Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 29 | linakukosesha, ling`oe ukalitupe mbali. Afadhali zaidi kwako kupoteza
2 Matt 5 30 | unakukosesha, ukate ukautupe mbali. Afadhali zaidi kupoteza
3 Matt 12 42 | Maana yeye alisafiri kutoka mbali akaja kusikiliza maneno
4 Matt 15 8 | lakini mioyoni mwao wako mbali nami.~
5 Matt 18 8 | ukikukosesha, ukate na kuutupa mbali nawe. Ni afadhali kwako
6 Matt 18 9 | likikukosesha, ling`oe na kulitupa mbali nawe. Ni afadhali kwako
7 Matt 21 33 | akasafiri kwenda nchi ya mbali.~
8 Matt 24 51 | 51 Atamkatilia mbali na kumweka kundi moja na
9 Matt 26 58 | 58 Petro alimfuata kwa mbali mpaka uani kwa Kuhani Mkuu,
10 Matt 27 55 | wanawake wengi wakitazama kwa mbali. Hao ndio wale waliomfuata
11 Mark 5 6 | 6 Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akamwinamia~
12 Mark 7 6 | lakini mioyoni mwao wako mbali nami.~
13 Mark 8 3 | maana baadhi yao wametoka mbali."~
14 Mark 10 50 | 50 Naye akatupilia mbali vazi lake, akaruka juu,
15 Mark 11 13 | 13 Basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi.
16 Mark 12 1 | akasafiri hadi nchi ya mbali.~
17 Mark 12 34 | akamwambia, "Wewe huko mbali na Ufalme wa Mungu." Baada
18 Mark 14 54 | Petro alimfuata Yesu kwa mbali, akaingia ndani ya ya wa
19 Mark 15 40 | wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao akiwa Maria
20 Luke 5 3 | Simoni aisogeze majini, mbali kidogo na ukingo wa ziwa.
21 Luke 11 31 | hatia. Yeye alisafiri kutoka mbali, akaja kusikiliza maneno
22 Luke 12 46 | saa asiyoijua; atamkatilia mbali na kumweka fungu moja na
23 Luke 14 32 | mfalme huyo mwingine angali mbali.~
24 Luke 14 35 | mbolea. Watu huitupilia mbali. Sikieni basi, kama mna
25 Luke 15 13 | aliyopata, akaenda nchi ya mbali ambako aliitumia ovyo.~
26 Luke 15 20 | yake. Alipokuwa bado yu mbali, baba yake alimwona, na
27 Luke 16 23 | yake, akamwona Abrahamu kwa mbali na Lazaro karibu naye.~
28 Luke 17 12 | walikutana naye, wakasimama kwa mbali.~
29 Luke 18 13 | ushuru, akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake
30 Luke 19 12 | aliyefanya safari kwenda nchi ya mbali ili apokee madaraka ya ufalme,
31 Luke 20 9 | kisha akasafiri hadi nchi ya mbali, akakaa huko kwa muda mrefu.~
32 Luke 22 54 | akawa anamfuata nyuma kwa mbali.~
33 Luke 23 49 | Galilaya, walisimama kwa mbali kutazama tukio hilo.~
34 Luke 24 2 | lile jiwe limeviringishwa mbali na kaburi.~
35 John 9 34 | sisi?" Basi, wakamfukuzia mbali.~
36 John 9 35 | kwamba walikuwa wamemfukuzia mbali, naye alipomkuta akamwuliza, "
37 John 12 36 | alikwenda zake na kujificha mbali nao.~
38 John 21 8 | uliojaa samaki; hawakuwa mbali na nchi kavu, ila walikuwa
39 Acts 2 39 | kwa ajili ya wote wanaokaa mbali; na kwa ajili ya kila mtu
40 Acts 3 23 | hatamsikiliza nabii huyo atatengwa mbali na watu wa Mungu na kuangamizwa.`~
41 Acts 6 14 | mahali hapa na kufutilia mbali desturi zile tulizopokea
42 Acts 7 43 | hiyo nitakupeleka mateka mbali kupita Babuloni!`~
43 Acts 8 20 | Petro akamjibu, "Potelea mbali na fedha zako kwa vile unafikiri
44 Acts 9 38 | 38 Yopa si mbali sana na Luda; kwa hiyo wafuasi
45 Acts 17 27 | hivyo lakini, Mungu hayuko mbali na kila mmoja wetu.~
46 Acts 21 36 | wakipiga kelele, "Muulie mbali!" ic~
47 Acts 22 21 | akaniambia: `Nenda; ninakutuma mbali kwa mataifa mengine."`~
48 Acts 24 17 | 17 "Baada ya kukaa mbali kwa miaka kadhaa, nilirudi
49 Acts 26 11 | nikawasaka mpaka miji ya mbali.~
50 Roma 6 20 | wa dhambi, mlikuwa huru mbali na uadilifu.~
51 Roma 7 9 | mmoja mimi nilikuwa hai mbali na Sheria; lakini amri ilipokuja,
52 Roma 13 12 | unakaribia. Basi, tutupilie mbali mambo yote ya giza, tukajitwalie
53 1Cor 1 19 | ya wataalamu nitaitupilia mbali."~
54 1Cor 1 28 | ili kwa hayo ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira za
55 1Cor 5 3 | wangu, ingawa kwa mwili niko mbali nanyi, hata hivyo kwa roho
56 1Cor 5 7 | 7 Jitakaseni, mkatupe mbali chachu ya kale ili mpate
57 1Cor 5 13 | 13 Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu!~~ ~
58 1Cor 15 24 | Utawala, baada ya kufutilia mbali kila tawala na mamlaka na
59 2Cor 5 6 | katika mwili huu tu ni kukaa mbali na Bwana.~
60 2Cor 10 1 | lakini mkali wakati nikiwa mbali nanyi, nawasihini kwa huruma
61 2Cor 10 11 | katika barua wakati tuko mbali, na yale tutakayofanya wakati
62 2Cor 10 16 | Njema katika nchi nyingine, mbali nanyi; na haitakuwa shauri
63 2Cor 13 2 | sasa nasema tena nikiwa mbali: wale wote waliotenda uovu
64 2Cor 13 10 | ninaandika barua hii nikiwa mbali, ili nitakapofika kwenu
65 Gala 5 4 | Sheria, basi, mmejitenga mbali na Kristo; mko nje ya neema
66 Ephe 2 13 | ambao hapo awali mlikuwa mbali, mmekaribishwa kwa njia
67 Ephe 2 17 | mataifa mengine mliokuwa mbali na Mungu, na pia kwa Wayahudi
68 Ephe 4 18 | akili zao zimo gizani. Wako mbali na uzima wa Mungu, kwa sababu
69 Colo 1 21 | kwanza ninyi pia mlikuwa mbali na Mungu na mlikuwa adui
70 Colo 1 23 | na msikubali kusukumwa mbali na tumaini lile mlilopata
71 Colo 2 5 | Maana, ingawa mimi niko mbali nanyi kwa mwili, lakini
72 Colo 2 14 | 14 alifutilia mbali ile hati ya deni iliyokuwa
73 1The 5 23 | roho, mioyo na miili yenu - mbali na hatia yoyote wakati wa
74 2The 1 9 | kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu,~
75 1Tim 4 1 | watu wengine wataitupilia mbali imani; watazitii roho danganyifu
76 1Tim 6 10 | fedha hata wakatangatanga mbali na imani, na wameivunja
77 2Tim 2 16 | hayo huzidi kuwatenga watu mbali na Mungu.~
78 2Tim 2 18 | 18 Hawa wamepotoka kabisa mbali na ukweli, na wanatia imani
79 2Tim 2 21 | atajitakasa kwa kujitenga mbali na mambo hayo yote maovu,
80 Hebr 11 13 | alikuwa ameahidi, lakini kwa mbali waliyaona, wakashangilia,
81 James 1 21| 21 Kwa hiyo, tupilieni mbali mwenendo mchafu na tabia
82 Rev 6 16 | Tuangukieni, mkatufiche mbali na yeye aketiye juu ya kiti
83 Rev 6 16 | juu ya kiti cha enzi, na mbali na ghadhabu ya Mwanakondoo!~
84 Rev 12 14 | mawili ya tai apate kuruka mbali sana na hilo joka, mpaka
85 Rev 18 10 | 10 Wanasimama kwa mbali kwa sababu ya kuogopa mateso
86 Rev 18 15 | kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso
87 Rev 18 17 | baharini, walisimama kwa mbali,~
|