Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
kuliko 149
kulikodisha 1
kulikufuru 1
kulikuwa 75
kulikuza 1
kulima 3
kulinda 1
Frequency    [«  »]
76 naam
76 pale
75 binadamu
75 kulikuwa
75 kwangu
75 macho
74 akamjibu

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

kulikuwa

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 17| 17 Basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne 2 Matt 8 30| 30 Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.~ 3 Matt 12 10| 10 Kulikuwa na mtu mmoja mwenye mkono 4 Matt 20 30| 30 Basi, kulikuwa na vipofu wawili wameketi 5 Matt 27 16| 16 Wakati huo kulikuwa na mfungwa mmoja, jina lake 6 Mark 5 11| 11 Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe 7 Mark 6 31| 31 Alisema hivyo kwa kuwa kulikuwa na watu wengi mno walikuwa 8 Mark 12 20| 20 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza 9 Mark 14 51| 51 Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa 10 Mark 15 7 | 7 Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, 11 Mark 15 33| sita mchana mpaka saa tisa kulikuwa giza nchini kote.~ 12 Mark 15 41| Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi 13 Luke 1 5 | alipokuwa mfalme wa Yudea, kulikuwa na kuhani mmoja jina lake 14 Luke 2 2 | 2 Kuandikishwa huku kulikuwa mara ya kwanza, wakati Kirenio 15 Luke 2 25| Wakati huo huko Yerusalemu kulikuwa na mtu mmoja, mwema na mcha 16 Luke 4 25| Lakini, sikilizeni! Kweli kulikuwa na wajane wengi katika nchi 17 Luke 4 27| Israeli nyakati za Elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi. Hata 18 Luke 4 33| Na katika lile sunagogi kulikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa 19 Luke 7 2 | 2 Huko kulikuwa na jemadari mmoja Mroma 20 Luke 7 37| 37 Basi, katika mji ule kulikuwa na mama mmoja aliyekuwa 21 Luke 8 32| 32 Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe 22 Luke 8 43| 43 Kulikuwa na mwanamke mmoja kati ya 23 Luke 12 16| Kisha akawaambia mfano: "Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye shamba 24 Luke 15 11| Yesu akaendelea kusema, "Kulikuwa na mtu mmoja mwenye wana 25 Luke 16 20| 20 Kulikuwa pia na maskini mmoja jina 26 Luke 18 2 | Alisema: "Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa 27 Luke 18 3 | 3 Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane, 28 Luke 18 35| Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi 29 Luke 19 2 | 2 Kulikuwa na mtu mmoja mjini, jina 30 Luke 19 12| 12 Hivyo akawaambia, "Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa 31 Luke 20 29| 29 Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza 32 Luke 23 50| 50 Kulikuwa na mtu mmoja jina lake Yosefu, 33 John 2 1 | 1 Siku ya tatu kulikuwa na arusi mjini Kana, mkoani 34 John 3 1 | 1 Kulikuwa na kiongozi mmoja Myahudi, 35 John 3 23| karibu na Salemu, maana huko kulikuwa na maji mengi. Watu walimwendea, 36 John 4 46| alipogeuza maji kuwa divai. Kulikuwa na ofisa mmoja aliyekuwa 37 John 5 1 | 1 Baada ya hayo kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi, 38 John 5 2 | uitwao Mlango wa Kondoo, kulikuwa na bwawa la maji liitwalo 39 John 6 22| wa ziwa walitambua kwamba kulikuwa na mashua moja tu pale, 40 John 7 12| 12 Kulikuwa na minong`ono mingi katika 41 John 10 22| 22 Huko Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya Kutabaruku. 42 John 12 20| 20 Kulikuwa na Wagiriki kadhaa miongoni 43 John 18 18| wamewasha moto kwa sababu kulikuwa na baridi, wakawa wanaota 44 John 19 41| na katika bustani hiyo kulikuwa na kaburi jipya ambalo hakutiwa 45 Acts 1 15| 15 Siku chache baadaye, kulikuwa na mkutano wa waumini, karibu 46 Acts 4 36| 36 Kulikuwa na Mlawi mmoja, mzaliwa 47 Acts 7 12| habari kwamba huko Misri kulikuwa na nafaka, aliwatuma watoto 48 Acts 8 9 | 9 Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Simoni 49 Acts 8 27| akaanza safari. Wakati huohuo kulikuwa na Mwethiopia mmoja, towashi, 50 Acts 9 10| 10 Basi, huko Damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye 51 Acts 9 36| 36 Kulikuwa na mfuasi mmoja mwanamke 52 Acts 10 1 | 1 Kulikuwa na mtu mmoja huko Kaisarea 53 Acts 10 12| 12 Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: 54 Acts 13 1 | Katika kanisa la Antiokia kulikuwa na watu wengine waliokuwa 55 Acts 14 8 | 8 Kulikuwa na mtu mmoja huko Lustra 56 Acts 17 1 | mpaka Thesalonika ambako kulikuwa na sunagogi la Wayahudi.~ 57 Acts 19 24| 24 Kulikuwa na mfua fedha mmoja aitwaye 58 Acts 20 8 | chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka.~ 59 Acts 22 12| 12 "Huko kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Anania, 60 Acts 24 19| 19 Lakini kulikuwa na Wayahudi wengine kutoka 61 Acts 28 2 | ilikuwa inaanza kunyesha na kulikuwa na baridi, hivyo waliwasha 62 Roma 4 11| baadaye, na kutahiriwa huko kulikuwa alama iliyothibitisha kwamba 63 2Cor 3 9 | 9 Ikiwa basi, kulikuwa na utukufu katika huduma 64 Gala 2 4 | 4 ingawa kulikuwa na ndugu wengine wa uongo 65 1The 2 2 | kwenu Thesalonike. Ingawa kulikuwa na upinzani mwingi, Mungu 66 1The 2 17| Ndugu, kuachana kwetu nanyi kulikuwa kwa muda tu, tena kuachana 67 1The 2 17| muda tu, tena kuachana huko kulikuwa kwa mwili tu na si kwa roho. 68 Hebr 9 3 | Nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali 69 Hebr 9 5 | 5 Juu ya hilo Sanduku kulikuwa na viumbe vilivyodhihirisha 70 Rev 1 13 | 13 na katikati yake kulikuwa na kitu kama mtu, naye alikuwa 71 Rev 4 4 | 4 Kulikuwa na duara la viti ishirini 72 Rev 4 6 | 6 Mbele ya kiti cha enzi kulikuwa na kitu kama bahari ya kioo, 73 Rev 4 7 | 7 Kiumbe cha kwanza kulikuwa kama simba, cha pili kama 74 Rev 14 14 | hapo. Na juu ya wingu hilo kulikuwa na kiumbe kama mtu. Alikuwa 75 Rev 22 2 | mji. Kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uzima unaozaa


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License