Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
lawama 14
lawi 13
lazaro 21
lazima 98
lema 2
lengo 4
lenu 14
Frequency    [«  »]
100 upendo
99 wakuu
98 33
98 lazima
97 gani
97 saba
96 hivi

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

lazima

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 16 | 16 Vivyo hivyo, ni lazima mwanga wenu uangaze mbele 2 Matt 5 21 | waliambiwa: `Usiue! Atakayeua lazima ahukumiwe.`~ 3 Matt 5 22 | anayemkasirikia ndugu yake, lazima ahukumiwe. Anayemdharau 4 Matt 5 33 | Usivunje kiapo chako, bali ni lazima utimize kiapo chako kwa 5 Matt 14 16 | 16 Yesu akawaambia, "Si lazima waende, wapeni ninyi chakula."~ 6 Matt 15 4 | baba yake au mama yake, lazima auawe`.~ 7 Matt 16 21 | waziwazi wanafunzi wake: "Ni lazima mimi niende Yerusalemu, 8 Matt 16 24 | anataka kuwa mfuasi wangu, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue 9 Matt 17 10 | wa Sheria wanasema ati ni lazima kwanza Eliya aje?"~ 10 Matt 18 7 | wengine. Vikwazo hivyo ni lazima vitokee lakini ole wake 11 Matt 22 24 | akifa bila ~kuacha watoto, lazima ndugu yake amwoe huyo mama 12 Matt 23 11 | mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu. 13 Matt 26 35 | akamwambia, "Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakukana 14 Mark 1 4 | jangwani, akahubiri kwamba ni lazima watu watubu na kubatizwa 15 Mark 7 10 | Anayemlaani baba au mama, lazima afe.`~ 16 Mark 8 31 | kuwafundisha wanafunzi wake: "Ni lazima Mwana wa Mtu apatwe na mateso 17 Mark 8 34 | akitaka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue 18 Mark 9 11 | Sheria wanasema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?"~ 19 Mark 9 35 | anayetaka kuwa wa kwanza lazima awe wa mwisho na kuwa mtumishi 20 Mark 12 19 | mke bila mtoto, ndugu yake lazima amchukue huyo mama mjane 21 Mark 12 33 | 33 Na ni lazima mtu kumpenda Mungu kwa moyo 22 Mark 13 7 | msifadhaike. Mambo hayo lazima yatokee, lakini mwisho wenyewe 23 Mark 13 10 | 10 Lakini lazima kwanza Habari Njema ihubiriwe 24 Mark 14 31 | akasisitiza, "Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakuacha 25 Mark 14 49 | hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu yatimie."~ 26 Luke 9 22 | 22 Akaendelea kusema: "Ni lazima Mwana wa Mtu apate mateso 27 Luke 9 23 | akitaka kuwa mfuasi wangu, ni lazima ajikane nafsi yake, auchukue 28 Luke 12 5 | Nitawaonyesheni yule ambaye ni lazima kumwogopa: mwogopeni yule 29 Luke 13 33 | kesho na kesho kutwa, ni lazima niendelee na safari yangu, 30 Luke 17 4 | kwako akisema `Nimetubu`, lazima umsamehe."~ 31 Luke 18 1 | mfano kuonyesha kwamba ni lazima kusali daima bila kukata 32 Luke 19 5 | shuka upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani mwako."~ 33 Luke 20 28 | mjane wake bila watoto, ni lazima ndugu yake amchukue huyo 34 Luke 21 9 | misukosuko, msitishike; maana ni lazima hayo yatokee kwanza, lakini 35 Luke 22 26 | aliye mkuu kati yenu ni lazima awe mdogo wa wote, na aliye 36 Luke 22 26 | wote, na aliye kiongozi lazima awe kama mtumishi.~ 37 Luke 22 37 | kundi moja na wahalifu,` ni lazima yatimie. Naam, yale yanayonihusu 38 Luke 23 23 | nguvu sana, kwamba Yesu ni lazima asulubiwe. Mwishowe, sauti 39 Luke 24 7 | 7 `Ni lazima Mwana wa Mtu atolewe kwa 40 Luke 24 44 | pamoja nanyi: kwamba ilikuwa lazima kukamilisha yote yaliyoandikwa 41 Luke 24 47 | 47 na kwamba ni lazima, kwa jina lake, mataifa 42 John 3 7 | kwamba nimekwambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.~ 43 John 3 30 | 30 Ni lazima yeye azidi kuwa maarufu, 44 John 12 26 | Anayetaka kunitumikia ni lazima anifuate, hivyo kwamba popote 45 John 13 10 | akamwambia, "Aliyekwisha oga hana lazima ya kunawa isipokuwa miguu, 46 John 13 18 | wale niliowachagua. Lakini lazima yatimie Maandiko Matakatifu 47 John 15 25 | 25 Na hivi ni lazima yatimie yale yaliyoandikwa 48 John 19 7 | kufuatana na Sheria hiyo, ni lazima afe, kwa sababu alijifanya 49 John 20 9 | yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka wafu).~ 50 Acts 1 16 | akasema, "Ndugu zangu, ilikuwa lazima ile sehemu ya Maandiko Matakatifu 51 Acts 1 21 | 21 Kwa hiyo, ni lazima mtu mwingine ajiunge nasi 52 Acts 3 18 | manabii wote, kwamba ilikuwa lazima Kristo wake ateseke.~ 53 Acts 3 21 | 21 Ni lazima yeye abaki huko mbinguni 54 Acts 5 29 | mitume wengine, akajibu, "Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.~ 55 Acts 13 24 | wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.~ 56 Acts 13 46 | zaidi, wakasema, "Ilikuwa ni lazima neno la Mungu liwafikieni 57 Acts 14 22 | imani. Wakawaambia, "Ni lazima sisi sote tupitie katika 58 Acts 15 5 | walisimama, wakasema, "Ni lazima watu wa mataifa mengine 59 Acts 16 37 | kwa siri! Hata kidogo! Ni lazima wao wenyewe waje hapa watufungulie."~ 60 Acts 24 2 | kubwa na marekebisho ya lazima yanafanywa kwa manufaa ya 61 Acts 27 24 | akaniambia: `Paulo usiogope! Ni lazima utasimama mbele ya Kaisari; 62 Acts 27 26 | 26 Lakini ni lazima tutatupwa ufukoni mwa kisiwa 63 Roma 6 11 | 11 Hali kadhalika nanyi lazima mjione kuwa mmekufa kuhusu 64 Roma 13 5 | 5 Kwa hiyo ni lazima kuwatii wenye mamlaka, si 65 1Cor 11 19 | 19 maana ni lazima fikira tofauti ziweko miongoni 66 1Cor 14 20 | lakini katika kufikiri ni lazima muwe kama watu waliokomaa.~ 67 1Cor 14 32 | kutangaza ujumbe wa Mungu ni lazima kitawaliwe na huyo mwenye 68 1Cor 15 53 | 53 Maana ni lazima kila kiharibikacho kijivalie 69 2Cor 5 10 | 10 Maana sote ni lazima tusimame mbele ya kiti cha 70 2Cor 8 13 | mzigo wao; sivyo, ila ni lazima tujali usawa na haki.~ 71 2Cor 9 1 | 1 Si lazima kuandika zaidi kuhusu huduma 72 2Cor 9 5 | 5 Kwa hiyo, nimeona ni lazima kuwaomba hawa ndugu watutangulie 73 Gala 5 11 | ninahubiri kwamba kutahiriwa ni lazima, kwa nini basi, bado ninadhulumiwa? 74 Ephe 5 33 | yanawahusu ninyi pia: kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi 75 1The 4 12 | Wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa 76 1Tim 3 2 | nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza 77 1Tim 3 10 | 10 Ni lazima kwanza wathibitishwe, na 78 1Tim 3 12 | 12 Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye 79 2Tim 2 19 | asemaye yeye ni wa Bwana, ni lazima aachane na uovu."~ 80 2Tim 3 12 | kuungana na Kristo Yesu lazima adhulumiwe.~ 81 Titus 1 9 | 9 Ni lazima ashike kikamilifu ujumbe 82 Titus 1 11| 11 Lazima kukomesha maneno yao, kwani 83 Titus 3 14| 14 Ni lazima watu wetu wajifunze kuutumia 84 Hebr 4 16 | ya kutusaidia wakati wa lazima.~ ~~ ~ 85 Hebr 7 12 | Maana ukuhani ukibadilika ni lazima Sheria nayo ibadilike.~ 86 Hebr 8 3 | na hivyo Kuhani Mkuu wetu lazima pia awe na kitu cha kutolea.~ 87 Hebr 11 6 | mtu anayemwendea Mungu ni lazima aamini kwamba Mungu yuko, 88 1Pet 1 7 | zaidi kuliko dhahabu, ni lazima ijaribiwe ipate kuwa thabiti. 89 1Pet 3 1 | mwenendo wenu. Haitakuwa lazima kwenu kusema neno,~ 90 Jude 1 3 | tunaoshiriki sote, nimeona lazima ya kuwaandikieni na kuwahimizeni 91 Rev 2 25 | 25 Lazima mzingatie yale mliyo nayo 92 Rev 13 10 | Waliokusudiwa kuchukuliwa mateka lazima watatekwa; waliokusudiwa 93 Rev 13 10 | waliokusudiwa kuuawa kwa upanga lazima watauawa kwa upanga. Kutokana 94 Rev 13 10 | upanga. Kutokana na hayo ni lazima watu wa Mungu wawe na uvumilivu 95 Rev 13 18 | 18 Hapa ni lazima kutumia ujasiri! Mwenye 96 Rev 14 12 | 12 Kutokana na hayo, ni lazima watu wa Mungu, yaani watu 97 Rev 20 3 | Lakini baada ya miaka hiyo ni lazima lifunguliwe tena, lakini 98 Rev 22 6 | watumishi wake mambo ambayo lazima yatukie punde.~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License