Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
nyota 36
nyote 47
nyuma 25
nyumba 113
nyumbani 115
nyuso 8
nywele 18
Frequency    [«  »]
114 ambayo
114 kabisa
113 30
113 nyumba
112 kufanya
111 jinsi
111 tangu

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

nyumba

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 7 24| mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba.~ 2 Matt 7 25| kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo. Lakini haikuanguka 3 Matt 7 26| mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga.~ 4 Matt 7 27| kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo, nayo ikaanguka; tena 5 Matt 10 13| 13 Kama wenyeji wa nyumba hiyo wakiipokea salamu hiyo, 6 Matt 10 14| kuwasikilizeni, basi mtokapo katika nyumba hiyo au mji huo, yakung` 7 Matt 11 8 | mavazi maridadi hukaa katika nyumba za wafalme.~ 8 Matt 12 4 | 4 Yeye aliingia katika Nyumba ya Mungu pamoja na wenzake, 9 Matt 12 29| anawezaje mtu kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyang` 10 Matt 13 1 | Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando 11 Matt 13 52| mbinguni anafanana na mwenye nyumba atoaye katika hazina yake 12 Matt 17 25| Petro alipoingia ndani ya nyumba, kabla hata hajasema neno, 13 Matt 19 29| 29 Na kila aliyeacha nyumba, au ndugu, au dada, au baba, 14 Matt 21 13| katika Maandiko Matakatifu: `Nyumba yangu itaitwa nyumba ya 15 Matt 21 13| Matakatifu: `Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala.` Lakini ninyi mmeifanya 16 Matt 21 33| mwingine. Mtu mmoja mwenye nyumba alilima shamba la mizabibu; 17 Matt 22 10| watu wote, ~wabaya na wema. Nyumba ya arusi ikajaa wageni. ~ 18 Matt 23 38| 38 Haya basi, nyumba yako itaachwa mahame. ~ 19 Matt 24 17| 17 Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu 20 Matt 24 43| jambo hili: kama mwenye nyumba angejua siku mwizi atakapofika, 21 Matt 24 43| angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.~ 22 Mark 2 26| 26 naye akaingia ndani ya Nyumba ya Mungu, akala ile mikate 23 Mark 3 27| Hakuna mtu awezaye kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyang` 24 Mark 7 24| Tiro. Huko aliingia katika nyumba moja na hakutaka mtu ajue; 25 Mark 10 10| Walipoingia tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake walimwuliza 26 Mark 10 29| nawaambieni, kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu, au dada, au mama, 27 Mark 10 30| zaidi wakati huu wa sasa nyumba, ndugu, dada, mama, watoto 28 Mark 11 17| akawafundisha, "Imeandikwa: `Nyumba yangu itaitwa nyumba ya 29 Mark 11 17| Imeandikwa: `Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa 30 Mark 13 15| Mtu aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani 31 Mark 13 35| kwa maana hamjui mwenye nyumba atarudi lini; huenda ikawa 32 Mark 14 14| 14 mpaka katika nyumba atakayoingia, mkamwambie 33 Mark 14 14| atakayoingia, mkamwambie mwenye nyumba, `Mwalimu anasema: wapi 34 Luke 1 40| 40 Huko, aliingia katika nyumba ya Zakariya, akamsalimu 35 Luke 2 7 | hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.~ 36 Luke 2 49| kwamba inanipasa kuwa katika nyumba ya Baba yangu?"~ 37 Luke 6 4 | 4 Yeye aliingia ndani ya nyumba ya Mungu, akachukua ile 38 Luke 6 48| anafanana na mtu ajengaye nyumba, ambaye amechimba chini 39 Luke 6 48| mkondo wa maji ukaipiga nyumba ile, lakini haukuweza kuitikisa, 40 Luke 6 49| anafanana na mtu aliyejenga nyumba juu ya udongo, bila msingi. 41 Luke 6 49| mkondo wa maji ukaipiga nyumba ile, ikaanguka na kuharibika 42 Luke 9 4 | 4 Nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa, 43 Luke 10 5 | 5 Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza wasalimuni 44 Luke 10 5 | hivi: `Amani iwe katika nyumba hii!`~ 45 Luke 10 7 | 7 Kaeni katika nyumba hiyo mkila na kunywa wanavyowapeni, 46 Luke 10 7 | mshahara wake. Msiende mara nyumba hii mara nyumba ile.~ 47 Luke 10 7 | Msiende mara nyumba hii mara nyumba ile.~ 48 Luke 10 34| punda wake akampeleka katika nyumba moja ya wageni akamuuguza.~ 49 Luke 10 35| mbili akampa yule mwenye nyumba, akamwambia, `Muuguze mtu 50 Luke 11 25| 25 Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa.~ 51 Luke 12 3 | imefungwa, yatatangazwa juu ya nyumba.~ 52 Luke 12 39| Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi 53 Luke 12 39| angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.~ 54 Luke 13 25| Wakati utakuja ambapo mwenye nyumba atainuka na kufunga mlango. 55 Luke 13 35| Haya, utaachiwa mwenyewe nyumba yako. Naam, hakika nawaambieni, 56 Luke 14 21| jambo hilo. Yule mwenye nyumba alikasirika, akamwambia 57 Luke 14 23| uwashurutishe watu kuingia ili nyumba yangu ijae.~ 58 Luke 15 8 | nini? Atawasha taa, aifagie nyumba na kuitafuta kwa uangalifu 59 Luke 16 20| alikuwa analazwa mlangoni pa nyumba ya huyo tajiri.~ 60 Luke 18 29| nawaambieni, mtu yeyote aliyeacha nyumba au mke au kaka au wazazi 61 Luke 19 9 | Leo wokovu umefika katika nyumba hii, kwa vile huyu pia ni 62 Luke 19 46| 46 akisema, "Imeandikwa: `Nyumba yangu itakuwa nyumba ya 63 Luke 19 46| Imeandikwa: `Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala`; lakini ninyi mmeifanya 64 Luke 22 10| Mfuateni mpaka ndani ya nyumba atakayoingia.~ 65 Luke 22 11| 11 Mwambieni mwenye nyumba: `Mwalimu anakuuliza, kiko 66 John 2 16| vitu hivi hapa. Msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa soko!"~ 67 John 2 17| yasema: "Upendo wangu kwa nyumba yako waniua."~ 68 John 12 3 | kuipangusa kwa nywele zake. Nyumba yote ikajaa harufu ya marashi.~ 69 John 20 19| wamekutana pamoja ndani ya nyumba, na milango ilikuwa imefungwa 70 Acts 1 20| katika kitabu cha Zaburi: `Nyumba yake ibaki mahame; mtu yeyote 71 Acts 2 2 | upepo mkali, ikajaza ile nyumba yote walimokuwa wamekaa.~ 72 Acts 2 46| mkate, walikutana katika nyumba zao na wakakishiriki chakula 73 Acts 4 34| waliokuwa na mashamba au nyumba walikuwa wanaviuza~ 74 Acts 7 10| awe mkuu wa ile nchi na nyumba ya kifalme.~ 75 Acts 7 47| ndiye aliyemjengea Mungu nyumba.~ 76 Acts 7 48| Mungu Mkuu haishi katika nyumba zilizojengwa na binadamu; 77 Acts 7 50| 50 Ni nyumba ya namna gani basi mnayoweza 78 Acts 8 3 | kanisa. Alikwenda katika kila nyumba, akawatoa nje waumini, wanaume 79 Acts 9 11| Moja kwa Moja, na katika nyumba ya Yuda umtake mtu mmoja 80 Acts 9 17| akaenda, akaingia katika hiyo nyumba. Kisha akaweka mikono yake 81 Acts 10 6 | mtengenezaji wa ngozi ambaye nyumba yake iko karibu na bahari."~ 82 Acts 10 9 | Petro alipanda juu ya paa la nyumba yapata saa sita mchana ili 83 Acts 10 17| Kornelio, baada ya kuigundua nyumba ya Simoni, walifika mlangoni,~ 84 Acts 11 11| Kaisarea waliwasili kwenye nyumba niliyokuwa nakaa.~ 85 Acts 15 16| nitarudi. Nitaijenga tena ile nyumba ya Daudi iliyoanguka; nitayatengeneza 86 Acts 17 5 | fujo mjini kote. Wakaivamia nyumba ya Yasoni wakitumaini kuwapata 87 Acts 18 7 | Mungu aitwaye Tito Yusto. Nyumba yake Tito ilikuwa karibu 88 Acts 19 16| Skewa wakakimbia kutoka ile nyumba wakiwa uchi na wamejaa majeraha.~ 89 Acts 19 24| ya kutengeneza sanamu za nyumba ya mungu wa kike aitwaye 90 Acts 19 27| jambo hilo linaweza kuifanya nyumba ya mungu Artemi kuwa si 91 Acts 19 35| huu wa Efeso ni mlinzi wa nyumba ya mungu Artemi na mlinzi 92 Acts 19 37| hapa ingawaje hawakuikufuru nyumba ya mungu wala kumtukana 93 Acts 28 30| mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; 94 Roma 2 22| unajitajirisha kwa kuiba katika nyumba za miungu.~ 95 2Cor 5 1 | makao mengine mbinguni, nyumba ya milele isiyotengenezwa 96 1Tim 3 4 | mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto 97 1Tim 3 5 | mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza 98 1Tim 3 12| kuongoza vema watoto wake na nyumba yake.~ 99 1Tim 3 15| tunaopaswa kuwa nao katika nyumba ya Mungu, ambayo ni kanisa 100 1Tim 5 13| kupoteza wakati wao wakizurura nyumba hata nyumba; tena ubaya 101 1Tim 5 13| wao wakizurura nyumba hata nyumba; tena ubaya zaidi ni kwamba 102 1Tim 5 14| wapate watoto na kutunza nyumba zao ili adui zetu wasipewe 103 2Tim 2 20| 20 Katika nyumba kubwa kuna mabakuli na vyombo 104 2Tim 3 6 | Baadhi yao huenda katika nyumba za watu na huwateka wanawake 105 Hebr 3 2 | alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.~ 106 Hebr 3 3 | 3 Mjenzi wa nyumba hupata heshima zaidi kuliko 107 Hebr 3 3 | heshima zaidi kuliko hiyo nyumba yenyewe. Hali kadhalika 108 Hebr 3 4 | 4 Kila nyumba hujengwa na mjenzi fulani - 109 Hebr 3 5 | alikuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Bwana kama mtumishi, 110 Hebr 3 6 | Mwana mwenye mamlaka juu ya nyumba ya Mungu. Sisi ni nyumba 111 Hebr 3 6 | nyumba ya Mungu. Sisi ni nyumba yake kama tukizingatia uhodari 112 Hebr 10 21| aliye na mamlaka juu ya nyumba ya Mungu.~ 113 1Pet 2 5 | mawe hai mkajengeke na kuwa nyumba ya kiroho, ambamo mtatumikia


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License