Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mumtukuze 1
mumwombacho 1
mundu 8
mungu 1896
mura 1
musia 2
muua 1
Frequency    [«  »]
3891 ya
3609 kwa
3110 wa
1896 mungu
1477 yesu
1473 watu
1440 ni

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

mungu

1-500 | 501-1000 | 1001-1500 | 1501-1896

     Book, Chapter, Verse
1501 Hebr 10 36 | mweze kufanya anayotaka Mungu na kupokea kile alichoahidi.~ 1502 Hebr 11 2 | kale walipata kibali cha Mungu kwa sababu ya imani yao.~ 1503 Hebr 11 3 | ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu; vitu vinavyoonekana kutoka 1504 Hebr 11 4 | Kwa imani Abeli alimtolea Mungu dhabihu iliyokuwa bora zaidi 1505 Hebr 11 4 | imani yake alikubaliwa na Mungu kuwa mwadilifu; Mungu mwenyewe 1506 Hebr 11 4 | na Mungu kuwa mwadilifu; Mungu mwenyewe alizikubali sadaka 1507 Hebr 11 5 | imani Henoki alichukuliwa na Mungu, asipate kufa. Hakuonekana 1508 Hebr 11 5 | Hakuonekana tena kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. Maandiko 1509 Hebr 11 5 | yeye alikuwa amempendeza Mungu.~ 1510 Hebr 11 6 | imani haiwezekani kumpendeza Mungu. Kwa maana kila mtu anayemwendea 1511 Hebr 11 6 | maana kila mtu anayemwendea Mungu ni lazima aamini kwamba 1512 Hebr 11 6 | ni lazima aamini kwamba Mungu yuko, na kwamba huwatuza 1513 Hebr 11 7 | Kwa imani Noa alionywa na Mungu juu ya mambo ya baadaye 1514 Hebr 11 7 | hakuweza kuyaona bado. Alimtii Mungu, akajenga ile safina ambamo 1515 Hebr 11 8 | Kwa imani Abrahamu alimtii Mungu alipoitwa aende katika nchi 1516 Hebr 11 8 | aende katika nchi ambayo Mungu angempa iwe yake. Ingawa 1517 Hebr 11 9 | katika nchi aliyoahidiwa na Mungu. Aliishi huko katika hema 1518 Hebr 11 10 | misingi imara, mji ambao Mungu mwenyewe ndiye fundi aliyeubuni 1519 Hebr 11 11 | hata Sara aliamini kwamba Mungu hutimiza ahadi zake, kwa 1520 Hebr 11 13 | ya kupokea mambo ambayo Mungu alikuwa ameahidi, lakini 1521 Hebr 11 16 | ya mbinguni. Ndiyo maana Mungu haoni haya wakimwita yeye 1522 Hebr 11 16 | haoni haya wakimwita yeye Mungu wao, kwa sababu yeye mwenyewe 1523 Hebr 11 17 | mwanae Isaka sadaka wakati Mungu alipomjaribu. Huyo Abrahamu 1524 Hebr 11 17 | aliyekuwa amepokea ahadi ya Mungu, lakini, hata hivyo, alikubali 1525 Hebr 11 18 | 18 ingawa Mungu alikuwa amemwambia: "Wazawa 1526 Hebr 11 19 | Abrahamu aliamini kwamba Mungu anaweza kuwafufua wafu: 1527 Hebr 11 21 | wana wa Yosefu, akamwabudu Mungu akiegemea ile fimbo yake.~ 1528 Hebr 11 25 | kuteseka pamoja na watu wa Mungu kuliko kufurahia raha ya 1529 Hebr 11 27 | kama mtu aliyemwona yule Mungu asiyeonekana.~ 1530 Hebr 11 31 | pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha 1531 Hebr 11 33 | wakapokea yale aliyoahidi Mungu. Walifunga vinywa vya simba,~ 1532 Hebr 11 39 | hawakupokea yale ambayo Mungu aliwaahidia,~ 1533 Hebr 11 40 | 40 maana Mungu alikuwa ameazimia mpango 1534 Hebr 12 2 | kulia wa kiti cha enzi cha Mungu.~ 1535 Hebr 12 5 | maneno ya kutia moyo ambayo Mungu anawataja ninyi kuwa wanawe? " 1536 Hebr 12 7 | adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea ninyi kama wanawe. 1537 Hebr 12 10 | walivyoona kuwa vema; lakini Mungu anatuadhibu kwa ajili ya 1538 Hebr 12 15 | asije akapoteza neema ya Mungu. Muwe waangalifu ili mti 1539 Hebr 12 16 | mwasherati au mtu asiyemcha Mungu kama Esau, aliyeuza haki 1540 Hebr 12 22 | wa Sioni, kwenye mji wa Mungu aliye hai. Mmefika Yerusalemu, 1541 Hebr 12 23 | la wazaliwa wa kwanza wa Mungu, ambao majina yao yameandikwa 1542 Hebr 12 23 | mbinguni. Mnasimama mbele ya Mungu aliye hakimu wa wote, na 1543 Hebr 12 28 | na shukrani na kumwabudu Mungu kwa namna itakayompendeza, 1544 Hebr 12 29 | 29 maana Mungu wetu kweli ni moto mkali 1545 Hebr 13 4 | zitekelezwe kwa uaminifu. Mungu atawahukumu waasherati na 1546 Hebr 13 5 | vile vitu mlivyo navyo. Mungu mwenyewe amesema: "Sitakuacha 1547 Hebr 13 7 | waliowatangazieni ujumbe wa Mungu. Fikirieni juu ya mwenendo 1548 Hebr 13 9 | tofauti ya kigeni. Neema ya Mungu ndiyo inayoimarisha roho 1549 Hebr 13 15 | kwa njia ya Yesu, tumtolee Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani 1550 Hebr 13 16 | ndizo dhabihu zinazompendeza Mungu.~ 1551 Hebr 13 17 | ya utumishi wao mbele ya Mungu. Kama mkiwatii watafanya 1552 Hebr 13 19 | Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo.~ 1553 Hebr 13 20 | 20 Mungu amemfufua Bwana wetu Yesu 1554 Hebr 13 21 | 21 Mungu wa amani awakamilishe katika 1555 Hebr 13 24 | wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni.~ 1556 Hebr 13 25 | Tunawatakieni nyote neema ya Mungu.~ 1557 James 1 1 | Mimi Yakobo, mtumishi wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo, 1558 James 1 5 | basi, anapaswa kumwomba Mungu ambaye atampatia; kwani 1559 James 1 5 | ambaye atampatia; kwani Mungu huwapa wote kwa wingi na 1560 James 1 9 | anapaswa kufurahi wakati Mungu anapomkweza,~ 1561 James 1 10| kufurahi anaposhushwa na Mungu. Maana tajiri atatoweka 1562 James 1 12| atapewa tuzo la uzima ambalo Mungu aliwaahidia wale wanaompenda.~ 1563 James 1 13| asiseme: "Ninajaribiwa na Mungu." Maana Mungu hawezi kujaribiwa 1564 James 1 13| Ninajaribiwa na Mungu." Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, 1565 James 1 20| hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki.~ 1566 James 1 21| mbovu; jiwekeni chini ya Mungu na kupokea ule ujumbe uliopandwa 1567 James 1 27| isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia 1568 James 2 5 | zangu wapenzi, sikilizeni! Mungu amechagua watu ambao ni 1569 James 2 13| 13 Maana, Mungu hatakuwa na huruma atakapomhukumu 1570 James 2 19| wewe unaamini kwamba yuko Mungu mmoja? Sawa! Lakini hata 1571 James 2 21| alipataje kukubalika mbele yake Mungu? Kwa matendo yake, wakati 1572 James 2 23| yasemayo: "Abrahamu alimwamini Mungu na kwa imani yake akakubaliwa 1573 James 2 23| Abrahamu akaitwa rafiki wa Mungu."~ 1574 James 3 9 | ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu.~ 1575 James 4 2 | kwa sababu hamkiombi kwa Mungu.~ 1576 James 4 4 | ulimwengu ni kuwa adui wa Mungu? Yeyote anayetaka kuwa rafiki 1577 James 4 4 | ulimwengu anajifanya adui wa Mungu.~ 1578 James 4 5 | yanaposema: "Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu ana 1579 James 4 6 | Lakini, neema tunayopewa na Mungu ina nguvu zaidi; kama yasemavyo 1580 James 4 6 | kama yasemavyo Maandiko: "Mungu huwapinga wenye majivuno 1581 James 4 7 | Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni.~ 1582 James 4 8 | 8 Mkaribieni Mungu, naye atakuja karibu nanyi. 1583 James 4 12| 12 Mungu peke yake ndiye mwenye kuweka 1584 James 5 9 | ninyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari 1585 James 5 12| na hapo hamtahukumiwa na Mungu.~ 1586 1Pet 1 1 | nawaandikia ninyi wateule wa Mungu Baba, ambao mmetawanyika 1587 1Pet 1 2 | 2 Mungu Baba aliwateua ninyi kufuatana 1588 1Pet 1 3 | 3 Asifiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu 1589 1Pet 1 4 | kupata baraka zile ambazo Mungu aliwawekea watu wake. Mungu 1590 1Pet 1 4 | Mungu aliwawekea watu wake. Mungu amewawekeeni baraka hizo 1591 1Pet 1 5 | mnalindwa salama kwa nguvu ya Mungu kwa ajili ya wokovu ambao 1592 1Pet 1 12 | 12 Mungu aliwafunulia kwamba wakati 1593 1Pet 1 14 | 14 Kama watoto wa Mungu wenye utii, msikubali kamwe 1594 1Pet 1 17 | 17 Mnapomtaja Mungu ninyi humwita Baba. Basi, 1595 1Pet 1 17 | hapa ugenini katika kumcha Mungu.~ 1596 1Pet 1 20 | Yeye alikuwa ameteuliwa na Mungu kabla ya ulimwengu kuumbwa, 1597 1Pet 1 21 | njia yake, ninyi mnamwamini Mungu aliyemfufua kutoka wafu 1598 1Pet 1 21 | matumaini yenu yako kwa Mungu.~ 1599 1Pet 1 23 | kwa njia ya neno hai la Mungu, ninyi mmezaliwa upya, si 1600 1Pet 2 4 | na watu; lakini mbele ya Mungu ni jiwe teule, na la thamani 1601 1Pet 2 5 | kiroho zenye kumpendeza Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.~ 1602 1Pet 2 9 | taifa takatifu; watu wake Mungu mwenyewe, mlioteuliwa kutangaza 1603 1Pet 2 9 | kutangaza matendo makuu ya Mungu aliyewaiteni kutoka gizani 1604 1Pet 2 10 | mmoja ninyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa ninyi ni watu 1605 1Pet 2 10 | mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmeipokea.~ 1606 1Pet 2 12 | wenu kati ya watu wasiomjua Mungu unapaswa kuwa mwema kabisa, 1607 1Pet 2 12 | mema na hivyo wamtukuze Mungu Siku ya kuja kwake.~ 1608 1Pet 2 15 | 15 Maana Mungu anataka mweze kuyakomesha 1609 1Pet 2 16 | ishini kama watumishi wa Mungu.~ 1610 1Pet 2 17 | ndugu zenu waumini, mcheni Mungu, mheshimuni mfalme.~ 1611 1Pet 2 19 | kwa sababu mwajua kwamba Mungu anataka hivyo, basi Mungu 1612 1Pet 2 19 | Mungu anataka hivyo, basi Mungu atawafadhili.~ 1613 1Pet 2 20 | hata ingawa mmetenda mema, Mungu atawapeni baraka kwa ajili 1614 1Pet 2 23 | aliyaweka matumaini yake kwa Mungu, hakimu mwenye haki.~ 1615 1Pet 3 1 | wowote wasioamini neno la Mungu, wapate kuamini kwa kuuona 1616 1Pet 3 2 | ulivyo safi na wa kumcha Mungu.~ 1617 1Pet 3 4 | wa thamani kubwa mbele ya Mungu.~ 1618 1Pet 3 5 | waadilifu waliomtumainia Mungu; walijiweka chini ya mamlaka 1619 1Pet 3 7 | zawadi ya uzima anayowapeni Mungu. Hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.~ 1620 1Pet 3 9 | maana ninyi mliitwa na Mungu mpate kupokea baraka.~ 1621 1Pet 3 17 | sababu ya kutenda mema, kama Mungu akipenda, kuliko kuteseka 1622 1Pet 3 18 | ili awapeleke ninyi kwa Mungu. Aliuawa kimwili lakini 1623 1Pet 3 20 | ndio wale waliokataa kumtii Mungu alipowangoja kwa saburi 1624 1Pet 3 21 | mwilini, bali ni ahadi kwa Mungu inayofanyika katika dhamiri 1625 1Pet 3 22 | amekaa upande wa kulia wa Mungu, anatawala juu ya malaika, 1626 1Pet 4 2 | kuongozwa na matakwa ya Mungu, si na tamaa za kibinadamu.~ 1627 1Pet 4 3 | wanayofanya watu wasiomjua Mungu. Mliishi maisha ya anasa, 1628 1Pet 4 4 | Sasa, watu hao wasiomjua Mungu wanashangaa wanapoona kwamba 1629 1Pet 4 5 | ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu 1630 1Pet 4 6 | kiroho waishi kama aishivyo Mungu.~ 1631 1Pet 4 10 | kutumia kipaji alichojaliwa na Mungu kwa faida ya wengine, kama 1632 1Pet 4 10 | wa zawadi mbalimbali za Mungu.~ 1633 1Pet 4 11 | yake na yawe kama maneno ya Mungu; anayetumika anapaswa kutumikia 1634 1Pet 4 11 | kwa nguvu anayojaliwa na Mungu, ili katika mambo yote, 1635 1Pet 4 11 | ili katika mambo yote, Mungu atukuzwe kwa njia ya Yesu 1636 1Pet 4 14 | Roho mtukufu, yaani Roho wa Mungu, anakaa juu yetu.~ 1637 1Pet 4 16 | asione aibu, bali amtukuze Mungu, kwa sababu mtu huyo anaitwa 1638 1Pet 4 17 | hiyo inaanza na watu wake Mungu mwenyewe. Ikiwa hukumu hiyo 1639 1Pet 4 17 | wasioamini Habari Njema ya Mungu?~ 1640 1Pet 4 18 | itakuwaje basi kwa wasiomcha Mungu na wenye dhambi?"~ 1641 1Pet 4 19 | kufuatana na matakwa ya Mungu, wanapaswa, kwa matendo 1642 1Pet 5 2 | mlichunge lile kundi la Mungu mlilokabidhiwa, mlitunze 1643 1Pet 5 2 | kwa hiari kama atakavyo Mungu. Fanyeni kazi hiyo si kwa 1644 1Pet 5 5 | Maandiko Matakatifu yasema: "Mungu huwapinga wenye majivuno, 1645 1Pet 5 6 | chini ya mkono wa enzi wa Mungu, ili awainue wakati ufaao.~ 1646 1Pet 5 10 | mkisha teseka muda mfupi, Mungu aliye asili ya neema yote 1647 1Pet 5 12 | kwamba jambo hili ni neema ya Mungu kweli. Kaeni imara katika 1648 1Pet 5 13 | wenzenu walioteuliwa na Mungu hapa Babuloni wanawasalimuni. 1649 2Pet 1 1 | ninyi ambao, kwa wema wake Mungu wetu, na Mwokozi Yesu Kristo, 1650 2Pet 1 2 | amani tele katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.~ 1651 2Pet 1 3 | Kwa uwezo wake wa kimungu, Mungu ametujalia mambo yote tunayohitaji, 1652 2Pet 1 3 | tuishi maisha ya kumcha Mungu kwa kumjua yeye aliyetuita 1653 2Pet 1 6 | kuwa na kiasi, uchaji wa Mungu katika uvumilivu wenu,~ 1654 2Pet 1 10 | huo wito wenu mlioitiwa na Mungu uwe jambo la kudumu katika 1655 2Pet 1 17 | heshima na kutukuzwa na Mungu Baba, wakati sauti ilipomjia 1656 2Pet 1 21 | watu walinena ujumbe wa Mungu wakiongozwa na Roho Mtakatifu.~~ ~ 1657 2Pet 2 4 | Malaika walipotenda dhambi, Mungu hakuwahurumia, bali aliwatupa 1658 2Pet 2 5 | 5 Mungu hakuihurumia dunia ya hapo 1659 2Pet 2 5 | nchi ile ya watu wasiomcha Mungu; lakini Noa ambaye alihubiri 1660 2Pet 2 5 | ambaye alihubiri uadilifu, Mungu alimwokoa pamoja na watu 1661 2Pet 2 6 | 6 Mungu aliadhibu miji ya Sodoma 1662 2Pet 2 6 | yatakayowapata watu wasiomcha Mungu.~ 1663 2Pet 2 9 | majaribu watu wanaomcha Mungu, na jinsi ya kuwaweka waovu 1664 2Pet 2 14 | Wapo chini ya laana ya Mungu!~ 1665 2Pet 3 5 | makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na 1666 2Pet 3 7 | zahifadhiwa kwa neno la Mungu kwa ajili ya kuharibiwa 1667 2Pet 3 7 | ile ambapo watu wasiomcha Mungu watahukumiwa na kuangamizwa.~ 1668 2Pet 3 11 | kuishi kitakatifu na kumcha Mungu,~ 1669 2Pet 3 12 | 12 mkiingojea Siku ile ya Mungu na kuifanya ije upesi - 1670 2Pet 3 14 | kabisa bila hatia mbele ya Mungu, na kuwa na amani naye.~ 1671 2Pet 3 15 | akitumia hekima aliyopewa na Mungu.~ 1672 1Joh 1 5 | tunayowahubirieni ndiyo hii: Mungu ni mwanga na hamna giza 1673 1Joh 1 9 | tukiziungama dhambi zetu, basi Mungu ni mwaminifu na mwadilifu, 1674 1Joh 1 10 | dhambi, tutakuwa tumemfanya Mungu mwongo, na neno lake halimo 1675 1Joh 2 3 | 3 Tukizitii amri za Mungu, basi, tunaweza kuwa na 1676 1Joh 2 5 | yeyote anayeshika neno la Mungu, huyo ndiye aliye na upendo 1677 1Joh 2 5 | aliye na upendo kamili wa Mungu ndani yake. Hivi ndivyo 1678 1Joh 2 6 | anayesema kwamba ameungana na Mungu, anapaswa kuishi kama alivyoishi 1679 1Joh 2 14 | sababu mna nguvu; neno la Mungu limo ndani yenu na mmemshinda 1680 1Joh 2 17 | lakini mtu atendaye atakalo Mungu, anaishi milele.~ 1681 1Joh 2 29 | mambo adili ni mtoto wa Mungu.~~ ~ 1682 1Joh 3 1 | hata tunaitwa watoto wa Mungu! Na kweli, ndivyo tulivyo. 1683 1Joh 3 1 | haututambui sisi, kwani haumjui Mungu.~ 1684 1Joh 3 2 | wangu, sisi ni watoto wa Mungu sasa, lakini bado haijaonekana 1685 1Joh 3 4 | dhambi anavunja sheria ya Mungu, maana dhambi ni uvunjaji 1686 1Joh 3 8 | mwanzo. Lakini Mwana wa Mungu alikuja duniani kuiharibu 1687 1Joh 3 9 | 9 Kila aliye mtoto wa Mungu hatendi dhambi, maana anayo 1688 1Joh 3 9 | sababu yeye ni mtoto wa Mungu.~ 1689 1Joh 3 10 | ndugu yake, huyo si mtoto wa Mungu. Hiyo ndiyo tofauti iliyoko 1690 1Joh 3 10 | iliyoko kati ya watoto wa Mungu na watoto wa Ibilisi.~ 1691 1Joh 3 17 | kusema kwamba anampenda Mungu?~ 1692 1Joh 3 19 | hatutakuwa na wasiwasi mbele ya Mungu.~ 1693 1Joh 3 20 | yatuhukumu, twajua kwamba Mungu ni mkuu zaidi kuliko dhamiri, 1694 1Joh 3 21 | kuwa na uthabiti mbele ya Mungu,~ 1695 1Joh 3 24 | 24 Anayezitii amri za Mungu anaishi katika muungano 1696 1Joh 3 24 | anaishi katika muungano na Mungu na Mungu anaishi katika 1697 1Joh 3 24 | katika muungano na Mungu na Mungu anaishi katika muungano 1698 1Joh 3 24 | Kwa njia ya Roho ambaye Mungu ametujalia, sisi twajua 1699 1Joh 3 24 | ametujalia, sisi twajua kwamba Mungu anaishi katika muungano 1700 1Joh 4 1 | asemaye kwamba ana Roho wa Mungu, bali chunguzeni kwa makini 1701 1Joh 4 1 | mtu anaongozwa na Roho wa Mungu au la, Maana manabii wengi 1702 1Joh 4 2 | mtu anaongozwa na Roho wa Mungu: Kila anayekiri kwamba Kristo 1703 1Joh 4 2 | mtu huyo anaye Roho wa Mungu.~ 1704 1Joh 4 3 | hana huyo Roho atokaye kwa Mungu. Mtu huyo ana roho ambaye 1705 1Joh 4 4 | Lakini ninyi, watoto, ni wake Mungu na mmekwisha washinda hao 1706 1Joh 4 6 | 6 Lakini sisi ni wake Mungu. Mtu anayemjua Mungu hutusikiliza, 1707 1Joh 4 6 | wake Mungu. Mtu anayemjua Mungu hutusikiliza, mtu asiye 1708 1Joh 4 6 | hutusikiliza, mtu asiye wa Mungu hatusikilizi. Basi, kwa 1709 1Joh 4 7 | maana upendo hutoka kwa Mungu. Kila mtu aliye na upendo 1710 1Joh 4 7 | aliye na upendo ni mtoto wa Mungu, na anamjua Mungu.~ 1711 1Joh 4 7 | mtoto wa Mungu, na anamjua Mungu.~ 1712 1Joh 4 8 | Mtu asiye na upendo hamjui Mungu, maana Mungu ni upendo.~ 1713 1Joh 4 8 | upendo hamjui Mungu, maana Mungu ni upendo.~ 1714 1Joh 4 9 | 9 Na Mungu alionyesha upendo wake kwetu 1715 1Joh 4 10 | sisi tulikuwa tumempenda Mungu kwanza, bali kwamba yeye 1716 1Joh 4 11 | 11 Wapenzi wangu, ikiwa Mungu alitupenda hivyo, basi, 1717 1Joh 4 12 | Hakuna mtu aliyekwisha mwona Mungu kamwe; lakini kama tukipendana 1718 1Joh 4 12 | lakini kama tukipendana Mungu anaishi katika muungano 1719 1Joh 4 13 | tunaishi katika umoja na Mungu, naye Mungu anaishi katika 1720 1Joh 4 13 | katika umoja na Mungu, naye Mungu anaishi katika umoja nasi, 1721 1Joh 4 15 | kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu anaishi katika muungano 1722 1Joh 4 15 | Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu anaishi katika muungano 1723 1Joh 4 15 | anaishi katika muungano na Mungu.~ 1724 1Joh 4 16 | tunaamini upendo alio nao Mungu kwetu sisi. Mungu ni upendo, 1725 1Joh 4 16 | alio nao Mungu kwetu sisi. Mungu ni upendo, na kila mtu aishiye 1726 1Joh 4 16 | anaishi katika muungano na Mungu, na Mungu anaishi katika 1727 1Joh 4 16 | katika muungano na Mungu, na Mungu anaishi katika muungano 1728 1Joh 4 19 | Sisi tuna upendo kwa sababu Mungu alitupenda kwanza.~ 1729 1Joh 4 20 | akisema kwamba anampenda Mungu, hali anamchukia ndugu yake, 1730 1Joh 4 20 | anamwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hamwoni.~ 1731 1Joh 4 21 | aliyotupa Kristo: Anayempenda Mungu anapaswa pia kumpenda ndugu 1732 1Joh 5 1 | Kristo, huyo ni mtoto wa Mungu; na, anayempenda mzazi humpenda 1733 1Joh 5 2 | kwamba tunawapenda watoto wa Mungu: Kwa kumpenda Mungu na kuzitii 1734 1Joh 5 2 | watoto wa Mungu: Kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake;~ 1735 1Joh 5 3 | 3 maana kumpenda Mungu ni kuzitii amri zake. Na, 1736 1Joh 5 4 | maana kila aliye mtoto wa Mungu anaweza kuushinda ulimwengu. 1737 1Joh 5 5 | kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.~ 1738 1Joh 5 9 | wa binadamu, ushahidi wa Mungu una uzito zaidi; na huu 1739 1Joh 5 9 | huu ndio ushahidi alioutoa Mungu mwenyewe juu ya Mwanae.~ 1740 1Joh 5 10 | 10 Anayemwamini mwana wa Mungu anao ushahidi huo ndani 1741 1Joh 5 10 | yake; lakini asiyemwamini Mungu, anamfanya yeye kuwa mwongo, 1742 1Joh 5 10 | hakuamini ushahidi alioutoa Mungu juu ya Mwanae.~ 1743 1Joh 5 11 | ushahidi wenyewe ndio huu: Mungu alitupatia uzima wa milele, 1744 1Joh 5 12 | Yeyote, aliye na Mwana wa Mungu anao uzima huo; asiye na 1745 1Joh 5 12 | uzima huo; asiye na Mwana wa Mungu, hana uzima.~ 1746 1Joh 5 13 | mnaoamini kwa jina la Mwana wa Mungu.~ 1747 1Joh 5 14 | sisi tuko thabiti mbele ya Mungu kwani tuna hakika kwamba 1748 1Joh 5 16 | kifo anapaswa kumwombea kwa Mungu, naye Mungu atampatia uzima. 1749 1Joh 5 16 | kumwombea kwa Mungu, naye Mungu atampatia uzima. Nasema 1750 1Joh 5 16 | kwamba mnapaswa kumwomba Mungu kwa ajili ya hiyo.~ 1751 1Joh 5 18 | kwamba kila aliye mtoto wa Mungu hatendi dhambi, kwa sababu 1752 1Joh 5 18 | dhambi, kwa sababu Mwana wa Mungu humlinda salama, na yule 1753 1Joh 5 19 | Tunajua kwamba sisi ni wake Mungu ingawa ulimwengu wote unatawaliwa 1754 1Joh 5 20 | Twajua pia kwamba Mwana wa Mungu amekuja, akatupa elimu ili 1755 1Joh 5 20 | akatupa elimu ili tumjue Mungu wa kweli; tuishi katika 1756 1Joh 5 20 | tuishi katika muungano na Mungu wa kweli - katika muungano 1757 1Joh 5 20 | Yesu Kristo. Huyu ndiye Mungu wa kweli, na huu ndio uzima 1758 2Joh 1 3 | huruma na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, 1759 2Joh 1 6 | kuishi kwa kuzitii amri zake Mungu. Amri niliyoisikia tangu 1760 2Joh 1 9 | Kristo, bali anayakiuka, hana Mungu. Lakini anayedumu katika 1761 3Joh 1 6 | kwa namna itakayompendeza Mungu,~ 1762 3Joh 1 11 | Kila atendaye mema ni wa Mungu; lakini anayetenda mabaya 1763 3Joh 1 11 | mabaya hajapata kumwona Mungu.~ 1764 Jude 1 1 | nawaandikia ninyi mlioitwa na Mungu na ambao mnaishi katika 1765 Jude 1 1 | mnaishi katika upendo wa Mungu Baba, na katika ulinzi wa 1766 Jude 1 3 | kwa ajili ya imani ambayo Mungu amewajalia watu wake mara 1767 Jude 1 4 | 4 Maana watu wasiomcha Mungu wamepata kujiingiza kwa 1768 Jude 1 4 | wanaupotosha ujumbe wa neema ya Mungu wetu na kumkana Yesu Kristo 1769 Jude 1 6 | wakayaacha makao yao ya asili, Mungu amewafunga gizani kwa minyororo 1770 Jude 1 8 | wenyewe, kuyadharau mamlaka ya Mungu na kuvitukana viumbe vitukufu 1771 Jude 1 13 | zinazotangatanga, ambao Mungu amewawekea mahali pao milele 1772 Jude 1 19 | kidunia, watu wasio na Roho wa Mungu.~ 1773 Jude 1 21 | kubaki katika upendo wa Mungu, mkiwa mnamngojea Bwana 1774 Jude 1 25 | kwake yeye aliye peke yake Mungu, Mkombozi wetu, uwe utukufu, 1775 Rev 1 1 | yalifunuliwa na Yesu Kristo. Mungu alimpa Kristo ufunuo huu 1776 Rev 1 2 | taarifa yake kuhusu ujumbe wa Mungu na ukweli uliofunuliwa na 1777 Rev 1 6 | wa makuhani, tumtumikie Mungu, Baba yake. Kwake Yesu Kristo 1778 Rev 1 8 | Alfa na Omega," asema Bwana Mungu Mwenye Uwezo, aliyeko, aliyekuwako 1779 Rev 1 9 | sababu ya kuhubiri ujumbe wa Mungu na ukweli wa Yesu.~ 1780 Rev 2 7 | ulioko ndani ya bustani ya Mungu.~ 1781 Rev 2 18 | ndio ujumbe wa Mwana wa Mungu, ambaye macho yake yametameta 1782 Rev 2 20 | Yezabeli anayejiita nabii wa Mungu. Yeye huwafundisha na kuwapotosha 1783 Rev 3 1 | yeye aliye na roho saba za Mungu na nyota saba. Nayajua mambo 1784 Rev 3 2 | kuwa ni makamilifu mbele ya Mungu wangu.~ 1785 Rev 3 12 | minara katika Hekalu la Mungu wangu, na hawatatoka humo 1786 Rev 3 12 | nitaandika juu yao jina la Mungu wangu na jina la mji wa 1787 Rev 3 12 | wangu na jina la mji wa Mungu wangu, yaani Yerusalemu 1788 Rev 3 12 | kutoka juu mbinguni kwa Mungu wangu. Tena nitaandika juu 1789 Rev 3 14 | viumbe vyote alivyoumba Mungu.~ 1790 Rev 4 5 | Taa hizo ni roho saba za Mungu.~ 1791 Rev 4 8 | mtakatifu, mtakatifu ni Bwana, Mungu Mwenye Uwezo, aliyekuwako, 1792 Rev 4 11 | 11 "Wewe ni Bwana na Mungu wetu, unastahili utukufu 1793 Rev 5 6 | saba ambayo ni roho saba za Mungu zilizokuwa zimepelekwa kila 1794 Rev 5 8 | ambao ni sala za watu wa Mungu.~ 1795 Rev 5 9 | kwa damu yako umemnunulia Mungu watu kutoka katika kila 1796 Rev 5 10 | ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu wetu nao watatawala duniani."~ 1797 Rev 6 9 | kwa sababu ya ujumbe wa Mungu, na kwa sababu ya ushuhuda 1798 Rev 7 2 | mashariki akiwa na mhuri wa Mungu aliye hai. Akapaaza sauti 1799 Rev 7 3 | wapiga mhuri watumishi wa Mungu wetu katika paji la uso."~ 1800 Rev 7 10 | Ukombozi wetu watoka kwa Mungu wetu aketiye juu ya kiti 1801 Rev 7 11 | kiti cha enzi, wakamwabudu Mungu,~ 1802 Rev 7 12 | uwezo na nguvu viwe kwa Mungu wetu, milele na milele! 1803 Rev 7 15 | mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Humtumikia Mungu mchana 1804 Rev 7 15 | enzi cha Mungu. Humtumikia Mungu mchana na usiku katika Hekalu 1805 Rev 7 17 | chemchemi za maji ya uzima. Naye Mungu atayafuta machozi yote machoni 1806 Rev 8 2 | saba wanaosimama mbele ya Mungu wamepewa tarumbeta saba.~ 1807 Rev 8 3 | na sala za watu wote wa Mungu, juu ya madhabahu ya dhahabu 1808 Rev 8 4 | pamoja na sala za watu wa Mungu, kutoka mikononi mwake huyo 1809 Rev 8 4 | malaika aliyekuwa mbele ya Mungu.~ 1810 Rev 9 4 | ambao hawakupigwa mhuri wa Mungu katika paji la uso.~ 1811 Rev 9 13 | dhahabu iliyokuwa mbele ya Mungu.~ 1812 Rev 10 6 | 6 akaapa kwa jina la Mungu aishiye milele na milele, 1813 Rev 10 6 | aishiye milele na milele, Mungu aliyeumba mbingu na vyote 1814 Rev 10 7 | atakapopiga tarumbeta yake, Mungu atakamilisha mpango wake 1815 Rev 10 11 | tena kutangaza ujumbe wa Mungu kuhusu watu wengi, mataifa, 1816 Rev 11 1 | Inuka, ukalipime Hekalu la Mungu, madhabahu ya kufukizia 1817 Rev 11 3 | ili watangaze ujumbe wa Mungu kwa muda huo wa siku elfu 1818 Rev 11 6 | wanapotangaza ujumbe wa Mungu. Tena wanayo mamlaka ya 1819 Rev 11 11 | pumzi ya uhai kutoka kwa Mungu iliwaingia, nao wakasimama; 1820 Rev 11 13 | wakaogopa sana, wakamtukuza Mungu wa mbinguni.~ 1821 Rev 11 16 | wanne walioketi mbele ya Mungu katika viti vyao vya enzi, 1822 Rev 11 16 | kifudifudi, wakamwabudu Mungu,~ 1823 Rev 11 17 | 17 wakisema: "Bwana Mungu Mwenye uwezo, uliyeko na 1824 Rev 11 19 | 19 Hekalu la Mungu mbinguni likafunguliwa, 1825 Rev 12 5 | akanyakuliwa na kupelekwa kwa Mungu na kwenye kiti chake cha 1826 Rev 12 6 | akakimbilia jangwani, ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali 1827 Rev 12 10 | Sasa ukombozi utokao kwa Mungu umefika! Nguvu na Utawala 1828 Rev 12 10 | umefika! Nguvu na Utawala wa Mungu wetu umedhihirika. Na Kristo 1829 Rev 12 10 | zetu, aliyesimama mbele ya Mungu akiwashtaki usiku na mchana, 1830 Rev 12 17 | yaani wote wanaotii amri za Mungu na kuuzingatia ukweli wa 1831 Rev 13 5 | ya kujigamba na kumkufuru Mungu; akaruhusiwa kuwa na mamlaka 1832 Rev 13 6 | Basi, akaanza kumtukana Mungu, kulitukana jina lake, makao 1833 Rev 13 7 | vita na kuwashinda watu wa Mungu. Alipewa mamlaka juu ya 1834 Rev 13 10 | na hayo ni lazima watu wa Mungu wawe na uvumilivu na imani."~ 1835 Rev 14 4 | wakawa wa kwanza kutolewa kwa Mungu na kwa Mwanakondoo.~ 1836 Rev 14 6 | Habari Njema ya milele ya Mungu, aitangaze kwa watu wote 1837 Rev 14 7 | kwa sauti kubwa, "Mcheni Mungu na kumtukuza! Maana saa 1838 Rev 14 10 | atakunywa divai ya ghadhabu ya Mungu, ambayo imemiminwa katika 1839 Rev 14 12 | hayo, ni lazima watu wa Mungu, yaani watu wanaotii amri 1840 Rev 14 12 | yaani watu wanaotii amri ya Mungu na kumwamini Yesu, wawe 1841 Rev 14 19 | chombo cha ghadhabu ya Mungu.~ 1842 Rev 15 1 | makubwa saba, ghadhabu ya Mungu imekamilishwa.~ 1843 Rev 15 2 | na vinubi walivyopewa na Mungu.~ 1844 Rev 15 3 | wimbo wa Mose, mtumishi wa Mungu, na wimbo wa Mwanakondoo: " 1845 Rev 15 3 | wimbo wa Mwanakondoo: "Bwana Mungu Mwenye Uwezo, matendo yako 1846 Rev 15 5 | hema ionyeshayo kuwapo kwa Mungu.~ 1847 Rev 15 7 | dhahabu yaliyojaa ghadhabu ya Mungu, aishiye milele na milele.~ 1848 Rev 15 8 | uliosababishwa na utukufu na nguvu ya Mungu, na hakuna mtu aliyeweza 1849 Rev 16 1 | hayo saba ya ghadhabu ya Mungu duniani."~ 1850 Rev 16 7 | madhabahuni ikisema, "Naam, Bwana Mungu Mwenye Uwezo! Hukumu zako 1851 Rev 16 9 | vibaya sana; wakamtukana Mungu aliye na uwezo juu ya mabaa 1852 Rev 16 9 | dhambi zao na kumtukuza Mungu.~ 1853 Rev 16 11 | 11 wakamtukana Mungu wa mbinguni kwa sababu ya 1854 Rev 16 14 | ya vita kuu Siku ile ya Mungu Mwenye Uwezo.~ 1855 Rev 16 18 | halijapata kutokea tangu Mungu alipomuumba mtu.~ 1856 Rev 16 19 | mkuu, haukusahauliwa na Mungu. Aliunywesha kikombe cha 1857 Rev 16 21 | ikawanyeshea watu. Nao wakamtukana Mungu kwa sababu ya mapigo ya 1858 Rev 17 6 | amelewa damu ya watu wa Mungu, na damu ya watu waliouawa 1859 Rev 17 17 | 17 Maana Mungu ametia mioyoni mwao nia 1860 Rev 17 17 | kutawala, mpaka hapo neno la Mungu litakapotimia.~ 1861 Rev 18 5 | zimelundikana mpaka mbinguni, na Mungu ameyakumbuka maovu yake.~ 1862 Rev 18 8 | Atachomwa moto, maana Bwana Mungu mwenye kumhukumu ni Mwenye 1863 Rev 18 20 | uharibifu wake. Furahini watu wa Mungu, mitume na manabii! Kwa 1864 Rev 18 20 | mitume na manabii! Kwa maana Mungu ameuhukumu kwa sababu ya 1865 Rev 18 24 | manabii, damu ya watu wa Mungu na damu ya watu wote waliouawa 1866 Rev 19 1 | utukufu na nguvu ni mali yake Mungu wetu!~ 1867 Rev 19 3 | 3 Wakasema, "Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza 1868 Rev 19 4 | wakajitupa chini, wakamwabudu Mungu aliyeketi juu ya kiti cha 1869 Rev 19 4 | wakisema, "Amina! Asifiwe Mungu!"~ 1870 Rev 19 5 | kiti cha enzi: "Msifuni Mungu enyi watumishi wake wote, 1871 Rev 19 6 | Haleluya! Maana Bwana Mungu wetu Mwenye Uwezo ni Mfalme!~ 1872 Rev 19 8 | matendo mema ya watu wa Mungu.)~ 1873 Rev 19 9 | Hayo ni maneno ya kweli ya Mungu."~ 1874 Rev 19 10 | alioufunua Yesu. Mwabudu Mungu! Maana ukweli alioufunua 1875 Rev 19 13 | jina lake huyo ni "Neno la Mungu."~ 1876 Rev 19 15 | zabibu za ghadhabu kuu ya Mungu Mwenye Uwezo.~ 1877 Rev 19 17 | pamoja kwa karamu kuu ya Mungu.~ 1878 Rev 20 4 | na kwa sababu ya neno la Mungu. Hawa hawakumwabudu yule 1879 Rev 20 6 | yao; watakuwa makuhani wa Mungu na wa Kristo, na watatawala 1880 Rev 20 9 | wakaizunguka kambi ya watu wa Mungu na mji wa Mungu aupendao. 1881 Rev 20 9 | watu wa Mungu na mji wa Mungu aupendao. Lakini moto ulishuka 1882 Rev 21 2 | mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni. Ulikuwa umetayarishwa 1883 Rev 21 3 | cha enzi ikisema, "Tazama! Mungu amefanya makao yake kati 1884 Rev 21 3 | watu wake, naye atakuwa Mungu wao.~ 1885 Rev 21 7 | atapokea hiki, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.~ 1886 Rev 21 10 | mtakatifu, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni,~ 1887 Rev 21 11 | uking`aa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama 1888 Rev 21 22 | katika mji huo, maana Bwana Mungu Mwenye Uwezo na yule Mwanakondoo 1889 Rev 21 23 | kuangazia, maana utukufu wa Mungu huuangazia, na taa yake 1890 Rev 22 1 | kwenye kiti cha enzi cha Mungu na Mwanakondoo.~ 1891 Rev 22 3 | mji huo. Kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwanakondoo kitakuwa 1892 Rev 22 5 | taa au wa jua, maana Bwana Mungu atawaangazia, nao watatawala 1893 Rev 22 6 | kweli na ya kuaminika. Bwana Mungu ambaye huwapa manabii Roho 1894 Rev 22 9 | katika kitabu hiki. Mwabudu Mungu!"~ 1895 Rev 22 18 | chochote katika mambo haya, Mungu atamwongezea mabaa yaliyoandikwa 1896 Rev 22 19 | yaliyomo katika kitabu hiki, Mungu atamnyang`anya sehemu yake


1-500 | 501-1000 | 1001-1500 | 1501-1896

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License