Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mahitaji 16
mahubiri 7
mahututi 2
maisha 105
maiti 9
majabali 2
majadiliano 8
Frequency    [«  »]
107 wafu
106 duniani
106 ikiwa
105 maisha
105 moto
104 hili
104 mose

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

maisha

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 6 25 | ajili ya miili yenu. Je, maisha ni chakula tu au zaidi? 2 Matt 6 27 | anaweza kuuongeza muda wa maisha yake?~ 3 Matt 10 39 | 39 Anayeyashikilia maisha yake, atayapoteza; lakini 4 Matt 10 39 | atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata.~ 5 Matt 16 25 | mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza;~ 6 Matt 16 26 | lakini mtu anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata. 7 Matt 16 26 | ulimwengu na hali amepoteza maisha yake? Au, mtu atatoa kitu 8 Matt 16 26 | kitu gani kiwe badala ya maisha yake?~ 9 Matt 20 28 | bali kutumikia na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu 10 Mark 3 4 | kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuua?" Lakini wao hawakusema 11 Mark 8 35 | Maana mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza, 12 Mark 8 35 | lakini mtu atakayepoteza maisha yake kwa ajili yangu na 13 Mark 8 36 | ulimwengu wote na kuyapoteza maisha yake?~ 14 Mark 8 37 | atatoa kitu gani badala ya maisha yake?~ 15 Mark 10 45 | alikuja kutumikia, na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu 16 Luke 1 75 | mbele yake, siku zote za maisha yetu.~ 17 Luke 6 9 | kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuyaangamiza?"~ 18 Luke 7 25 | mavazi maridadi na kuishi maisha ya anasa, hukaa katika majumba 19 Luke 7 37 | mmoja aliyekuwa anaishi maisha mabaya. Alipopata habari 20 Luke 8 14 | wasiwasi, mali na anasa za maisha, na hawazai matunda yakakomaa.~ 21 Luke 9 24 | mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza; 22 Luke 9 24 | lakini atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayaokoa.~ 23 Luke 9 56 | Mtu hakuja kuyaangamiza maisha ya watu, bali kuyaokoa."~ 24 Luke 12 25 | anaweza kuongeza urefu wa maisha yake?~ 25 Luke 16 25 | ulipokea mema yako katika maisha, naye Lazaro akapokea mabaya. 26 Luke 21 19 | uvumilivu wenu, mtayaokoa maisha yenu.~ 27 Luke 21 34 | anasa, ulevi na shughuli za maisha haya. La sivyo, Siku ile 28 John 10 15 | nimjuavyo Baba. Mimi nayatoa maisha yangu kwa ajili yao.~ 29 John 12 25 | 25 Anayependa maisha yake, atayapoteza; anayeyachukia 30 John 12 25 | atayapoteza; anayeyachukia maisha yake katika ulimwengu huu, 31 Acts 5 20 | kuwaambia watu kila kitu kuhusu maisha haya mapya."~ 32 Acts 8 33 | kizazi chake, kwa maana maisha yake yameondolewa duniani."~ 33 Acts 15 26 | 26 ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la 34 Acts 26 4 | Wayahudi wanajua habari za maisha yangu tangu utoto, jinsi 35 Acts 27 10 | na meli tu, bali pia kwa maisha yetu."~ 36 Acts 27 22 | mmoja wenu atakayepoteza maisha yake; meli tu ndiyo itakayopotea.~ 37 Roma 6 4 | sisi pia tuweze kuishi maisha mapya.~ 38 Roma 6 10 | juu yake; na sasa anaishi maisha yake katika umoja na Mungu.~ 39 Roma 7 6 | tunatumikia kufuatana na maisha mapya ya Roho, na si kufuatana 40 Roma 8 1 | hukumu kwa wale ambao katika maisha yao wameungana na Kristo.~ 41 Roma 16 4 | 4 Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu. Wanastahili 42 1Cor 3 1 | kama watoto wachanga katika maisha ya Kikristo.~ 43 1Cor 3 22 | Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na 44 1Cor 4 15 | maelfu ya walezi katika maisha yenu ya Kikristo, baba yenu 45 1Cor 4 15 | ni mmoja tu, kwani katika maisha ya Kikristo mimi ndiye niliyewazaeni 46 1Cor 4 17 | ninayofuata katika kuishi maisha ya Kikristo; njia ninayofundisha 47 1Cor 6 9 | Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu 48 1Cor 15 19 | katika Kristo yanahusu tu maisha haya ya sasa, basi, sisi 49 2Cor 4 11 | 11 Naam, katika maisha yetu yote tunakabiliwa na 50 Gala 2 20 | Kristo anaishi ndani yangu. Maisha haya ninayoishi sasa naishi 51 Gala 2 20 | aliyenipenda hata akayatoa maisha yake kwa ajili yangu.~ 52 Gala 3 15 | nitawapeni mfano kutoka maisha yetu ya kila siku. Fikirini 53 Ephe 2 10 | alituumba kwa ajili ya kuishi maisha ya matendo mema aliyotutayarishia 54 Ephe 4 1 | namtumikia Bwana, nawasihi muishi maisha yanayostahili wito mlioitiwa.~ 55 Ephe 4 24 | ambayo hujionyesha katika maisha ya kweli ya uadilifu na 56 Ephe 5 2 | 2 Upendo uongoze maisha yenu, kama vile Kristo alivyotupenda, 57 Colo 1 10 | kutenda daima yanayompendeza. Maisha yenu yatakuwa yenye matunda 58 1The 2 8 | Njema ya Mungu, bali pia na maisha yetu. Ndivyo mlivyokuwa 59 1The 2 12 | kuwahimiza ili mpate kuishi maisha yampendezayo Mungu ambaye 60 1The 4 3 | watakatifu na mjiepushe kabisa na maisha ya zinaa.~ 61 1The 4 7 | 7 Mungu hakutuita tuishi maisha ya zinaa, bali tuishi katika 62 1The 4 11 | 11 Muwe na nia ya kuishi maisha ya utulivu, kila mmoja ashughulikie 63 1The 5 12 | na kuwafundisheni kuhusu maisha ya Kikristo.~ 64 2The 1 11 | wetu awawezeshe muyastahili maisha aliyowaitia myaishi. Tunamwomba, 65 1Tim 2 2 | mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja 66 1Tim 4 7 | hazina maana. Jizoeshe kuishi maisha ya uchaji wa Mungu.~ 67 1Tim 4 8 | yanatuahidia uzima katika maisha ya sasa, na pia hayo yanayokuja.~ 68 1Tim 4 12 | mwenendo wako, upendo, imani na maisha safi.~ 69 1Tim 5 6 | Lakini mwanamke ambaye huishi maisha ya anasa, huyo amekufa, 70 1Tim 6 17 | matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke 71 2Tim 2 4 | hujiepusha na shughuli za maisha ya kawaida ili aweze kumpendeza 72 2Tim 3 10 | wangu, makusudi yangu katika maisha, imani yangu, uvumilivu 73 2Tim 3 12 | Kila mtu anayetaka kuishi maisha ya kumcha Mungu katika kuungana 74 2Tim 3 16 | na kuwaongoza watu waishi maisha adili,~ 75 2Tim 4 8 | kupewa tuzo la ushindi kwa maisha ya uadilifu, tuzo ambalo 76 Titus 2 12| kidunia; tuwe na kiasi, tuishi maisha adili na ya kumcha Mungu 77 Titus 3 3 | anasa za kila aina. Tuliishi maisha ya uovu na wivu; watu walituchukia 78 Titus 3 5 | tuzaliwe upya na kuwa na maisha mapya kwa kutuosha kwa maji.~ 79 Titus 3 14| katika mahitaji ya kweli, na maisha yao yawe ya kufaa.~ 80 Hebr 1 12 | wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma."~ 81 Hebr 2 15 | awaokoe wale waliokuwa watumwa maisha yao yote kwa sababu ya hofu 82 Hebr 6 19 | tumaini hilo kama nanga ya maisha yetu. Tumaini hilo ni imara 83 Hebr 11 35 | kufufuliwa na kuingia katika maisha bora zaidi.~ 84 Hebr 12 11 | tuzo la amani kutoka katika maisha adili!~ 85 Hebr 12 14 | amani na watu wote. Ishini maisha ya utakatifu, kwa sababu 86 Hebr 12 14 | atakayemwona Bwana bila ya maisha kama hayo.~ 87 James 2 16| kuwapatia mahitaji yao ya maisha?~ 88 James 3 6 | nafsi zetu zote. Huteketeza maisha yetu yote kwa moto utokao 89 James 4 14| 14 Ninyi hamjui hata maisha yenu yatakavyokuwa kesho! 90 James 5 5 | 5 Mmeishi duniani maisha ya kujifurahisha na ya anasa. 91 1Pet 3 10 | Matakatifu: "Anayetaka kufurahia maisha, na kuona siku za fanaka, 92 1Pet 3 19 | 19 na kwa maisha yake ya kiroho alikwenda 93 1Pet 4 2 | 2 Tangu sasa, basi, maisha yaliowabakia kuishi hapa 94 1Pet 4 3 | wasiomjua Mungu. Mliishi maisha ya anasa, ubinafsi, ulevi, 95 1Pet 4 6 | walikuwa wamehukumiwa katika maisha yao ya kimwili kama anavyohukumiwa 96 1Pet 4 6 | Habari Njema kusudi katika maisha yao ya kiroho waishi kama 97 2Pet 1 3 | tunayohitaji, ili tuishi maisha ya kumcha Mungu kwa kumjua 98 2Pet 1 10 | uwe jambo la kudumu katika maisha yenu; kama mkiishi namna 99 1Joh 3 16 | nini, kwani Kristo aliyatoa maisha yake kwa ajili yetu. Nasi 100 1Joh 3 16 | vilevile tunapaswa kuyatoa maisha yetu kwa ajili ya ndugu 101 1Joh 4 17 | Siku ile ya Hukumu; kwani maisha yetu hapa duniani ni kama 102 Jude 1 4 | watu ambao, kwa faida ya maisha yao mabaya, wanaupotosha 103 Rev 12 11 | walioutangaza; maana hawakuyathamini maisha yao kuwa kitu sana, wakawa 104 Rev 18 9 | uzinzi naye na kuishi naye maisha ya anasa wataomboleza na 105 Rev 18 13 | kukokotwa, watumwa wao na hata maisha ya watu.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License