Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
kwalo 1
kwamba 840
kwangu 75
kwani 83
kwanijaza 1
kwanza 157
kwao 52
Frequency    [«  »]
85 umati
84 mamlaka
84 zetu
83 kwani
83 matendo
83 ndivyo
82 kidogo

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

kwani

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 9 21 | 21 Alifanya hivyo kwani alifikiri moyoni: "Nikigusa 2 Luke 1 68 | Bwana Mungu wa Israeli, kwani amekuja kuwasaidia na kuwakomboa 3 Luke 4 18 | Roho wa Bwana yu juu yangu, kwani amenipaka mafuta niwahubirie 4 Luke 5 37 | katika viriba vikuukuu; kwani hiyo divai mpya itavipasua 5 Luke 5 39 | baada ya kunywa ya zamani, kwani husema: `Ile ya zamani ni 6 Luke 9 50 | akamwambia, "Msimkataze; kwani asiyepingana nanyi yuko 7 Luke 22 45 | wake, akawakuta wamelala, kwani walikuwa na huzuni.~ 8 John 3 19 | wakapenda giza kuliko mwanga, kwani matendo yao ni maovu.~ 9 John 5 14 | amekwisha ondoka mahali hapo, kwani palikuwa na umati mkubwa 10 John 6 6 | hivyo kwa kumjaribu Filipo, kwani alijua mwenyewe atakalofanya.)~ 11 John 6 38 | 38 kwani nimeshuka kutoka mbinguni 12 John 6 64 | wasioamini." (Yesu alisema hivyo kwani alijua tangu mwanzo ni kina 13 John 8 29 | yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."~ 14 John 8 44 | hana msimamo katika ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake. 15 John 9 22 | waliwaogopa viongozi wa Wayahudi kwani viongozi hao walikuwa wamepatana 16 John 10 4 | mbele nao kondoo humfuata, kwani wanaijua sauti yake.~ 17 John 10 17 | 17 "Baba ananipenda kwani nautoa uhai wangu ili nipate 18 John 12 39 | Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya tena alisema:~ 19 John 15 21 | kwa sababu ya jina langu, kwani hawamjui yeye aliyenituma.~ 20 John 18 2 | Yesu, alipajua mahali hapo kwani mara nyingi Yesu alikutana 21 Acts 1 5 | 5 Kwani Yohane alibatiza kwa maji, 22 Acts 2 6 | lilikusanyika. Wote walishtuka sana kwani kila mmoja wao aliwasikia 23 Acts 5 41 | halmashauri wakiwa wamejaa furaha, kwani walistahili kuaibishwa kwa 24 Acts 16 6 | sehemu za Frugia na Galatia kwani Roho Mtakatifu hakuwaruhusu 25 Acts 21 38 | 38 Kwani wewe si yule Mmisri ambaye 26 Roma 6 14 | haitawatawala ninyi tena, kwani hamko chini ya Sheria, bali 27 Roma 8 27 | anajua fikira ya huyo Roho; kwani huyo Roho huwaombea watu 28 Roma 10 12 | Jambo hili ni kwa wote, kwani hakuna tofauti kati ya Wayahudi 29 1Cor 1 6 | 6 kwani, ujumbe juu ya Kristo umethibitishwa 30 1Cor 3 2 | na si kwa chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. 31 1Cor 3 19 | upumbavu mbele ya Mungu. Kwani Maandiko Matakatifu yasema: " 32 1Cor 4 15 | baba yenu ni mmoja tu, kwani katika maisha ya Kikristo 33 1Cor 9 10 | yaliandikwa kwa ajili yetu; kwani yule anayelima na yule anayevuna, 34 1Cor 16 10 | yoyote wakati yupo kati yenu, kwani anafanya kazi ya Bwana kama 35 Colo 3 9 | 9 Msiambiane uongo, kwani ninyi mmekwisha vua ule 36 Colo 3 14 | yote, zingatieni upendo kwani upendo huunganisha kila 37 Colo 3 18 | mama, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana.~ 38 1The 2 4 | daima kama atakavyo Mungu kwani yeye alituona kwamba tunafaa, 39 1The 3 8 | 8 kwani sasa tunaishi kweli ikiwa 40 1The 5 24 | anayewaita ninyi atafanya hivyo kwani ni mwaminifu.~ 41 2The 1 3 | Inafaa kwetu kufanya hivyo kwani imani yenu inakua sana na 42 2The 1 10 | pia mtakuwa miongoni mwao, kwani mmeuamini ule ujumbe tuliowaletea.~ 43 1Tim 4 10 | na kufanya kazi kwa bidii kwani tumemwekea tumaini letu 44 1Tim 5 4 | wazazi wao na wazee wao, kwani hilo ni jambo la kupendeza 45 1Tim 5 11 | Usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile 46 1Tim 5 23 | kwa ajili ya tumbo lako, kwani unaugua mara kwa mara.~ 47 1Tim 6 2 | ni Wakristo wasiwadharau kwani ni ndugu zao. Badala yake, 48 2Tim 1 12 | niko bado timamu kabisa kwani namjua yule niliyemwamini, 49 2Tim 2 7 | Fikiria hayo ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uyaelewe 50 2Tim 2 16 | kidunia na ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu 51 2Tim 2 25 | anapowaonya wapinzani wake, kwani huenda Mungu akawajalia 52 Titus 1 11| Lazima kukomesha maneno yao, kwani wanavuruga jumuiya nzima 53 Phil 1 10 | ni mwanangu katika Kristo kwani nimekuwa baba yake nikiwa 54 Phil 1 14 | kukulazimisha unisaidie, kwani wema wako unapaswa kutokana 55 Phil 1 22 | hayo, nitayarishie chumba kwani natumaini kwamba kwa sala 56 Hebr 4 7 | 7 Jambo hili ni wazi, kwani Mungu aliweka siku nyingine 57 Hebr 8 4 | asingekuwa kamwe kuhani, kwani wako makuhani wengine wanaotoa 58 Hebr 8 6 | na Mungu ni bora zaidi, kwani lina msingi wake katika 59 Hebr 9 10 | 10 kwani haya yote yanahusika na 60 Hebr 9 15 | walizoahidiwa. Watazipata, kwani kifo kimetokea ambacho huwakomboa 61 Hebr 9 17 | kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa 62 Hebr 10 25 | Bali tunapaswa kusaidiana kwani, kama mwonavyo, Siku ile 63 Hebr 11 27 | na wala hakurudi nyuma, kwani alikuwa kama mtu aliyemwona 64 Hebr 12 7 | 7 Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea 65 Hebr 12 20 | 20 kwani hawakuweza kustahimili amri 66 Hebr 12 28 | Sisi basi, na tushukuru kwani tunapokea utawala usiotikisika. 67 James 1 3 | 3 kwani mwajua kwamba imani yenu 68 James 1 5 | Mungu ambaye atampatia; kwani Mungu huwapa wote kwa wingi 69 James 1 12| mwaminifu katika majaribu, kwani akisha stahimili atapewa 70 1Pet 3 2 | 2 kwani wataona jinsi mwenendo wenu 71 1Joh 2 13 | Nawaandikieni ninyi kina baba kwani mnamjua yeye ambaye amekuwako 72 1Joh 3 1 | ulimwengu haututambui sisi, kwani haumjui Mungu.~ 73 1Joh 3 2 | atakapotokea, tutafanana naye kwani tutamwona vile alivyo.~ 74 1Joh 3 16 | tumepata kujua upendo ni nini, kwani Kristo aliyatoa maisha yake 75 1Joh 4 5 | nao ulimwengu huwasikiliza kwani wao ni wa ulimwengu.~ 76 1Joh 4 13 | anaishi katika umoja nasi, kwani yeye ametupa Roho wake.~ 77 1Joh 4 17 | ujasiri Siku ile ya Hukumu; kwani maisha yetu hapa duniani 78 1Joh 4 18 | hajakamilika bado katika upendo, kwani uoga huhusikana na adhabu.~ 79 1Joh 5 6 | anashuhudia kwamba ni kweli, kwani Roho ni ukweli.~ 80 1Joh 5 14 | tuko thabiti mbele ya Mungu kwani tuna hakika kwamba tukimwomba 81 Rev 18 24 | 24 Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya 82 Rev 19 7 | kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa arusi ya Mwanakondoo 83 Rev 22 14 | wale wanaoosha mavazi yao, kwani watakuwa na haki ya kula


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License