Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 30| 30 Na kama mkono wako wa kulia unakukosesha,
2 Matt 8 3 | 3 Yesu akanyosha mkono wake, akamgusa na kusema, "
3 Matt 8 15| Yesu akamgusa huyo mama mkono, na homa ikamwacha; akasimama,
4 Matt 9 18| tafadhali njoo umwekee mkono wako naye ataishi."~
5 Matt 9 25| akamshika huyo msichana mkono, naye akasimama.~
6 Matt 12 10| Kulikuwa na mtu mmoja mwenye mkono uliopooza. Basi, watu wakamwuliza
7 Matt 12 13| akamwambia yule mtu, "Nyosha mkono wako." Akaunyosha, nao ukawa
8 Matt 12 49| 49 Kisha akaunyosha mkono wake kuelekea wanafunzi
9 Matt 14 31| 31 Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, "
10 Matt 18 8 | 8 "Kama mkono au mguu wako ukikukosesha,
11 Matt 18 8 | kuingia katika uzima bila mkono au mguu, kuliko kutupwa
12 Matt 26 51| pamoja na Yesu akanyosha mkono, akauchomoa upanga wake,
13 Matt 27 29| wakamwekea pia mwanzi katika mkono wake wa kulia. Wakapiga
14 Mark 1 31| akamwendea huyo mama, akamshika mkono, akamwinua. Na ile homa
15 Mark 1 41| akamwonea huruma, akanyosha mkono wake, akamgusa na kumwambia, "
16 Mark 3 1 | mlikuwa na mtu aliyekuwa na mkono uliopooza.~
17 Mark 3 3 | akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, "Njoo hapa katikati."~
18 Mark 3 5 | akamwambia huyo mtu, "Nyosha mkono wako!" Naye akaunyosha mkono
19 Mark 3 5 | mkono wako!" Naye akaunyosha mkono wake, ukawa mzima tena.~
20 Mark 5 41| 41 Kisha akamshika mkono, akamwambia, "Talitha, kumi,"
21 Mark 8 23| 23 Yesu akamshika mkono huyo kipofu, akampeleka
22 Mark 9 27| 27 Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.~
23 Mark 9 43| 43 Mkono wako ukikukosesha, ukate!
24 Mark 9 43| kuingia kwenye uzima bila mkono mmoja, kuliko kuwa na mikono
25 Luke 1 51| Amefanya mambo makuu kwa mkono wake: amewatawanya wenye
26 Luke 5 13| 13 Yesu akaunyosha mkono wake, akamgusa na kusema, "
27 Luke 6 6 | ndani mlikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umepooza.~
28 Luke 6 8 | akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, "Inuka, simama
29 Luke 6 10| akamwambia yule mtu, "Nyosha mkono wako." Naye akafanya hivyo,
30 Luke 6 10| Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.~
31 Luke 8 54| 54 Lakini Yesu akamshika mkono akasema, "Mtoto amka!"~
32 John 20 25| katika kovu hizo, na kutia mkono wangu ubavuni mwake, sitasadiki."~
33 John 20 27| uitazame mikono yangu; lete mkono wako ukautie ubavuni mwangu.
34 Acts 3 7 | 7 Halafu, akamshika mkono wa kulia, akamwinua. Papo
35 Acts 4 30| 30 Nyosha mkono wako uponye watu. Fanya
36 Acts 9 8 | wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.~
37 Acts 12 11| akaniokoa kutoka katika mkono wa Herode na kutoka katika
38 Acts 12 17| 17 Petro aliwaashiria kwa mkono wakae kimya, akawaeleza
39 Acts 13 11| 11 Sasa, mkono wa Bwana utakuadhibu: utakuwa
40 Acts 13 11| akitafuta mtu wa kumshika mkono amwongoze.~
41 Acts 13 16| alisimama, akatoa ishara kwa mkono, akaanza kuongea: "Wananchi
42 Acts 14 4 | waligawanyika: wengine waliwaunga mkono Wayahudi, na wengine walikuwa
43 Acts 19 33| Aleksanda aliwaashiria watu kwa mkono akitaka kujitetea mbele
44 Acts 21 40| juu ya ngazi, akawapungia mkono wale watu na walipokaa kimya,
45 Acts 22 11| kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.~
46 Acts 23 19| jeshi alimshika huyo kijana mkono, akampeleka mahali pa faragha,
47 Acts 24 9 | 9 Nao Wayahudi waliunga mkono mashtaka hayo wakisema kwamba
48 Acts 26 1 | kujitetea." Hapo Paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi:~
49 Acts 28 4 | kiumbe kinaning`inia kwenye mkono wake waliambiana, "Bila
50 Roma 15 30| uletwao na Roho, mniunge mkono kwa kuniombea kwa Mungu.~
51 1Cor 12 15| ungejisemea: "Kwa kuwa mimi si mkono, basi mimi si mali ya mwili",
52 1Cor 12 21| jicho haliwezi kuuambia mkono: "Sikuhitaji wewe", wala
53 1Cor 16 21| nawasalimuni, nikiandika kwa mkono wangu mwenyewe.~
54 2Cor 1 6 | kuwafariji ninyi na kuwaunga mkono mpate nguvu ya kustahimili
55 2Cor 1 11| 11 ninyi mkiwa mnatuunga mkono kwa kutuombea. Hivyo neema
56 Gala 2 9 | neema hiyo, wakatushika sisi mkono, yaani Barnaba na mimi,
57 Gala 2 13| wengine Wayahudi walimuunga mkono Petro katika kitendo hiki
58 Gala 3 19| ililetwa na malaika kwa mkono wa mpatanishi.~
59 Gala 6 11| nilivyoandika kwa herufi kubwa, kwa mkono wangu mwenyewe.~
60 Colo 4 18| 18 Naandika haya kwa mkono wangu mwenyewe: Salamu kutoka
61 2The 3 17| 17 Kwa mkono wangu mwenyewe naandika
62 Phil 1 19| Naandika jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: yako.)~
63 Hebr 4 15| mmoja ambaye hawezi kutuunga mkono katika unyonge wetu, ila
64 Hebr 8 9 | siku ile nilipowaongoza kwa mkono kutoka nchi ya Misri. Hawakuwa
65 1Pet 5 6 | Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa enzi wa Mungu, ili awainue
66 Rev 1 16 | 16 Katika mkono wake wa kulia, alikuwa na
67 Rev 1 17 | maiti. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu,
68 Rev 1 20 | zile saba ulizoziona katika mkono wangu wa kulia, na siri
69 Rev 2 1 | ashikaye nyota saba katika mkono wake wa kulia, na ambaye
70 Rev 5 1 | 1 Kisha katika mkono wa kulia wa huyo aliyeketi
71 Rev 5 7 | akakitwaa hicho kitabu kutoka mkono wa kulia wa yule aliyeketi
72 Rev 10 5 | juu ya nchi kavu akainua mkono wake wa kulia juu mbinguni,~
73 Rev 14 9 | paji la uso wake au juu ya mkono wake,~
|