Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 15 | hivyo kwa sasa, maana kwa namna hii inafaa tuyatekeleze
2 Matt 4 23 | wa Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa
3 Matt 4 24 | wote wenye maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa na
4 Matt 4 24 | wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu: waliopagawa na
5 Matt 8 27 | wakashangaa, wakasema, "Ni mtu wa namna gani huyu? Hata pepo na
6 Matt 9 8 | aliyewapa binadamu uwezo wa namna hiyo.~
7 Matt 9 35 | yote na udhaifu wa kila namna.~
8 Matt 10 19 | wasiwasi mtasema nini au namna gani; wakati utakapofika,
9 Matt 21 36 | Wale wakulima wakawatendea namna ileile.~
10 Matt 23 27 | mifupa ya maiti na kila namna ya uchafu. ~
11 Mark 4 19 | za mali na tamaa za kila namna huwaingia na kulisonga hilo
12 Mark 4 33 | mifano mingine mingi ya namna hiyo; aliongea nao kadiri
13 Mark 7 4 | nyingine walizopokea kama vile namna ya kuosha vikombe, sufuria
14 Mark 7 13 | mnafanya mambo mengi ya namna hiyo."~
15 Luke 1 66 | Mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?" Maana, hakika nguvu
16 Luke 7 9 | akasema, "Sijaona imani kubwa namna hii hata katika Israeli."~
17 Luke 7 31 | na kitu gani? Ni watu wa namna gani?~
18 Luke 7 39 | angejua huyu mwanamke ni wa namna gani, ya kwamba ni mwenye
19 Luke 7 49 | wakaulizana, "Ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe
20 Luke 14 18 | 18 Lakini wote, kwa namna moja, wakaanza kuomba radhi.
21 Luke 17 20 | Ufalme wa Mungu hauji kwa namna itakayoweza kuonekana.~
22 Luke 23 31 | watu wanautendea mti mbichi namna hiyo, itakuwaje kwa mti
23 John 9 16 | awezaje kufanya ishara za namna hii?" Kukawa na mafarakano
24 John 15 6 | Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni
25 Acts 1 3 | aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo zilithibitisha kabisa
26 Acts 1 11 | kwenda mbinguni atakuja tena namna hiyohiyo mliivyomwona akienda
27 Acts 5 4 | moyoni mwako kufanya jambo la namna hii? Hukumdanganya mtu;
28 Acts 6 12 | 12 Kwa namna hiyo, waliwachochea watu,
29 Acts 7 50 | 50 Ni nyumba ya namna gani basi mnayoweza kunijengea,
30 Acts 18 13 | watu wamwabudu Mungu kwa namna inayopingana na Sheria."~
31 Acts 19 3 | Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?" Wakamjibu, "Ubatizo
32 Acts 19 20 | 20 Kwa namna hiyo, neno la Bwana lilizidi
33 Acts 21 11 | kule Yerusalemu watamfunga namna hii mtu mwenye ukanda na
34 Acts 22 22 | Mwondoe duniani! Mtu wa namna hiyo hastahili kuishi."~
35 Roma 2 29 | maandishi ya Sheria. Mtu wa namna hiyo anapata sifa, si kutoka
36 Roma 3 26 | kuonyesha uadilifu wake. Kwa namna hiyo Mungu mwenyewe huonyesha
37 Roma 9 20 | Kwa nini umenitengeneza namna hii?"~
38 Roma 14 18 | 18 Anayemtumikia Kristo namna hiyo humpendeza Mungu, na
39 Roma 16 18 | 18 maana watu wa namna hiyo hawamtumikii Kristo
40 1Cor 5 11 | mlevi na mlaghai. Mtu wa namna hiyo, hata kula msile naye.~
41 1Cor 7 37 | kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya
42 1Cor 12 4 | Vipaji vya kiroho ni vya namna nyingi, lakini Roho avitoaye
43 1Cor 12 5 | 5 Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini
44 1Cor 12 6 | 6 Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi
45 1Cor 15 35 | watafufuliwaje? Watakuwa na mwili wa namna gani wakati watakapokuja
46 1Cor 15 39 | Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna
47 1Cor 15 39 | namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya
48 1Cor 15 39 | nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki
49 1Cor 15 39 | miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.~
50 1Cor 16 18 | inafaa kuwakumbuka watu wa namna hii.~
51 2Cor 2 16 | kushiriki katika kazi ya namna hiyo?~
52 2Cor 5 3 | Naam, tunapaswa kuvikwa namna hiyo ili tusije tukasimama
53 2Cor 10 6 | tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.~
54 2Cor 11 8 | na makanisa mengine. Kwa namna moja au nyingine niliwapokonya
55 2Cor 11 9 | mwangalifu sana nisiwe mzigo kwa namna yoyote ile, na nitaendelea
56 2Cor 12 5 | nitajivunia juu ya mtu wa namna hiyo, na si juu yangu mimi
57 Gala 1 6 | mkafuata Habari Njema ya namna nyingine.~
58 Ephe 3 10 | hekima ya Mungu iliyo ya namna nyingi.~
59 Ephe 5 27 | kasoro au chochote cha namna hiyo.~
60 Colo 1 10 | yatakuwa yenye matunda ya kila namna ya matendo mema na mtazidi
61 Colo 2 18 | ibada kwa malaika. Mtu wa namna hiyo amepumbazika kwa fikira
62 Colo 2 23 | yaonekana kuwa ya hekima katika namna ya ibada ya kujitakia wenyewe,
63 Colo 4 4 | kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo.~
64 1The 4 1 | mmejifunza kutoka kwetu namna mnavyopaswa kuishi ili kumpendeza
65 1The 4 4 | mwanamume anapaswa kujua namna ya kuishi na mkewe kwa utakatifu
66 1The 4 9 | wenyewe mmefundishwa na Mungu namna mnavyopaswa kupendana.~
67 1The 4 12 | 12 Kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri
68 1The 5 23 | ninyi watakatifu kwa kila namna na kuzilinda nafsi zenu -
69 2The 1 12 | 12 Kwa namna hiyo, jina la Bwana wetu
70 2The 2 3 | kudanganywa na mtu yeyote kwa namna yoyote ile. Maana Siku hiyo
71 2The 2 9 | Shetani na kufanya kila namna ya miujiza na maajabu ya
72 2The 2 10 | kutumia udanganyifu wa kila namna kwa wale walio katika mkumbo
73 2The 3 16 | amani siku zote kwa kila namna. Bwana awe nanyi nyote.~
74 1Tim 4 2 | 2 Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu
75 1Tim 4 8 | kiroho yana faida za kila namna, maana yanatuahidia uzima
76 1Tim 6 19 | 19 Kwa namna hiyo watajiwekea hazina
77 2Tim 2 20 | mabakuli na vyombo vya kila namna: vingine ni vya fedha na
78 2Tim 3 5 | Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.~
79 Titus 3 1 | na kuwa tayari kwa kila namna kutenda mambo yote mema.~
80 Titus 3 11| 11 Wajua kwamba mtu wa namna hiyo amepotoka kabisa, na
81 Hebr 1 1 | babu zetu mara nyingi kwa namna nyingi kwa njia ya manabii,~
82 Hebr 2 4 | ushahidi wake kwa kufanya kila namna ya miujiza na maajabu, na
83 Hebr 2 17 | kama ndugu zake kwa kila namna, ili awe Kuhani Mkuu wao
84 Hebr 4 15 | alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini hakutenda dhambi.~
85 Hebr 6 9 | 9 Lakini, ingawa twasema namna hii, wapenzi wetu, tunalo
86 Hebr 6 17 | ahadi yake kwa kiapo; na kwa namna hiyo akawaonyesha wazi wale
87 Hebr 8 1 | sisi tunaye Kuhani Mkuu wa namna hiyo, ambaye anaketi upande
88 Hebr 9 23 | vililazimika kutakaswa kwa namna hiyo. Lakini vitu vya mbinguni
89 Hebr 10 29 | anastahili kupata adhabu kali ya namna gani?~
90 Hebr 10 33 | kuungana na wale walioteswa namna hiyohiyo.~
91 Hebr 11 19 | anaweza kuwafufua wafu: na kwa namna fulani kweli Abrahamu alimpata
92 Hebr 12 28 | shukrani na kumwabudu Mungu kwa namna itakayompendeza, kwa ibada
93 James 1 7 | 7 Mtu wa namna hiyo, mwenye nia mbili na
94 James 1 18| lake la ukweli, ili tuwe namna ya matunda ya kwanza miongoni
95 James 3 15| 15 Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni;
96 James 4 16| na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.~
97 1Pet 4 17 | basi mwisho wake utakuwa namna gani kwa wale wasioamini
98 2Pet 1 4 | 4 Kwa namna hiyo ametujalia zawadi kuu
99 2Pet 1 10 | maisha yenu; kama mkiishi namna hiyo hamtaanguka kamwe.~
100 2Pet 1 11 | 11 Kwa namna hiyo mtafaulu kupewa haki
101 2Pet 3 11 | Maadamu kila kitu kitaharibiwa namna hiyo, je, ninyi mnapaswa
102 2Pet 3 11 | ninyi mnapaswa kuwa watu wa namna gani? Mnapaswa kuishi kitakatifu
103 1Joh 2 22 | kwamba Yesu ni Masiha. Mtu wa namna hiyo ni adui wa Kristo -
104 3Joh 1 6 | waendelee na safari yao kwa namna itakayompendeza Mungu,~
105 Rev 11 5 | atakayejaribu kuwadhuru atakufa namna hiyo.~
106 Rev 11 6 | kusababisha maafa ya kila namna duniani kila mara wapendavyo.~
107 Rev 18 22 | ndani yako. Hakuna fundi wa namna yoyote ile atakayepatikana
|