Book, Chapter, Verse
1 Matt 8 6 | 6 akisema, "Mheshimiwa, mtumishi wangu amelala nyumbani,
2 Matt 8 8 | Lakini sema tu neno, na mtumishi wangu atapona.~
3 Matt 8 9 | mwingine, `Njoo!` naye huja; na mtumishi wangu, `Fanya kitu hiki!`
4 Matt 8 13| iwe kama ulivyoamini." Na mtumishi wake akapona saa ileile.~
5 Matt 10 24| kuliko mwalimu wake, wala mtumishi si mkuu kuliko bwana wake.~
6 Matt 10 25| kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa
7 Matt 12 18| 18 "Hapa ni mtumishi wangu niliyemteua, mpendwa
8 Matt 18 26| 26 Basi, huyo mtumishi akapiga magoti mbele yake,
9 Matt 18 28| 28 "Lakini huyo mtumishi akaondoka, akamkuta mmoja
10 Matt 18 29| 29 Huyo mtumishi mwenzake akapiga magoti,
11 Matt 18 32| yule bwana alimwita huyo mtumishi, akamwambia, `Wewe ni mtumishi
12 Matt 18 32| mtumishi, akamwambia, `Wewe ni mtumishi mbaya sana! Uliniomba, nami
13 Matt 18 33| haikukupasa nawe kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?`~
14 Matt 18 34| alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa
15 Matt 20 26| mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote;~
16 Matt 20 27| kwanza kati yenu sharti awe mtumishi wenu.~
17 Matt 23 11| miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu.
18 Matt 24 45| akaendelea kusema, "Ni nani basi mtumishi mwaminifu na mwenye busara,
19 Matt 24 46| 46 Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja
20 Matt 24 47| Kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake
21 Matt 24 48| 48 Lakini kama mtumishi mbaya akijisemea moyoni: `
22 Matt 25 20| 20 Mtumishi aliyekabidhiwa talanta tano
23 Matt 25 21| wake akamwambia, `Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa
24 Matt 25 22| 22 "Mtumishi aliyekabidhiwa talanta mbili
25 Matt 25 23| wake akamwambia, `Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa
26 Matt 25 26| wake akamwambia, `Wewe ni mtumishi mwovu na mvivu! Unajua kuwa
27 Matt 25 30| 30 Na kuhusu huyu mtumishi asiye na faida, mtupeni
28 Matt 26 51| akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa Kuhani Mkuu, akamkata
29 Matt 26 69| ameketi nje uani. Basi, mtumishi mmoja wa kike akamwendea,
30 Matt 26 71| Alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona,
31 Mark 9 35| lazima awe wa mwisho na kuwa mtumishi wa wote."~
32 Mark 10 43| mkuu kati yenu, sharti awe mtumishi wenu.~
33 Mark 10 44| kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.~
34 Mark 12 2 | Wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima akamletee
35 Mark 12 4 | 4 Akatuma tena mtumishi mwingine; huyu wakamuumiza
36 Mark 12 5 | 5 Mwenye shamba akatuma mtumishi mwingine tena, na huyo wakamuua.
37 Mark 14 47| akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa Kuhani Mkuu, akamkata
38 Luke 1 38| Maria akasema, "Mimi ni mtumishi wa Bwana, nitendewe kama
39 Luke 1 48| amemwangalia kwa huruma mtumishi wake mnyenyekevu. Hivyo
40 Luke 1 54| 54 Amemsaidia Israeli mtumishi wake, akikumbuka huruma
41 Luke 1 69| Mwokozi shujaa, mzawa wa Daudi mtumishi wake.~
42 Luke 2 29| ahadi yako, waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani.~
43 Luke 4 20| akafunga kile kitabu, akampa mtumishi, kisha akaketi; watu wote
44 Luke 7 2 | Mroma ambaye alikuwa na mtumishi wake aliyempenda sana. Huyu
45 Luke 7 2 | wake aliyempenda sana. Huyu mtumishi alikuwa mgonjwa karibu kufa.~
46 Luke 7 3 | waende kumwomba aje amponye mtumishi wake.~
47 Luke 7 7 | kuja kwako; amuru tu, na mtumishi wangu atapona.~
48 Luke 7 8 | naye huja; na nikimwambia mtumishi wangu, `Fanya hiki!`, hufanya."~
49 Luke 7 10| nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa.~
50 Luke 7 27| Maandiko Matakatifu: `Hapa ni mtumishi wangu, asema Bwana; ninamtuma
51 Luke 12 42| akajibu, "Ni nani basi, mtumishi aliye mwaminifu na mwenye
52 Luke 12 43| 43 Heri yake mtumishi huyo ikiwa bwana wake atakaporudi
53 Luke 12 45| 45 Lakini, kama mtumishi huyo atafikiri moyoni mwake:
54 Luke 12 47| 47 Mtumishi ambaye anajua matakwa ya
55 Luke 14 17| karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake awaambie walioalikwa, `
56 Luke 14 18| radhi. Wa kwanza akamwambia mtumishi: `Nimenunua shamba, kwa
57 Luke 14 21| 21 Mtumishi huyo akarudi na kumwarifu
58 Luke 14 21| alikasirika, akamwambia mtumishi wake: `Nenda upesi kwenye
59 Luke 14 22| 22 Baadaye, mtumishi huyo akasema: `Bwana mambo
60 Luke 14 23| 23 Yule bwana akamwambia mtumishi: `Nenda katika barabara
61 Luke 15 27| 27 Huyo mtumishi akamwambia: `Ndugu yako
62 Luke 16 13| 13 "Hakuna mtumishi awezaye kuwatumikia mabwana
63 Luke 17 7 | 7 "Tuseme mmoja wenu ana mtumishi ambaye analima shambani
64 Luke 17 9 | 9 Je utamshukuru huyo mtumishi kwa sababu ametimiza aliyoamriwa?~
65 Luke 19 16| 16 Mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: `
66 Luke 19 17| akamwambia: `Vema; wewe ni mtumishi mwema. Kwa kuwa umekuwa
67 Luke 19 18| 18 Mtumishi wa pili akaja, akasema: `
68 Luke 19 20| 20 "Mtumishi mwingine akaja, akasema: `
69 Luke 19 22| kutokana na msemo wako, ewe mtumishi mbaya! Ulijua kwamba mimi
70 Luke 20 10| mavuno, mtu huyo alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima,
71 Luke 20 10| wale wakulima wakampiga mtumishi huyo wakamrudisha mikono
72 Luke 20 11| Yule bwana akamtuma tena mtumishi mwingine; lakini wao wakampiga
73 Luke 22 26| kiongozi lazima awe kama mtumishi.~
74 Luke 22 27| niko hapa kati yenu kama mtumishi.~
75 Luke 22 50| mmoja wao akampiga upanga mtumishi wa Kuhani Mkuu, akamkata
76 John 12 26| pale nilipo mimi ndipo na mtumishi wangu atakapokuwa. Mtu yeyote
77 John 13 16| 16 Kweli nawaambieni, mtumishi si mkuu zaidi kuliko bwana
78 John 15 15| siwaiti tena watumishi, maana mtumishi hajui anachofanya bwana
79 John 15 20| Kumbukeni niliyowaambieni: mtumishi si mkuu zaidi kuliko bwana
80 John 18 10| akamkata sikio la kulia mtumishi wa Kuhani Mkuu. Mtumishi
81 John 18 10| mtumishi wa Kuhani Mkuu. Mtumishi huyo aliitwa Malko.~
82 Acts 3 13| baba zetu amemtukuza Yesu mtumishi wake. Yeye ndiye yuleyule
83 Acts 3 26| kwanza kwamba Mungu alimfufua mtumishi wake, alimtuma awabariki
84 Acts 4 25| 25 Ndiwe uliyemfanya mtumishi wako, babu yetu Daudi, aseme
85 Acts 4 27| hapa mjini, kumpinga Yesu Mtumishi wako Mtakatifu ambaye umemtia
86 Acts 4 30| maajabu kwa jina la Yesu Mtumishi wako Mtakatifu."~
87 Acts 12 13| alibisha mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda,
88 Acts 22 14| matakwa yake na kumwona yule mtumishi wake mwadilifu na kumsikia
89 Acts 26 16| ili nikuweke rasmi kuwa mtumishi wangu. Utawathibitishia
90 Roma 1 1 | Kutoka kwangu mimi Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, na mtume
91 Roma 13 4 | 4 maana yeye ni mtumishi wa Mungu anayefanya kazi
92 Roma 13 4 | wa kutoa adhabu. Yeye ni mtumishi wa Mungu na huitekeleza
93 Roma 14 4 | hata uthubutu kumhukumu mtumishi wa mwingine? Akisimama au
94 Roma 15 16| 16 ya kuwa mtumishi wa Yesu Kristo kwa watu
95 Roma 16 1 | dada yetu Foibe ambaye ni mtumishi katika kanisa la Kenkrea.~
96 2Cor 11 23| nanena hayo kiwazimu - ni mtumishi wa Kristo zaidi kuliko wao.
97 Gala 1 10| hivyo, mimi singekuwa kamwe mtumishi wa Kristo.~
98 Ephe 3 7 | 7 Mimi nimefanywa kuwa mtumishi wa Habari Njema kwa neema
99 Ephe 6 21| Tukiko, ndugu yetu mpenzi na mtumishi mwaminifu wa Bwana, atawapeni
100 Colo 1 7 | Mungu kutoka kwa Epafra, mtumishi mwenzetu, ambaye ni mfanyakazi
101 Colo 1 23| Njema. Mimi Paulo nimekuwa mtumishi wa hiyo Habari Njema ambayo
102 Colo 1 25| 25 Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango
103 Colo 4 7 | mfanyakazi mwaminifu na mtumishi mwenzetu katika kazi ya
104 Colo 4 12| Epafra, mwananchi mwenzenu na mtumishi wa Kristo Yesu anawasalimuni.
105 1Tim 4 6 | wote maagizo haya, utakuwa mtumishi mwema wa Kristo Yesu, ukijiendeleza
106 2Tim 2 24| 24 Mtumishi wa Bwana asigombane. Anapaswa
107 Titus 1 1| 1 Mimi Paulo, mtumishi wa Mungu na mtume wa Yesu
108 Hebr 3 5 | nyumba yote ya Bwana kama mtumishi, na alinena juu ya mambo
109 James 1 1| 1 Mimi Yakobo, mtumishi wa Mungu na wa Bwana Yesu
110 2Pet 1 1 | 1 Mimi Simoni Petro, mtumishi na mtume wa Yesu Kristo,
111 Jude 1 1 | 1 Mimi Yuda, mtumishi wa Yesu Kristo, ndugu yake
112 Rev 1 1 | malaika wake amjulishe Yohane, mtumishi wake, mambo hayo,~
113 Rev 15 3 | wakiimba wimbo wa Mose, mtumishi wa Mungu, na wimbo wa Mwanakondoo: "
114 Rev 19 10 | akaniambia, "Acha! Mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako;
115 Rev 22 9 | akaniambia, "Acha! Mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako
|