Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 9 | 9 Heri wenye kuleta amani, maana wataitwa watoto wa
2 Matt 10 13 | wakiipokea salamu hiyo, basi, amani yenu itakaa pamoja nao.
3 Matt 10 13 | Lakini ikiwa hawaipokei, basi amani yenu itawarudia ninyi.~
4 Matt 10 34 | Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani
5 Matt 10 34 | amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.~
6 Mark 5 34 | yako imekuponya. Nenda kwa amani, upone kabisa ugonjwa wako."~
7 Mark 9 50 | ndani yenu na kudumisha amani kati yenu."~ ~~ ~
8 Luke 1 79 | hatua zetu katika njia ya amani."~
9 Luke 2 14 | kwa Mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu aliopendezwa
10 Luke 2 29 | mtumishi wako aende kwa amani.~
11 Luke 7 50 | yako imekuokoa; nenda kwa amani."~ ~ ~~ ~
12 Luke 8 48 | yako imekuponya. Nenda kwa amani."~
13 Luke 10 5 | kwanza wasalimuni hivi: `Amani iwe katika nyumba hii!`~
14 Luke 10 6 | Kama akiwako mwenye kupenda amani, amani yenu itakaa naye,
15 Luke 10 6 | akiwako mwenye kupenda amani, amani yenu itakaa naye, la sivyo,
16 Luke 12 51 | Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si
17 Luke 12 51 | duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano.~
18 Luke 14 32 | wajumbe kutaka masharti ya amani wakati mfalme huyo mwingine
19 Luke 19 38 | ajaye kwa jina la Bwana. Amani mbinguni, na utukufu juu
20 Luke 19 42 | ungelijua leo hii yale yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika
21 Luke 24 36 | akasimama kati yao, akawaambia "Amani kwenu."~
22 John 14 27 | 27 "Nawaachieni amani; nawapeni amani yangu. Siwapi
23 John 14 27 | Nawaachieni amani; nawapeni amani yangu. Siwapi ninyi kama
24 John 16 33 | mambo haya ili mpate kuwa na amani katika kuungana nami. Ulimwenguni
25 John 20 19 | akasimama kati yao, akawaambia, "Amani kwenu!"~
26 John 20 21 | 21 Yesu akawaambia tena, "Amani kwenu! Kama vile Baba alivyonituma
27 John 20 26 | akasimama kati yao, akasema, "Amani kwenu!"~
28 Acts 9 31 | Wakati huo kanisa likawa na amani popote katika Yudea, Galilaya,
29 Acts 10 36 | akitangaza Habari Njema iletayo amani kwa njia ya Yesu Kristo
30 Acts 12 20 | Herode wakamwomba kuwe na amani, kwa maana nchi yao ilitegemea
31 Acts 15 33 | Antiokia waliwaaga wakiwatakia amani, kisha wakarudi kwa wale
32 Acts 16 36 | kutoka na kwenda zenu kwa amani."~
33 Acts 24 2 | uongozi wako bora umeleta amani kubwa na marekebisho ya
34 Roma 1 7 | wake. Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu
35 Roma 2 10 | atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; Wayahudi
36 Roma 3 17 | 17 njia ya amani hawaijui.~
37 Roma 5 1 | kwa imani, basi, tunayo amani na Mungu kwa ajili ya Bwana
38 Roma 8 6 | za Roho huleta uzima na amani.~
39 Roma 12 18 | kwa upande wenu, muwe na amani na watu wote.~
40 Roma 14 17 | unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho
41 Roma 14 19 | daima mambo yenye kuleta amani, na yanayotusaidia kujengana.~
42 Roma 15 13 | awajazeni furaha yote na amani kutokana na imani yenu;
43 Roma 15 33 | 33 Mungu aliye chanzo cha amani na awe nanyi nyote! Amina!~ ~~ ~
44 Roma 16 20 | Naye Mungu aliye chanzo cha amani hatakawia kumponda Shetani
45 1Cor 1 3 | 3 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu
46 1Cor 7 15 | amewaiteni ninyi muishi kwa amani.~
47 1Cor 14 33 | si Mungu wa fujo, ila wa amani.~
48 1Cor 16 11 | aendelee na safari yake kwa amani ili aweze kurudi kwangu,
49 2Cor 1 2 | 2 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu
50 2Cor 13 11 | muwe na nia moja; kaeni kwa amani. Naye Mungu wa mapendo na
51 2Cor 13 11 | Naye Mungu wa mapendo na amani atakuwa pamoja nanyi.~
52 Gala 1 3 | 3 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu
53 Gala 5 22 | Roho ni mapendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili,
54 Gala 6 16 | Wanaoufuata mwongozo huo nawatakia amani na huruma; amani na huruma
55 Gala 6 16 | nawatakia amani na huruma; amani na huruma kwa Israeli -
56 Ephe 1 2 | 2 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu
57 Ephe 2 14 | Kristo mwenyewe ametuletea amani kwa kuwafanya Wayahudi na
58 Ephe 2 15 | umoja naye na hivyo kuleta amani.~
59 Ephe 2 17 | akahubiri Habari Njema ya amani kwenu ninyi watu wa mataifa
60 Ephe 4 3 | uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.~
61 Ephe 6 15 | kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu.~
62 Ephe 6 23 | Ninawatakieni ninyi ndugu amani, upendo na imani kutoka
63 Colo 1 2 | Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu.~
64 Colo 1 20 | mbinguni na duniania; alileta amani kwa damu ya Kristo msalabani.~
65 Colo 3 15 | 15 Nayo amani ya Kristo itawale mioyoni
66 1The 5 13 | kazi wanayofanya. Muwe na amani kati yenu.~
67 1The 5 23 | 23 Mungu anayetupatia amani awafanye ninyi watakatifu
68 2The 1 2 | 2 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu
69 2The 3 16 | mwenyewe ndiye chanzo cha amani, awajalieni amani siku zote
70 2The 3 16 | chanzo cha amani, awajalieni amani siku zote kwa kila namna.
71 1Tim 1 2 | Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu
72 1Tim 2 2 | kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu
73 1Tim 3 3 | bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha;~
74 2Tim 1 2 | Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na
75 2Tim 2 22 | uadilifu, imani, upendo, amani, pamoja na watu wote ambao
76 Titus 1 4 | tunayoshiriki. Nakutakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba, na
77 Titus 3 2 | yeyote; bali waishi kwa amani na masikizano, wawe daima
78 Phil 1 3 | 3 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu,
79 Hebr 7 2 | lina maana ya "Mfalme wa Amani.")~
80 Hebr 12 11 | mwishowe watavuna tuzo la amani kutoka katika maisha adili!~
81 Hebr 12 14 | 14 Jitahidini kuishi kwa amani na watu wote. Ishini maisha
82 Hebr 13 21 | 21 Mungu wa amani awakamilishe katika kila
83 James 3 17| kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali watu;
84 James 3 18| ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani.~ ~~ ~
85 James 3 18| wapenda amani hupanda katika amani.~ ~~ ~
86 1Pet 1 2 | yake. Nawatakieni neema na amani tele.~
87 1Pet 3 11 | uovu, atende mema, atafute amani na kuizingatia.~
88 1Pet 5 14 | wa Kikristo. Nawatakieni amani ninyi mlio wake Kristo.~
89 2Pet 1 2 | 2 Nawatakieni neema na amani tele katika kumjua Mungu
90 2Pet 3 14 | mbele ya Mungu, na kuwa na amani naye.~
91 2Joh 1 3 | 3 Neema na huruma na amani zitokazo kwa Mungu Baba
92 3Joh 1 15 | 15 Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu.
93 Jude 1 2 | 2 Nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi.~
94 Rev 1 4 | Asia. Nawatakieni neema na amani kutoka kwake yeye aliyeko,
95 Rev 6 4 | alikabidhiwa jukumu la kuondoa amani duniani, watu wauane, akapewa
|