Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
uongozwe 1
uovu 37
upana 2
upande 82
upanga 29
upatanishwe 1
upatao 3
Frequency    [«  »]
82 kidogo
82 kwenda
82 mema
82 upande
81 36
81 ingawa
81 simoni

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

upande

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 9 | nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia 2 Matt 10 30| 30 Lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa 3 Matt 16 5 | wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta 4 Matt 20 21| wanangu wawili watakaa mmoja upande wako wa kulia na mwingine 5 Matt 20 21| wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto."~ 6 Matt 22 44| alimwambia Bwana wangu: ~ keti upande wangu wa kulia, ~ mpaka 7 Matt 25 33| 33 Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande 8 Matt 25 33| upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto.~ 9 Matt 25 34| Mfalme atawaambia wale walio upande wake wa kulia, `Njoni enyi 10 Matt 25 41| Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, `Ondokeni 11 Matt 26 64| mtamwona Mwana wa Mtu ameketi upande wa kulia wa Mwenyezi, akija 12 Matt 27 38| walisulubishwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande 13 Matt 27 38| upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.~ 14 Mark 1 45| wakamwendea kutoka kila upande.~ ~~ ~ 15 Mark 5 21| 21 Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. 16 Mark 5 24| wakawa wanamsonga kila upande.~ 17 Mark 9 40| asiyepingana nasi, yuko upande wetu.~ 18 Mark 10 37| Uturuhusu tuketi mmoja upande wako wa kulia na mwingine 19 Mark 10 37| wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto katika utukufu 20 Mark 12 36| alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia, Mpaka nitakapowaweka 21 Mark 14 62| mtamwona Mwana wa Mtu amekaa upande wa kulia wa Mwenyezi, akija 22 Mark 15 27| wanyang`anyi wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine 23 Mark 15 27| wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto.*fh* Matakatifu 24 Mark 16 5 | aliyevaa vazi jeupe, ameketi upande wa kulia; wakashangaa sana.~ 25 Mark 16 19| akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.~ 26 Luke 1 11| akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya 27 Luke 8 40| 40 Yesu aliporudi upande mwingine wa ziwa, kundi 28 Luke 8 42| watu wakawa wanamsonga kila upande.~ 29 Luke 9 50| asiyepingana nanyi yuko upande wenu."~ 30 Luke 12 54| Mnapoona mawingu yakitokea upande wa magharibi, mara mwasema: ` 31 Luke 17 24| ghafla na kuangaza anga upande mmoja hadi mwingine, ndivyo 32 Luke 20 42| alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia~ 33 Luke 22 69| Mwana wa Mtu atakuwa ameketi upande wa kulia wa Mungu Mwenyezi."~ 34 Luke 23 33| wale wahalifu wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine 35 Luke 23 33| wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto.~ 36 John 6 22| umati wa watu wale waliobaki upande wa pili wa ziwa walitambua 37 John 19 18| watu wengine wawili; mmoja upande wake wa kulia na mwingine 38 John 19 18| wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto, naye Yesu 39 John 21 6 | akawaambia, "Tupeni wavu upande wa kulia wa mashua nanyi 40 Acts 2 25| mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia, na hivyo 41 Acts 2 33| Yesu aliinuliwa juu mpaka upande wa kulia wa Mungu, akapokea 42 Acts 2 34| alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia,~ 43 Acts 5 23| Tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. 44 Acts 5 31| aliyekwezwa na Mungu mpaka upande wake wa kulia, akawa kiongozi 45 Acts 7 55| wa Mungu na Yesu amekaa upande wa kulia wa Mungu.~ 46 Acts 7 56| na Mwana wa Mtu amesimama upande wa kulia wa Mungu."~ 47 Acts 12 20| kwanza kumpata Blasto awe upande wao. Blasto alikuwa msimamizi 48 Acts 13 6 | 6 Walitembea toka upande mmoja wa kisiwa mpaka Pafo 49 Acts 13 6 | mmoja wa kisiwa mpaka Pafo upande wa pili, na huko walimkuta 50 Acts 14 4 | Wayahudi, na wengine walikuwa upande wa mitume.~ 51 Acts 18 10| mjini pana watu wengi walio upande wangu."~ 52 Acts 21 3 | tuliweza kuona Kupro, tulipitia upande wake wa kusini tukaelekea 53 Acts 25 26| 26 Kwa upande wangu sina habari kamili 54 Acts 27 4 | kutujia kwa mbele, tulipitia upande wa kisiwa cha Kupro ambapo 55 Acts 27 7 | moja kwa moja tukapitia upande wa Krete karibu na rasi 56 Acts 27 30| wanakwenda kuteremsha nanga upande wa mbele wa meli.~ 57 Roma 3 2 | Naam, iko faida kwa kila upande. Kwanza, Mungu aliwakabidhi 58 Roma 3 7 | ukosefu wa uaminifu kwa upande wangu unamdhihirisha Mungu 59 Roma 8 31| zaidi? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, nani awezaye kutupinga?~ 60 Roma 8 34| alifufuka kutoka wafu na anakaa upande wa kulia wa Mungu. Yeye 61 Roma 12 18| Kadiri inavyowezekana kwa upande wenu, muwe na amani na watu 62 1Cor 5 3 | 3 Nami, kwa upande wangu, ingawa kwa mwili 63 2Cor 6 7 | Uadilifu ndiyo silaha yetu upande wa kulia na upande wa kushoto.~ 64 2Cor 6 7 | yetu upande wa kulia na upande wa kushoto.~ 65 2Cor 6 12| ninyi wenyewe, na si kwa upande wetu.~ 66 2Cor 7 5 | hatukuweza kupumzika. Kila upande tulikabiliwa na taabu: nje 67 2Cor 12 13| isipokuwa tu kwamba mimi kwa upande wangu sikuwasumbueni kupata 68 Gala 5 5 | 5 Kwa upande wetu, lakini, sisi tunatumaini 69 Gala 5 11| 11 Na kwa upande wangu, ndugu zangu, kama 70 Colo 3 1 | kule Kristo aliko, ameketi upande wa kulia wa Mungu.~ 71 2Tim 4 6 | 6 Kwa upande wangu mimi, niko karibu 72 2Tim 4 16| kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu; wote waliniacha. 73 Hebr 1 3 | aliketi huko juu mbinguni, upande wa kulia wa Mungu Mkuu.~ 74 Hebr 1 13| mmoja wa malaika wake: "Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke 75 Hebr 8 1 | namna hiyo, ambaye anaketi upande wa kulia wa kiti cha enzi 76 Hebr 10 12| ifaayo milele, kisha akaketi upande wa kulia wa Mungu.~ 77 Hebr 12 2 | aibu yake, na sasa anaketi upande wa kulia wa kiti cha enzi 78 1Pet 3 22| mbinguni na sasa amekaa upande wa kulia wa Mungu, anatawala 79 1Joh 2 27| 27 Lakini, kwa upande wenu ninyi, Kristo aliwamiminieni 80 Rev 5 6 | amesimama, akizungukwa kila upande na vile viumbe hai vinne, 81 Rev 21 13 | 13 Kila upande ulikuwa na milango mitatu: 82 Rev 21 13 | ulikuwa na milango mitatu: upande wa mashariki, milango mitatu,


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License