Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 4 | katika Maandiko Matakatifu: `Binadamu hataishi kwa mikate tu,
2 Matt 9 8 | wakamtukuza Mungu aliyewapa binadamu uwezo wa namna hiyo.~
3 Matt 16 17 | mwana wa Yona, kwa maana si binadamu aliyekufunulia ukweli huu,
4 Matt 19 6 | alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe."~
5 Matt 19 26 | akawatazama, akasema, "Kwa binadamu jambo hili haliwezekani,
6 Matt 24 22 | hazingalipunguzwa, hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka;
7 Mark 2 27 | Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili
8 Mark 2 27 | ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato!~
9 Mark 10 9 | alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe."~
10 Mark 10 27 | akawatazama, akawaambia, "Kwa binadamu haiwezekani, lakini kwa
11 Mark 13 20 | asingepunguza siku hizo, hakuna binadamu ambaye angeokolewa. Lakini
12 Luke 7 28 | kusema, "Nawaambieni, kati ya binadamu wote hakuna aliye mkubwa
13 Luke 18 2 | anamcha Mungu wala kumjali binadamu.~
14 Luke 18 4 | simchi Mungu wala simjali binadamu,~
15 Luke 18 27 | akajibu, "Yasiyowezekana kwa binadamu, yanawezekana kwa Mungu."~
16 Luke 20 6 | Na tukisema yalitoka kwa binadamu, watu wote hapa watatupiga
17 John 6 63 | Roho ndiye atiaye uzima; binadamu peke yake hawezi. Maneno
18 John 10 33 | kuwa Mungu hali wewe ni binadamu tu."~
19 Acts 2 17 | asema Bwana, nitawamiminia binadamu wote Roho wangu. Watoto
20 Acts 4 12 | kwa maana duniani pote, binadamu hawakupewa jina la mtu mwingine
21 Acts 5 29 | Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.~
22 Acts 5 38 | shughuli hii yao imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.~
23 Acts 7 48 | katika nyumba zilizojengwa na binadamu; kama nabii asemavyo:~
24 Acts 10 26 | Simama, kwa maana mimi ni binadamu tu."~
25 Acts 14 11 | imetujia katika sura za binadamu!"~
26 Acts 14 15 | mambo hayo? Sisi pia ni binadamu kama ninyi. Na, tuko hapa
27 Acts 17 29 | lililochongwa na kutiwa nakshi na binadamu.~
28 Acts 22 18 | upesi kwa maana watu wa hapa binadamu hawataukubali ushuhuda wako
29 Roma 1 18 | ya uasi na uovu wote wa binadamu ambao kwa njia zao mbaya
30 Roma 1 23 | wanaabudu sanamu zilizo mfano wa binadamu ambaye hufa, mfano wa wanyama,
31 Roma 2 9 | Mateso na maumivu yatampata binadamu yeyote atendaye uovu. Yatawapata
32 Roma 2 16 | atakapohukumu mambo ya siri ya binadamu kwa njia ya Yesu Kristo.~
33 Roma 3 4 | mwaminifu daima, ingawaje kila binadamu ni mwongo. Kama Maandiko
34 Roma 3 20 | 20 Maana hakuna binadamu yeyote anayekubaliwa kuwa
35 Roma 5 12 | kimeenea katika jumuiya yote ya binadamu, kwa maana wote wametenda
36 Roma 5 18 | mmoja lilivyoleta hukumu kwa binadamu wote, kadhalika kitendo
37 Roma 8 3 | kwa sababu ya udhaifu w binadamu. Mungu alimtuma Mwanae akiwa
38 Roma 9 12 | mwenyewe, na si matendo ya binadamu.~
39 Roma 9 20 | 20 Lakini, ewe binadamu, u nani hata uthubutu kumhoji
40 1Cor 1 25 | busara zaidi kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana kuwa
41 1Cor 1 25 | nguvu zaidi kuliko nguvu za binadamu.~
42 1Cor 1 26 | hekima hata kwa fikira za binadamu; wengi hawakuwa wenye nguvu
43 1Cor 1 28 | yale ambayo kwa fikira za binadamu ni mambo ya maana.~
44 1Cor 2 1 | lugha, au kwa hekima ya binadamu.~
45 1Cor 2 5 | ya Mungu, na si hekima ya binadamu.~
46 1Cor 2 9 | kuyasikia, mambo ambayo binadamu hajapata kuyafikiria moyoni,
47 1Cor 2 13 | tuliyofundishwa kwa hekima ya binadamu, bali kwa maneno tuliyofundishwa
48 1Cor 10 13 | mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. Mungu ni mwaminifu, naye
49 1Cor 15 39 | vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama
50 2Cor 5 19 | kutia maanani dhambi zao binadamu. Yeye ametupa ujumbe kuhusu
51 2Cor 12 4 | akasikia mambo ya siri ambayo binadamu hastahili kuyatamka.~
52 Gala 1 2 | si kutokana na mamlaka ya binadamu, wala si kwa nguvu ya mtu,
53 Gala 1 10 | nataka kibali cha nani: cha binadamu, ama cha Mungu? Au je, nataka
54 Gala 1 12 | mimi sikuipokea kutoka kwa binadamu, wala sikufundishwa na mtu.
55 Gala 1 16 | bila kutafuta maoni ya binadamu,~
56 Ephe 6 12 | vyenu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi
57 Colo 1 26 | ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini
58 1The 2 13 | si kama vile ujumbe wa binadamu, bali kama ujumbe wa Mungu,
59 1Tim 2 5 | anayewapatanisha watu na Mungu, binadamu Kristo Yesu,~
60 Hebr 1 3 | nguvu. Baada ya kuwapatia binadamu msamaha wa dhambi zao, aliketi
61 Hebr 8 2 | iliyojengwa na Bwana, siyo na binadamu. ic~
62 Hebr 13 6 | msaada wangu, sitaogopa. Binadamu atanifanya nini?"~
63 James 2 8 | Maandiko Matakatifu: "Mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda
64 James 3 7 | 7 Binadamu anaweza kuwafuga wanyama,
65 James 4 12| wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?~
66 James 5 17| 17 Eliya alikuwa binadamu kama sisi. Aliomba kwa moyo
67 1Pet 1 24 | Maandiko yasemavyo: "Kila binadamu ni kama nyasi, na utukufu
68 2Pet 1 21 | unaotokana na matakwa ya binadamu, bali watu walinena ujumbe
69 2Pet 2 16 | hasemi alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo
70 1Joh 4 2 | kwamba Kristo alikuja, akawa binadamu, mtu huyo anaye Roho wa
71 1Joh 5 9 | Ikiwa twaukubali ushahidi wa binadamu, ushahidi wa Mungu una uzito
72 2Joh 1 7 | Kristo amekuja kwetu akawa binadamu. Mtu asemaye hivyo ni mdanganyifu
73 Jude 1 15 | 15 kutoa hukumu juu ya binadamu wote, kuwahukumu wote kwa
74 Rev 9 7 | nyuso zao zilikuwa kama za binadamu.~
75 Rev 14 4 | Wamekombolewa kutoka miongoni mwa binadamu wengine, wakawa wa kwanza
|