Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 24| alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.~
2 Matt 2 11| 11 Basi, wakaingia nyumbani, wakamwona yule mtoto pamoja
3 Matt 5 15| iwaangazie wote waliomo nyumbani.~
4 Matt 8 6 | mtumishi wangu amelala nyumbani, mgonjwa wa kupooza na anaumwa
5 Matt 8 8 | Mheshimiwa, sistahili uingie nyumbani mwangu. Lakini sema tu neno,
6 Matt 8 13| huyo ofisa Mroma, "Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini."
7 Matt 8 14| 14 Yesu alifika nyumbani kwa Petro, akamkuta mama
8 Matt 9 6 | chukua kitanda chako, uende nyumbani kwako."~
9 Matt 9 7 | amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake.~
10 Matt 9 10| 10 Yesu alipokuwa nyumbani*fc* ameketi kula chakula,
11 Matt 9 23| 23 Kisha Yesu akaingia nyumbani kwa yule ofisa. Na alipowaona
12 Matt 9 28| 28 Yesu alipoingia nyumbani, vipofu hao wawili wakamwendea,
13 Matt 10 12| 12 Mnapoingia nyumbani wasalimuni wenyeji wake.~
14 Matt 10 36| maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.~
15 Matt 12 44| Hapo hujisemea: `Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka.` Lakini
16 Matt 13 36| aliwaaga wale watu, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamwendea,
17 Matt 13 57| isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake!"~
18 Matt 24 17| yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake.~
19 Matt 26 6 | Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma,~
20 Matt 26 57| waliomkamata Yesu walimpeleka nyumbani kwa Kayafa, Kuhani Mkuu,
21 Mark 1 29| wakaenda moja kwa moja hadi nyumbani kwa Simoni na Andrea; Yakobo
22 Mark 2 1 | wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani.~
23 Mark 2 11| chukua mkeka wako uende nyumbani!"~
24 Mark 2 15| Yesu alikuwa amekaa mezani, nyumbani kwa Lawi, kula chakula.
25 Mark 3 20| 20 Kisha Yesu alikwenda nyumbani. Umati wa watu ukakusanyika
26 Mark 5 19| yake akamwambia, "Nenda nyumbani kwa jamaa yako, ukawaambie
27 Mark 5 35| anaongea, watu walifika kutoka nyumbani kwa yule ofisa wa sunagogi,
28 Mark 5 38| 38 Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye
29 Mark 6 4 | yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake."~
30 Mark 6 10| Popote mtakapokaribishwa nyumbani, kaeni humo mpaka mtakapoondoka
31 Mark 7 17| umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza
32 Mark 7 30| 30 Basi, akaenda nyumbani kwake, akamkuta mtoto amelala
33 Mark 8 3 | 3 Nikiwaacha waende nyumbani wakiwa na njaa watazimia
34 Mark 8 26| Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, "Usirudi kijijini!"~
35 Mark 9 28| 28 Yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza
36 Mark 9 33| Kafarnaumu. Na alipokuwa nyumbani, aliwauliza, "Mlikuwa mnajadiliana
37 Mark 13 15| nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu.~
38 Mark 13 34| Itakuwa kama mtu anayeondoka nyumbani kwenda safari akiwaachia
39 Mark 14 3 | 3 Yesu alikuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, Mkoma. Alipokuwa
40 Luke 1 23| kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani.~
41 Luke 1 24| akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano,
42 Luke 1 56| miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.~
43 Luke 4 38| katika lile sunagogi, akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mmoja,
44 Luke 5 24| kitanda chako uende zako nyumbani."~
45 Luke 5 25| kitanda chake akaenda zake nyumbani huku akimtukuza Mungu.~
46 Luke 5 29| akamwandalia Yesu karamu kubwa nyumbani mwake; na kundi kubwa la
47 Luke 7 6 | Alipokuwa karibu kufika nyumbani kwa yule jemadari Mroma,
48 Luke 7 6 | maana mimi sistahili uingie nyumbani mwangu.~
49 Luke 7 10| 10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi
50 Luke 7 36| alimwalika Yesu kula chakula nyumbani kwake. Akaingia nyumbani
51 Luke 7 36| nyumbani kwake. Akaingia nyumbani mwa huyo Mfarisayo, akakaa
52 Luke 7 37| habari kwamba Yesu yuko nyumbani kwa huyo Mfarisayo, alichukua
53 Luke 7 44| Basi, mimi nilipoingia hapa nyumbani kwako hukunipa maji ya kunawa
54 Luke 8 27| nguo, wala hakuwa anaishi nyumbani bali makaburini.~
55 Luke 8 39| 39 "Rudi nyumbani ukaeleze yote Mungu aliyokutendea."
56 Luke 8 41| pa Yesu, akamwomba aende nyumbani kwake,~
57 Luke 8 49| akaletewa habari kutoka nyumbani: "Binti yako ameshakufa,
58 Luke 8 51| 51 Alipofika nyumbani hakumruhusu mtu kuingia
59 Luke 9 61| kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu."~
60 Luke 10 38| aitwaye Martha, alimkaribisha nyumbani kwake.~
61 Luke 11 37| mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi
62 Luke 14 1 | Yesu alikwenda kula chakula nyumbani kwa mmoja wa viongozi wa
63 Luke 15 6 | 6 Anapofika nyumbani, atawaita rafiki zake akiwaambia, `
64 Luke 15 25| Alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani akasikia vifijo na ngoma.~
65 Luke 15 27| akamwambia: `Ndugu yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia
66 Luke 15 28| hasira hata akakataa kuingia nyumbani. Baba yake akatoka nje na
67 Luke 16 4 | watu waweze kunikaribisha nyumbani kwao.`~
68 Luke 16 27| baba, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu,~
69 Luke 17 31| atakayekuwa juu ya paa asishuke nyumbani kuchukua mali yake. Kadhalika,
70 Luke 18 14| huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amesamehewa. Lakini
71 Luke 19 5 | maana leo ni lazima nishinde nyumbani mwako."~
72 Luke 19 15| Huyo mtu mashuhuri alirudi nyumbani baada ya kufanywa mfalme,
73 Luke 22 54| wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa Kuhani Mkuu. Petro akawa
74 Luke 23 56| 56 Halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato
75 Luke 24 12| akaiona tu ile sanda. Akarudi nyumbani huku akiwa anashangaa juu
76 John 8 35| Mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao
77 John 11 20| kumlaki; lakini Maria alibaki nyumbani.~
78 John 11 31| Basi, Wayahudi waliokuwa nyumbani pamoja na Maria wakimfariji
79 John 14 2 | 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao
80 John 19 27| mwanafunzi alimchukua akae nyumbani kwake.~
81 John 20 10| hao wanafunzi wakarudi nyumbani.~
82 Acts 5 42| Njema ya Kristo, Hekaluni na nyumbani mwa watu.~ ~~ ~
83 Acts 7 20| mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu,~
84 Acts 8 27| alikuwa anasafiri kuelekea nyumbani. Huyo mtu alikuwa ofisa
85 Acts 10 6 | 6 Yeye yumo nyumbani kwa Simoni mtengenezaji
86 Acts 10 7 | aliwaita watumishi wawili wa nyumbani na mmoja wa askari zake
87 Acts 10 22| malaika mtakatifu akualike nyumbani kwake ili asikilize chochote
88 Acts 10 27| Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi
89 Acts 10 32| jina lingine Petroi; yuko nyumbani kwa Simoni mtengenezaji
90 Acts 11 12| Kaisarea na huko tuliingia nyumbani mwa Kornelio.~
91 Acts 11 13| amemwona malaika amesimama nyumbani mwake na kumwambia: `Mtume
92 Acts 12 12| alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa Maria mama yake Yohane
93 Acts 16 15| namwamini Bwana, karibuni nyumbani kwangu mkakae." Akatuhimiza
94 Acts 16 34| akawachukua Paulo na Sila nyumbani kwake, akawapa chakula.
95 Acts 16 40| walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa Ludia. Huko walionana
96 Acts 17 7 | 7 Yasoni amewakaribisha nyumbani kwake. Wote wanafanya kinyume
97 Acts 18 7 | akatoka hapo akaenda kukaa nyumbani kwa mtu mmoja mcha Mungu
98 Acts 20 12| walimchukua yule kijana nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata
99 Acts 20 20| kuwahubiria hadharani na nyumbani mwenu na kuwafundisha chochote
100 Acts 21 8 | Huko Kaisarea tulikwenda nyumbani kwa mhubiri Filipo. Yeye
101 Acts 21 16| pamoja nasi, wakatupeleka nyumbani kwa Mnasoni ambaye tulikuwa
102 Roma 16 5 | kwa kanisa linalokutana nyumbani kwao. Salamu zangu zimfikie
103 Roma 16 10| Salamu zangu kwa wote walio nyumbani mwa Aristobulo.~
104 1Cor 11 22| hamwezi kula na kunywa nyumbani kwenu! Au je, mnalidharau
105 1Cor 11 34| yeyote aliye na njaa, na ale nyumbani kwake, ili kukutana kwenu
106 1Cor 14 35| kuuliza, wawaulize waume zao nyumbani, maana ni aibu kwa mwanamke
107 1Cor 16 19| watu wote wa Mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana
108 Colo 4 15| yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.~
109 1Tim 5 8 | jamaa yake, hasa wale wa nyumbani kwake, basi, mtu huyo ameikana
110 1Tim 5 10| aliyewakaribisha wageni nyumbani kwake, aliyewaosha miguu
111 Titus 2 5| waangalie vizuri mambo ya nyumbani, na wawatii waume zao, ili
112 Phil 1 2 | 2 na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia,
113 1Pet 2 18| 18 Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa
114 2Joh 1 10| mafundisho hayo, msimkaribishe nyumbani kwenu, wala msimsalimu.~
115 Rev 3 20 | kufungua mlango, nitaingia nyumbani kwake na kula chakula pamoja
|