Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 23 | yaliyonenwa kwa njia ya manabii: "Ataitwa Mnazare."~ ~~ ~
2 Matt 5 12 | ndivyo walivyowadhulumu manabii waliokuwako kabla yenu.~
3 Matt 5 17 | ya Mose na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.~
4 Matt 7 12 | ya Mose na mafundisho ya manabii.~
5 Matt 7 15 | 15 "Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu
6 Matt 11 13 | 13 Mafundisho yote ya manabii na sheria yalibashiri juu
7 Matt 13 17 | 17 Kweli nawaambieni, manabii na watu wengi wema walitamani
8 Matt 16 14 | Yeremia au mmojawapo wa manabii."~
9 Matt 22 40 | ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri ~hizi mbili." ~
10 Matt 23 29 | wanafiki! Mnajenga ~makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya
11 Matt 23 30 | hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!> ~
12 Matt 23 31 | watoto wa watu ~waliowaua manabii. ~
13 Matt 23 34 | mimi ninawapelekea ninyi manabii, watu wenye hekima ~na walimu;
14 Matt 23 37 | Ee Yerusalemu! Unawaua manabii na kuwapiga mawe ~wale waliotumwa
15 Matt 24 11 | 11 Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha
16 Matt 24 24 | kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara
17 Matt 26 56 | yametendeka ili Maandiko ya manabii yatimie." Kisha wanafunzi
18 Mark 6 15 | nabii kama mmojawapo wa manabii wa kale."~
19 Mark 8 28 | na wengine mmojawapo wa manabii."~
20 Mark 13 22 | kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara
21 Luke 1 70 | Aliahidi hapo kale kwa njia ya manabii wake watakatifu,~
22 Luke 6 23 | maana wazee wao waliwatendea manabii vivyo hivyo.~
23 Luke 6 26 | maana wazee wao waliwafanyia manabii wa uongo vivyo hivyo.~
24 Luke 9 8 | walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani.~
25 Luke 9 19 | wanasema kuwa wewe ni mmoja wa manabii wa kale ambaye amefufuka."~
26 Luke 10 24 | 24 Hakika, manabii na wafalme walitamani kuona
27 Luke 11 47 | kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua.~
28 Luke 11 48 | maana wao waliwaua hao manabii, nanyi mnajenga makaburi
29 Luke 11 49 | ilisema hivi: `Nitawapelekea manabii na mitume, lakini watawaua
30 Luke 11 50 | kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu
31 Luke 13 28 | Abrahamu, Isaka na Yakobo, na manabii wote wapo katika Ufalme
32 Luke 13 34 | We Yerusalemu! Unawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa
33 Luke 16 16 | Sheria na maandishi ya manabii vilikuweko mpaka wakati
34 Luke 16 29 | Ndugu zako wanao Mose na manabii; waache wawasikilize hao.`~
35 Luke 16 31 | Kama hawawasikilizi Mose na manabii, hawatajali hata kama mtu
36 Luke 18 31 | kila kitu kilichoandikwa na manabii kuhusu Mwana wa Mtu kitakamilishwa.~
37 Luke 24 25 | kusadiki yote yaliyonenwa na manabii?~
38 Luke 24 27 | Matakatifu kuanzia Mose hadi manabii wote.~
39 Luke 24 44 | Mose na katika vitabu vya manabii na katika kitabu cha Zaburi."~
40 John 1 45 | kitabu cha Sheria, na ambaye manabii waliandika habari zake,
41 John 6 45 | 45 Manabii wameandika: `Watu wote watafundishwa
42 John 8 52 | mwendawazimu! Abrahamu alikufa, na manabii pia walikufa, nawe wasema
43 John 8 53 | ambaye alikufa? Hata na manabii walikufa. Wewe unajifanya
44 Acts 3 18 | aliyotangaza zamani kwa njia ya manabii wote, kwamba ilikuwa lazima
45 Acts 3 21 | Mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu
46 Acts 3 24 | 24 Manabii wote, kuanzia Samweli na
47 Acts 3 25 | Mungu alizotoa kwa njia ya manabii ni kwa ajili yenu; na mnashiriki
48 Acts 7 42 | ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: `Enyi watu wa Israeli!
49 Acts 10 43 | 43 Manabii wote waliongea juu yake
50 Acts 11 27 | 27 Wakati huohuo, manabii kadhaa walikuja Antiokia
51 Acts 13 1 | na watu wengine waliokuwa manabii na walimu; miongoni mwao
52 Acts 13 15 | Mose na katika maandiko ya manabii, wakuu wa lile sunagogi
53 Acts 13 27 | Wala hawakuelewa maneno ya manabii yanayosomwa kila Sabato.
54 Acts 13 27 | hivyo, waliyafanya maneno ya manabii yatimie kwa kumhukumu Yesu
55 Acts 13 40 | mkapatwa na yale yaliyosemwa na manabii:~
56 Acts 15 15 | sawa kabisa na maneno ya manabii, kama Maandiko Matakatifu
57 Acts 15 32 | Sila, ambao nao walikuwa manabii, walizungumza na hao ndugu
58 Acts 24 14 | katika vitabu vya Sheria na manabii.~
59 Acts 26 22 | Ninayosema ni yale ambayo manabii na Mose walisema yatatukia;~
60 Acts 26 27 | Agripa, je, una imani na manabii? Najua kwamba unaamini."~
61 Acts 28 23 | Sheria ya Mose na maandiko ya manabii.~
62 Roma 1 2 | Habari Njema kwa njia ya manabii wake katika Maandiko Matakatifu.~
63 Roma 3 21 | kutegemea Sheria. Sheria na manabii hushuhudia jambo hili.~
64 Roma 11 3 | 3 "Bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu
65 Roma 16 26 | kwa njia ya maandiko ya manabii; na kwa amri ya Mungu wa
66 1Cor 12 28 | kanisa: kwanza mitume, pili manabii, tatu walimu; kisha ameweka
67 1Cor 12 29 | wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni walimu? Wote ni
68 Ephe 2 20 | msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye
69 Ephe 3 5 | Mungu amewajulisha mitume na manabii wake watakatifu kwa njia
70 Ephe 4 11 | aliwajalia wawe mitume, wengine manabii, wengine wawe waeneza Habari
71 1The 2 15 | ambao walimuua Bwana Yesu na manabii, wakatutesa na sisi pia.
72 1Tim 4 14 | ulichopewa kwa maneno ya manabii na kwa kuwekewa mikono na
73 Titus 1 12| 12 Hata mmoja wa manabii wao, ambaye naye pia ni
74 Hebr 1 1 | namna nyingi kwa njia ya manabii,~
75 Hebr 11 32 | Yeftha, Daudi, Samweli na manabii.~
76 James 5 10| mateso, fikirini juu ya manabii ambao walinena kwa jina
77 1Pet 1 10 | 10 Manabii walipeleleza kwa makini
78 2Pet 1 19 | 19 Tena, ujumbe wa manabii watuthibitishia jambo hilo;
79 2Pet 2 1 | 1 Palitokea manabii wa uongo kati ya watu, na
80 2Pet 3 2 | mkumbuke maneno yaliyosemwa na manabii watakatifu, na ile amri
81 1Joh 4 1 | Roho wa Mungu au la, Maana manabii wengi wa uongo wamezuka
82 1Joh 4 4 | na mmekwisha washinda hao manabii wa uongo; maana Roho aliye
83 Rev 10 7 | alivyowatangazia watumishi wake manabii."~
84 Rev 11 10 | kupelekeana zawadi maana manabii hawa wawili walikuwa wamewasumbua
85 Rev 11 12 | 12 Kisha hao manabii wawili wakasikia sauti kubwa
86 Rev 11 18 | kuwatuza watumishi wako manabii, watu wako na wote wanaolitukuza
87 Rev 16 6 | damu ya watu wako na ya manabii, nawe umewapa damu wainywe;
88 Rev 18 20 | watu wa Mungu, mitume na manabii! Kwa maana Mungu ameuhukumu
89 Rev 18 24 | humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watu wa Mungu na
90 Rev 19 10 | Yesu ndio unaowaangazia manabii."~
91 Rev 22 6 | Bwana Mungu ambaye huwapa manabii Roho wake, alimtuma malaika
92 Rev 22 9 | kama wewe na ndugu zako manabii na wote wanaoyatii maagizo
|