Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 21| 21 Alipokwenda mbele kidogo, aliwaona ndugu wengine
2 Matt 25 8 | busara: `Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.`~
3 Matt 26 39| 39 Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali: "
4 Matt 26 73| 73 Baadaye kidogo, watu waliokuwa pale wakamwendea
5 Mark 1 19| 19 Alipokwenda mbele kidogo, aliwaona Yakobo na Yohane,
6 Mark 6 31| kula chakula, mkapumzike kidogo."~
7 Mark 14 35| 35 Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi,
8 Mark 14 70| Petro akakana tena. Baadaye kidogo, watu waliokuwa wamesimama
9 Luke 4 35| akamtoka bila kumdhuru hata kidogo.~
10 Luke 5 3 | Simoni aisogeze majini, mbali kidogo na ukingo wa ziwa. Akaketi,
11 Luke 7 11| 11 Baadaye kidogo Yesu alikwenda katika mji
12 Luke 7 47| mkubwa. Mwenye kusamehe kidogo, hupenda kidogo."~
13 Luke 7 47| kusamehe kidogo, hupenda kidogo."~
14 Luke 12 48| adhabu bila kujua, atapigwa kidogo. Aliyepewa vingi atatakiwa
15 Luke 12 51| kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano.~
16 Luke 18 34| Lakini wao hawakuelewa hata kidogo jambo hilo; walikuwa wamefichwa
17 Luke 20 16| Hasha! Yasitukie hata kidogo!"~
18 Luke 22 58| 58 Baadaye kidogo, mtu mwingine akamwona Petro,
19 Luke 23 40| Wewe humwogopi Mungu hata kidogo? Wewe umepata adhabu hiyohiyo.~
20 John 6 7 | ila mmoja atapata kipande kidogo tu!"~
21 John 14 19| 19 Bado kidogo nao ulimwengu hautaniona
22 John 16 16| 16 "Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada
23 John 16 16| hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona!"~
24 John 16 17| anapotwambia: `Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada
25 John 16 17| hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?` Tena anasema: `
26 John 16 18| anaposema: `Bado kitambo kidogo?` Hatuelewi anaongelea nini."~
27 John 16 19| niliyosema: `Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada
28 John 16 19| hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?`~
29 Acts 5 36| 36 Zamani kidogo, kulitokea mtu mmoja jina
30 Acts 8 32| naye hakutoa sauti hata kidogo.~
31 Acts 16 37| kutufungulia kwa siri! Hata kidogo! Ni lazima wao wenyewe waje
32 Acts 18 17| hakujali kitendo hicho hata kidogo.~
33 Acts 19 26| iliyotengenezwa na watu si miungu hata kidogo.~
34 Acts 20 20| Mnajua kwamba sikusita hata kidogo kuwahubiria hadharani na
35 Acts 20 27| Kwa maana sikusita hata kidogo kuwatangazieni azimio lote
36 Acts 26 28| Agripa akamjibu Paulo, "Kidogo tu utanifanya Mkristo!"~
37 Acts 27 16| kiitwacho Kanda kilitukinga kidogo na ule upepo; na tulipopita
38 Acts 28 5 | motoni na hakuumizwa hata kidogo.~
39 Roma 3 4 | 4 Hata kidogo! Mungu hubaki mwaminifu
40 Roma 3 6 | 6 Hata kidogo! Ingekuwa hivyo, Mungu angewezaje
41 Roma 3 9 | zaidi kuliko wengine? Hata kidogo! Kwa maana nimekwisha bainisha
42 Roma 3 31| kuibatilisha Sheria? Hata kidogo; bali tunaipa Sheria thamani
43 Roma 6 2 | 2 Hata kidogo! Kuhusu dhambi sisi tumekufa -
44 Roma 6 15| bali chini ya neema? Hata kidogo!~
45 Roma 7 7 | kwamba Sheria ni dhambi? Hata kidogo! Lakini bila Sheria, mimi
46 Roma 7 13| kimesababisha kifo changu? Hata kidogo! Iliyo ni kwamba, dhambi,
47 Roma 9 14| Mungu amekosa haki? Hata kidogo!~
48 Roma 11 1 | amewakataa watu wake? Hata kidogo! Mini binafsi ni Mwisraeli
49 Roma 11 11| wakaangamia kabisa? Hata kidogo! Kutokana na kosa lao ukombozi
50 Roma 14 15| mapendo. Usikubali hata kidogo chakula chako kiwe sababu
51 1Cor 5 6 | Je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge lote la
52 1Cor 6 15| ya mwili wa kahaba? Hata kidogo!~
53 1Cor 10 20| 20 Hata kidogo! Ninachosema ni kwamba tambiko
54 1Cor 11 17| maagizo haya, siwezi hata kidogo kuwapa ninyi hongera kuhusu
55 2Cor 4 17| 17 Taabu tunayopata ni kidogo, tena ya muda tu: lakini
56 2Cor 8 15| ziada, na yule aliyekusanya kidogo hakupungukiwa."~
57 2Cor 9 6 | 6 Kumbukeni: "Apandaye kidogo huvuna kidogo; apandaye
58 2Cor 9 6 | Apandaye kidogo huvuna kidogo; apandaye kwa wingi huvuna
59 2Cor 10 8 | hata hivyo sijutii hata kidogo.~
60 2Cor 11 1 | 1 Laiti mngenivumilia kidogo, hata kama mimi ni mjinga
61 2Cor 11 1 | fulani! Naam, nivumilieni kidogo.~
62 2Cor 11 16| kuwa na cha kujivunia angaa kidogo.~
63 2Cor 12 6 | singekuwa mpumbavu hata kidogo, maana ningekuwa nasema
64 2Cor 12 15| roho zenu. Je, mtanipenda kidogo ati kwa kuwa mimi nawapenda
65 Gala 2 5 | Hatukukubaliana nao hata kidogo ili ukweli wa Habari Njema
66 Gala 2 17| utendaji wa dhambi? Hata kidogo!~
67 Gala 3 21| na ahadi za Mungu? Hata kidogo! Maana, kama kungalitolewa
68 Gala 5 9 | 9 "chachu kidogo tu huchachusha donge lote
69 1The 2 4 | yetu kuwapendeza watu hata kidogo, bali twataka kumpendeza
70 1Tim 5 23| maji tu, bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako,
71 Hebr 2 7 | 7 Ulimfanya kwa kitambo kidogo kuwa chini zaidi kuliko
72 Hebr 2 9 | ambaye alifanywa kwa kitambo kidogo kuwa chini zaidi kuliko
73 Hebr 7 7 | 7 Hakuna mashaka hata kidogo kwamba anayebariki ni mkuu
74 Hebr 10 37| yasemavyo Maandiko: "Bado kidogo tu, na yule anayekuja, atakuja,
75 Hebr 11 25| raha ya dhambi kwa kitambo kidogo.~
76 James 3 5| ulimi, ingawa ni kiungo kidogo cha mwili, hujisifia makuu
77 1Pet 1 6 | ijapokuwa sasa, kwa kitambo kidogo, itawabidi kuhuzunika kwa
78 Rev 2 10 | 10 Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu
79 Rev 7 1 | dunia ili upepo usivume hata kidogo: wala katika nchi, wala
80 Rev 10 2 | Mikononi mwake alishika kitabu kidogo kimefunguliwa. Aliweka mguu
81 Rev 10 9 | nikamwambia anipe hicho kitabu kidogo. Naye akaniambia, "Kichukue,
82 Rev 10 10 | nikakichukua kitabu hicho kidogo kutoka mkononi mwa huyo
|