Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
jina 178
jingine 2
jino 2
jinsi 111
jiokoe 3
jiokoeni 1
jioni 24
Frequency    [«  »]
113 30
113 nyumba
112 kufanya
111 jinsi
111 tangu
110 31
110 lake

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

jinsi

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 6 28 | Tazameni maua ya porini jinsi yanavyostawi. Hayafanyi 2 Matt 7 2 | 2 kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, 3 Matt 12 14 | wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza Yesu.~ 4 Matt 12 40 | 40 Jinsi Yona alivyokaa siku tatu 5 Matt 17 12 | hawakumtambua, bali walimtendea jinsi walivyotaka. Mwana wa Mtu 6 Matt 20 28 | 28 Jinsi hiyohiyo, Mwana wa Mtu hakuja 7 Matt 22 15 | wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa ~Yesu kwa maneno 8 Matt 23 36 | sababu ya ~mambo haya. ~ Jinsi Yesu alivyoupenda mji wa 9 Matt 26 4 | 4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa 10 Mark 3 6 | watu wa kikundi cha Herode jinsi ya kumwangamiza Yesu.~ 11 Mark 5 19 | yote Bwana aliyokutendea na jinsi alivyokuonea huruma."~ 12 Mark 5 31 | wake wakamjibu, "Unaona jinsi watu wanavyokusonga; mbona 13 Mark 9 3 | yakang`aa, yakawa meupe sana, jinsi dobi yeyote duniani asingeweza 14 Mark 10 23 | akawaambia wanafunzi wake, "Jinsi gani itakavyokuwa vigumu 15 Mark 12 41 | hazina. Akawa anatazama jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa 16 Mark 13 1 | alimwambia, "Mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya 17 Mark 14 72 | Basi, Petro akakumbuka jinsi Yesu alivyokuwa amemwambia: " 18 Mark 15 39 | amesimama mbele yake aliona jinsi Yesu alivyolia kwa sauti 19 Luke 5 20 | 20 Yesu alipoona jinsi walivyokuwa na imani kubwa, 20 Luke 6 3 | akawajibu, "Je, hamjasoma jinsi alivyofanya Daudi pamoja 21 Luke 6 11 | wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea Yesu maovu.~ 22 Luke 8 18 | 18 "Kwa hiyo, jihadharini jinsi mnavyosikia; maana aliye 23 Luke 8 36 | tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.~ 24 Luke 8 47 | kisa cha kumgusa Yesu na jinsi alivyoponyeshwa mara moja.~ 25 Luke 10 18 | akawaambia, "Nilimwona Shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama 26 Luke 11 30 | 30 Jinsi Yona alivyokuwa ishara kwa 27 Luke 12 11 | msiwe na wasiwasi juu ya jinsi mtakavyojitetea au jinsi 28 Luke 12 11 | jinsi mtakavyojitetea au jinsi mtakavyosema.~ 29 Luke 12 27 | 27 Angalieni maua jinsi yanavyomea. Hayafanyi kazi 30 Luke 12 50 | ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka 31 Luke 14 7 | 7 Yesu aliona jinsi wale walioalikwa walivyokuwa 32 Luke 18 6 | akaendelea kusema, "Sikieni jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya.~ 33 Luke 18 24 | akihuzunika hivyo, akasema, "Jinsi gani ilivyo vigumu kwa matajiri 34 Luke 21 5 | wanazungumza juu ya Hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya 35 Luke 21 14 | kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea,~ 36 Luke 23 55 | wakaliona lile kaburi na jinsi mwili wake Yesu ulivyowekwa~ 37 Luke 24 35 | yaliyowapata njiani, na jinsi walivyomtambua katika kumega 38 John 11 36 | Wayahudi wakasema, "Tazameni jinsi alivyompenda!"~ 39 John 21 19 | kusema hivyo, alionyesha jinsi Petro atakavyokufa na kumtukuza 40 Acts 4 9 | mtu aliyekuwa kiwete na jinsi alivyopata kuwa mzima,~ 41 Acts 4 13 | yoyote, walishangaa juu ya jinsi walivyosema kwa uhodari. 42 Acts 9 22 | alizidi kupata nguvu, na kwa jinsi alivyothibitisha wazi kwamba 43 Acts 9 27 | kwa mitume na kuwaeleza jinsi Saulo alivyomwona Bwana 44 Acts 9 27 | alivyomwona Bwana njiani na jinsi Bwana alivyoongea naye. 45 Acts 9 27 | alivyoongea naye. Aliwaambia pia jinsi Saulo alivyokuwa amehubiri 46 Acts 10 38 | Mnajua Yesu wa Nazareti na jinsi Mungu alivyomteua kwa kummiminia 47 Acts 11 13 | 13 Yeye alitueleza jinsi alivyokuwa amemwona malaika 48 Acts 11 23 | Alipofika huko na kuona jinsi Mungu alivyowaneemesha wale 49 Acts 12 17 | wakae kimya, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa gerezani. 50 Acts 14 27 | aliyofanya pamoja nao, na jinsi alivyowafungulia mlango 51 Acts 15 3 | Samaria waliwaeleza watu jinsi mataifa mengine yalivyomgeukia 52 Acts 15 14 | 14 Simoni ameeleza jinsi Mungu hapo awali alivyojishughulisha 53 Acts 15 36 | neno la Bwana tukajionee jinsi wanavyoendelea."~ 54 Acts 17 16 | ulighadhibika sana alipoona jinsi mji huo ulivyokuwa umejaa 55 Acts 20 18 | kwake aliwaambia, "Mnajua jinsi nilivyotumia wakati wote 56 Acts 20 19 | 19 Mnajua jinsi nilivyomtumikia Bwana kwa 57 Acts 26 4 | maisha yangu tangu utoto, jinsi nilivyoishi tangu mwanzo 58 Roma 1 17 | Habari Njema inaonyesha wazi jinsi Mungu anavyowakubali watu 59 Roma 7 13 | ilijionyesha kikamilifu jinsi ilivyo mbaya mno.~ 60 Roma 9 12 | uchaguzi wa Mungu unategemea jinsi anavyoita mwenyewe, na si 61 Roma 10 3 | 3 Maana hawakufahamu jinsi Mungu anavyowafanya watu 62 Roma 11 22 | 22 Kumbuka, basi, jinsi Mungu alivyo mwema na mkali. 63 1Cor 3 10 | kila mmoja awe mwangalifu jinsi anavyojenga juu yake.~ 64 1Cor 7 32 | hujishughulisha na kazi ya Bwana jinsi atakavyompendeza Bwana.~ 65 1Cor 7 33 | hujishughulisha na mambo ya dunia jinsi atakavyompendeza mkewe,~ 66 1Cor 7 34 | hujishughulisha na mambo ya dunia hii jinsi atakavyompendeza mumewe.~ 67 1Cor 8 12 | mkiwakosesha ndugu zenu jinsi hiyo na kuzijeruhi dhamiri 68 2Cor 5 12 | yao ya nje zaidi kuliko jinsi walivyo moyoni.~ 69 2Cor 7 7 | mliompa ninyi. Yeye ametuarifu jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi 70 2Cor 7 7 | jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi mlivyo na huzuni, na mnavyotaka 71 2Cor 7 10 | 10 Kuwa na huzuni jinsi atakavyo Mungu, husababisha 72 2Cor 7 11 | matokeo ya kuona huzuni jinsi Mungu atakavyo: ninyi mmepata 73 2Cor 7 12 | ionekane wazi mbele ya Mungu jinsi mlivyo na bidii kwa ajili 74 2Cor 7 13 | aliyokuwa nayo kutokana na jinsi mlivyomchangamsha moyo.~ 75 2Cor 7 15 | unaongezeka zaidi akikumbuka jinsi ninyi nyote mlivyo tayari 76 2Cor 7 15 | mlivyo tayari kutii, na jinsi mlivyomkaribisha kwa hofu 77 2Cor 8 8 | lakini nataka tu kuonyesha jinsi wengine walivyo na bidii 78 2Cor 8 8 | kusaidia ili nipate kujua jinsi upendo wenu ulivyo wa kweli.~ 79 2Cor 9 2 | 2 Ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, 80 Gala 1 13 | Bila shaka mlikwisha sikia jinsi nilivyokuwa ninaishi zamani 81 Gala 1 13 | kuzingatia dini ya Kiyahudi, na jinsi nilivyolitesa kanisa la 82 Gala 6 11 | 11 Tazameni jinsi nilivyoandika kwa herufi 83 Ephe 1 19 | 19 mpate kutambua jinsi uwezo wake ulivyo mkuu mno 84 Ephe 3 4 | maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo 85 Ephe 3 9 | niwaangazie watu wote waone jinsi mpango wa Mungu uliofichika 86 Ephe 3 18 | pamoja na watu wote wa Mungu jinsi upendo wa Kristo ueneavyo 87 Ephe 5 15 | 15 Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi: Msiishi kama 88 Colo 2 1 | 1 Napenda mjue jinsi ninavyofanya kazi kwa bidii 89 Colo 4 6 | kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.~ 90 1The 1 3 | Mungu Baba yetu, twakumbuka jinsi mnavyoonyesha imani yenu 91 1The 1 3 | imani yenu kwa matendo, jinsi upendo wenu unavyowawezesha 92 1The 1 3 | kufanya kazi kwa bidii, na jinsi tumaini lenu katika Bwana 93 1The 1 5 | ulikuwa wa kweli. Mnajua jinsi tulivyoishi pamoja nanyi; 94 1The 1 9 | juu ya ziara yetu kwenu: jinsi mlivyotukaribisha, jinsi 95 1The 1 9 | jinsi mlivyotukaribisha, jinsi mlivyoziacha sanamu mkamgeukia 96 1The 2 2 | 2 Mnajua jinsi tulivyodhulumiwa na kutukanwa 97 1The 2 9 | 9 Ndugu, mnakumbuka jinsi tulivyofanya kazi na kutaabika. 98 1The 2 10 | na Mungu pia ni shahidi, jinsi mwenendo wetu kati yenu 99 2The 1 4 | Mungu. Tunaona fahari juu ya jinsi mnavyoendelea kuamini na 100 Hebr 7 4 | 4 Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. 101 Hebr 12 3 | mambo yaliyompata Yesu, jinsi alivyostahimili upinzani 102 James 1 24| huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo.~ 103 James 2 18| matendo!" Haya! Nionyeshe jinsi mtu anavyoweza kuwa na imani 104 James 5 11| uvumilivu wa Yobu, na mnajua jinsi Bwana alivyomtendea mwishoni. 105 1Pet 3 2 | 2 kwani wataona jinsi mwenendo wenu ulivyo safi 106 2Pet 2 9 | hiyo, basi, Bwana anajua jinsi ya kuwaokoa katika majaribu 107 2Pet 2 9 | watu wanaomcha Mungu, na jinsi ya kuwaweka waovu katika 108 1Joh 3 1 | 1 Oneni basi, jinsi Baba alivyotupenda mno hata 109 1Joh 3 2 | lakini bado haijaonekana wazi jinsi tutakavyokuwa. Lakini tunajua 110 Jude 1 5 | mmekwisha yajua: kumbukeni jinsi Bwana alivyowaokoa watu 111 Rev 3 3 | yale uliyofundishwa na jinsi ulivyoyasikia, uyatii na


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License