Book, Chapter, Verse
1 Matt 8 30| 30 Karibu na mahali hapo kulikuwa
2 Matt 14 24| ile mashua ilikwishafika karibu katikati ya ziwa, lakini
3 Matt 14 25| 25 Usiku, karibu na mapambazuko, Yesu aliwaendea
4 Matt 24 33| yakitendeka, jueni kwamba yuko karibu sana.*fk*~
5 Matt 26 38| huzuni kubwa moyoni hata karibu kufa. Kaeni hapa mkeshe
6 Matt 28 1 | 1 Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile
7 Matt 28 18| 18 Yesu akaja karibu, akawaambia, "Nimepewa mamlaka
8 Mark 2 4 | watu, hawakuweza kumpeleka karibu na Yesu. Basi, wakatoboa
9 Mark 5 23| Binti yangu mdogo ni mgonjwa karibu kufa. Twende tafadhali,
10 Mark 6 6 | alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.~
11 Mark 6 48| upepo ulikuwa unawapinga. Karibu na mapambazuko, Yesu aliwaendea
12 Mark 11 1 | walifika Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni. Hapo
13 Mark 12 41| 41 Yesu alikuwa ameketi karibu na sanduku la hazina. Akawa
14 Mark 13 4 | itakayoonyesha kwamba mambo haya karibu yatimizwe?"~
15 Mark 13 29| kwamba Mwana wa Mtu yuko karibu sana.~
16 Mark 14 34| huzuni kubwa moyoni hata karibu kufa. Kaeni hapa mkeshe."~
17 Luke 4 39| 39 Yesu akaenda akasimama karibu naye, akaikemea ile homa,
18 Luke 5 7 | zote mbili samaki, hata karibu zingezama.~
19 Luke 7 2 | mtumishi alikuwa mgonjwa karibu kufa.~
20 Luke 7 6 | akaenda pamoja nao. Alipokuwa karibu kufika nyumbani kwa yule
21 Luke 7 38| 38 Akaja, akasimama karibu na miguu yake Yesu, akilia,
22 Luke 8 35| aliyetokwa na pepo ameketi karibu na Yesu, amevaa nguo, ana
23 Luke 9 12| kwenye vijiji na mashamba ya karibu, wakajipatie chakula na
24 Luke 9 18| wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, "Eti
25 Luke 9 47| akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye,~
26 Luke 10 39| aitwaye Maria; huyu aliketi karibu na Yesu akisikiliza mafundisho
27 Luke 16 22| malaika wakamchukua, wakamweka karibu na Abrahamu. Na yule tajiri
28 Luke 16 23| Abrahamu kwa mbali na Lazaro karibu naye.~
29 Luke 18 40| yake. Yule kipofu alipofika karibu, Yesu akamwuliza,~
30 Luke 19 29| kufika Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni, aliwatuma
31 Luke 19 37| 37 Alipofika karibu na Yerusalemu, katika mteremko
32 Luke 21 7 | gani zitakazoonyesha kwamba karibu mambo hayo yatokee?"~
33 Luke 22 56| alipomwona Petro ameketi karibu na moto, akamkodolea macho,
34 Luke 24 4 | kung`aa sana, wakasimama karibu nao.~
35 John 3 23| akibatiza watu huko Ainoni, karibu na Salemu, maana huko kulikuwa
36 John 4 5 | Sukari, mji mmoja wa Samaria, karibu na shamba ambalo Yakobo
37 John 5 2 | 2 Huko Yerusalemu, karibu na mlango uitwao Mlango
38 John 11 18| Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu umbali upatao
39 John 11 54| alitoka hapo, akaenda mahali karibu na jangwa, katika mji uitwao
40 John 11 55| Wayahudi ya Pasaka ilikuwa karibu, na watu wengi walikwenda
41 John 13 23| anampenda sana, alikuwa ameketi karibu na Yesu.~
42 John 13 25| Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, "
43 John 18 16| Petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. Basi, huyo mwanafunzi
44 John 19 20| aliposulubiwa Yesu palikuwa karibu na mji. Tena ilani hiyo
45 John 19 25| 25 Karibu na msalaba wake Yesu walikuwa
46 John 19 26| alipomwona mama yake, na karibu naye amesimama yule mwanafunzi
47 John 19 42| vile kaburi hilo lilikuwa karibu, wakamweka Yesu humo.~ ~ ~~ ~
48 John 21 20| chakula cha jioni, alikaa karibu sana na Yesu na kumwuliza: "
49 Acts 1 10| wamevaa nguo nyeupe walisimama karibu nao,~
50 Acts 1 12| mlima wa Mizeituni ulioko karibu kilomita moja kutoka mjini.~
51 Acts 1 15| kulikuwa na mkutano wa waumini, karibu watu mia moja na ishirini.
52 Acts 2 10| Misri na sehemu za Libya karibu na Kurene; wengine wetu
53 Acts 3 2 | 2 Na pale karibu na mlango wa Hekalu uitwao "
54 Acts 3 10| yule aliyekuwa anaombaomba karibu na ule "Mlango Mzuri" wa
55 Acts 4 4 | ya waumini ikawa imefika karibu elfu tano.~
56 Acts 5 10| wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.~
57 Acts 5 36| kuwa mtu wa maana na watu karibu mia nne wakajiunga naye.
58 Acts 7 30| kinawaka moto kule jangwani karibu na mlima Sinai.~
59 Acts 7 31| jambo hilo hata akasogea karibu ili achungulie; lakini alisikia
60 Acts 8 29| akamwambia Filipo, "Nenda karibu na gari hilo ukafuatane
61 Acts 8 30| 30 Filipo akakimbilia karibu na gari, akamsikia huyo
62 Acts 9 3 | Lakini alipokuwa njiani karibu kufika Damasko, ghafla mwanga
63 Acts 10 6 | ngozi ambaye nyumba yake iko karibu na bahari."~
64 Acts 10 9 | wakiwa bado safarini, lakini karibu kufika Yopa, Petro alipanda
65 Acts 10 32| Simoni mtengenezaji wa ngozi karibu na bahari.`~
66 Acts 12 1 | 1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode
67 Acts 12 7 | malaika wa Bwana akasimama karibu naye na mwanga ukaangaza
68 Acts 13 36| kisha akafa na kuzikwa karibu na wazee wake, na mwili
69 Acts 13 44| Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji
70 Acts 16 25| 25 Karibu na usiku wa manane Paulo
71 Acts 18 7 | Nyumba yake Tito ilikuwa karibu na lile sunagogi.~
72 Acts 22 6 | Basi, nilipokuwa njiani karibu kufika Damasko, yapata saa
73 Acts 22 13| alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema: `Ndugu Saulo!
74 Acts 23 2 | wale waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wampige kofi mdomoni.~
75 Acts 23 11| uliofuata, Bwana alisimama karibu na Paulo, akamwambia, "Jipe
76 Acts 23 15| kumuua hata kabla hajafika karibu."~
77 Acts 23 27| walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa
78 Acts 27 7 | polepole, na kwa shida tulifika karibu na Nido. Kwa sababu upepo
79 Acts 27 7 | tukapitia upande wa Krete karibu na rasi Salmone ambapo upepo
80 Acts 27 8 | paitwapo "Bandari Nzuri", karibu na mji wa Lasea.~
81 Acts 27 13| nanga, wakaiendesha meli karibu sana na pwani ya Krete.~
82 Acts 27 27| katika bahari ya Adria. Karibu na usiku wa manane wanamaji
83 Acts 27 27| wanamaji walijihisi kuwa karibu na nchi kavu.~
84 Acts 27 33| 33 Karibu na alfajiri, Paulo aliwahimiza
85 Acts 28 7 | 7 Karibu na mahali pale palikuwa
86 Roma 4 19| 19 Alikuwa mzee wa karibu miaka mia moja, lakini imani
87 Roma 10 8 | Ujumbe huo wa Mungu uko karibu nawe, uko kinywani mwako
88 Roma 13 11| usingizini; naam, wokovu wetu u karibu zaidi sasa kuliko wakati
89 1Cor 8 8 | chakula hakiwezi kutupeleka karibu zaidi na Mungu. Tukiacha
90 Ephe 2 17| Wayahudi ambao walikuwa karibu na Mungu.~
91 2Tim 4 6 | upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa dhabihu
92 Hebr 6 8 | na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho
93 Hebr 8 5 | kwa Mose. Wakati alipokuwa karibu kuitengeneza ile hema, Mungu
94 Hebr 9 22| 22 Naam, kadiri ya Sheria karibu kila kitu chaweza kutakaswa
95 Hebr 11 21| Kwa imani Yakobo alipokuwa karibu kufa, aliwabariki kila mmoja
96 Hebr 11 22| Kwa imani Yosefu alipokuwa karibu kufa, alinena juu ya kutoka
97 James 4 8| Mkaribieni Mungu, naye atakuja karibu nanyi. Osheni mikono yenu
98 James 5 9| mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia.~
99 2Pet 1 14| 14 Najua kwamba karibu nitauweka kando mwili huu
100 1Joh 2 18| 18 Watoto, mwisho u karibu! Mlikwisha sikia kwamba
101 1Joh 2 18| hivyo twajua kwamba mwisho u karibu.~
102 Rev 12 4 | mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari
103 Rev 17 8 | sasa amekufa. Hata hivyo, karibu sana atapanda kutoka shimoni
|