama upanga mkali utauchoma moyo wako."~
14 Luke 8 15 | neno, wakalizingatia kwa moyo mwema na wa utii. Hao huvumilia
15 Luke 10 27 | Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako
16 Luke 12 34 | yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.~
17 Luke 15 20 | baba yake alimwona, na kwa moyo wa huruma alimkimbilia,
18 Luke 22 32 | Nawe utakaponirudia, watie moyo ndugu zako."~
19 Luke 22 43 | mbinguni, akamtokea ili kumtia moyo.~
20 John 16 33 | masumbuko; lakini jipeni moyo! Mimi nimeushinda ulimwengu!"~ ~ ~~ ~
21 Acts 2 26 | 26 Kwa hiyo, moyo wangu ulifurahi; tena nilipiga
22 Acts 2 37 | waliposikia hayo, walichomwa moyo, wakawauliza Petro na wale
23 Acts 2 46 | chakula hicho kwa furaha na moyo mkunjufu.~
24 Acts 4 32 | yote ya waumini ilikuwa moyo mmoja na roho moja. Hakuna
25 Acts 4 36 | yake, "Mtu mwenye kutia moyo").~
26 Acts 5 3 | mbona Shetani ameuingia moyo wako na kukufanya umdanganye
27 Acts 8 21 | katika kazi hiyo kwa maana moyo wako hauko sawa mbele ya
28 Acts 9 31 | na kuongezeka likitiwa moyo na Roho Mtakatifu.~
29 Acts 12 5 | linamwombea kwa Mungu kwa moyo.~
30 Acts 13 15 | kuwaambia watu ili kuwapa moyo, semeni."~
31 Acts 13 22 | Yese; ni mtu anayepatana na moyo wangu; mtu ambaye atatimiza
32 Acts 13 43 | waliongea nao, wakawatia moyo waendelee kuishi wakitegemea
33 Acts 14 22 | wa miji hiyo na kuwatia moyo wabaki imara katika imani.
34 Acts 15 31 | barua, maneno yake yaliwatia moyo, wakafurahi sana.~
35 Acts 15 32 | kwa muda mrefu wakiwatia moyo na kuwaimarisha.~
36 Acts 16 14 | zambarau. Bwana aliufungua moyo wake hata akayapokea yale
37 Acts 16 40 | waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.~ ~ ~~ ~
38 Acts 17 16 | na Timotheo huko Athene, moyo wake ulighadhibika sana
39 Acts 18 9 | endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,~
40 Acts 18 23 | Galatia na Frugia akiwatia moyo wafuasi wote.~
41 Acts 18 27 | Akaya, wale ndugu walimtia moyo kwa kuwaandikia wafuasi
42 Acts 20 1 | pamoja wale waumini, akawatia moyo. Kisha akawaaga, akasafiri
43 Acts 20 2 | nchi zile akiwatia watu moyo kwa maneno mengi. Halafu
44 Acts 21 13 | kufanya nini? Mnataka kuvunja moyo wangu kwa machozi? Niko
45 Acts 22 3 | wazee wetu. Nilijitolea kwa moyo wote kwa Mungu kama ninyi
46 Acts 23 11 | Paulo, akamwambia, "Jipe moyo! Umenishuhudia katika Yerusalemu,
47 Acts 27 22 | sasa ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata mmoja wenu
48 Acts 27 25 | Hivyo, waheshimiwa, jipeni moyo! Maana ninamwamini Mungu
49 Acts 27 36 | 36 Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.~
50 Acts 28 15 | alimshukuru Mungu, akapata moyo.~
51 Roma 1 9 | ambaye ninamtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri
52 Roma 2 5 | unao ugumu na ukaidi wa moyo, na hivyo unajilundikia
53 Roma 6 17 | namshukuru Mungu - mmetii kwa moyo wote yale maazimio na mafundisho
54 Roma 7 22 | 22 Ndani kabisa katika moyo wangu naifurahia sheria
55 Roma 10 1 | ninataka na kutazamia kwa moyo wangu wote hao wananchi
56 Roma 10 10 | 10 Maana tunaamini kwa moyo na kukubaliwa kuwa waadilifu;
57 Roma 12 1 | huruma nyingi, nawasihi kwa moyo wote: jitoleeni nafsi zenu
58 Roma 15 32 | nitaweza kuja kwenu na moyo wa furaha, nikapumzike pamoja
59 1Cor 4 21 | kwenu na fimbo, ama nije na moyo wa upendo na upole?~ ~~ ~
60 1Cor 7 35 | mpate kumtumikia Bwana kwa moyo na nia moja.~
61 1Cor 8 10 | la sanamu, je, hatatiwa moyo wa kula vyakula vilivyotambikiwa
62 1Cor 14 3 | kuwajenga, kuwafariji na kuwatia moyo.~
63 1Cor 14 25 | 25 Siri za moyo wake zitafichuliwa, naye
64 1Cor 14 31 | mpate kujifunza na kutiwa moyo.~
65 2Cor 1 23 | shahidi wangu - yeye anajua moyo wangu! Mimi sikuja tena
66 2Cor 2 7 | kumsamehe mtu huyo na kumpa moyo ili asije akahuzunika mno
67 2Cor 4 1 | kazi hii na hivyo hatufi moyo.~
68 2Cor 4 13 | nilinena." Nasi pia, tukiwa na moyo huohuo wa imani, tunaamini,
69 2Cor 4 16 | 16 Kwa sababu hiyo hatufi moyo; na hata kama maumbile yetu
70 2Cor 6 6 | watumishi wa Mungu kwa usafi wa moyo, elimu, uvumilivu na wema;
71 2Cor 7 6 | kuwapa shime wanyonge alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake
72 2Cor 7 7 | bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. Yeye ametuarifu
73 2Cor 7 10 | husababisha badiliko la moyo, badiliko lenye kuleta wokovu;
74 2Cor 7 13 | jinsi mlivyomchangamsha moyo.~
75 2Cor 7 15 | 15 Hivyo upendo wake wa moyo kwenu unaongezeka zaidi
76 2Cor 8 12 | 12 Maana ikiwa mtu ana moyo wa kusaidia, Mungu hupokea
77 2Cor 8 16 | Mungu aliyeweka ndani ya moyo wa Tito hamu hiyo niliyo
78 2Cor 8 22 | kusaidia; hata sasa amekuwa na moyo zaidi kwa sababu ana imani
79 2Cor 9 2 | Ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, na nilijivuna
80 2Cor 9 7 | atoe kadiri alivyoamua, kwa moyo na wala si kwa huzuni au
81 2Cor 9 14 | hiyo watawaombea ninyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee
82 Ephe 3 13 | Kwa hiyo, nawaombeni msife moyo kwa sababu ya mateso ninayopata
83 Ephe 4 15 | sisi tukisema ukweli kwa moyo wa mapendo tutakua zidi
84 Ephe 4 32 | 32 Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana;
85 Ephe 6 5 | fanyeni hivyo kwa unyofu wa moyo kana kwamba mnamtumikia
86 Ephe 6 6 | kwao, bali tumikieni kwa moyo kama atakavyo Mungu kwa
87 Ephe 6 22 | habari zetu mpate kuwa na moyo.~
88 Colo 3 12 | kuwateua. Kwa hiyo basi, vaeni moyo wa huruma, wema, unyenyekevu,
89 Colo 3 22 | kwao; ila fanyeni hivyo kwa moyo wote, kwa sababu ya kumcha
90 Colo 3 23 | Kila mfanyalo, fanyeni kwa moyo wote, kwa sababu ya Bwana
91 1The 2 12 | 12 Tuliwapeni moyo, tuliwafarijini na kuwahimiza
92 1The 3 7 | za imani yenu zimetutia moyo katika taabu na mateso yetu
93 1The 3 10 | Mungu usiku na mchana kwa moyo wetu wote ili atupatie fursa
94 1The 5 14 | watu walio wavivu, muwatie moyo watu wanyonge, muwasaidie
95 1Tim 1 5 | mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, na
96 2Tim 2 22 | ambao wanamwomba Bwana kwa moyo safi.~
97 Titus 1 9 | atakavyoweza kuwatia wengine moyo kwa mafundisho ya kweli
98 Phil 1 7 | yameniletea furaha kubwa na kunipa moyo sana! Nawe umeichangamsha
99 Phil 1 12 | namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe.~
100 Phil 1 20 | jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika
101 Hebr 3 12 | miongoni mwenu aliye na moyo mbaya hivyo na asiyeamini
102 Hebr 4 12 | kabisa mpaka mahali ambapo moyo na roho hukutana, mpaka
103 Hebr 6 18 | usalama kwake, tunapewa moyo wa kushikilia imara tumaini
104 Hebr 10 19 | kwa damu ya Yesu tunapewa moyo thabiti wa kuingia Mahali
105 Hebr 10 22 | hiyo tumkaribie Mungu kwa moyo mnyofu na imani timilifu,
106 Hebr 12 3 | wenye dhambi. Basi, msife moyo, wala msikate tamaa.~
107 Hebr 12 5 | mmesahau yale maneno ya kutia moyo ambayo Mungu anawataja ninyi
108 Hebr 12 5 | adhabu ya Bwana, wala usife moyo anapokukanya.~
109 Hebr 13 22 | ujumbe huu wa kuwatieni moyo. Hii ni barua fupi tu ambayo
110 James 5 17| binadamu kama sisi. Aliomba kwa moyo mvua isinyeshe, nayo haikunyesha
111 1Pet 1 22 | unafiki, basi, pendaneni kwa moyo wote.~
112 1Pet 3 8 | nasema hivi: mnapaswa kuwa na moyo mmoja, na fikira moja; mnapaswa
113 1Pet 4 8 | Zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika
114 1Pet 5 2 | tamaa ya fedha, bali kwa moyo wenu wote.~
115 1Pet 5 12 | kumwamini. Nataka kuwapeni moyo na kushuhudia kwamba jambo
116 2Pet 1 13 | niishio hapa duniani, kuwapeni moyo na kuwakumbusheni juu ya
117 2Pet 2 8 | hao, na kwa siku nyingi moyo wake ulikuwa katika wasiwasi
118 1Joh 3 17 | ana shida, lakini akawa na moyo mgumu bila kumwonea huruma,
119 Rev 2 3 | langu, wala hukuvunjika moyo.~
120 Rev 3 19 | ninayempenda. Kwa hiyo kaza moyo, achana na dhambi zako.~
|