Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
ambapo 56
ambavyo 9
ambaye 303
ambayo 114
ambazo 17
ambo 20
amchukuaye 1
Frequency    [«  »]
115 mtumishi
115 nyumbani
114 alipokuwa
114 ambayo
114 kabisa
113 30
113 nyumba

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

ambayo

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 11 20 | Yesu akaanza kuilaumu miji ambayo, ingawaje alifanya miujiza 2 Matt 23 19 | ile zawadi, au ~madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa 3 Matt 23 27 | makaburi yaliyopakwa chokaa ambayo kwa nje yanaonekana kuwa 4 Matt 24 21 | huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo 5 Mark 4 31 | Ni kama mbegu ya haradali ambayo ni ndogo kuliko mbegu zote.~ 6 Mark 13 19 | wakati huo kutakuwa na dhiki ambayo haijatokea tangu Mungu alipoumba 7 Luke 12 39 | mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, 8 Luke 22 7 | ikafika. Hiyo ndiyo siku ambayo mwana kondoo wa Pasaka huchinjwa.~ 9 John 2 6 | na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua 10 John 4 38 | nimewatuma mkavune mavuno ambayo hamkuyatolea jasho, wengine 11 John 15 15 | sababu nimewajulisha yote ambayo nimeyasikia kutoka kwa Baba 12 John 15 24 | nisingalifanya kwao mambo ambayo hakuna mtu mwingine amekwisha 13 John 21 25 | mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo kama yangeandikwa yote, 14 Acts 1 4 | aliyoahidi Baba, zawadi ambayo mlikwisha nisikia nikiongea 15 Acts 1 16 | Matakatifu itimie, sehemu ambayo Roho Mtakatifu, kwa maneno 16 Acts 3 24 | walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku 17 Acts 4 28 | walikutana ili wafanye yale ambayo ulikusudia na kupanga tangu 18 Acts 7 45 | nchi kutoka kwa mataifa ambayo Mungu aliyafukuza mbele 19 Acts 11 14 | 14 Yeye atakuambia maneno ambayo kwayo wewe na jamaa yako 20 Acts 12 6 | Usiku, kabla ya siku ile ambayo Herode angemtoa Petro hadharani, 21 Acts 14 26 | Mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.~ 22 Acts 15 12 | wakieleza miujiza na maajabu ambayo Mungu alitenda kwa mikono 23 Acts 17 23 | nikakuta madhabahu moja ambayo imeandikwa: `Kwa ajili ya 24 Acts 17 31 | maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa 25 Acts 22 10 | Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.`~ 26 Acts 24 14 | nikiishi kufuatana na Njia ile ambayo wao wanaiita chama cha uzushi. 27 Acts 25 7 | mashtaka mengi mazitomazito ambayo hawakuweza kuthibitisha.~ 28 Acts 25 26 | wangu sina habari kamili ambayo naweza kumwandikia Kaisari 29 Acts 26 2 | kuhusu yale mashtaka yote ambayo Wayahudi walikuwa wamesema 30 Acts 26 6 | ninaitumainia ile ahadi ambayo Mungu aliwaahidia babu zetu.~ 31 Acts 26 16 | mambo uliyoyaona leo na yale ambayo bado nitakuonyesha.~ 32 Acts 26 22 | wadogo. Ninayosema ni yale ambayo manabii na Mose walisema 33 Roma 1 28 | zao potovu, wakafanya yale ambayo hawangestahili kufanya.~ 34 Roma 2 5 | unajilundikia adhabu kwa Siku ile ambayo ghadhabu ya Mungu na hukumu 35 Roma 6 12 | isiitawale tena miili yenu ambayo hufa, na hivyo kuzitii tamaa 36 Roma 6 21 | zile kutokana na mambo yale ambayo mnayaonea aibu sasa? Maana, 37 Roma 7 10 | 10 nami nikafa. Hiyo amri ambayo shabaha yake ilikuwa kuleta 38 Roma 7 23 | kazi mwilini mwangu, sheria ambayo inapingana na ile inayokubaliwa 39 Roma 16 25 | ile siri iliyofunuliwa na ambayo ilikuwa imefichika kwa karne 40 1Cor 1 27 | Mungu aliyachagua yale ambayo ulimwengu huyaona ni upumbavu, 41 1Cor 1 27 | hekima; na aliyachagua yale ambayo ulimwengu huyaona ni dhaifu, 42 1Cor 1 28 | 28 Mungu ameyachagua yale ambayo kwa fikira za dunia ni mambo 43 1Cor 1 28 | yanayodharauliwa, mambo ambayo hata hayakuwako, ili kwa 44 1Cor 1 28 | hayo ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira za binadamu ni 45 1Cor 2 7 | Mungu, hekima iliyofichika, ambayo Mungu aliiazimia tangu mwanzo 46 1Cor 2 8 | 8 Ni hekima ambayo watawala wa dunia hii hawakuielewa; 47 1Cor 2 9 | Maandiko Matakatifu: "Mambo ambayo jicho halijapata kuyaona 48 1Cor 2 9 | wala sikio kuyasikia, mambo ambayo binadamu hajapata kuyafikiria 49 1Cor 15 3 | ninyi mambo muhimu sana ambayo mimi niliyapokea: kwamba 50 2Cor 1 22 | kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.~ 51 2Cor 2 15 | kama harufu nzuri ya ubani ambayo Kristo anamtolea Mungu, 52 2Cor 5 1 | tunajua kwamba hema hii ambayo ndani yake tunaishi sasa 53 2Cor 10 13 | aliyotukabidhi Mungu, kazi ambayo tunaifanya pia kwenu.~ 54 2Cor 12 4 | Huko akasikia mambo ya siri ambayo binadamu hastahili kuyatamka.~ 55 Gala 3 17 | akalithibitisha; Sheria ambayo ilitokea miaka mia nne na 56 Gala 3 21 | kama kungalitolewa sheria ambayo ingeweza kuwapa watu uzima, 57 Ephe 4 24 | 24 Vaeni hali mpya ya utu ambayo imeumbwa kwa mfano wa Mungu 58 Ephe 4 24 | imeumbwa kwa mfano wa Mungu na ambayo hujionyesha katika maisha 59 Ephe 4 29 | maneno yenu yawe ya kufaa na ambayo hujenga na kuwasaidia wengine, 60 Ephe 6 2 | hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,~ 61 Colo 1 23 | mtumishi wa hiyo Habari Njema ambayo imekwisha hubiriwa kila 62 Colo 1 27 | wake siri hii kuu na tukufu ambayo ni kwa ajili ya watu wote. 63 Colo 2 2 | Hapo wataijua siri ya Mungu ambayo ni Kristo mwenyewe.~ 64 Colo 2 8 | wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho 65 Colo 2 11 | inayofanywa na Kristo mwenyewe, na ambayo inahusikana na kukombolewa 66 1Tim 1 11 | hupatikana katika Habari Njema ambayo mimi nimekabidhiwa niihubiri, 67 1Tim 3 15 | katika nyumba ya Mungu, ambayo ni kanisa la Mungu aliye 68 1Tim 4 6 | na mafundisho ya kweli, ambayo wewe umeyafuata.~ 69 1Tim 5 13 | wengine, huku wakisema mambo ambayo hawangepaswa kusema.~ 70 1Tim 5 25 | huonekana waziwazi, na hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika.~ ~~ ~ 71 1Tim 6 19 | hiyo watajiwekea hazina ambayo itakuwa kwao msingi imara 72 2Tim 3 15 | umeyajua Maandiko Matakatifu ambayo yaweza kukupatia hekima 73 2Tim 4 3 | watakaowaambia mambo yale tu ambayo masikio yao yako tayari 74 Titus 1 2 | 2 ambayo msingi wake ni tumaini la 75 Titus 1 5 | ili urekebishe yale mambo ambayo hayakuwa yamekamilika bado, 76 Titus 1 11| nzima kwa kufundisha mambo ambayo hawapaswi kufundisha; wanafanya 77 Titus 3 8 | wao katika kutenda mema, ambayo ni mambo mazuri na ya manufaa 78 Hebr 3 5 | na alinena juu ya mambo ambayo Mungu atayasema hapo baadaye.~ 79 Hebr 4 7 | Mungu aliweka siku nyingine ambayo inaitwa "Leo". Miaka mingi 80 Hebr 6 7 | 7 Mungu huibariki ardhi ambayo huipokea mvua inayoinyeshea 81 Hebr 7 28 | aliyoifanya kwa kiapo na ambayo imefika baada ya sheria 82 Hebr 9 2 | 2 Palitengenezwa hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa 83 Hebr 9 7 | ndani huwa amechukua damu ambayo anamtolea Mungu kwa ajili 84 Hebr 9 11 | Mkuu wa mambo yaliyo mema, ambayo sasa yamekwisha fika. Yeye 85 Hebr 11 7 | juu ya mambo ya baadaye ambayo hakuweza kuyaona bado. Alimtii 86 Hebr 11 8 | alipoitwa aende katika nchi ambayo Mungu angempa iwe yake. 87 Hebr 11 13 | Walikufa kabla ya kupokea mambo ambayo Mungu alikuwa ameahidi, 88 Hebr 11 39 | hivyo, hawakupokea yale ambayo Mungu aliwaahidia,~ 89 Hebr 12 5 | yale maneno ya kutia moyo ambayo Mungu anawataja ninyi kuwa 90 Hebr 13 10 | 10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika 91 Hebr 13 22 | moyo. Hii ni barua fupi tu ambayo nimewaandikieni.~ 92 James 1 6 | ni kama mawimbi ya bahari ambayo husukumwa na kutupwatupwa 93 James 1 25| kwa makini sheria kamilifu ambayo huwapa watu uhuru, mtu anayeendelea 94 1Pet 1 7 | yenu. Hata dhahabu yenyewe ambayo huharibika, hujaribiwa kwa 95 1Pet 1 7 | kadhalika na imani yenu ambayo ni ya thamani zaidi kuliko 96 1Pet 1 10 | wakabashiri juu ya neema hiyo ambayo ninyi mngepewa.~ 97 1Pet 1 12 | wanasema juu ya hayo mambo ambayo ninyi mmekwisha sikia sasa 98 1Pet 1 12 | ajili yenu. Hayo ndiyo mambo ambayo hata malaika wangependa 99 1Pet 3 21 | 21 ambayo yalikuwa mfano wa ubatizo 100 2Pet 2 13 | watalipwa mateso kwa mateso ambayo wameyasababisha. Furaha 101 2Pet 3 12 | kuifanya ije upesi - Siku ambayo mbingu zitateketezwa kwa 102 2Pet 3 13 | mbingu mpya na dunia mpya ambayo imejaa uadilifu.~ 103 2Pet 3 16 | magumu kuyaelewa, mambo ambayo watu wajinga, wasio na msimamo, 104 Jude 1 3 | kupigana kwa ajili ya imani ambayo Mungu amewajalia watu wake 105 Jude 1 5 | kuwakumbusheni mambo fulani ambayo mmekwisha yajua: kumbukeni 106 Jude 1 15 | ajili ya maneno yote mabaya ambayo watu waovu walimkashifu 107 Jude 1 23 | chukieni hata mavazi yao ambayo yamechafuliwa na tamaa zao 108 Rev 1 1 | Hizi ni habari za mambo ambayo yalifunuliwa na Yesu Kristo. 109 Rev 1 1 | awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo yanapaswa kutukia karibuni. 110 Rev 2 10 | Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. Sikiliza! 111 Rev 4 1 | niliyoisikia pale awali ambayo ilikuwa kama sauti ya tarumbeta, 112 Rev 5 6 | pembe saba na macho saba ambayo ni roho saba za Mungu zilizokuwa 113 Rev 14 10 | divai ya ghadhabu ya Mungu, ambayo imemiminwa katika kikombe 114 Rev 22 6 | awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo lazima yatukie punde.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License