Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
makoti 5
makubwa 14
makufuru 1
makuhani 88
makundi 14
makundimakundi 6
makusudi 3
Frequency    [«  »]
89 vya
89 zangu
88 35
88 makuhani
87 ilikuwa
87 mbali
87 vitu

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

makuhani

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 4 | 4 Basi akawaita pamoja makuhani wakuu wote na walimu wa 2 Matt 12 4 | mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao.~ 3 Matt 12 5 | kwamba kila siku ya Sabato makuhani huivunja Sheria Hekaluni, 4 Matt 16 21| yatakayosababishwa na wazee, makuhani wakuu na walimu wa Sheria. 5 Matt 20 18| wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na walimu wa Sheria, 6 Matt 21 15| 15 Basi, makuhani wakuu na walimu wa Sheria 7 Matt 21 23| Alipokuwa akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, " 8 Matt 21 45| 45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia 9 Matt 26 3 | 3 Wakati huo makuhani wakuu na wazee wa watu walikutana 10 Matt 26 14| kumi na wawili, akaenda kwa makuhani wakuu,~ 11 Matt 26 47| marungu ambao walitumwa na makuhani wakuu na wazee wa watu.~ 12 Matt 26 59| 59 Basi, makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta 13 Matt 27 1 | 1 Kulipopambazuka, makuhani wakuu wote na wazee wa watu 14 Matt 27 3 | akajuta, akawarudishia makuhani wakuu zile sarafu thelathini 15 Matt 27 6 | 6 Makuhani wakuu wakazichukua zile 16 Matt 27 12| 12 Lakini makuhani wakuu na wazee walipokuwa 17 Matt 27 20| 20 Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi 18 Matt 27 41| 41 Hali kadhalika na makuhani wakuu pamoja na walimu wa 19 Matt 27 62| iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea 20 Matt 28 11| mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote 21 Mark 2 26| alikuwa Kuhani Mkuu. Na ni makuhani tu peke yao waliokuwa wameruhusiwa 22 Mark 8 31| na kukataliwa na wazee na makuhani wakuu na walimu wa Sheria. 23 Mark 10 33| wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na walimu wa Sheria, 24 Mark 11 18| 18 Makuhani wakuu na walimu wa Sheria 25 Mark 11 27| alipokuwa akitembea Hekaluni, makuhani wakuu, walimu wa Sheria 26 Mark 12 12| 12 Makuhani wakuu, walimu wa Sheria 27 Mark 14 1 | Mikate Isiyotiwa Chachu. Makuhani wakuu na walimu wa Sheria 28 Mark 14 10| kumi na wawili, alienda kwa makuhani wakuu ili kumsaliti Yesu.~ 29 Mark 14 11| 11 Makuhani wakuu waliposikia habari 30 Mark 14 43| hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, walimu wa Sheria 31 Mark 14 53| Yesu kwa Kuhani Mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu 32 Mark 14 55| 55 Makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta 33 Mark 15 1 | 1 Kulipopambazuka, makuhani wakuu walifanya shauri pamoja 34 Mark 15 3 | 3 Makuhani wakuu wakamshtaki Yesu mambo 35 Mark 15 10| sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu 36 Mark 15 11| 11 Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu 37 Mark 15 31| 31 Nao makuhani wakuu pamoja na walimu wa 38 Luke 3 2 | Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu mjini Yerusalem. Wakati 39 Luke 6 4 | kuwapa wenzake. Kisheria, ni makuhani tu peke yao ndio walioruhusiwa 40 Luke 9 22| na kukataliwa na wazee na makuhani wakuu na walimu wa Sheria; 41 Luke 17 14| Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani." Basi, ikawa walipokuwa 42 Luke 19 47| anafundisha kila siku Hekaluni. Makuhani wakuu, walimu wa Sheria 43 Luke 20 1 | kuwahubiria juu ya Habari Njema, makuhani wakuu na walimu wa Sheria 44 Luke 20 19| 19 Walimu wa Sheria na makuhani wakuu walifahamu kwamba 45 Luke 22 2 | 2 Makuhani wakuu na walimu wa Sheria 46 Luke 22 4 | akaenda akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa Hekalu 47 Luke 22 52| 52 Kisha Yesu akawaambia makuhani wakuu, wakubwa wa walinzi 48 Luke 22 66| ambacho kilihudhuriwa na makuhani wakuu na walimu wa Sheria. 49 Luke 23 4 | 4 Pilato akawaambia makuhani wakuu na umati wa watu, " 50 Luke 23 10| 10 Makuhani wakuu na walimu wa Sheria 51 Luke 23 13| Pilato akaitisha mkutano wa makuhani wakuu, viongozi na watu,~ 52 Luke 24 20| 20 Makuhani na watawala wetu walimtoa 53 John 1 19| Yerusalemu walipowatuma makuhani wa Walawi kwake wamwulize: " 54 John 7 32| Yesu. Basi, wao pamoja na makuhani wakuu wakawatuma walinzi 55 John 7 45| wale walinzi wakarudi kwa makuhani wakuu na Mafarisayo; nao 56 John 11 47| 47 kwa hiyo makuhani wakuu na Mafarisayo wakafanya 57 John 11 57| 57 Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa 58 John 12 10| 10 Makuhani wakuu waliamua pia kumwua 59 John 18 3 | askari na walinzi kutoka kwa makuhani wakuu na Mafarisayo, akaja 60 John 18 35| Myahudi mimi? Taifa lako na makuhani wamekuleta kwangu. Umefanya 61 John 19 6 | 6 Makuhani wakuu na walinzi walipomwona 62 John 19 15| Mwondoe! Mwondoe! Msulubishe!" Makuhani wakuu wakajibu, "Sisi hatuna 63 John 19 21| 21 Basi, makuhani wakuu wakamwambia Pilato, " 64 Acts 4 1 | bado wanawahutubia watu, makuhani na mkuu wa walinzi wa Hekalu 65 Acts 4 23| wakawaeleza yale waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.~ 66 Acts 5 24| wa walinzi wa Hekalu na makuhani wakuu waliposikia habari 67 Acts 6 7 | zaidi, na kundi kubwa la makuhani wakaipokea imani.~ 68 Acts 9 14| akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote 69 Acts 9 21| watu hao na kuwapeleka kwa makuhani!"~ 70 Acts 23 14| 14 Basi, walikwenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, " 71 Acts 25 2 | 2 Makuhani wakuu pamoja na viongozi 72 Acts 25 15| Nilipokwenda Yerusalemu makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi 73 Acts 26 10| nimepewa mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu, nilipata kuwatia 74 Acts 26 12| mamlaka na maagizo kutoka kwa makuhani wakuu.~ 75 Hebr 7 5 | Sheria, wana wa Lawi ambao ni makuhani, wanayo haki ya kuchukua 76 Hebr 7 8 | 8 Tena, hao makuhani wanaopokea sehemu ya kumi, 77 Hebr 7 14| alipokuwa anasema juu ya makuhani.~ 78 Hebr 7 20| wale wengine walipofanywa makuhani hapakuwako kiapo.~ 79 Hebr 7 23| tofauti nyingine pia: hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa 80 Hebr 7 27| 27 Yeye si kama wale makuhani wakuu wengine; hana haja 81 Hebr 7 28| watu waliokuwa dhaifu kuwa makuhani wakuu; lakini ahadi ya Mungu 82 Hebr 8 4 | kamwe kuhani, kwani wako makuhani wengine wanaotoa sadaka 83 Hebr 9 6 | kisha ikawa desturi kwa makuhani kuingia kila siku katika 84 1Pet 2 5 | ambamo mtatumikia kama makuhani watakatifu, kutolea dhabihu 85 1Pet 2 9 | Lakini ninyi ni ukoo mteule, makuhani wa Mfalme, taifa takatifu; 86 Rev 1 6 | akatufanya sisi kuwa ufalme wa makuhani, tumtumikie Mungu, Baba 87 Rev 5 10 | umewafanya wawe ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu wetu nao 88 Rev 20 6 | nguvu juu yao; watakuwa makuhani wa Mungu na wa Kristo, na


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License