Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
hekalu 62
hekaluni 68
hekeli 1
hekima 76
heli 2
hema 16
henoki 3
Frequency    [«  »]
77 zenu
76 38
76 akiwa
76 hekima
76 kuona
76 naam
76 pale

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

hekima

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 11 19 | na wahalifu!` Hata hivyo, hekima ya Mungu inathibitishwa 2 Matt 11 25 | maana umewaficha wenye hekima mambo haya, ukawafumbulia 3 Matt 12 42 | akaja kusikiliza maneno ya hekima ya Solomoni, na kumbe hapa 4 Matt 13 54 | wakasema, "Huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?~ 5 Matt 23 34 | ninyi manabii, watu wenye hekima ~na walimu; mtawaua na kuwasulubisha 6 Mark 6 2 | ameyapata wapi mambo haya? Ni hekima gani hii aliyopewa? Tena, 7 Luke 2 40 | akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa 8 Luke 2 47 | akili yake na majibu yake ya hekima.~ 9 Luke 2 52 | akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa 10 Luke 7 35 | 35 Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa 11 Luke 10 21 | kwa kuwa umewaficha wenye hekima na elimu mambo haya, ukawafumbulia 12 Luke 11 31 | akaja kusikiliza maneno ya hekima ya Solomoni; kumbe hapa 13 Luke 11 49 | 49 Kwa hiyo, Hekima ya Mungu ilisema hivi: ` 14 Luke 21 15 | nitawapeni ufasaha wa maneno na hekima, hivyo kwamba zenu hawataweza 15 Acts 6 3 | waliojawa na Roho na wenye hekima; nasi tutawakabidhi jukumu 16 Acts 6 10 | kumshinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu ya yule 17 Acts 7 10 | Mungu alimjalia fadhili na hekima mbele ya Farao, mfalme wa 18 Acts 7 22 | alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri 19 Roma 1 22 | 22 Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.~ 20 Roma 11 33 | 33 Utajiri, hekima na elimu ya Mungu ni kuu 21 Roma 12 16 | wadogo. Msijione kuwa wenye hekima sana.~ 22 Roma 16 19 | yangu. Nawatakeni muwe na hekima katika mambo mema, na bila 23 Roma 16 27 | Mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya 24 1Cor 1 19 | Matakatifu yasema: "Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, na elimu 25 1Cor 1 19 | Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, na elimu ya wataalamu nitaitupilia 26 1Cor 1 20 | 20 Yu wapi basi, mwenye hekima? Yu wapi basi, mwalimu wa 27 1Cor 1 20 | yuko wapi? Mungu ameifanya hekima ya ulimwengu kuwa upumbavu.~ 28 1Cor 1 21 | 21 Maana, kadiri ya hekima ya Mungu, watu hawawezi 29 1Cor 1 21 | kumjua Mungu kwa njia ya hekima yao wenyewe. Badala yake, 30 1Cor 1 21 | njia ya kile ambacho wenye hekima wanakiona kuwa ni upumbavu, 31 1Cor 1 22 | na Wagiriki wanatafuta hekima;~ 32 1Cor 1 24 | Kristo ni nguvu ya Mungu na hekima ya Mungu.~ 33 1Cor 1 25 | kina busara zaidi kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana 34 1Cor 1 26 | wengi wenu hawakuwa wenye hekima hata kwa fikira za binadamu; 35 1Cor 1 27 | upumbavu, ili awaaibishe wenye hekima; na aliyachagua yale ambayo 36 1Cor 1 30 | Mungu amemfanya Kristo awe hekima yetu; kwa njia yake sisi 37 1Cor 2 1 | ufasaha wa lugha, au kwa hekima ya binadamu.~ 38 1Cor 2 4 | maneno ya kuvutia na ya hekima, bali kwa uthibitisho mwingi 39 1Cor 2 5 | kutegemea nguvu ya Mungu, na si hekima ya binadamu.~ 40 1Cor 2 6 | sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; 41 1Cor 2 6 | waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, 42 1Cor 2 7 | 7 Hekima tunayotumia ni hekima ya 43 1Cor 2 7 | 7 Hekima tunayotumia ni hekima ya siri ya Mungu, hekima 44 1Cor 2 7 | hekima ya siri ya Mungu, hekima iliyofichika, ambayo Mungu 45 1Cor 2 8 | 8 Ni hekima ambayo watawala wa dunia 46 1Cor 2 13 | maneno tuliyofundishwa kwa hekima ya binadamu, bali kwa maneno 47 1Cor 3 18 | mwenu akijidhania mwenye hekima mtindo wa kidunia, heri 48 1Cor 3 18 | mjinga kusudi apate kuwa na hekima ya kweli.~ 49 1Cor 3 19 | 19 Maana, hekima ya kidunia ni upumbavu mbele 50 1Cor 3 19 | yasema: "Mungu huwanasa wenye hekima katika ujanja wao."~ 51 1Cor 3 20 | ajua kwamba mawazo ya wenye hekima hayafai."~ 52 1Cor 6 5 | mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha kuweza kutatua 53 1Cor 12 8 | Roho humpa mmoja ujumbe wa hekima, na mwingine ujumbe wa elimu 54 2Cor 1 12 | Mungu; hatukuongozwa na hekima ya kibinadamu bali neema 55 Ephe 1 8 | aliotukirimia bila kipimo! Kwa hekima na ujuzi wake wote~ 56 Ephe 1 17 | awajalieni Roho wake atakayewapa hekima na kuwafunulieni Mungu mpate 57 Ephe 3 10 | mbinguni wapate kuitambua hekima ya Mungu iliyo ya namna 58 Ephe 5 15 | wapumbavu, bali kama wenye hekima.~ 59 Colo 1 9 | mapenzi yake, awajazeni hekima yote na elimu iletwayo na 60 Colo 1 28 | na kuwafundisha wote kwa hekima yote, ili tuweze kumleta 61 Colo 2 3 | zimefichika hazina zote za hekima na elimu.~ 62 Colo 2 8 | kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo 63 Colo 2 23 | masharti hayo yaonekana kuwa ya hekima katika namna ya ibada ya 64 Colo 3 16 | Fundishaneni na kushauriana kwa hekima yote. Imbeni zaburi, nyimbo 65 Colo 4 5 | 5 Muwe na hekima katika uhusiano wenu na 66 2Tim 3 15 | ambayo yaweza kukupatia hekima iletayo wokovu kwa njia 67 James 1 5 | mmoja wenu ametindikiwa hekima, basi, anapaswa kumwomba 68 James 3 13| 13 Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? 69 James 3 13| yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima.~ 70 James 3 15| 15 Hekima ya namna hiyo haitoki juu 71 James 3 15| hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na 72 James 3 17| 17 Lakini hekima itokayo juu mbinguni, kwanza 73 2Pet 3 15 | alivyowaandikia akitumia hekima aliyopewa na Mungu.~ 74 Rev 5 12 | kupokea uwezo, utajiri, hekima, nguvu, utukufu na sifa."~ 75 Rev 7 12 | Amina! Sifa, utukufu, hekima, shukrani, heshima, uwezo 76 Rev 17 9 | Hapa panahitaji akili na hekima! Hivyo vichwa saba ni vilima


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License