Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 18| ameposwa na Yosefu. Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume
2 Matt 5 12| walivyowadhulumu manabii waliokuwako kabla yenu.~
3 Matt 6 8 | anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.~
4 Matt 8 29| Mungu? Je, umekuja kututesa kabla ya wakati wake?"~
5 Matt 10 23| katika miji yote ya Israeli kabla Mwana wa Mtu hajafika.~
6 Matt 15 2 | mikono yao kama ipasavyo kabla ya kula!"~
7 Matt 16 28| papahapa ambao hawatakufa kabla ya kumwona Mwana wa Mtu
8 Matt 17 25| alipoingia ndani ya nyumba, kabla hata hajasema neno, Yesu
9 Matt 21 31| wataingia katika Ufalme wa Mungu kabla yenu.~
10 Matt 24 14| 14 Ila, kabla ya mwisho kufika, hii Habari
11 Matt 24 25| Sikilizeni, nimekwisha kuwaonya kabla ya wakati.~
12 Matt 24 34| kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.~
13 Matt 24 38| 38 Maana nyakati hizo, kabla ya gharika kuu, watu walikuwa
14 Matt 26 17| 17 Siku ya kwanza kabla ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa
15 Matt 26 34| Kweli nakwambia, usiku huu kabla jogoo hajawika, utanikana
16 Matt 26 75| maneno aliyoambiwa na Yesu: "Kabla jogoo hajawika, utanikana
17 Matt 27 63| yule mdanganyifu alisema kabla ya kufa ati, `Baada ya siku
18 Mark 1 35| 35 Kesho yake, kabla ya mapambazuko, Yesu alitoka,
19 Mark 7 3 | ya wazee wao: hawali kitu kabla ya kunawa mikono ipasavyo.~
20 Mark 9 1 | papa hapa ambao hawatakufa kabla ya kuuona Ufalme wa Mungu
21 Mark 13 23| nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.~
22 Mark 13 30| kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.~
23 Mark 14 1 | 1 Ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya Pasaka na
24 Mark 14 30| Kweli nakwambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili,
25 Mark 14 72| alivyokuwa amemwambia: "Kabla jogoo hajawika mara mbili,
26 Luke 2 21| alikuwa amepewa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.~
27 Luke 2 26| amemhakikishia kwamba hatakufa kabla ya kumwona Masiha wa Bwana.~
28 Luke 9 27| papa hapa ambao hawatakufa kabla ya kuuona Ufalme wa Mungu."~
29 Luke 17 25| 25 Lakini kabla ya hayo, itambidi ateseke
30 Luke 19 13| 13 Basi, kabla ya kuondoka aliwaita watumishi
31 Luke 21 12| 12 Lakini kabla ya kutokea hayo yote, watawatieni
32 Luke 21 14| mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea,~
33 Luke 21 32| hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.~
34 Luke 22 15| Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.~
35 Luke 22 34| Nakwambia wewe Petro, kabla jogoo hajawika leo utakuwa
36 Luke 22 61| ameambiwa na Bwana: "Leo kabla jogoo hajawika, utanikana
37 John 1 15| kuliko mimi, maana alikuwako kabla mimi sijazaliwa."`~
38 John 1 30| kuliko mimi, maana alikuwako kabla mimi sijazaliwa!`~
39 John 1 48| Ulipokuwa chini ya mtini hata kabla Filipo hajakuita, nilikuona."~
40 John 4 49| Mheshimiwa, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa."~
41 John 7 51| Sheria yetu humhukumu mtu kabla ya kumsikia kwanza na kujua
42 John 8 58| akawaambia, "Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi
43 John 10 8 | Wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyang`
44 John 11 55| Yerusalemu ili wajitakase kabla ya sikukuu hiyo.~
45 John 12 1 | 1 Siku sita kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu
46 John 13 1 | 1 Ilikuwa kabla ya sikukuu ya Pasaka. Yesu
47 John 13 19| nimewaambieni mambo haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea
48 John 13 38| yangu? Kweli nakwambia, kabla jogoo hajawika utanikana
49 John 14 29| Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea
50 John 15 18| kwamba umenichukia mimi kabla haujawachukia ninyi.~
51 John 17 5 | ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.~
52 John 17 24| ulionipa; kwa kuwa ulinipenda kabla ya kuumbwa ulimwengu.~
53 Acts 1 2 | alipochukuliwa mbinguni. Kabla ya kuchukuliwa mbinguni
54 Acts 2 20| utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kutokea ile siku kuu
55 Acts 2 31| 31 Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na
56 Acts 5 4 | 4 Kabla ya kuliuza lilikuwa mali
57 Acts 5 35| Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka
58 Acts 7 2 | alipokuwa kule Mesopotamia kabla hajaenda kukaa kule Harani.~
59 Acts 12 6 | 6 Usiku, kabla ya siku ile ambayo Herode
60 Acts 13 24| 24 Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane
61 Acts 17 26| kote. Aliamua na kupanga kabla kabisa lini na wapi mataifa
62 Acts 18 14| 14 Kabla tu Paulo hajaanza kusema,
63 Acts 22 25| kumpiga viboko raia wa Roma kabla hajahukumiwa?"~
64 Acts 23 15| Tuko tayari kumuua hata kabla hajafika karibu."~
65 Acts 23 23| Kaisarea; muwe tayari kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku.~
66 Acts 25 16| Waroma kumtoa mtu aadhibiwe kabla mshtakiwa hajakutana na
67 Roma 4 10| Je, Abrahamu alikubaliwa kabla ya kutahiriwa ama baada
68 Roma 4 10| ama baada ya kutahiriwa? Kabla ya kutahiriwa, na si baada
69 Roma 4 11| imani yake aliyokuwa nayo kabla ya kutahiriwa. Kwa hiyo,
70 Roma 4 12| yetu Abrahamu aliyofuata kabla ya kutahiriwa.~
71 Roma 5 13| 13 Kabla ya Sheria kuwako, dhambi
72 Roma 9 11| uhuru wa kuchagua, hata kabla wale ndugu hawajazaliwa
73 Roma 9 11| wale ndugu hawajazaliwa na kabla hawajaweza kupambanua jema
74 Roma 16 7 | tena walikuwa Wakristo kabla yangu mimi.~
75 1Cor 4 5 | 5 Basi, msihukumu kabla ya wakati wake acheni mpaka
76 1Cor 12 2 | 2 Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa
77 1Cor 15 8 | niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya wakati.~
78 Gala 1 15| alikuwa ameniteua hata kabla sijazaliwa, akaniita nimtumikie.~
79 Gala 1 17| wale waliopata kuwa mitume kabla yangu, nilikwenda kwanza
80 Gala 2 12| 12 Awali, kabla ya watu kadhaa waliokuwa
81 Gala 3 8 | Maandiko Matakatifu yalionyesha kabla kwamba Mungu atawakubali
82 Gala 3 23| 23 Kabla ya kujaliwa imani, Sheria
83 Ephe 1 4 | 4 Kabla ya kuumbwa ulimwengu, Mungu
84 Colo 1 17| 17 Kristo alikuwako kabla ya vitu vyote; kwa kuungana
85 1The 2 2 | na kutukanwa kule Filipi kabla ya kufika kwenu Thesalonike.
86 2Tim 1 9 | hiyo katika Kristo Yesu kabla mwanzo wa nyakati; ~
87 2Tim 4 21| 21 Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo,
88 Titus 1 2| uongo, alituahidia uzima huo kabla ya mwanzo wa nyakati,~
89 Hebr 11 5 | Maandiko yasema kwamba kabla ya kuchukuliwa kwake, yeye
90 Hebr 11 13| wakiwa na imani. Walikufa kabla ya kupokea mambo ambayo
91 1Pet 1 20| alikuwa ameteuliwa na Mungu kabla ya ulimwengu kuumbwa, akafunuliwa
92 Rev 2 5 | pakumbuke pale ulipokuwa kabla ya kuanguka, ukayaache madhambi
93 Rev 3 2 | chochote chema kilichokubakia kabla nacho hakijatoweka kabisa.
|