Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
hii 146
hiki 60
hila 6
hili 104
hilo 169
hima 1
himiza 1
Frequency    [«  »]
106 ikiwa
105 maisha
105 moto
104 hili
104 mose
104 ndiyo
103 32

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

hili

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 9 30 | Msimwambie mtu yeyote jambo hili."~ 2 Matt 9 33 | wakashangaa na kusema, "Jambo kama hili halijapata kuonekana katika 3 Matt 16 22 | Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!"~ 4 Matt 19 11 | wanaoweza kulipokea fundisho hili, isipokuwa tu wale waliojaliwa 5 Matt 19 12 | Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee."~ 6 Matt 19 26 | akasema, "Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa 7 Matt 21 4 | 4 Jambo hili lilifanyika ili yale yaliyosemwa 8 Matt 21 42 | akawaambia, "Je, hamkusoma jambo hili katika Maandiko Matakatifu? ` 9 Matt 21 42 | Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana kwetu!`~ 10 Matt 24 43 | 43 Lakini kumbukeni jambo hili: kama mwenye nyumba angejua 11 Matt 28 14 | mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha 12 Mark 1 44 | Usimwambie mtu yeyote jambo hili, ila nenda ukajionyeshe 13 Mark 2 12 | Hatujapata kamwe kuona jambo kama hili."~ 14 Mark 2 26 | iliyowekwa mbele ya Mungu. Jambo hili lilifanyika wakati Abiathari 15 Mark 12 11 | Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana kwetu."`~ 16 Mark 12 33 | anavyojipenda mwenyewe. Jambo hili ni muhimu zaidi kuliko dhabihu 17 Mark 14 58 | akisema, `Nitaliharibu Hekalu hili lililojengwa kwa mikono, 18 Luke 2 15 | Bethlehemu tukalione tukio hili Bwana alilotujulisha."~ 19 Luke 4 3 | Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate."~ 20 Luke 4 21 | akaanza kuwaambia, "Andiko hili mlilosikia likisomwa, limetimia 21 Luke 4 36 | wakashangaa, wakawa wanaambiana, "Hili ni jambo la ajabu, maana 22 John 2 19 | akawaambia, "Vunjeni Hekalu hili, nami nitalijenga kwa siku 23 John 2 20 | Wayahudi wakasema, "Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka 24 John 5 10 | mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.~ 25 John 5 29 | 28 Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo 26 John 6 61 | akawauliza, "Je, jambo hili linawafanya muwe na mashaka?~ 27 John 9 3 | 3 Yesu akajibu, "Jambo hili halikutukia kwa sababu ya 28 John 9 7 | Siloamu." (maana ya jina hili ni "aliyetumwa"). Basi, 29 John 9 30 | 30 Naye akawajibu, "Hili ni jambo la kushangaza! 30 Acts 2 16 | 16 Ukweli ni kwamba jambo hili ni lile alilosema nabii 31 Acts 3 12 | nini mnashangazwa na jambo hili? Mbona mnatukodolea macho 32 Acts 4 7 | wakawauliza, "Ninyi mmefanya jambo hili kwa nguvu gani na kwa jina 33 Acts 4 17 | ili tupate kuzuia jambo hili lisienee zaidi kati ya watu, 34 Acts 9 21 | waliokuwa wanaomba kwa jina hili kule Yerusalemu? Tena alikuja 35 Acts 9 42 | 42 Habari ya tukio hili ilienea kila mahali huko 36 Acts 10 16 | 16 Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha 37 Acts 13 17 | 17 Mungu wa taifa hili la Israeli aliwateua babu 38 Acts 15 2 | 2 Jambo hili lilisababisha ubishi mkubwa, 39 Acts 15 15 | 15 Jambo hili ni sawa kabisa na maneno 40 Acts 15 18 | Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.`~ 41 Acts 17 19 | wakasema, "Tunataka kujua jambo hili jipya ulilokuwa unazungumzia.~ 42 Acts 17 31 | amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka 43 Acts 17 32 | kukusikia tena juu ya jambo hili!"~ 44 Acts 18 14 | Wayahudi! Kama kweli jambo hili lingekuwa juu ya uhalifu 45 Acts 19 32 | alikuwa anapayuka; wengine hili na wengine lile, mpaka hata 46 Acts 24 3 | 3 Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa 47 Acts 24 10 | umekuwa hakimu wa taifa hili kwa miaka mingi.~ 48 Acts 26 26 | yanajulikana kwako maana jambo hili halikutendeka mafichoni.~ 49 Acts 28 25 | zao, Paulo alisema jambo hili, "Kweli ni sawa yale aliyoyanena 50 Roma 1 17 | watu kuwa waadilifu; jambo hili hufanyika kwa imani, tangu 51 Roma 2 29 | ambaye ametahiriwa moyoni. Hili ni jambo la Roho, na si 52 Roma 3 21 | manabii hushuhudia jambo hili.~ 53 Roma 4 16 | 16 Kwa sababu hiyo, jambo hili lategemea imani, hivyo kwamba 54 Roma 4 24 | 24 Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao 55 Roma 9 1 | Mtakatifu inanithibitishia jambo hili pia.~ 56 Roma 10 12 | 12 Jambo hili ni kwa wote, kwani hakuna 57 Roma 11 27 | 27 Hili ndilo agano nitakalofanya 58 1Cor 1 23 | aliyesulubiwa. Kwa Wayahudi jambo hili ni kikwazo, na kwa watu 59 1Cor 7 17 | kama alivyoitwa na Mungu. Hili ndilo agizo langu kwa makanisa 60 1Cor 11 16 | kuleta ubishi juu ya jambo hili, basi, na ajue kwamba sisi 61 1Cor 11 22 | La hasha! Si kuhusu jambo hili.~ 62 1Cor 15 31 | inanifanya nitangaze jambo hili.~ 63 2Cor 3 12 | 12 Kwa vile hili ndilo tumaini letu, sisi 64 2Cor 7 7 | mnavyotaka kunitetea. Jambo hili linanifurahisha sana.~ 65 2Cor 7 11 | hamna hatia kuhusu jambo hili.~ 66 2Cor 8 10 | 10 Kuhusu jambo hili, basi, nawapeni shauri hili: 67 2Cor 8 10 | hili, basi, nawapeni shauri hili: inafaa kwenu kutekeleza 68 2Cor 11 6 | lakini elimu ninayo; jambo hili tumelionyesha wazi kwenu, 69 2Cor 11 17 | alichoniagiza Bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema tu kama 70 2Cor 12 8 | Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.~ 71 Gala 2 17 | wenye dhambi, je, jambo hili lina maana kwamba Kristo 72 Gala 3 14 | 14 Jambo hili lilifanyika kusudi ile baraka 73 Ephe 1 14 | aliyowaahidia watu wake, na jambo hili latuhakikishia kwamba Mungu 74 Ephe 2 8 | kwa njia ya imani. Jambo hili si matokeo ya juhudi zenu, 75 Ephe 3 3 | Nimeandika kwa ufupi juu ya jambo hili,~ 76 Ephe 6 1 | wazazi wenu Kikristo maana hili ni jambo jema.~ 77 1The 4 6 | kumpunja mwenzake kuhusu jambo hili. Tulikwisha waambieni hayo 78 1The 4 15 | 15 Hili tunalowaambieni ni fundisho 79 2The 2 2 | inadhaniwa kwamba jambo hili limetokana na uaguzi fulani, 80 2The 2 14 | Mungu aliwaitieni jambo hili kwa njia ya Habari Njema 81 1Tim 2 3 | 3 Jambo hili ni jema na lampendeza Mungu 82 Titus 3 8 | 8 Jambo hili ni kweli. Ninakutaka uyatilie 83 Phil 1 19 | 19 Naandika jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: 84 Hebr 4 5 | 5 Tena jambo hili lasemwa pia: "Hawataingia 85 Hebr 4 7 | 7 Jambo hili ni wazi, kwani Mungu aliweka 86 Hebr 5 11 | Mengi ya kusema juu ya jambo hili, lakini ni vigumu kuwaelezeni, 87 Hebr 7 2 | Maana ya kwanza ya jina hili Melkisedeki ni "Mfalme wa 88 Hebr 7 15 | 15 Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: kuhani 89 Hebr 8 1 | katika hayo tunayosema ni hili: sisi tunaye Kuhani Mkuu 90 Hebr 8 9 | 9 Agano hili halitakuwa kama lile nililofanya 91 Hebr 8 10 | 10 Na hili ndilo agano nitakalofanya 92 Hebr 9 9 | 9 Jambo hili ni mfano wa nyakati za sasa. 93 Hebr 10 16 | 16 "Hili ndilo agano nitakalofanya 94 Hebr 12 1 | 1 Sisi tunalo kundi hili kubwa la mashahidi mbele 95 Hebr 12 27 | 27 Neno hili: "tena" linatuonyesha kwamba 96 James 1 19| wapenzi, kumbukeni jambo hili! Kila mtu na awe mwepesi 97 1Pet 5 12 | kushuhudia kwamba jambo hili ni neema ya Mungu kweli. 98 2Pet 3 17 | wangu, mmekwisha jua jambo hili. Basi, muwe na tahadhari 99 1Joh 3 3 | kila mtu aliye na tumaini hili katika Kristo, hujiweka 100 1Joh 5 16 | atampatia uzima. Nasema jambo hili kuhusu wale waliotenda dhambi 101 2Joh 1 5 | moja kwako: tupendane. Ombi hili si amri mpya, bali ni amri 102 Rev 20 14 | ndani ya ziwa la moto. Ziwa hili la moto ndicho kifo cha 103 Rev 21 5 | Tena akaniambia, "Andika hili, maana maneno haya ni ya 104 Rev 22 17 | Njoo!" Kila mtu asikiaye hili, na aseme,"Njoo!" Kisha,


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License