Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
majengo 3
majeraha 4
majeshi 7
maji 102
majibu 1
majina 12
majini 16
Frequency    [«  »]
103 karibu
103 kifo
103 mfalme
102 maji
102 uwezo
101 akaenda
101 matakatifu

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

maji

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 11 | Mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwamba mmetubu. 2 Matt 8 32 | ziwani; nguruwe wote wakafa maji.~ 3 Matt 10 42 | wadogo hawa kikombe cha maji baridi kwa sababu ni mfuasi 4 Matt 14 25 | wanafunzi akitembea juu ya maji.~ 5 Matt 14 26 | walipomwona akitembea juu ya maji waliingiwa na hofu, wakasema, " 6 Matt 14 28 | kweli, amuru nitembee juu ya maji nije kwako."~ 7 Matt 14 29 | mashua, akatembea juu ya maji, akamwendea Yesu.~ 8 Matt 25 35 | nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha;~ 9 Matt 25 37 | na kiu nasi tukakunywesha maji?~ 10 Matt 25 42 | nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji.~ 11 Matt 27 24 | yalikuwa yanaanza, alichukua maji, akanawa mikono mbele ya 12 Mark 1 8 | 8 Mimi ninawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza 13 Mark 4 37 | mashua hata ikaanza kujaa maji.~ 14 Mark 6 48 | aliwaendea akitembea juu ya maji. Alitaka kuwapita.~ 15 Mark 6 49 | walimwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu, wakapiga 16 Mark 9 41 | atakeyewapeni kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu ninyi 17 Mark 14 13 | mtu anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni~ 18 Luke 3 16 | Mimi ninawabatiza kwa maji, lakini anakuja mwenye uwezo 19 Luke 6 48 | mafuriko ya mto, mkondo wa maji ukaipiga nyumba ile, lakini 20 Luke 6 49 | mto yakatokea, mkondo wa maji ukaipiga nyumba ile, ikaanguka 21 Luke 7 44 | nyumbani kwako hukunipa maji ya kunawa miguu yangu; lakini 22 Luke 8 6 | kuota zikanyauka kwa kukosa maji.~ 23 Luke 8 23 | Dhoruba kali ikaanza kuvuma, maji yakaanza kuingia ndani ya 24 Luke 13 15 | kutoka zizini ampeleke kunywa maji, hata kama siku hiyo ni 25 Luke 16 24 | ncha ya kidole chake katika maji, auburudishe ulimi wangu, 26 Luke 22 10 | mwanamume anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni mpaka ndani ya 27 John 1 26 | akawajibu, "Mimi nabatiza kwa maji, lakini yuko mmoja kati 28 John 1 31 | lakini nimekuja kubatiza kwa maji ili watu wa Israeli wapate 29 John 1 33 | aliyenituma nikabatize watu kwa maji alikuwa ameniambia: `Mtu 30 John 2 7 | akawaambia, "Ijazeni mitungi hiyo maji." Nao wakaijaza mpaka juu.~ 31 John 2 9 | wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka 32 John 2 9 | wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu 33 John 3 5 | nakwambia, mtu asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kamwe kuingia 34 John 3 23 | maana huko kulikuwa na maji mengi. Watu walimwendea, 35 John 4 7 | Msamaria akafika kuteka maji. Yesu akamwambia, "Nipatie 36 John 4 7 | Yesu akamwambia, "Nipatie maji ninywe."~ 37 John 4 9 | Msamaria! Unawezaje kuniomba maji?" (Wayahudi hawakuwa na 38 John 4 10 | nani anayekwambia: `Nipatie maji ninywe,` ungalikwisha mwomba, 39 John 4 10 | ungalikwisha mwomba, naye angekupa maji yaliyo hai."~ 40 John 4 11 | huna chombo cha kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; 41 John 4 11 | ni kirefu; utapata wapi maji yaliyo hai?~ 42 John 4 12 | na mifugo yake walikunywa maji ya kisima hiki."~ 43 John 4 13 | akamjibu, "Kila anayekunywa maji haya ataona kiu tena.~ 44 John 4 14 | 14 Lakini atakayekunywa maji nitakayompa mimi, hataona 45 John 4 14 | mimi, hataona kiu milele. Maji nitakayompa yatakuwa ndani 46 John 4 14 | ndani yake chemchemi ya maji ya uzima na kumpatia uzima 47 John 4 15 | akamwambia, "Mheshimiwa, nipe maji hayo ili nisione kiu tena; 48 John 4 15 | nisije tena mpaka hapa kuteka maji."~ 49 John 4 46 | Galilaya, mahali alipogeuza maji kuwa divai. Kulikuwa na 50 John 5 2 | Kondoo, kulikuwa na bwawa la maji liitwalo kwa Kiebrania Bethzatha, 51 John 5 5 | kuingia majini baada ya maji kutibuliwa, alipona ugonjwa 52 John 6 19 | walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa 53 John 7 38 | Anayeniamini mimi, mito ya maji yenye uzima itatiririka 54 John 13 5 | 5 Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwaosha 55 John 19 34 | na mara ikatoka damu na maji.~ 56 Acts 1 5 | Kwani Yohane alibatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache, 57 Acts 8 36 | safari walifika mahali penye maji na huyo ofisa akasema, " 58 Acts 8 36 | akasema, "Mahali hapa pana maji; je, kuna chochote cha kunizuia 59 Acts 10 47 | kuwazuia wasibatizwe kwa maji?"~ 60 Acts 11 16 | aliyosema: `Yohane alibatiza kwa maji, lakini ninyi mtabatizwa 61 Acts 27 32 | wakauacha uchukuliwe na maji.~ 62 1Cor 3 6 | mbegu, Apolo akamwagilia maji; lakini aliyeiotesha mbegu 63 1Cor 3 7 | mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha 64 1Cor 3 8 | aliyepanda na yule aliyemwagilia maji wote ni sawa, ingawa kila 65 Ephe 5 26 | safi kwa kuliosha katika maji,~ 66 1Tim 5 23 | 23 Usinywe maji tu, bali unywe divai kidogo 67 Titus 3 5 | maisha mapya kwa kutuosha kwa maji.~ 68 Hebr 9 19 | damu ya ndama pamoja na maji, na kwa kutumia majani ya 69 Hebr 10 22 | miili iliyosafishwa kwa maji safi.~ 70 Hebr 11 29 | walipojaribu kufanya hivyo walikufa maji.~ 71 James 3 11| chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu 72 James 3 11| yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?~ 73 James 3 12| kuzaa tini? Chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa 74 James 3 12| ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu.~ 75 2Pet 3 5 | Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;~ 76 2Pet 3 5 | kutoka katika maji na kwa maji;~ 77 2Pet 3 6 | 6 na kwa maji hayo, yaani yale maji ya 78 2Pet 3 6 | kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya 79 1Joh 5 6 | Kristo ndiye aliyekuja kwa maji ya ubatizo wake na kwa damu 80 1Joh 5 6 | ya kifo chake. Hakuja kwa maji tu, bali kwa maji na kwa 81 1Joh 5 6 | Hakuja kwa maji tu, bali kwa maji na kwa damu. Naye Roho anashuhudia 82 1Joh 5 8 | 8 Roho, maji na damu; na ushahidi wa 83 Rev 1 15 | kama sauti ya poromoko la maji.~ 84 Rev 7 17 | atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uzima. Naye Mungu atayafuta 85 Rev 8 10 | ya mito na chemchemi za maji.~ 86 Rev 8 11 | Basi, theluthi moja ya maji yakawa machungu; watu wengi 87 Rev 8 11 | wengi wakafa kutokana na maji hayo, kwa sababu yaligeuka 88 Rev 11 6 | kuzigeuza chemchemi zote za maji ziwe damu, na ya kusababisha 89 Rev 12 15 | 15 Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata 90 Rev 12 16 | ikajifunua kama mdomo na kuyameza maji hayo yaliyotoka kinywani 91 Rev 14 2 | iliyokuwa kama sauti ya maji mengi na kama sauti ya ngurumo 92 Rev 14 7 | bahari na chemchemi za maji."~ 93 Rev 14 10 | yake bila kuchanganywa na maji. Mtu huyo atateseka ndani 94 Rev 16 4 | katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.~ 95 Rev 16 5 | Nikamsikia malaika msimamizi wa maji akisema, "Ewe mtakatifu, 96 Rev 16 12 | mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji yake yakakauka, na hivyo 97 Rev 17 1 | mji ule uliojengwa juu ya maji mengi.~ 98 Rev 17 15 | Malaika akaniambia pia, "Yale maji uliyoyaona pale alipokaa 99 Rev 19 6 | mkubwa wa watu na sauti ya maji mengi na ya ngurumo kubwa, 100 Rev 21 6 | kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima.~ 101 Rev 22 1 | malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima maangavu kama kioo 102 Rev 22 17 | na kiu na aje; anayetaka maji ya uzima na apokee bila


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License