Book, Chapter, Verse
1 Matt 15 2 | mapokeo tuliyopokea kutoka kwa wazee wetu? Hawanawi mikono yao
2 Matt 16 21 | mengi yatakayosababishwa na wazee, makuhani wakuu na walimu
3 Matt 21 23 | akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, "Unafanya
4 Matt 23 30 | sisi tungaliishi nyakati za wazee wetu ~hatungalishirikiana
5 Matt 23 32 | Haya, kamilisheni ile kazi wazee wenu waliyoianza! ~
6 Matt 26 3 | Wakati huo makuhani wakuu na wazee wa watu walikutana pamoja
7 Matt 26 47 | walitumwa na makuhani wakuu na wazee wa watu.~
8 Matt 26 57 | walikokusanyika walimu wa Sheria na wazee.~
9 Matt 27 1 | makuhani wakuu wote na wazee wa watu walifanya mashauri
10 Matt 27 12 | Lakini makuhani wakuu na wazee walipokuwa wanamshtaki,
11 Matt 27 20 | Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi watu waombe
12 Matt 27 41 | pamoja na walimu wa Sheria na wazee walimdhihaki wakisema,~
13 Matt 28 12 | Basi, wakakutana pamoja na wazee, na baada ya kushauriana,
14 Mark 6 21 | Herode aliwafanyia karamu wazee wa baraza lake, majemadari
15 Mark 7 3 | wote huzingatia mapokeo ya wazee wao: hawali kitu kabla ya
16 Mark 7 5 | mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu, bali hula chakula
17 Mark 8 31 | mateso mengi na kukataliwa na wazee na makuhani wakuu na walimu
18 Mark 11 27 | wakuu, walimu wa Sheria na wazee walimwendea,~
19 Mark 12 12 | wakuu, walimu wa Sheria na wazee walifahamu ya kwamba mfano
20 Mark 14 43 | wakuu, walimu wa Sheria na wazee.~
21 Mark 14 53 | ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu wa Sheria walikuwa
22 Mark 15 1 | walifanya shauri pamoja na wazee, walimu wa Sheria na Baraza
23 Luke 1 7 | nao wote wawili walikuwa wazee sana.~
24 Luke 1 55 | 55 Kama alivyowaahidia wazee wetu Abrahamu na wazawa
25 Luke 1 72 | 72 Alisema atawahurumia wazee wetu, na kukumbuka agano
26 Luke 6 23 | kubwa mbinguni. Kwa maana wazee wao waliwatendea manabii
27 Luke 6 26 | watu wote wanawasifu, maana wazee wao waliwafanyia manabii
28 Luke 7 3 | habari za Yesu, aliwatuma wazee fulani Wayahudi waende kumwomba
29 Luke 9 22 | mateso mengi na kukataliwa na wazee na makuhani wakuu na walimu
30 Luke 11 47 | makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua.~
31 Luke 11 48 | kukubaliana na matendo ya wazee wenu; maana wao waliwaua
32 Luke 20 1 | walimu wa Sheria pamoja na wazee walifika,~
33 Luke 22 52 | wa walinzi wa Hekalu na wazee waliokuja kumkamata: "Je,
34 Luke 22 66 | 66 Kulipokucha, kikao cha wazee wa watu kilifanyika, ambacho
35 John 6 31 | 31 Wazee wetu walikula mana kule
36 John 6 49 | 49 Wazee wenu walikula mana kule
37 John 8 9 | mmojammoja, wakitanguliwa na wazee. Yesu akabaki peke yake,
38 Acts 2 17 | vijana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto.~
39 Acts 4 5 | yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na walimu wa Sheria, walikusanyika
40 Acts 4 8 | akawaambia, "Viongozi na wazee wa watu!~
41 Acts 4 13 | 13 Hao wazee wa baraza, wakiwa wanajua
42 Acts 4 21 | 21 Basi, hao wazee wa Baraza wakawaonya kwa
43 Acts 4 23 | waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.~
44 Acts 5 21 | yaani halmashauri yote ya wazee wa Wayahudi halafu wakawatuma
45 Acts 6 12 | hiyo, waliwachochea watu, wazee na walimu wa Sheria. Basi,
46 Acts 7 54 | 54 Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo,
47 Acts 11 30 | kupeleka mchango wao kwa wazee wa kanisa kwa mikono ya
48 Acts 13 36 | akafa na kuzikwa karibu na wazee wake, na mwili wake ukaoza.~
49 Acts 14 23 | 23 Waliteua wazee katika kila kanisa kwa ajili
50 Acts 15 2 | Yerusalemu kuwaona wale mitume na wazee kuhusu jambo hilo.~
51 Acts 15 4 | walikaribishwa na kanisa, mitume na wazee; nao wakawapa taarifa juu
52 Acts 15 6 | 6 Basi, mitume na wazee walifanya mkutano maalum
53 Acts 15 22 | 22 Mitume, wazee na kanisa lote waliamua
54 Acts 16 4 | yaliyotolewa na mitume na wazee kule Yerusalemu, wakawaambia
55 Acts 20 17 | Paulo alituma ujumbe kwa wazee wa Efeso wakutane naye.~
56 Acts 21 18 | nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwako
57 Acts 22 3 | kufuata kwa uthabiti Sheria ya wazee wetu. Nilijitolea kwa moyo
58 Acts 22 5 | Kuhani Mkuu na baraza lote la wazee wanaweza kushuhudia jambo
59 Acts 23 14 | walikwenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, "Sisi tumeapa
60 Acts 24 1 | aliwasili Kaisarea pamoja na wazee kadhaa na wakili mmoja wa
61 Acts 24 14 | Mimi ninamwabudu Mungu na wazee wetu nikiishi kufuatana
62 Acts 25 15 | Yerusalemu makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi walimshtaki
63 Acts 28 17 | wala kupinga desturi za wazee wetu, nilitiwa nguvuni kule
64 Acts 28 25 | aliyoyanena Roho Mtakatifu kwa wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya~
65 Gala 1 14 | sana kuyashika mapokeo ya wazee wetu.~
66 1Tim 4 14 | na kwa kuwekewa mikono na wazee.~
67 1Tim 5 2 | 2 wanawake wazee kama mama yako, na wasichana
68 1Tim 5 4 | hivyo kuwalipa wazazi wao na wazee wao, kwani hilo ni jambo
69 1Tim 5 17 | 17 Wazee wanaowaongoza watu vizuri
70 2Tim 1 3 | dhamiri safi kama walivyofanya wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka
71 Titus 1 5 | yamekamilika bado, na kuwateua wazee wa kanisa katika kila mji.
72 Titus 2 2 | 2 Waambie wazee kwamba wanapaswa kuwa na
73 Titus 2 3 | kadhalika waambie wanawake wazee wawe na mwenendo wa uchaji
74 Hebr 2 2 | 2 Ujumbe ule waliopewa wazee wetu na malaika ulionyeshwa
75 Hebr 3 8 | mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati
76 Hebr 3 9 | 9 Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza,
77 Hebr 3 15 | mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati
78 Hebr 11 2 | 2 Maana wazee wa kale walipata kibali
79 James 5 14| kati yenu? Anapaswa kuwaita wazee wa kanisa, nao watamwombea
80 1Pet 1 18 | ambao mliupokea kutoka kwa wazee wenu, si kwa vitu vyenye
81 1Pet 5 1 | 1 wazee! Mimi niliye mzee ninalo
82 1Pet 5 1 | mzee ninalo ombi moja kwenu wazee wenzangu. Mimi mwenyewe
83 1Pet 5 5 | kujiweka chini ya mamlaka ya wazee. Ninyi nyote mnapaswa kuwa
84 Rev 4 4 | enzi, na juu ya viti hivyo wazee ishirini na wanne walikuwa
85 Rev 4 10 | 10 wale wazee ishirini na wanne hujiangusha
86 Rev 5 5 | 5 Kisha mmoja wa wale wazee akaniambia, "Usilie! Tazama!
87 Rev 5 6 | viumbe hai vinne, na wale wazee. Huyo Mwanakondoo alionekana
88 Rev 5 8 | hai vinne pamoja na wale wazee ishirini na wanne walianguka
89 Rev 5 11 | viumbe hai vinne na wale wazee;~
90 Rev 5 14 | vikasema, "Amina!" Na wale wazee wakaanguka kifudifudi, wakaabudu.~ ~ ~~ ~
91 Rev 7 11 | kukizunguka kiti cha enzi, wazee na vile viumbe hai vinne.
92 Rev 7 13 | 13 Mmoja wa hao wazee akaniuliza, "Hawa waliovaa
93 Rev 11 16 | 16 Kisha wale wazee ishirini na wanne walioketi
94 Rev 14 3 | viumbe hai wanne na wale wazee. Hakuna mtu aliyeweza kujifunza
95 Rev 19 4 | 4 Na wale wazee ishirini na wanne, na vile
|