Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
galilaya 67
galio 3
gamalieli 2
gani 97
gari 4
gayo 5
gaza 1
Frequency    [«  »]
99 wakuu
98 33
98 lazima
97 gani
97 saba
96 hivi
96 kile

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

gani

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 46 | 46 Je, mtapata tuzo gani kwa kuwapenda tu wale wanaowapenda 2 Matt 8 27 | wakasema, "Ni mtu wa namna gani huyu? Hata pepo na mawimbi 3 Matt 8 29 | kupiga kelele, "Una shauri gani nasi, wewe Mwana wa Mungu? 4 Matt 10 19 | wasiwasi mtasema nini au namna gani; wakati utakapofika, mtapewa 5 Matt 11 16 | nitakifananisha kizazi hiki na kitu gani? Ni kama vijana waliokuwa 6 Matt 16 26 | yake? Au, mtu atatoa kitu gani kiwe badala ya maisha yake?~ 7 Matt 19 16 | Mwalimu, nifanye kitu gani chema ili niupate uzima 8 Matt 21 23 | Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani amekupa mamlaka haya?"~ 9 Matt 21 24 | ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.~ 10 Matt 21 27 | ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.~ 11 Matt 24 3 | yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonyesha kuja kwako 12 Matt 26 15 | akawaambia, "Mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi Yesu kwenu?" 13 Matt 26 65 | akasema, "Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi? Sasa 14 Matt 27 23 | Kwa nini? Amefanya kosa gani?" Wao wakazidi kupaaza sauti: " 15 Mark 1 27 | wakaulizana, "Ni mambo gani haya? Je, ni mafundisho 16 Mark 4 30 | nini? Tuueleze kwa mifano gani?~ 17 Mark 5 7 | sauti kubwa, "Una shauri gani nami, wewe Yesu Mwana wa 18 Mark 6 2 | wapi mambo haya? Ni hekima gani hii aliyopewa? Tena, anatendaje 19 Mark 8 36 | 36 Je, kuna faida gani mtu kuupata ulimwengu wote 20 Mark 8 37 | 37 Ama mtu atatoa kitu gani badala ya maisha yake?~ 21 Mark 10 3 | akawajibu, "Mose aliwapa maagizo gani?"~ 22 Mark 10 23 | akawaambia wanafunzi wake, "Jinsi gani itakavyokuwa vigumu kwa 23 Mark 11 28 | Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka 24 Mark 11 29 | nitawaambieni ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya.~ 25 Mark 11 33 | ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani."~ ~~ ~ 26 Mark 13 4 | yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonyesha kwamba mambo 27 Mark 14 63 | lake, akasema, "Tuna haja gani tena ya mashahidi?~ 28 Mark 15 14 | Kwa nini! Amefanya kosa gani?" Lakini wao wakazidi kupaaza 29 Luke 1 18 | akamwambia huyo malaika, "Ni kitu gani kitakachonihakikishia jambo 30 Luke 1 62 | alitaka mtoto wake apewe jina gani.~ 31 Luke 1 66 | huyu atakuwa mtu wa namna gani?" Maana, hakika nguvu ya 32 Luke 6 32 | ninyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata 33 Luke 6 33 | wanaowatendeeni mema, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi hufanya 34 Luke 6 34 | watawalipeni, je, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi huwakopesha 35 Luke 7 24 | hivi mlitaka kuona kitu gani? Mlitaka kuona unyasi unaotikiswa 36 Luke 7 31 | watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani?~ 37 Luke 7 31 | kitu gani? Ni watu wa namna gani?~ 38 Luke 7 39 | huyu mwanamke ni wa namna gani, ya kwamba ni mwenye dhambi."~ 39 Luke 7 49 | wakaulizana, "Ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe dhambi?"~ 40 Luke 8 28 | Mungu Aliye Juu una shauri gani nami? Ninakusihi usinitese!"~ 41 Luke 9 25 | 25 Je, kuna faida gani mtu kuupata utajiri wote 42 Luke 9 56 | wakaenda kijiji kingine. gani mliyo nayo; kwa maana Mwana 43 Luke 12 50 | inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!~ 44 Luke 14 31 | 31 "Au, ni mfalme gani ambaye, akitaka kwenda kupigana 45 Luke 16 2 | akamwita akamwambia: `Ni mambo gani haya ninayosikia juu yako? 46 Luke 16 5 | kwanza: `Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?`~ 47 Luke 16 7 | mwingine: `Wewe unadaiwa kiasi gani?` Yeye akamjibu: `Magunia 48 Luke 18 24 | akihuzunika hivyo, akasema, "Jinsi gani ilivyo vigumu kwa matajiri 49 Luke 19 15 | kila mmoja amepata faida gani.~ 50 Luke 20 2 | Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani?"~ 51 Luke 20 8 | ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani."~ 52 Luke 20 17 | haya Matakatifu yana maana gani basi? `Jiwe walilokataa 53 Luke 21 7 | yatatokea lini? Na ni ishara gani zitakazoonyesha kwamba karibu 54 Luke 23 22 | ya tatu, "Amefanya kosa gani? Sioni kosa lolote kwake 55 Luke 24 19 | 19 Naye akawajibu, "Mambo gani?" Wao wakamjibu, "Mambo 56 John 2 18 | Yesu, "Utafanya muujiza gani kuonyesha kwamba unayo haki 57 John 6 30 | wakamwambia, "Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? 58 John 6 30 | kukuamini? Utafanya kitu gani?~ 59 John 7 36 | 36 Ana maana gani anaposema: `Mtanitafuta 60 John 8 33 | mtu yeyote yule. Una maana gani unaposema: `mtakuwa huru?"`~ 61 John 12 33 | alionyesha atakufa kifo gani).~ 62 John 16 17 | wakaulizana, "Ana maana gani anapotwambia: `Bado kitambo 63 John 16 18 | wanaulizana, "Ana maana gani anaposema: `Bado kitambo 64 John 18 29 | akasema, "Mna mashtaka gani juu ya mtu huyu?"~ 65 John 18 32 | Yesu kuonyesha atakufa kifo gani.)~ 66 John 18 38 | akamwambia, "Ukweli ni kitu gani?" Pilato alipokwisha sema 67 Acts 2 12 | wakiulizana, "Hii ina maana gani?"~ 68 Acts 4 7 | mmefanya jambo hili kwa nguvu gani na kwa jina la nani?"~ 69 Acts 7 50 | 50 Ni nyumba ya namna gani basi mnayoweza kunijengea, 70 Acts 7 50 | kunijengea, na ni mahali gani nitakapopumzika? Vitu hivi 71 Acts 17 20 | kujua mambo haya yana maana gani."~ 72 Acts 19 3 | mlipata ubatizo wa namna gani?" Wakamjibu, "Ubatizo wa 73 Acts 21 33 | Kisha akauliza, "Ni mtu gani huyu, na amefanya nini?"~ 74 Acts 23 34 | aliwauliza Paulo ametoka mkoa gani. Alipofahamishwa kwamba 75 Roma 3 1 | Au kutahiriwa kuna faida gani?~ 76 Roma 6 21 | 21 Sasa, mlipata faida gani siku zile kutokana na mambo 77 Roma 7 7 | nisingalijua dhambi ni kitu gani. Maana, nisingalijua ni 78 Roma 13 11 | mnajua tumo katika wakati gani: sasa ndio wakati wa kuamka 79 1Cor 4 7 | amekupendelea wewe? Una kitu gani wewe ambacho hukupewa? Na 80 1Cor 9 7 | 7 Je, mwanajeshi gani anayelipia utumishi wake 81 1Cor 9 7 | utumishi wake jeshini? Mkulima gani asiyekula matunda ya shamba 82 1Cor 9 7 | lake la mizabibu? Mchungaji gani asiyekunywa maziwa ya mifugo 83 1Cor 9 18 | 18 Mshahara wangu ni kitu gani, basi? Mshahara wangu ni 84 1Cor 15 32 | Efeso kungalinifaa kitu gani? Kama wafu hawafufuki, basi, " 85 1Cor 15 35 | Watakuwa na mwili wa namna gani wakati watakapokuja tena?"~ 86 2Cor 6 15 | Shetani? Muumini ana uhusiano gani na asiyeamini?~ 87 2Cor 6 16 | Hekalu la Mungu lina uhusiano gani na sanamu za uongo? Maana 88 Gala 3 19 | kuonyesha uhalifu ni kitu gani, mpaka atakapokuja yule 89 Ephe 4 9 | alipaa juu," ina maana gani? Maana yake ni kwamba, kwanza 90 Hebr 10 29 | kupata adhabu kali ya namna gani?~ 91 Hebr 12 7 | kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?~ 92 James 2 14| Ndugu zangu, kuna faida gani mtu kusema ana imani, lakini 93 James 2 16| 16 Yafaa kitu gani ninyi kuwaambia hao: "Nendeni 94 1Pet 2 20 | 20 Maana, mtapata tuzo gani mkivumilia mapigo mnayostahili 95 1Pet 4 17 | mwisho wake utakuwa namna gani kwa wale wasioamini Habari 96 2Pet 3 11 | mnapaswa kuwa watu wa namna gani? Mnapaswa kuishi kitakatifu 97 Rev 7 13 | waliovaa mavazi meupe ni watu gani? Na wametoka wapi?"~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License