Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 4 | wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na
2 Matt 6 11 | 11 Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.~
3 Matt 6 25 | msiwe na wasiwasi juu ya chakula na kinywaji mnavyohitaji
4 Matt 6 25 | miili yenu. Je, maisha ni chakula tu au zaidi? Na mwili, je,
5 Matt 9 10 | nyumbani*fc* ameketi kula chakula, watoza ushuru wengi na
6 Matt 14 15 | waende vijijini wakajinunulie chakula."~
7 Matt 14 16 | lazima waende, wapeni ninyi chakula."~
8 Matt 15 20 | mtu najisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii
9 Matt 15 26 | akamjibu, "Si sawa kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia
10 Matt 15 32 | wamekuwa nami, wala hawana chakula. Sipendi kuwaacha waende
11 Matt 15 33 | tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu wengi
12 Matt 24 45 | juu ya watu wake, awape chakula kwa wakati wake?~
13 Matt 25 35 | nilikuwa na njaa nanyi mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa
14 Matt 25 37 | mwenye njaa nasi tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha
15 Matt 25 42 | na njaa nanyi hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa
16 Matt 26 7 | mezani alipokuwa amekaa kula chakula, akammiminia hayo marashi
17 Matt 26 17 | Unataka tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?"~
18 Mark 1 6 | wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na
19 Mark 2 15 | nyumbani kwa Lawi, kula chakula. Watoza ushuru wengi na
20 Mark 2 25 | Daudi wakati alipohitaji chakula? Yeye pamoja na wenzake
21 Mark 3 20 | wasiweze kupata nafasi ya kula chakula.~
22 Mark 5 43 | akawaambia wampe huyo msichana chakula.~ ~~ ~
23 Mark 6 31 | hawakuweza kupata nafasi ya kula chakula. Basi, Yesu akawaambia, "
24 Mark 6 31 | yetu mahali pa faragha kula chakula, mkapumzike kidogo."~
25 Mark 6 36 | vijiji vya jirani, wanunue chakula."~
26 Mark 6 37 | akawaambia, "Wapeni ninyi chakula." Nao wakamwuliza, "Je,
27 Mark 6 37 | dinari mia mbili, na kuwapa chakula?"~
28 Mark 7 5 | kwa wazee wetu, bali hula chakula kwa mikono najisi?"~
29 Mark 7 27 | maana si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia
30 Mark 8 1 | ulikusanyika tena, na hawakuwa na chakula. Basi, Yesu akawaita wanafunzi
31 Mark 8 2 | wa siku tatu, wala hawana chakula.~
32 Mark 14 3 | Mkoma. Alipokuwa mezani kula chakula, mama mmoja aliyekuwa na
33 Luke 3 11 | asiye na nguo; aliye na chakula afanye vivyo hivyo."~
34 Luke 7 36 | mmoja alimwalika Yesu kula chakula nyumbani kwake. Akaingia
35 Luke 7 36 | huyo Mfarisayo, akakaa kula chakula.~
36 Luke 8 55 | mara. Yesu akaamuru wampe chakula.~ ~~ ~
37 Luke 9 3 | fimbo, wala mkoba, wala chakula, wala fedha, wala hata koti
38 Luke 9 12 | mashamba ya karibu, wakajipatie chakula na mahali pa kulala, kwa
39 Luke 9 13 | akawaambia, "Wapeni ninyi chakula." Wakamjibu, "Hatuna chochote
40 Luke 9 13 | twende wenyewe tukawanunulie chakula watu wote hawa!"~
41 Luke 9 17 | wakakusanya makombo ya chakula, wakajaza vikapu kumi na
42 Luke 11 3 | 3 Utupe daima chakula chetu cha kila siku.~
43 Luke 11 37 | Mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda,
44 Luke 11 37 | naye akaenda, akaketi kula chakula.~
45 Luke 11 38 | alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa.~
46 Luke 11 42 | juu ya majani ya kukolezea chakula, mchicha na majani mengine,
47 Luke 12 22 | msiwe na wasiwasi juu ya chakula mnachohitaji ili kuishi,
48 Luke 12 23 | sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko
49 Luke 12 42 | watumishi wake ili awape chakula wakati ufaao?~
50 Luke 14 1 | Sabato, Yesu alikwenda kula chakula nyumbani kwa mmoja wa viongozi
51 Luke 14 15 | heri mtu yule atakayekula chakula katika Ufalme wa Mungu."~
52 Luke 17 7 | atamwambia: `Haraka, njoo ule chakula?`~
53 Luke 17 8 | Atamwambia: `Nitayarishie chakula, ujifunge tayari kunitumikia
54 Luke 22 14 | ilipotimia, Yesu akakaa kula chakula pamoja na mitume wake.~
55 Luke 22 20 | hivyo na kikombe, baada ya chakula, akisema, "Kikombe hiki
56 Luke 22 27 | yule anayeketi mezani kula chakula, ama yule anayetumikia?
57 Luke 22 27 | yule anayeketi mezani kula chakula! Hata hivyo, mimi niko hapa
58 Luke 24 30 | 30 Alipoketi kula chakula pamoja nao, akachukua mkate,
59 Luke 24 41 | wanastaajabu, akawauliza, "Mnacho chakula chochote hapa?"~
60 John 4 8 | wamekwenda mjini kununua chakula.)~
61 John 4 31 | wanamsihi Yesu: "Mwalimu, ule chakula."~
62 John 4 32 | akawaambia, "Mimi ninacho chakula msichokijua ninyi."~
63 John 4 33 | Je, kuna mtu aliyemletea chakula?"~
64 John 4 34 | 34 Yesu akawaambia, "Chakula changu ni kufanya anachotaka
65 John 6 27 | 27 Msikishughulikie chakula kiharibikacho; kishugulikieni
66 John 6 27 | kiharibikacho; kishugulikieni chakula kidumucho kwa ajili ya uzima
67 John 6 27 | amemthibitisha atawapeni chakula hicho."~
68 John 6 55 | 55 Maana mwili wangu ni chakula cha kweli, na damu yangu
69 John 12 2 | 2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa
70 John 13 2 | wake walikuwa mezani kwa chakula cha jioni. Ibilisi alikwisha
71 John 13 18 | yasemayo: `Yule aliyeshiriki chakula changu amegeuka kunishambulia.`~
72 John 21 20 | ndiye yule ambaye wakati wa chakula cha jioni, alikaa karibu
73 Acts 2 46 | nyumba zao na wakakishiriki chakula hicho kwa furaha na moyo
74 Acts 7 11 | Babu zetu hawakuweza kupata chakula chochote.~
75 Acts 9 19 | 19 Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia.
76 Acts 10 10 | Aliona njaa, akatamani kupata chakula. Chakula kilipokuwa kinatayarishwa,
77 Acts 10 10 | akatamani kupata chakula. Chakula kilipokuwa kinatayarishwa,
78 Acts 12 20 | ilitegemea nchi ya mfalme kwa chakula.~
79 Acts 14 17 | kwa wakati wake, huwapa chakula na kuijaza mioyo yenu furaha."~
80 Acts 16 34 | nyumbani kwake, akawapa chakula. Yeye na jamaa yake yote
81 Acts 27 21 | kukaa muda mrefu bila kula chakula, Paulo alisimama kati yao,
82 Acts 27 33 | Paulo aliwahimiza wote wale chakula: "Kwa siku kumi na nne sasa
83 Acts 27 34 | 34 Basi, ninawasihi mle chakula kwa maana mnakihitaji ili
84 Acts 27 36 | wakapata moyo, nao pia wakala chakula.~
85 Acts 27 38 | Baada ya kila mmoja kula chakula cha kutosha, walipunguza
86 Roma 12 20 | yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe kinywaji.
87 Roma 14 6 | kumtukuza Mungu; naye anayekula chakula fulani anafanya hivyo kwa
88 Roma 14 6 | Kadhalika naye anayeacha kula chakula fulani anafanya hivyo kwa
89 Roma 14 15 | ndugu yako kwa sababu ya chakula unachokula, basi mwenendo
90 Roma 14 15 | mapendo. Usikubali hata kidogo chakula chako kiwe sababu ya kupotea
91 Roma 14 20 | sababu ya ubishi juu ya chakula. Vyakula vyote ni halali,
92 Roma 14 20 | halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya mtu aanguke
93 Roma 14 23 | mtu anayeona shaka juu ya chakula anachokula, anahukumiwa
94 1Cor 3 2 | kuwalisheni kwa maziwa, na si kwa chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari
95 1Cor 6 13 | 13 Unaweza kusema: "Chakula ni kwa ajili ya tumbo, na
96 1Cor 6 13 | na tumbo ni kwa ajili ya chakula." Sawa; lakini Mungu ataviharibu
97 1Cor 8 8 | 8 Lakini chakula hakiwezi kutupeleka karibu
98 1Cor 8 13 | 13 Kwa hiyo, ikiwa chakula husababisha kuanguka kwa
99 1Cor 9 13 | wanaotumikia Hekaluni hupata chakula chao Hekaluni, na kwamba
100 1Cor 10 3 | 3 Wote walikula chakula kilekile cha kiroho,~
101 1Cor 10 19 | kusema nini, basi? Kwamba chakula kilichotambikiwa sanamu
102 1Cor 10 19 | sanamu ni kitu zaidi ya chakula? Na hizo sanamu, je, ni
103 1Cor 10 28 | Lakini mtu akiwaambieni: "Chakula hiki kimetambikiwa sanamu,"
104 1Cor 10 30 | 30 Ikiwa mimi nashiriki chakula hicho huku namshukuru Mungu,
105 1Cor 10 30 | kwa nini nilaumiwe kwa chakula ambacho kwa ajili yake nimemshukuru
106 1Cor 11 20 | lakini si kwa ajili ya kula chakula cha Bwana!~
107 1Cor 11 21 | mnapokula kila mmoja hukikalia chakula chake mwenyewe, hata hutokea
108 1Cor 11 33 | zangu, mnapokutana kula chakula cha Bwana, kila mmoja amngoje
109 2Cor 9 10 | mkulima mbegu na mkate kwa chakula, atawapa ninyi pia mbegu
110 2The 3 8 | 8 hatukula chakula kwa mtu yeyote bila ya kumlipa.
111 1Tim 6 8 | hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika
112 Hebr 5 12 | wa Mungu. Badala ya kula chakula kigumu, mnapaswa bado kunywa
113 Hebr 5 14 | 14 Lakini chakula kigumu ni kwa ajili ya watu
114 Hebr 13 9 | wala si masharti juu ya chakula; masharti hayo hayakumsaidia
115 James 2 15| kaka au dada hana nguo au chakula.~
116 Rev 3 20 | nitaingia nyumbani kwake na kula chakula pamoja naye, naye atakula
|