Book, Chapter, Verse
1 Matt 13 12 | yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.~
2 Matt 13 19 | yule Mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake.~
3 Matt 14 9 | alihuzunika, lakini kwa sababu ya kile kiapo chake na kwa sababu
4 Matt 15 11 | kinachomtia mtu najisi si kile kiingiacho kinywani, bali
5 Matt 15 11 | kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho
6 Matt 25 29 | yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.~
7 Mark 2 25 | hamjapata kusoma juu ya kile alichofanya Daudi wakati
8 Mark 4 25 | zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa."~
9 Mark 12 26 | katika sehemu inayohusu kile kichaka kilichokuwa kinawaka
10 Luke 4 20 | Baada ya kusoma, akafunga kile kitabu, akampa mtumishi,
11 Luke 8 18 | yule asiye na kitu, hata kile anachodhani kuwa anacho,
12 Luke 12 12 | Mtakatifu atawafundisheni kile mnachopaswa kusema."~
13 Luke 14 12 | wakakualika nawe ukawa umelipwa kile ulichowatendea.~
14 Luke 16 15 | anaijua mioyo yenu. Kwa maana kile kinachoonekana kuwa kitukufu
15 Luke 19 26 | yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.~
16 Luke 20 37 | Maandiko Matakatifu juu ya kile kichaka kilichokuwa kinawaka
17 Luke 22 11 | Mwalimu anakuuliza, kiko wapi kile chumba ambamo nitakula Pasaka
18 Luke 24 28 | 28 Walipokikaribia kile kijiji walikokuwa wanakwenda,
19 John 4 39 | Wasamaria wengi wa kijiji kile waliamini kwa sababu ya
20 John 5 20 | yake; anaweza tu kufanya kile anachomwona Baba akikifanya.
21 John 5 20 | anachomwona Baba akikifanya. Maana kile anachofanya Baba, Mwana
22 John 13 5 | miguu na kuipangusa kwa kile kitambaa alichojifungia.~
23 John 13 30 | Basi, Yuda alipokwisha twaa kile kipande cha mkate, akatoka
24 John 18 12 | 12 Kile kikosi cha askari, mkuu
25 John 20 7 | 7 na kile kitambaa alichofungwa Yesu
26 Acts 2 41 | tatu wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo.~
27 Acts 3 6 | fedha wala dhahabu lakini kile nilicho nacho nitakupa.
28 Acts 4 9 | Ikiwa mnatuuliza leo juu ya kile kitendo chema alichofanyiwa
29 Acts 6 15 | 15 Wote waliokuwa katika kile kikao cha Baraza walimkodolea
30 Acts 7 44 | alifanye; nakala kamili ya kile alichoonyeshwa.~
31 Acts 7 57 | 57 Hapo, watu wote katika kile kikao cha Baraza, wakapiga
32 Acts 9 39 | alipelekwa ghorofani katika kile chumba. Huko wajane wengi
33 Acts 12 7 | naye na mwanga ukaangaza kile chumba cha gereza. Malaika
34 Acts 13 7 | na Sergio Paulo, mkuu wa kile kisiwa, ambaye alikuwa mtu
35 Acts 13 10 | Wewe ni adui wa chochote kile kilicho cha kweli; hukomi
36 Acts 17 25 | kwamba anahitaji chochote kile, kwa maana yeye mwenyewe
37 Acts 24 5 | duniani na pia ni kiongozi wa kile chama cha Wanazareti.~
38 Acts 28 1 | kavu, tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa Malta.~
39 Acts 28 4 | Wenyeji wa pale walipokiona kile kiumbe kinaning`inia kwenye
40 Acts 28 5 | Lakini Paulo alikikung`utia kile kiumbe motoni na hakuumizwa
41 Acts 28 7 | mashamba ya Publio, mkuu wa kile kisiwa. Publio alitukaribisha
42 Acts 28 9 | hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.~
43 Roma 7 13 | hii inamaanisha kwamba kile kilicho kizuri kimesababisha
44 Roma 7 13 | kuwa ni dhambi, imekitumia kile kilicho kizuri na kusababisha
45 Roma 7 15 | Sielewi nifanyacho, maana kile ninachotaka sikifanyi, bali
46 Roma 7 15 | ninachotaka sikifanyi, bali kile ninachochukia ndicho nikifanyacho.~
47 Roma 8 24 | halina maana ikiwa tunakiona kile tunachotumainia. Maana ni
48 Roma 8 24 | Maana ni nani anayetumaini kile ambacho tayari anakiona?~
49 Roma 8 25 | 25 Kama tunakitumaini kile ambacho hatujakiona bado,
50 Roma 11 7 | wa Israeli hawakukipata kile walichokuwa wanakitafuta;
51 Roma 15 18 | kingine chochote isipokuwa tu kile ambacho Kristo Yesu amekifanya
52 1Cor 1 21 | wale wanaoamini kwa njia ya kile ambacho wenye hekima wanakiona
53 1Cor 2 2 | niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu
54 1Cor 4 19 | nitakapojionea mwenyewe, sio tu kile wanachoweza kusema hao wenye
55 1Cor 7 7 | kipaji hiki na mwingine kile.~
56 1Cor 10 16 | Tunapomshukuru Mungu kwa kikombe kile cha baraka, je, huwa hatushiriki
57 1Cor 10 25 | 25 Kuleni chochote kile kiuzwacho sokoni bila ya
58 1Cor 12 24 | akakipa heshima zaidi kiungo kile kilichopungukiwa heshima,~
59 1Cor 13 10 | 10 Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika,
60 1Cor 15 50 | Basi, ndugu, nasema hivi: kile kilichofanywa kwa mwili
61 1Cor 15 54 | hali ya kutoharibika, na kile chenye kufa kitakapojivalia
62 2Cor 1 18 | Mungu ni ukweli mtupu; basi, kile tulichowaambia ninyi si
63 2Cor 3 7 | tu. Basi, ikiwa huduma ya kile ambacho kimesababisha kifo
64 2Cor 3 11 | 11 Maana ikiwa kile kilichokuwa cha muda tu
65 2Cor 3 11 | utukufu wake, bila shaka kile chenye kudumu milele kitakuwa
66 2Cor 5 4 | kuvalishwa ule usiokufa, ili kile chenye kufa kimezwe kabisa
67 2Cor 6 12 | mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko kwenu
68 2Cor 10 13 | kujivuna huko kutabaki katika kile kipimo cha kazi aliyotukabidhi
69 2Cor 11 15 | haki. Mwisho wao watapata kile wanachostahili kufuatana
70 2Cor 11 17 | 17 Ninachosema sasa si kile alichoniagiza Bwana; kuhusu
71 Gala 1 23 | 23 Walichokuwa wanajua ni kile tu walichosikia: "Mtu yule
72 Gala 2 18 | Lakini ikiwa ninajenga tena kile nilichokwisha bomoa, basi
73 Ephe 1 9 | 9 Mungu alitekeleza kile alichonuia, akatujulisha
74 Ephe 2 11 | Waliotahiriwa," (kwa sababu ya kile wanachoifanyia miili yao) -
75 Colo 1 24 | duniani, nasaidia kukamilisha kile kilichopungua bado katika
76 Colo 2 21 | Msishike hiki," "Msionje kile," "Msiguse kile!"~
77 Colo 2 21 | Msionje kile," "Msiguse kile!"~
78 1Tim 4 14 | 14 Usiache kukitumia kile kipaji cha Kristo ndani
79 1Tim 6 20 | ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita watu wengine: "
80 2Tim 1 6 | nakukumbusha ukiweke motomoto kile kipaji ulichopewa na Mungu
81 2Tim 1 12 | yeye aweza kukilinda salama kile alichonikabidhi, mpaka Siku
82 Hebr 3 6 | na uthabiti wetu katika kile tunachotumainia.~
83 Hebr 6 15 | uvumilivu na hivyo alipokea kile alichoahidiwa na Mungu.~
84 Hebr 9 19 | nyekundu, akakinyunyizia kile kitabu cha Sheria na hao
85 Hebr 9 24 | watu, ambapo ni mfano tu wa kile kilicho halisi. yeye aliingia
86 Hebr 10 36 | anayotaka Mungu na kupokea kile alichoahidi.~
87 Hebr 12 13 | katika njia iliyonyoka, ili kile kilicholemaa kisiumizwe,
88 James 1 7 | kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.~
89 James 4 2 | mnagombana na kupigana. Hampati kile mnachotaka kwa sababu hamkiombi
90 James 4 15| tutaishi na tutafanya hiki au kile."~
91 2Pet 2 12 | ambao hutukana chochote kile wasichoelewa, ni sawa na
92 2Pet 2 19 | mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.~
93 2Joh 1 8 | wenyewe ili msije mkapoteza kile mlichokishugulikia, bali
94 Rev 2 24 | Yezabeli, na ambao hamkujifunza kile wanachokiita `Siri ya Shetani`,
95 Rev 10 8 | tena: "Nenda ukakichukue kile kitabu kilichofunguliwa,
96 Rev 18 6 | kikali mara mbili zaidi ya kile alichowapeni.~
|