Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
colossians 1
corinthians 2
dada 24
daima 85
dakika 1
daktari 4
dalili 1
Frequency    [«  »]
86 mafarisayo
86 tatu
86 vyote
85 daima
85 mwisho
85 umati
84 mamlaka

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

daima

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 18 10 | malaika wao huko mbinguni wako daima mbele ya Baba yangu aliye 2 Matt 26 11 | 11 Maskini mnao daima pamoja nanyi, lakini mimi 3 Matt 26 11 | sitakuwapo pamoja nanyi daima.~ 4 Mark 14 7 | 7 Maskini mnao daima pamoja nanyi; mnaweza kuwasaidia 5 Mark 14 7 | sitakuwapo pamoja nanyi daima.~ 6 Luke 11 3 | 3 Utupe daima chakula chetu cha kila siku.~ 7 Luke 12 29 | msivurugike akili, mkihangaika daima juu ya mtakachokula au mtakachokunywa.~ 8 Luke 18 1 | kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa.~ 9 Luke 21 36 | waangalifu basi, na salini daima ili muweze kupata nguvu 10 John 5 18 | Baba yangu anafanya kazi daima, nami pia nafanya kazi."~ 11 John 6 34 | wakamwambia, "Mheshimiwa, tupe daima mkate huo."~ 12 John 8 29 | peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."~ 13 John 10 35 | Matakatifu yasema ukweli daima.~ 14 John 11 42 | Najua kwamba unanisikiliza daima. Lakini nimesema hayo kwa 15 John 13 1 | imefika. Alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; 16 John 18 20 | akamjibu, "Nimesema na kila mtu daima hadharani. Kila mara nimefundisha 17 Acts 2 25 | Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu 18 Acts 9 36 | mema na kuwasaidia maskini daima.~ 19 Acts 10 2 | Kiyahudi na alikuwa anasali daima.~ 20 Acts 20 35 | 35 Nimekuwa nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya 21 Acts 24 3 | Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi 22 Acts 24 16 | 16 Kwa hiyo ninajitahidi daima kuwa na dhamiri njema mbele 23 Roma 1 10 | 10 daima katika sala zangu. Namwomba 24 Roma 3 4 | Mungu hubaki mwaminifu daima, ingawaje kila binadamu 25 Roma 10 1 | Tena nawaombea kwa Mungu daima.~ 26 Roma 11 10 | Migongo yao ipindike kwa taabu daima!"~ 27 Roma 12 12 | 12 Tumaini lenu liwaweke daima wenye furaha; muwe na saburi 28 Roma 12 12 | saburi katika shida na kusali daima.~ 29 Roma 14 19 | 19 Kwa hiyo tuyazingatie daima mambo yenye kuleta amani, 30 Roma 15 20 | 20 Nia yangu imekuwa daima kuihubiri Habari Njema popote 31 1Cor 1 4 | Ninamshukuru Mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu 32 1Cor 9 25 | hivyo tupate taji ya kudumu daima.~ 33 1Cor 15 58 | imara na thabiti. Endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi 34 2Cor 1 19 | Ndiyo" na "Siyo"; bali yeye daima ni "Ndiyo" ya Mungu.~ 35 2Cor 2 14 | kwa Mungu anayetuongoza daima katika msafara wa ushindi 36 2Cor 4 8 | 8 Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; 37 2Cor 4 11 | yote tunakabiliwa na kifo daima kwa ajili ya Yesu, ili uzima 38 2Cor 5 6 | 6 Tuko imara daima. Tunajua kwamba kuishi katika 39 2Cor 6 10 | tunayo huzuni, twafurahi daima; ingawa tu maskini hohehahe, 40 2Cor 7 14 | sikudanganyika. Tumewaambieni ukweli daima, na kule kuwasifia ninyi 41 2Cor 9 8 | yale mnayoyahitaji, mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji, 42 2Cor 9 11 | Yeye atawatajirisha ninyi daima kwa kila kitu, ili watu 43 Gala 2 5 | Habari Njema ubaki nanyi daima.~ 44 Gala 4 18 | Kwa kweli ni jambo jema daima kuwahangaikia wengine katika 45 Ephe 4 2 | 2 Muwe daima wanyenyekevu, wapole na 46 Ephe 5 20 | 20 Mshukuruni Mungu Baba daima kwa ajili ya yote, kwa jina 47 Ephe 6 16 | ya hayo yote, imani iwe daima kama ngao mikononi mwenu, 48 Ephe 6 18 | 18 Salini daima, mkiomba msaada wa Mungu. 49 Colo 1 3 | 3 Daima tunamshukuru Mungu, Baba 50 Colo 1 9 | hiyo tumekuwa tukiwaombeeni daima tangu tulipopata habari 51 Colo 1 10 | anavyotaka Bwana na kutenda daima yanayompendeza. Maisha yenu 52 Colo 3 20 | watoto, watiini wazazi wenu daima maana hiyo humpendeza Bwana.~ 53 Colo 4 6 | Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na ya kuvutia, na mnapaswa 54 Colo 4 12 | Kristo Yesu anawasalimuni. Daima anawaombeeni ninyi kwa bidii 55 1The 1 2 | 2 Tunamshukuru Mungu daima kwa ajili yenu ninyi nyote 56 1The 1 2 | ninyi nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu.~ 57 1The 2 4 | 4 Sisi twanena daima kama atakavyo Mungu kwani 58 1The 3 6 | Ametuarifu kwamba mnatukumbuka daima, na kwamba mna hamu ya kutuona 59 1The 4 17 | hewani. Na hivyo tutakuwa daima pamoja na Bwana.~ 60 1The 5 15 | yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema watu 61 1The 5 16 | 16 Furahini daima,~ 62 2The 1 3 | tunapaswa kushukuru Mungu daima kwa ajili yenu. Inafaa kwetu 63 2The 1 11 | Ndiyo maana tunawaombeeni daima. Tunamwomba Mungu wetu awawezeshe 64 2The 2 13 | Tunapaswa kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu ninyi ndugu, 65 2The 2 17 | kuwaimarisheni ili mweze daima kutenda na kusema yaliyo 66 2Tim 1 3 | namshukuru kila ninapokukumbuka daima katika sala zangu. ~ 67 2Tim 2 13 | waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana 68 2Tim 3 7 | wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi 69 Titus 1 12| Wakrete, husema uongo daima; ni kama wanyama wabaya, 70 Titus 2 10| wao ni wema na waaminifu daima, ili, kwa matendo yao yote, 71 Titus 3 2 | amani na masikizano, wawe daima wapole kwa kila mtu.~ 72 Phil 1 15 | kusudi uweze tena kuwa naye daima.~ 73 Hebr 1 11 | zitatoweka, lakini wewe wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi.~ 74 Hebr 1 12 | Lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma."~ 75 Hebr 3 13 | sisi, mnapaswa kusaidiana daima, ili mtu yeyote miongoni 76 Hebr 7 3 | na anaendelea kuwa kuhani daima.~ 77 Hebr 7 25 | 25 Hivyo, yeye anaweza daima kuwaokoa kabisa wote wanaomwendea 78 Hebr 10 1 | Dhabihu zilezile hutolewa daima, mwaka baada ya mwaka. Sheria 79 Hebr 13 15 | tumtolee Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani sifa zinazotolewa 80 Hebr 13 18 | twataka kufanya lililo sawa daima.~ 81 James 4 1 | zenu mbaya ambazo hupigana daima ndani yenu.~ 82 2Pet 1 12 | nitaendelea kuwakumbusheni daima mambo haya, ingawa mmekwisha 83 1Joh 2 24 | ndani yenu, basi, mtaishi daima katika umoja na Mwana na 84 3Joh 1 3 | ukweli; naam, wewe unaishi daima katika ukweli.~ 85 Jude 1 16 | Watu hawa wananung`unika daima na kuwalaumu watu wengine.


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License