Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 16| waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika
2 Matt 4 16| giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!"~
3 Matt 5 14| 14 "Ninyi ni mwanga wa ulimwengu! Mji uliojengwa
4 Matt 5 16| 16 Vivyo hivyo, ni lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu,
5 Matt 6 22| wako wote utakuwa katika mwanga.~
6 Matt 6 23| katika giza. Basi, ikiwa mwanga ulioko ndani yako ni giza,
7 Matt 10 27| katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinong`
8 Luke 2 32| 32 Mwanga utakaowaangazia watu wa
9 Luke 8 16| wanapoingia ndani wapate kuona mwanga.~
10 Luke 11 33| wanaoingia ndani wapate kuona mwanga.~
11 Luke 11 34| wako wote utakuwa katika mwanga. Jicho lako likiwa bovu,
12 Luke 11 35| 35 Uwe mwangalifu basi mwanga ulio ndani yako usije ukawa
13 Luke 11 36| kama mwili wako wote una mwanga, bila kuwa na sehemu yoyote
14 Luke 11 36| taa inavyokuangazia kwa mwanga wake."~
15 Luke 12 3 | watu watayasikia katika mwanga, na kila mliyonong`ona faraghani
16 Luke 16 8 | mambo yao kuliko watu wa mwanga."~
17 John 1 4 | uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu.~
18 John 1 5 | 5 Na mwanga huo huangaza gizani, nalo
19 John 1 7 | kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Alikuja ili kwa ujumbe
20 John 1 8 | 8 Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia
21 John 1 8 | kuwaambia watu juu ya huo mwanga.~
22 John 1 9 | 9 Huu ndio mwanga halisi, mwanga unaokuja
23 John 1 9 | Huu ndio mwanga halisi, mwanga unaokuja ulimwenguni, na
24 John 3 19| hukumu yenyewe ndiyo hii: Mwanga umekuja ulimwenguni lakini
25 John 3 19| watu wakapenda giza kuliko mwanga, kwani matendo yao ni maovu.~
26 John 3 20| atendaye maovu anauchukia mwanga, wala haji kwenye mwanga,
27 John 3 20| mwanga, wala haji kwenye mwanga, maana hapendi matendo yake
28 John 3 21| kuuzingatia ukweli huja kwenye mwanga, ili matendo yake yaonekane
29 John 5 36| mlikuwa tayari kufurahia mwanga huo kwa kitambo.~
30 John 8 12| aliwaambia, "Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu. Anayenifuata
31 John 8 12| gizani, bali atakuwa na mwanga wa uzima."~
32 John 9 5 | ningali ulimwenguni, mimi ni mwanga wa ulimwengu."~
33 John 11 9 | kujikwaa kwa kuwa anauona mwanga wa ulimwengu huu.~
34 John 11 10| usiku atajikwaa kwa maana mwanga haumo ndani yake."~
35 John 12 35| 35 Yesu akawaambia, "Mwanga bado uko nanyi kwa muda
36 John 12 35| Tembeeni mngali mnao huo mwanga ili giza lisiwapate; maana
37 John 12 36| 36 Basi, wakati mnao huo mwanga uaminini ili mpate kuwa
38 John 12 36| uaminini ili mpate kuwa watu wa mwanga." Baada ya kusema maneno
39 John 12 46| 46 Mimi ni mwanga, nami nimekuja ulimwenguni
40 Acts 9 3 | karibu kufika Damasko, ghafla mwanga kutoka angani ulimwangazia
41 Acts 12 7 | akasimama karibu naye na mwanga ukaangaza kile chumba cha
42 Acts 13 11| kipofu na hutaweza kuuona mwanga wa jua kwa kitambo." Mara
43 Acts 13 47| hivi: `Nimekuteua wewe uwe mwanga kwa mataifa, uwe njia ya
44 Acts 22 9 | Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti
45 Acts 22 11| 11 Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na
46 Acts 26 13| saa sita mchana, niliona mwanga mkubwa kuliko wa jua ukiangaza
47 Acts 26 18| gizani na kuingia katika mwanga; watoke katika utawala wa
48 Acts 26 23| wafu, ili atangaze kwamba mwanga wa ukombozi unawaangazia
49 Roma 2 19| kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;~
50 Roma 13 12| tukajitwalie silaha za mwanga.~
51 2Cor 4 4 | zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu
52 2Cor 4 6 | 6 Mungu ambaye alisema, "Mwanga na uangaze kutoka gizani,"
53 2Cor 4 6 | mioyo yetu, na kutupatia mwanga wa ujuzi wa utukufu wa Mungu
54 2Cor 6 14| na uovu vyapatana kweli? Mwanga na giza vyawezaje kukaa
55 2Cor 11 14| hujisingizia kuwa malaika wa mwanga!~
56 Ephe 1 18| mioyo yenu iweze kuuona mwanga wake, mpate kutambua lile
57 Ephe 5 8 | lakini sasa ninyi mko katika mwanga kwa kuungana na Bwana. Ishini
58 Ephe 5 8 | Bwana. Ishini kama watoto wa mwanga:~
59 Ephe 5 9 | 9 maana matokeo ya mwanga ni wema kamili, uadilifu
60 Ephe 5 13| yale yanayotendwa katika mwanga, ukweli wake hudhihirishwa;~
61 Ephe 5 14| kilichodhihirishwa huwa mwanga. Ndiyo maana Maandiko yasema: "
62 Colo 1 12| watu wake katika utawala wa mwanga.~
63 1The 5 5 | ni watu mnaoishi katika mwanga, watu wa mchana. Sisi si
64 1Tim 6 16| yake anaishi milele, katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu.
65 Hebr 6 4 | hao walikwisha kuwa katika mwanga wa Mungu, walikwisha onja
66 Hebr 10 32| za kwanza mlipoangaziwa mwanga wa Mungu. Ingawa siku zile
67 1Pet 2 9 | gizani akawaingizeni katika mwanga wake mkuu.~
68 2Pet 1 19| ile itakapopambazuka na mwanga wa nyota ya asubuhi utakapong`
69 1Joh 1 5 | tunayowahubirieni ndiyo hii: Mungu ni mwanga na hamna giza lolote ndani
70 1Joh 1 7 | 7 Lakini tukiishi katika mwanga, kama naye alivyo katika
71 1Joh 1 7 | kama naye alivyo katika mwanga, basi tutakuwa na umoja
72 1Joh 2 8 | Maana giza linatoweka, na mwanga wa ukweli umekwisha anza
73 1Joh 2 9 | asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu
74 1Joh 2 10| ndugu yake, yuko katika mwanga, na hamna chochote ndani
75 Rev 8 12 | Theluthi moja ya mchana ikakosa mwanga, hali kadhalika na theluthi
76 Rev 18 23 | 23 Mwanga wa taa hautaonekana tena
77 Rev 21 24 | mataifa watatembea katika mwanga wake, na wafalme wa dunia
78 Rev 22 5 | tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, maana
|