Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 6 | Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa.~
2 Matt 5 10| wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo Mungu, maana ufalme
3 Matt 7 22| jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi.`~
4 Matt 20 15| 15 Je, sina haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo?
5 Matt 21 21| na mashaka, mnaweza si tu kufanya hivyo, bali hata mkiuambia
6 Matt 21 29| baadaye akabadili nia, akaenda kufanya kazi.~
7 Matt 26 50| Rafiki, fanya ulichokuja kufanya." Hapo wale watu wakaja,
8 Mark 2 24| wanafanya jambo ambalo si halali kufanya wakati wa Sabato?"~
9 Mark 11 28| Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?"~
10 Luke 5 6 | 6 Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi,
11 Luke 12 4 | wanaoua mwili, wasiweze kufanya kitu kingine zaidi.~
12 Luke 12 26| 26 Basi, kama hamwezi kufanya jambo dogo kama hilo, kwa
13 Luke 12 47| wake lakini hajiweki tayari kufanya anavyotakiwa, atapigwa sana.~
14 Luke 12 57| kujiamulia wenyewe jambo jema la kufanya?~
15 Luke 13 14| pale, "Mnazo siku sita za kufanya kazi. Basi, fikeni siku
16 Luke 15 24| sasa amepatikana.` Wakaanza kufanya sherehe.~
17 Luke 15 32| 32 Ilitubidi kufanya sherehe na kufurahi, kwa
18 Luke 16 4 | 4 Naam, najua la kufanya, ili nitakapofukuzwa kazi,
19 Luke 16 19| zambarau, na ya kitani safi, na kufanya sherehe kila siku.~
20 Luke 17 10| tumetimiza tu yale tuliyotakiwa kufanya."`~
21 Luke 18 22| akamwambia, "Unatakiwa bado kufanya kitu kimoja: uza kila ulicho
22 Luke 19 48| 48 lakini hawakuwa na la kufanya, maana watu wote walikuwa
23 John 2 4 | akamjibu, "Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado."~
24 John 2 18| kuonyesha kwamba unayo haki kufanya mambo haya?"~
25 John 3 2 | maana hakuna mtu awezaye kufanya ishara unazozifanya Mungu
26 John 4 34| akawaambia, "Chakula changu ni kufanya anachotaka yule aliyenituma
27 John 5 20| nawaambieni, Mwana hawezi kufanya kitu peke yake; anaweza
28 John 5 20| kitu peke yake; anaweza tu kufanya kile anachomwona Baba akikifanya.
29 John 5 31| 30 "Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe.
30 John 5 31| ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali
31 John 6 38| mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza
32 John 7 17| 17 Mtu anayependa kufanya yale anayotaka Mungu, atajua
33 John 9 4 | mchana yatupasa kuendelea kufanya kazi za yule aliyenituma;
34 John 9 4 | unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.~
35 John 9 16| Mtu mwenye dhambi awezaje kufanya ishara za namna hii?" Kukawa
36 John 9 33| hakutoka kwa Mungu, hangeweza kufanya chochote!"~
37 John 12 19| wakaambiana, "Mnaona? Hatuwezi kufanya chochote! Tazameni, ulimwengu
38 John 13 27| akamwambia, "Unachotaka kufanya, kifanye haraka!"~
39 John 15 5 | maana bila mimi hamwezi kufanya chochote.~
40 John 17 26| ujulikane kwao na nitaendelea kufanya hivyo, ili upendo ulio nao
41 Acts 5 4 | basi, uliamua moyoni mwako kufanya jambo la namna hii? Hukumdanganya
42 Acts 7 36| wale watu watoke Misri kwa kufanya miujiza na maajabu katika
43 Acts 9 6 | huko utaambiwa unachopaswa kufanya."~
44 Acts 9 23| Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumwua Saulo.~
45 Acts 15 29| mmefanya vema kama mkiepa kufanya mambo hayo. Wasalaam!"~
46 Acts 17 13| walikwenda huko, wakaanza kufanya fujo na kuchochea makundi
47 Acts 19 10| 10 Aliendelea kufanya hivyo kwa muda wa miaka
48 Acts 20 35| nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya kazi mithili hiyo tunapaswa
49 Acts 21 13| Lakini yeye alijibu, "Mnataka kufanya nini? Mnataka kuvunja moyo
50 Acts 22 10| utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.`~
51 Acts 22 26| jeshi akisema, "Unataka kufanya nini? Mtu huyu ni raia wa
52 Acts 23 13| arobaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.~
53 Acts 25 20| 20 Sikujua la kufanya kuhusu shauri hilo. Basi,
54 Acts 26 9 | niliamini kwamba ni wajibu wangu kufanya mambo mengi kulipinga jina
55 Roma 1 28| yale ambayo hawangestahili kufanya.~
56 Roma 7 18| Kwa maana, ingawa nataka kufanya jambo jema, siwezi kulitekeleza.~
57 Roma 7 19| 19 Yaani, badala ya kufanya lile jambo jema ninalotaka,
58 Roma 7 21| nimegundua kanuni hii: ninataka kufanya jema, lakini najikuta kwamba
59 Roma 12 20| mpe kinywaji. Maana kwa kufanya hivyo utamfanya apate aibu
60 Roma 14 21| nyama, kunywa divai, au kufanya chochote ambacho chaweza
61 Roma 14 22| ambaye, katika kujiamulia la kufanya, haipingi dhamiri yake.~
62 Roma 15 24| 24 natumaini kufanya hivyo sasa. Ningependa kuwaoneni
63 Roma 15 27| 27 Wao wenyewe wameamua kufanya hivyo; lakini, kwa kweli,
64 1Cor 4 12| 12 Tena twataabika na kufanya kazi kwa mikono yetu wenyewe.
65 1Cor 4 19| bali pia kila wanachoweza kufanya.~
66 1Cor 7 5 | isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivyo kwa kitambo tu, ili
67 1Cor 7 37| zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi
68 1Cor 9 6 | kujipatia maslahi yetu kwa kufanya kazi?~
69 1Cor 12 6 | Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu
70 1Cor 12 10| 10 humpa mmoja kipaji cha kufanya miujiza, mwingine kipaji
71 1Cor 12 28| ameweka wale wenye kipaji cha kufanya miujiza, kuponya, kusaidia;
72 1Cor 12 29| Wote ni wenye kipaji cha kufanya miujiza?~
73 1Cor 16 2 | yake, ili kusiwe na haja ya kufanya mchango wakati nitakapokuja.~
74 2Cor 1 24| imani yenu. Wajibu wetu ni kufanya kazi pamoja kwa ajili ya
75 2Cor 3 5 | Si kwamba sisi tunaweza kufanya chochote kwa nguvu zetu
76 2Cor 8 10| kuchukua hatua na kuamua kufanya hivyo.~
77 2Cor 8 21| 21 Nia yetu ni kufanya vema, si tu mbele ya Bwana,
78 2Cor 11 9 | yoyote ile, na nitaendelea kufanya hivyo.~
79 2Cor 11 12| 12 Nitaendelea kufanya kama ninavyofanya sasa,
80 Gala 4 14| wangu ingawa mlishawishiwa kufanya hivyo; lakini mlinipokea
81 Gala 5 17| kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale mnayotaka ninyi wenyewe.~
82 Ephe 2 3 | tamaa zetu za kidunia na kufanya tu mambo yale yaliyoipendeza
83 Ephe 3 20| ifanyayo kazi ndani yetu, aweza kufanya mambo makuu zaidi ya yale
84 Ephe 4 28| asiibe tena, bali na aanze kufanya kazi njema kwa mikono yake,
85 1The 1 3 | upendo wenu unavyowawezesha kufanya kazi kwa bidii, na jinsi
86 2The 1 3 | ajili yenu. Inafaa kwetu kufanya hivyo kwani imani yenu inakua
87 2The 2 9 | atakuja na nguvu za Shetani na kufanya kila namna ya miujiza na
88 2The 3 4 | kwamba mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaambieni.~
89 2The 3 12| watu hao wawe na nidhamu na kufanya kazi ili wajipatie maslahi
90 1Tim 2 8 | Basi, popote mnapokutana kufanya ibada nataka wanaume wasali,
91 1Tim 4 10| 10 Sisi tunajitahidi na kufanya kazi kwa bidii kwani tumemwekea
92 1Tim 4 16| mafundisho yako. Endelea kufanya hayo maana ukifanya hivyo
93 1Tim 5 10| wenye taabu, na aliyejitolea kufanya mambo mema.~
94 2Tim 3 17| mkamilifu, na tayari kabisa kufanya kila tendo jema.~ ~~ ~
95 Phil 1 8 | kukuamuru ufanye unachopaswa kufanya.~
96 Hebr 2 4 | aliongeza hapo ushahidi wake kwa kufanya kila namna ya miujiza na
97 Hebr 3 2 | mwaminifu kwa Mungu aliyemteua kufanya kazi yake kama vile Mose
98 Hebr 10 7 | Niko hapa ee Mungu, tayari kufanya mapenzi yako kama ilivyoandikwa
99 Hebr 10 9 | Niko hapa, ee Mungu, tayari kufanya mapenzi yako." Hivyo Mungu
100 Hebr 10 36| na uvumilivu, ili mweze kufanya anayotaka Mungu na kupokea
101 Hebr 11 29| lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo walikufa maji.~
102 Hebr 13 2 | kuwakaribisha wageni; maana kwa kufanya hivyo watu wengine walipata
103 Hebr 13 18| dhamiri safi, maana twataka kufanya lililo sawa daima.~
104 1Pet 1 10| walipeleleza kwa makini na kufanya uchunguzi juu ya wokovu
105 1Pet 4 3 | mlikuwa na muda mrefu wa kufanya mambo wanayofanya watu wasiomjua
106 2Pet 2 13| wameyasababisha. Furaha yao ni kufanya, tena mchana kabisa, chochote
107 2Pet 2 15| alipendelea kupata faida kwa kufanya udanganyifu,~
108 1Joh 3 22| maana tunazitii amri zake na kufanya yale yanayompendeza.~
109 2Joh 1 12| kuwaambieni lakini sipendi kufanya hivyo kwa karatasi na wino;
110 Rev 2 5 | ukayaache madhambi yako, na kufanya kama ulivyofanya pale awali.
111 Rev 2 14 | vilivyotambikiwa sanamu za kufanya uzinzi.~
112 Rev 9 21 | Wala hawakutubu na kuacha kufanya mauaji, uchawi, uzinzi,
|