Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
aliyekupiga 2
aliyekusanya 2
aliyekutokea 1
aliyekuwa 73
aliyekuwako 4
aliyekuweka 2
aliyekwambia 1
Frequency    [«  »]
75 macho
74 akamjibu
74 sehemu
73 aliyekuwa
73 mkono
72 akisema
72 nabii

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

aliyekuwa

   Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 16| 16 Yakobo alimzaa Yosefu, aliyekuwa mume wake Maria, mama yake 2 Matt 9 7 | 7 Huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda 3 Matt 9 32| walimletea Yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa 4 Matt 9 33| pepo alipotolewa, mtu huyo aliyekuwa bubu akaanza kuongea tena. 5 Matt 10 3 | Bartholomayo, Thoma na Mathayo aliyekuwa mtoza ushuru; Yakobo mwana 6 Matt 14 3 | 3 Herode ndiye aliyekuwa amemtia Yohane nguvuni, 7 Matt 18 24| ulipoanza, akaletewa mtu mmoja aliyekuwa na deni la fedha talanta 8 Matt 18 28| mmoja wa watumishi wenzake aliyekuwa na deni lake fedha denari 9 Matt 26 7 | 7 mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye 10 Mark 3 1 | mle ndani mlikuwa na mtu aliyekuwa na mkono uliopooza.~ 11 Mark 3 3 | Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, "Njoo 12 Mark 5 15| wakamwona na mtu yuleyule aliyekuwa amepagawa na jeshi la pepo 13 Mark 5 16| mambo yaliyompata huyo mtu aliyekuwa amepagawa na pepo na juu 14 Mark 5 18| anapanda mashuani, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo akamwomba 15 Mark 10 47| kwamba ni Yesu wa Nazareti aliyekuwa anapita mahali hapo, alianza 16 Mark 14 3 | kula chakula, mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye 17 Mark 14 51| Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa 18 Mark 15 39| 39 Jemadari mmoja aliyekuwa amesimama mbele yake aliona 19 Luke 3 38| wa Sethi, mwana wa Adamu, aliyekuwa wa Mungu.~ ~ ~~ ~ 20 Luke 4 33| sunagogi kulikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na roho ya pepo 21 Luke 7 37| ule kulikuwa na mama mmoja aliyekuwa anaishi maisha mabaya. Alipopata 22 Luke 8 27| anashuka pwani, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo alimjia 23 Luke 9 46| wanafunzi kuhusu nani kati yao aliyekuwa mkuu zaidi.~ 24 Luke 10 33| 33 Lakini Msamaria mmoja aliyekuwa anasafiri, alifika pale 25 Luke 13 11| palikuwa na mwanamke mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa miaka kumi na 26 Luke 13 11| minane kutokana na pepo aliyekuwa amempagaa. Kwa sababu hiyo, 27 Luke 14 2 | Yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili.~ 28 Luke 16 20| mmoja jina lake Lazaro, aliyekuwa amejaa vidonda na alikuwa 29 Luke 16 27| 27 Huyo aliyekuwa tajiri akasema: `Basi baba, 30 Luke 18 43| 43 Na mara yule aliyekuwa kipofu akapata kuona, akamfuata 31 Luke 23 26| aitwaye Simoni wa Kurene, aliyekuwa anatoka shambani. Basi, 32 John 3 26| kumwambia, "Mwalimu, yule mtu aliyekuwa pamoja nawe ng`ambo ya Yordani 33 John 4 46| Kulikuwa na ofisa mmoja aliyekuwa na mtoto mgonjwa huko Kafarnaumu.~ 34 John 4 47| aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.~ 35 John 5 5 | na kuyatibua. Mtu yeyote aliyekuwa wa kwanza kuingia majini 36 John 5 6 | hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka 37 John 9 8 | huyu siye yule maskini aliyekuwa akiketi na kuomba?"~ 38 John 9 9 | anafanana naye." Lakini huyo aliyekuwa kipofu akasema, "Ni mimi!"~ 39 John 9 13| Kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa Mafarisayo.~ 40 John 9 17| Wakamwuliza tena huyo mtu aliyekuwa kipofu, "Maadam yeye amekufungua 41 John 9 24| 24 Basi, wakamwita tena aliyekuwa kipofu, wakamwambia, "Sema 42 John 11 2 | Lazaro, kaka yake, ndiye aliyekuwa mgonjwa.)~ 43 John 11 44| 44 Huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku 44 John 18 14| 14 Huyo Kayafa ndiye aliyekuwa amewashauri Wayahudi kwamba 45 John 18 16| huyo mwanafunzi mwingine aliyekuwa anajulikana kwa Kuhani Mkuu 46 John 18 22| Alipokwisha sema hayo mlinzi mmoja aliyekuwa amesimama hapo akampiga 47 Acts 3 10| Walipomtambua kuwa ndiye yule aliyekuwa anaombaomba karibu na ule " 48 Acts 3 14| mlimkataa, mkataka mtu mwingine aliyekuwa muuaji afunguliwe.~ 49 Acts 4 9 | chema alichofanyiwa yule mtu aliyekuwa kiwete na jinsi alivyopata 50 Acts 4 32| moja. Hakuna hata mmoja aliyekuwa na kitu chochote akakiweka 51 Acts 7 27| 27 Yule aliyekuwa anampiga mwenzake alimsukuma 52 Acts 10 30| chumbani mwangu. Ghafla, mtu aliyekuwa amevaa mavazi yenye kun` 53 Acts 14 12| Paulo, kwa vile yeye ndiye aliyekuwa anaongea, akaitwa Herme.~ 54 Acts 16 16| pa kusali, msichana mmoja aliyekuwa na pepo mwenye uwezo wa 55 Acts 22 19| wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi 56 Acts 27 1 | chini ya ulinzi wa Yulio aliyekuwa ofisa wa jeshi katika kikosi 57 2Cor 11 32| Nilipokuwa Damasko, mkuu wa mkoa, aliyekuwa chini ya mfalme Areta, alikuwa 58 Gala 1 23| walichosikia: "Mtu yule aliyekuwa akitutesa hapo awali, sasa 59 Ephe 4 28| 28 Aliyekuwa akiiba, asiibe tena, bali 60 2Tim 2 8 | aliyefufuliwa kutoka wafu, aliyekuwa wa ukoo wa Daudi, kama isemavyo 61 Hebr 11 17| alipomjaribu. Huyo Abrahamu ndiye aliyekuwa amepokea ahadi ya Mungu, 62 Hebr 11 31| 31 Kwa imani Rahabu aliyekuwa malaya hakuangamia pamoja 63 1Pet 1 11| alioudokezea Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao, akibashiri juu 64 Rev 8 4 | mikononi mwake huyo malaika aliyekuwa mbele ya Mungu.~ 65 Rev 12 4 | lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, 66 Rev 12 13 | likaanza kumwinda yule mama aliyekuwa amejifungua mtoto wa kiume.~ 67 Rev 13 14 | kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa amejeruhiwa kwa upanga lakini 68 Rev 14 15 | sauti kubwa akamwambia yule aliyekuwa amekaa juu ya wingu, "Tafadhali, 69 Rev 14 16 | 16 Basi, yule aliyekuwa amekaa juu ya wingu akautupa 70 Rev 19 19 | kusudi wapigane na yule aliyekuwa ameketi juu ya farasi, pamoja 71 Rev 19 20 | pamoja na nabii wa uongo aliyekuwa akifanya miujiza mbele yake. ( 72 Rev 20 10 | 10 Ibilisi, aliyekuwa anawapotosha, akatupwa ndani 73 Rev 21 15 | 15 Basi, yule malaika aliyekuwa anasema nami alikuwa na


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License