Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 16 | ili wayaone matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye
2 Matt 6 1 | msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane
3 Matt 7 11 | atafanya zaidi: atawapa mema wale wanaomwomba.~
4 Matt 7 17 | mti mwema huzaa matunda mema, na mti mbaya huzaa matunda
5 Matt 7 18 | mbaya hauwezi kuzaa matunda mema.~
6 Matt 7 19 | Kila mti usiozaa matunda mema utakatwa na kutupwa motoni.~
7 Matt 12 12 | Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato."~
8 Matt 12 33 | na matunda yake yatakuwa mema; ufanyeni kuwa mbaya na
9 Matt 12 34 | Mnawezaje kusema mambo mema hali ninyi ni waovu? Maana
10 Matt 12 35 | 35 Mtu mwema hutoa mambo mema katika hazina yake njema;
11 Luke 1 53 | Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaacha waende
12 Luke 6 27 | wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni.~
13 Luke 6 33 | 33 Tena, kama mkiwatendea mema wale tu wanaowatendeeni
14 Luke 6 33 | wale tu wanaowatendeeni mema, mtapata tuzo gani? Hata
15 Luke 6 35 | adui zenu, na kuwatendea mema; kopesheni bila kutazamia
16 Luke 6 45 | 45 Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutoka katika hazina bora
17 Luke 16 25 | mwanangu, kwamba ulipokea mema yako katika maisha, naye
18 John 5 30 | watafufuka: wale waliotenda mema watafufuka na kuishi, na
19 Acts 9 36 | mwanamke alikuwa akitenda mema na kuwasaidia maskini daima.~
20 Acts 10 38 | alikwenda huko na huko akitenda mema na kuwaponya wote waliokuwa
21 Acts 14 17 | kujidhihirisha kwa mambo mema anayowatendea: huwanyeshea
22 Roma 1 13 | Ningependa kupata mafanikio mema kati yenu kama nilivyopata
23 Roma 2 7 | Wale wanaozingatia kutenda mema, kutafuta utukufu na heshima
24 Roma 2 10 | na amani wale wanaotenda mema; Wayahudi kwanza, na watu
25 Roma 3 8 | tufanye maovu ili tupate mema! Ndivyo wengine walivyotukashifu
26 Roma 3 12 | wamekosa; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.~
27 Roma 7 4 | ili tupate kuzaa matunda mema kwa ajili ya Mungu.~
28 Roma 8 32 | hivyo, je, hatatujalia pia mema yote?~
29 Roma 12 17 | kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote.~
30 Roma 13 3 | mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu;~
31 Roma 16 19 | muwe na hekima katika mambo mema, na bila hatia kuhusu mambo
32 2Cor 5 10 | alipokuwa anaishi duniani, mema au mabaya.~
33 2Cor 8 7 | elimu; bidii yote ya kutenda mema, na upendo wenu kwetu. Hivyo,
34 2Cor 13 7 | faulu, bali mpate kutenda mema, hata kama sisi tunaonekana
35 Gala 4 18 | kuwahangaikia wengine katika mambo mema, na si tu wakati mimi nipo
36 Gala 6 9 | Basi, tusichoke kutenda mema; maana tusipolegea tutavuna
37 Gala 6 10 | wakati, tuwatendee watu wote mema, na hasa ndugu wa imani
38 Ephe 2 10 | kuishi maisha ya matendo mema aliyotutayarishia tuyatende.~
39 Ephe 6 8 | kila mtu mwenye kutenda mema, awe mtumwa au mtu huru,
40 Colo 1 10 | ya kila namna ya matendo mema na mtazidi kukua katika
41 Colo 4 6 | yenu yanapaswa kuwa daima mema na ya kuvutia, na mnapaswa
42 1The 5 15 | nia yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema
43 1The 5 15 | mema daima na kuwatendea mema watu wote.~
44 2The 1 11 | atimize nia yenu ya kutenda mema na kukamilisha kazi yenu
45 2The 2 17 | kutenda na kusema yaliyo mema.~ ~
46 2The 3 13 | ndugu, msichoke kutenda mema.~
47 1Tim 2 10 | 10 bali kwa matendo mema kama iwapasavyo wanawake
48 1Tim 5 10 | aliyejitolea kufanya mambo mema.~
49 1Tim 5 25 | 25 Vivyo hivyo, matendo mema huonekana waziwazi, na hata
50 1Tim 6 18 | 18 Waamuru watende mema, wawe matajiri katika matendo
51 1Tim 6 18 | matajiri katika matendo mema, na wawe wakarimu na walio
52 Titus 1 8 | mkarimu na anayependa mambo mema. Anapaswa kuwa mtu mtaratibu,
53 Titus 2 3 | Wanapaswa kufundisha mambo mema,~
54 Titus 2 7 | unapaswa kuwa mfano wa matendo mema. Uwe mnyofu na uwe na uzito
55 Titus 2 14| walio na hamu ya kutenda mema.~
56 Titus 3 1 | namna kutenda mambo yote mema.~
57 Titus 3 8 | wakati wao katika kutenda mema, ambayo ni mambo mazuri
58 Titus 3 14| wakati wao katika kutenda mema ili wasaidie katika mahitaji
59 Hebr 5 14 | ambao wanaweza kubainisha mema na mabaya.~ ~~ ~
60 Hebr 9 11 | Kuhani Mkuu wa mambo yaliyo mema, ambayo sasa yamekwisha
61 Hebr 10 1 | halisi: ni kivuli tu cha mema yanayokuja. Dhabihu zilezile
62 Hebr 10 24 | ya kupendana na kutenda mema.~
63 Hebr 12 24 | iliyomwagika inasema mambo mema zaidi kuliko ile ya Abeli.~
64 Hebr 13 16 | 16 Msisahau kutenda mema na kusaidiana, maana hizi
65 James 3 13| mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu
66 James 3 17| huzaa matunda ya matendo mema; haina ubaguzi wala unafiki.~
67 1Pet 2 12 | waweze kutambua matendo yenu mema na hivyo wamtukuze Mungu
68 1Pet 2 14 | wahalifu na kuwasifu watendao mema.~
69 1Pet 2 15 | wasio na akili kwa matendo mema mnayofanya.~
70 1Pet 2 20 | mateso hata ingawa mmetenda mema, Mungu atawapeni baraka
71 1Pet 3 6 | binti zake kama mkitenda mema bila kuogopa tisho lolote.~
72 1Pet 3 11 | ajiepushe na uovu, atende mema, atafute amani na kuizingatia.~
73 1Pet 3 13 | kama mkizingatia kutenda mema?~
74 1Pet 3 14 | kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, basi, mna heri. Msimwogope
75 1Pet 3 17 | kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, kama Mungu akipenda, kuliko
76 1Pet 4 19 | wanapaswa, kwa matendo yao mema, kujiweka chini ya Muumba
77 1Joh 3 12 | yale ya ndugu yake yalikuwa mema!~
78 3Joh 1 2 | wangu, nakutakia mafanikio mema ya kila aina; nakutakia
79 3Joh 1 11 | mfano mwema. Kila atendaye mema ni wa Mungu; lakini anayetenda
80 Rev 19 8 | ya kitani safi ni matendo mema ya watu wa Mungu.)~
81 Rev 22 11 | kuwa mchafu. Mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na
82 Rev 22 11 | kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi
|