Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 17| na vizazi kumi na vinne tangu Abrahamu mpaka Daudi, vizazi
2 Matt 1 17| Daudi, vizazi kumi na vinne tangu Daudi mpaka Wayahudi walipochukuliwa
3 Matt 1 17| na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka
4 Matt 4 17| 17 Tangu wakati huo Yesu alianza
5 Matt 11 12| 12 Tangu wakati wa Yohane mbatizaji
6 Matt 13 35| nitawaambia mambo yaliyofichika tangu kuumbwa ulimwengu."~
7 Matt 15 28| Yule binti yake akapona tangu saa hiyo wakati huohuo.~
8 Matt 16 21| 21 Tangu wakati huo Yesu alianza
9 Matt 19 4 | kwamba Mungu aliyemuumba mtu tangu mwanzo alimfanya mwanamume
10 Matt 19 9 | 9 Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni,
11 Matt 19 20| Hayo yote nimeyazingatia tangu utoto wangu; sasa nifanye
12 Matt 22 46| aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo ~hakuna aliyethubutu
13 Matt 23 35| iliyomwagwa juu ya ardhi. Naam, tangu kuuawa kwa Abeli ambaye
14 Matt 24 21| ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa ulimwengu mpaka
15 Matt 25 34| pokeeni Ufalme mliotayarishiwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu.~
16 Matt 26 16| 16 na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta
17 Matt 26 64| umesema! Lakini nawaambieni, tangu sasa mtamwona Mwana wa Mtu
18 Matt 27 45| 45 Tangu saa sita mchana mpaka saa
19 Mark 9 21| Amepatwa na mambo hayo tangu lini?" Naye akamjibu, "Tangu
20 Mark 9 21| tangu lini?" Naye akamjibu, "Tangu utoto wake.~
21 Mark 10 6 | 6 Lakini tangu kuumbwa ulimwengu, Mungu
22 Mark 10 20| hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu."~
23 Mark 11 14| 14 Hapo akauambia mtini, "Tangu leo hata milele mtu yeyote
24 Mark 13 19| dhiki ambayo haijatokea tangu Mungu alipoumba ulimwengu
25 Mark 15 33| 33 Tangu saa sita mchana mpaka saa
26 Luke 1 2 | walioyaona kwa macho yao tangu mwanzo, na waliotangaza
27 Luke 1 3 | kuchunguza kwa makini mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie kwa
28 Luke 1 15| atajazwa Roho Mtakatifu tangu tumboni mwa mama yake.~
29 Luke 1 48| wake mnyenyekevu. Hivyo tangu sasa watu wote wataniita
30 Luke 2 36| na mumewe kwa miaka saba tangu alipoolewa.~
31 Luke 5 10| akamwambia Simoni, "Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu."~
32 Luke 7 45| kunibusu, lakini huyu mwanamke tangu nilipoingia hapa amekuwa
33 Luke 11 50| manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;~
34 Luke 11 51| 51 tangu kumwagwa damu ya Abeli mpaka
35 Luke 12 52| 52 Na tangu sasa, jamaa ya watu watano
36 Luke 16 16| wakati wa Yohane mbatizaji. Tangu hapo, Ufalme wa Mungu unahubiriwa,
37 Luke 18 21| Hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu."~
38 Luke 22 69| 69 Lakini tangu sasa, Mwana wa Mtu atakuwa
39 Luke 23 12| hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki.~
40 Luke 24 21| yote, leo ni siku ya tatu tangu mambo hayo yalipotendeka.~
41 John 1 2 | 2 Tangu mwanzo Neno alikuwa na Mungu.~
42 John 6 64| alisema hivyo kwani alijua tangu mwanzo ni kina nani wasioamini,
43 John 8 11| sikuhukumu. Nenda zako; na tangu sasa usitende dhambi tena."]*
44 John 8 25| akawajibu, "Nimewaambieni tangu mwanzo!~
45 John 8 44| yenu. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo; hana msimamo katika
46 John 9 1 | alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa.~
47 John 9 32| 32 Tangu mwanzo wa ulimwengu haijasikika
48 John 11 8 | Mwalimu! Muda mfupi tu umepita tangu Wayahudi walipotaka kukuua
49 John 11 53| 53 Basi, tangu siku hiyo viongozi wa Wayahudi
50 John 14 7 | mnamjua na Baba yangu pia. Na tangu sasa, mnamjua, tena mmekwisha
51 John 15 27| mtanishuhudia kwa kuwa mmekuwa nami tangu mwanzo.~ ~ ~~ ~
52 John 16 4 | Sikuwaambieni mambo haya tangu mwanzo kwa sababu nilikuwa
53 John 19 12| 12 Tangu hapo, Pilato akawa anatafuta
54 John 19 27| huyo ndiye mama yako." Na tangu saa ile huyo mwanafunzi
55 Acts 1 1 | aliyotenda na kufundisha tangu mwanzo wa kazi yake~
56 Acts 1 21| alipokuwa anasafiri pamoja nasi, tangu wakati Yohane alipokuwa
57 Acts 3 2 | palikuwa na mtu mmoja, kiwete tangu kuzaliwa. Watu walimbeba
58 Acts 3 21| manabii wake watakatifu wa tangu zamani.~
59 Acts 4 28| ambayo ulikusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na
60 Acts 11 4 | juu ya yale yaliyotendeka tangu mwanzo:~
61 Acts 14 8 | ambaye alikuwa amelemaa miguu tangu kuzaliwa, na alikuwa hajapata
62 Acts 15 18| aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.`~
63 Acts 18 6 | yoyote juu ya jambo hilo. Na tangu sasa nitawaendea watu na
64 Acts 20 18| wakati wote pamoja nanyi tangu siku ile ya kwanza nilipofika
65 Acts 24 11| kumi na mbili tu zimepita tangu nilipokwenda kuabudu Yerusalemu.~
66 Acts 26 4 | wanajua habari za maisha yangu tangu utoto, jinsi nilivyoishi
67 Acts 26 4 | utoto, jinsi nilivyoishi tangu mwanzo kati ya taifa langu
68 Acts 26 5 | kama wakipenda, kwamba tangu mwanzo niliishi kama mmoja
69 Acts 28 23| wakafika huko alikokuwa anakaa. Tangu asubuhi mpaka jioni Paulo
70 Roma 1 17| hili hufanyika kwa imani, tangu mwanzo mpaka mwisho. Kama
71 Roma 1 20| 20 Tangu Mungu alipoumba ulimwengu,
72 Roma 5 14| 14 Lakini tangu wakati wa Adamu mpaka wakati
73 Roma 8 29| 29 Maana hao aliowachagua tangu mwanzo, ndio aliowateua
74 Roma 11 2 | hakuwakataa watu wake aliowateua tangu mwanzo. Mnakumbuka yasemavyo
75 Roma 15 19| kwa kusafiri kila mahali, tangu kule Yerusalemu mpaka Iluriko,
76 1Cor 2 7 | ambayo Mungu aliiazimia tangu mwanzo kwa ajili ya utukufu
77 1Cor 7 29| muda uliobaki ni mfupi. Na tangu sasa wale waliooa na waishi
78 2Cor 5 16| 16 Basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu
79 2Cor 9 2 | zetu wa Akaya wako tayari tangu mwaka jana." Hivyo, moto
80 Gala 3 25| 25 Tangu kufika kwa hiyo imani, Sheria
81 Ephe 1 5 | Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama
82 Ephe 1 11| kufuatana na azimio alilofanya tangu mwanzo.~
83 Ephe 1 15| 15 Kwa sababu hiyo, tangu niliposikia juu ya imani
84 Ephe 3 9 | alificha siri hiyo yake tangu milele,~
85 Colo 1 6 | ilivyofanya kwenu ninyi tangu siku ile mliposikia juu
86 Colo 1 9 | tumekuwa tukiwaombeeni daima tangu tulipopata habari zenu.
87 Colo 1 26| aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha
88 2The 2 13| kwa maana Mungu amewateua tangu mwanzo mpate kuokolewa kwa
89 2Tim 3 15| 15 Unakumbuka kwamba tangu utoto wako umeyajua Maandiko
90 Hebr 4 3 | ilikuwa imekwisha malizika tangu alipoumba ulimwengu.~
91 Hebr 9 26| angalipaswa kuteswa mara nyingi tangu kuumbwa ulimwengu. Lakini
92 1Pet 2 8 | na ndivyo walivyopangiwa tangu mwanzo.~
93 1Pet 4 2 | 2 Tangu sasa, basi, maisha yaliowabakia
94 2Pet 3 4 | wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali
95 1Joh 1 1 | Neno la uzima lililokuwako tangu mwanzo. Sisi tumepata kulisikia
96 1Joh 2 7 | ya zamani mliyokuwa nayo tangu mwanzo. Amri hiyo ya zamani
97 1Joh 2 13| mnamjua yeye ambaye amekuwako tangu mwanzo, Nawaandikieni ninyi
98 1Joh 2 14| mnamjua yeye ambaye amekuwako tangu mwanzo. Nawaandikieni ninyi
99 1Joh 2 24| Basi, ujumbe ule mliousikia tangu mwanzo na ukae mioyoni mwenu.
100 1Joh 2 24| Kama ujumbe huo mliousikia tangu mwanzo ukikaa ndani yenu,
101 1Joh 3 8 | Ibilisi ametenda dhambi tangu mwanzo. Lakini Mwana wa
102 1Joh 3 11| 11 Na, ujumbe mliousikia tangu mwanzo ndio huu: Tunapaswa
103 2Joh 1 5 | amri ileile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo.~
104 2Joh 1 6 | Mungu. Amri niliyoisikia tangu mwanzo ndiyo hii: mnapaswa
105 Jude 1 4 | Matakatifu yalikwisha bashiri tangu awali hukumu inayowangojea
106 Jude 1 14| ambaye ni babu wa saba tangu Adamu, alibashiri hivi juu
107 Jude 1 25| njia ya Kristo Bwana wetu, tangu zama zote, sasa na hata
108 Rev 13 8 | ambao majina yao yameandikwa tangu mwanzo wa ulimwengu katika
109 Rev 14 13 | Andika! Heri watu ambao tangu sasa wanakufa wakiwa wameungana
110 Rev 16 18 | ambalo halijapata kutokea tangu Mungu alipomuumba mtu.~
111 Rev 17 8 | katika kitabu cha uzima tangu mwanzo wa ulimwengu, watashangaa
|