Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
nguvu 190
nguvuni 32
nguzo 2
ni 1440
nia 32
niaba 6
niaibike 1
Frequency    [«  »]
1896 mungu
1477 yesu
1473 watu
1440 ni
1234 lakini
1170 katika
1087 mtu

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

ni

1-500 | 501-1000 | 1001-1440

     Book, Chapter, Verse
501 John 12 48 | kumhukumu: neno lile nililosema ni hakimu wake siku ya mwisho.~ 502 John 13 25 | Yesu, akamwuliza, "Bwana, ni nani?"~ 503 John 13 35 | wote watajua kwamba ninyi ni wanafunzi wangu."~ 504 John 14 6 | 6 Yesu akamjibu, "Mimi ni njia, na ukweli na uzima. 505 John 14 17 | 17 Yeye ni Roho wa kweli. Ulimwengu 506 John 14 19 | mtaniona; na kwa kuwa mimi ni hai, nanyi pia mtakuwa hai.~ 507 John 14 24 | mlilosikia si langu, bali ni lake Baba aliyenituma.~ 508 John 14 28 | ninakwenda kwa Baba, maana yeye ni mkuu kuliko mimi.~ 509 John 15 1 | 1 "Mimi ni mzabibu wa kweli, na Baba 510 John 15 5 | 5 "Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi 511 John 15 5 | Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi yake. Akaaye ndani 512 John 15 14 | 14 Ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.~ 513 John 15 25 | 25 Na hivi ni lazima yatimie yale yaliyoandikwa 514 John 16 15 | Vyote alivyo navyo Baba ni vyangu; ndiyo maana nimesema 515 John 17 9 | nawaombea hao ulionipa, maana ni wako.~ 516 John 17 10 | 10 Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; 517 John 17 10 | niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu 518 John 17 17 | wakfu kwa ukweli; neno lako ni ukweli.~ 519 John 18 14 | amewashauri Wayahudi kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa 520 John 18 17 | akamwuliza Petro, "Je, nawe pia ni mmoja wa wanafunzi wa mtu 521 John 18 34 | Yesu akamjibu, "Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekwambia 522 John 18 35 | 35 Pilato akamjibu, "Je, ni Myahudi mimi? Taifa lako 523 John 18 37 | akamwambia, "Basi, wewe ni Mfalme?" Yesu akajibu, " 524 John 18 37 | Wewe umesema kwamba mimi ni Mfalme. Mimi nimezaliwa 525 John 18 38 | Pilato akamwambia, "Ukweli ni kitu gani?" Pilato alipokwisha 526 John 19 5 | Tazameni! Mtu mwenyewe ni huyo."~ 527 John 19 7 | kufuatana na Sheria hiyo, ni lazima afe, kwa sababu alijifanya 528 John 19 21 | ila `Yeye alisema, Mimi ni Mfalme wa Wayahudi."`~ 529 John 19 35 | kuamini. Na hayo aliyosema ni ukweli, tena yeye anajua 530 John 20 14 | lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.~ 531 John 20 15 | Maria, akidhani kwamba huyo ni mtunza bustani, akamwambia, " 532 John 20 15 | akamwambia, "Mheshimiwa, kama ni wewe umemwondoa, niambie 533 John 20 31 | mpate kuamini kwamba Yesu ni Kristo, Mwana wa Mungu; 534 John 21 7 | Yesu akamwambia Petro, "Ni Bwana!" Simoni Petro aliposikia 535 John 21 7 | Petro aliposikia ya kuwa ni Bwana, akajifunga vazi lake ( 536 John 21 12 | aliyethubutu kumwuliza: "Wewe ni nani?" Maana walijua alikuwa 537 John 21 20 | Yesu na kumwuliza: "Bwana ni nani atakayekusaliti?")~ 538 John 21 24 | twajua kwamba aliyoyasema ni kweli.~ 539 Acts 1 21 | 21 Kwa hiyo, ni lazima mtu mwingine ajiunge 540 Acts 1 24 | wote. Hivyo, utuonyeshe ni yupi kati ya hawa wawili 541 Acts 2 9 | 9 Baadhi yetu ni Waparthi, Wamedi na Waelami; 542 Acts 2 9 | Wamedi na Waelami; wengine ni wenyeji wa Mesopotamia, 543 Acts 2 10 | na Kurene; wengine wetu ni wageni kutoka Roma,~ 544 Acts 2 15 | kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi?~ 545 Acts 2 16 | 16 Ukweli ni kwamba jambo hili ni lile 546 Acts 2 16 | Ukweli ni kwamba jambo hili ni lile alilosema nabii Yoeli:~ 547 Acts 2 32 | alimfufua huyo Yesu na sisi sote ni mashahidi wa tukio hilo.~ 548 Acts 2 33 | mnachoona sasa na kusikia ni mmiminiko wa huyo Roho.~ 549 Acts 3 12 | mnatukodolea macho kana kwamba ni kwa nguvu zetu au utakatifu 550 Acts 3 15 | Basi, mlimuua yule ambaye ni chanzo cha uzima. Lakini 551 Acts 3 15 | Mungu alimfufua, na sisi ni mashahidi wa tukio hilo.~ 552 Acts 3 21 | 21 Ni lazima yeye abaki huko mbinguni 553 Acts 3 25 | alizotoa kwa njia ya manabii ni kwa ajili yenu; na mnashiriki 554 Acts 4 19 | Amueni ninyi wenyewe kama ni haki mbele ya Mungu kuwatii 555 Acts 4 24 | Mungu wakisema, "Bwana, wewe ni Muumba wa mbingu na nchi, 556 Acts 5 8 | Yeye akamjibu, "Naam, ni kiasi hicho."~ 557 Acts 5 32 | 32 Sisi ni mashahidi wa tukio hilo, 558 Acts 7 1 | akamwuliza, "Je, mambo haya ni kweli?"~ 559 Acts 7 26 | kuwapatanisha, akisema: `Ninyi ni ndugu; kwa nini basi, kutendeana 560 Acts 7 27 | alimsukuma Mose kando akisema: `Ni nani aliyekuweka wewe kuwa 561 Acts 7 32 | 32 `Mimi ni Mungu wa baba zako, Mungu 562 Acts 7 33 | vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu.~ 563 Acts 7 35 | waliyemkataa waliposema: `Ni nani aliyekuweka wewe kuwa 564 Acts 7 41 | kukifanyia sherehe kitu ambacho ni kazi ya mikono yao wenyewe.~ 565 Acts 7 49 | 49 `Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na 566 Acts 7 49 | changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea 567 Acts 7 50 | 50 Ni nyumba ya namna gani basi 568 Acts 7 50 | mnayoweza kunijengea, na ni mahali gani nitakapopumzika? 569 Acts 7 50 | nitakapopumzika? Vitu hivi vyote ni mimi nimevifanya, au sivyo?`~ 570 Acts 7 51 | wakuu! Mioyo na masikio yenu ni kama ya watu wa mataifa. 571 Acts 7 51 | ya watu wa mataifa. Ninyi ni kama baba zenu. Siku zote 572 Acts 8 9 | Samaria, akijiona kuwa yeye ni mtu maarufu.~ 573 Acts 8 23 | 23 Ni dhahiri kwangu kwamba umejaa 574 Acts 8 40 | ninaamini kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu."~ ~ ~~ ~ 575 Acts 9 5 | 5 Naye Saulo akauliza, "Ni nani wewe Bwana?" Na ile 576 Acts 9 5 | ile sauti ikajibu, "Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.~ 577 Acts 9 20 | katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.~ 578 Acts 9 36 | aitwaye Tabitha (kwa Kigiriki ni Dorka, maana yake, Paa). 579 Acts 10 14 | sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu."~ 580 Acts 10 20 | kwenda pamoja nao kwa maana ni mimi niliyewatuma."~ 581 Acts 10 22 | Jemadari Kornelio ambaye ni mtu mwema, mcha Mungu na 582 Acts 10 26 | Simama, kwa maana mimi ni binadamu tu."~ 583 Acts 10 36 | njia ya Yesu Kristo ambaye ni Bwana wa wote.~ 584 Acts 10 39 | 39 Sisi ni mashahidi wa mambo yote 585 Acts 11 17 | Bwana Yesu Kristo, je, mimi ni nani hata nijaribu kumpinga 586 Acts 12 15 | Nao wakamwambia, "Huyo ni malaika wake."~ 587 Acts 12 22 | za shangwe wakisema, "Hii ni sauti ya mungu, si ya mtu."~ 588 Acts 13 10 | kupindukia na mlaghai wewe! Wewe ni mtoto wa Ibilisi! Wewe ni 589 Acts 13 10 | ni mtoto wa Ibilisi! Wewe ni adui wa chochote kile kilicho 590 Acts 13 22 | Nimemwona Daudi mtoto wa Yese; ni mtu anayepatana na moyo 591 Acts 13 24 | watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.~ 592 Acts 13 25 | aliwaambia watu: `Mnadhani mimi ni nani? Mimi si yule mnayemtazamia. 593 Acts 13 32 | katika zaburi ya pili: `Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa 594 Acts 13 41 | ninachofanya sasa, nyakati zenu, ni kitu ambacho hamtakiamini 595 Acts 13 46 | zaidi, wakasema, "Ilikuwa ni lazima neno la Mungu liwafikieni 596 Acts 14 15 | mnafanya mambo hayo? Sisi pia ni binadamu kama ninyi. Na, 597 Acts 14 22 | katika imani. Wakawaambia, "Ni lazima sisi sote tupitie 598 Acts 15 5 | Mafarisayo walisimama, wakasema, "Ni lazima watu wa mataifa mengine 599 Acts 15 15 | 15 Jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya 600 Acts 15 19 | Kwa hiyo, uamuzi wangu ni huu: tusiwataabishe watu 601 Acts 16 12 | Makedonia, na ambao pia ni koloni la Waroma. Tulikaa 602 Acts 16 13 | ambapo tulidhani ya kuwa ni mahali pa kusali. Tuliketi, 603 Acts 16 17 | kelele na kusema, "Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu. 604 Acts 16 20 | mahakimu wakisema, "Watu hawa ni Wayahudi na wanafanya fujo 605 Acts 16 37 | viboko hadharani hali sisi ni raia wa Roma. Tena, walitutia 606 Acts 16 37 | kutufungulia kwa siri! Hata kidogo! Ni lazima wao wenyewe waje 607 Acts 17 22 | kwamba ninyi, kwa vyovyote, ni watu wa dini sana.~ 608 Acts 17 23 | 23 Sababu yenyewe ni kwamba katika pitapita yangu 609 Acts 17 24 | ulimwengu na vyote vilivyomo, ni Bwana wa mbingu na nchi; 610 Acts 17 28 | tunaishi, tunajimudu, na tuko!` Ni kama washairi wenu wengine 611 Acts 17 28 | wengine walivyosema: `Sisi ni watoto wake.`~ 612 Acts 17 29 | 29 Ikiwa basi, sisi ni watoto wa Mungu, haifai 613 Acts 18 6 | mbele yao akisema, "Mkipotea ni shauri lenu wenyewe; mimi 614 Acts 18 15 | 15 Lakini kama ni shauri la ubishi kuhusu 615 Acts 18 28 | Maandiko Matakatifu kuwa Yesu ni Kristo.~ ~ ~~ ~ 616 Acts 19 15 | pia Paulo, lakini ninyi ni nani?"~ 617 Acts 19 28 | wakaanza kupiga kelele: "Mkuu ni Artemi, wa Efeso!"~ 618 Acts 19 34 | Lakini walipotambua kuwa yeye ni Myahudi, wote kwa sauti 619 Acts 19 34 | moja walipiga kelele: "Mkuu ni Artemi wa Efeso!" Wakaendelea 620 Acts 19 35 | kwamba mji huu wa Efeso ni mlinzi wa nyumba ya mungu 621 Acts 20 23 | 23 Ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu ananithibitishia 622 Acts 20 24 | siuthamini uhai wangu kuwa ni kitu sana kwangu. Nataka 623 Acts 21 22 | Sasa, mambo yatakuwaje? Ni dhahiri kuwa watapata habari 624 Acts 21 29 | 29 Sababu ya kusema hivyo ni kwamba walikuwa wamemwona 625 Acts 21 33 | miwili. Kisha akauliza, "Ni mtu gani huyu, na amefanya 626 Acts 21 39 | 39 Paulo akajibu, "Mimi ni Myahudi, mzaliwa wa Tarso 627 Acts 21 39 | Tarso katika Kilikia; mimi ni raia wa mji maarufu. Tafadhali, 628 Acts 22 3 | 3 "Mimi ni Myahudi, mzaliwa wa Tarso 629 Acts 22 8 | Naye akaniambia: `Mimi ni Yesu wa Nazareti ambaye 630 Acts 22 19 | wanajua wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita 631 Acts 22 25 | mmoja aliyesimama hapo, "Je, ni halali kwenu kumpiga viboko 632 Acts 22 26 | Unataka kufanya nini? Mtu huyu ni raia wa Roma!"~ 633 Acts 22 27 | akamwambia, "Niambie; je, wewe ni raia wa Roma?" Paulo akamjibu, " 634 Acts 22 28 | Paulo akasema, "Lakini mimi ni raia wa Roma kwa kuzaliwa."~ 635 Acts 22 29 | aliogopa alipojua kwamba Paulo ni raia wa Roma na kwamba alikuwa 636 Acts 23 5 | zangu, sikujua kama yeye ni Kuhani Mkuu. Maana Maandiko 637 Acts 23 6 | wanabaraza wale ilikuwa ni Masadukayo na nyingine Mafarisayo. 638 Acts 23 6 | Baraza: "Ndugu zangu, mimi ni Mfarisayo, mwana wa Mfarisayo. 639 Acts 23 27 | nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda 640 Acts 24 5 | Tumegundua kwamba mtu huyu ni wa hatari mno. Yeye huanzisha 641 Acts 24 5 | kila mahali duniani na pia ni kiongozi wa kile chama cha 642 Acts 24 14 | Ninachokubali mbele yako ni hiki: Mimi ninamwabudu Mungu 643 Acts 26 3 | Hasa kwa vile wewe mwenyewe ni mtaalamu wa desturi za Wayahudi 644 Acts 26 9 | mwenyewe niliamini kwamba ni wajibu wangu kufanya mambo 645 Acts 26 15 | 15 Mimi nikauliza: `Ni nani wewe Bwana?` Naye Bwana 646 Acts 26 15 | Naye Bwana akajibu: `Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.~ 647 Acts 26 22 | wakubwa na wadogo. Ninayosema ni yale ambayo manabii na Mose 648 Acts 26 25 | mheshimiwa Festo: Ninachosema ni ukweli mtupu.~ 649 Acts 27 12 | ikiwezekana mpaka Foinike. Foinike ni bandari ya Krete inayoelekea 650 Acts 27 23 | wa yule Mungu ambaye mimi ni wake na ambaye mimi ninamwabudu 651 Acts 27 24 | akaniambia: `Paulo usiogope! Ni lazima utasimama mbele ya 652 Acts 27 26 | 26 Lakini ni lazima tutatupwa ufukoni 653 Acts 28 6 | juu yake, wakasema kuwa ni mungu.~ 654 Acts 28 20 | 20 Ni kwa sababu hiyo nimeomba 655 Acts 28 22 | sisi kuhusu hicho kikundi ni kwamba kinapingwa kila mahali."~ 656 Acts 28 25 | alisema jambo hili, "Kweli ni sawa yale aliyoyanena Roho 657 Roma 1 4 | alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni Mwana wa Mungu kwa kufufuliwa 658 Roma 1 6 | 6 Ninyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa 659 Roma 1 9 | Habari Njema ya Mwanae, ni shahidi wangu kwamba ninawakumbukeni~ 660 Roma 1 16 | kutangaza Habari Njema; yenyewe ni nguvu ya Mungu inayowaokoa 661 Roma 1 19 | kujulikana juu ya Mungu ni wazi kwao; maana Mungu mwenyewe 662 Roma 1 22 | kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.~ 663 Roma 1 30 | 30 na kusingiziana; ni watu wa kuchukiza kwa Mungu, 664 Roma 2 1 | kujitetea haidhuru wewe ni nani. Kwa maana, kwa kuwahukumu 665 Roma 2 2 | wanaofanya mambo kama hayo ni hukumu ya haki.~ 666 Roma 2 25 | unaivunja Sheria, basi, ni afadhali ungalibaki bila 667 Roma 2 28 | anayeonekana kwa nje kuwa Myahudi ni Myahudi wa kweli, wala mtu 668 Roma 2 29 | 29 Myahudi wa kweli ni yule aliye Myahudi kwa ndani, 669 Roma 2 29 | ametahiriwa moyoni. Hili ni jambo la Roho, na si jambo 670 Roma 3 4 | ingawaje kila binadamu ni mwongo. Kama Maandiko Matakatifu 671 Roma 3 4 | Kila usemapo, maneno yako ni ya haki; na katika hukumu, 672 Roma 3 8 | 8 Ni sawa na kusema: tufanye 673 Roma 3 9 | basi? Je, sisi Wayahudi ni bora zaidi kuliko wengine? 674 Roma 3 13 | 13 Makoo yao ni kama kaburi wazi, ndimi 675 Roma 3 20 | kuishika Sheria; kazi ya Sheria ni kumwonyesha tu mtu kwamba 676 Roma 3 25 | apate kuonyesha kwamba yeye ni mwadilifu. Hapo zamani Mungu 677 Roma 3 26 | mwenyewe huonyesha kwamba yeye ni mwadilifu na kwamba humkubali 678 Roma 3 30 | 30 Mungu ni mmoja, naye atawakubali 679 Roma 4 4 | mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.~ 680 Roma 4 9 | 9 Je, hiyo ni kwa wale waliotahiriwa tu, 681 Roma 4 9 | kwa wale wasiotahiriwa? Ni kwa wale wasiotahiriwa pia. 682 Roma 4 12 | 12 Vilevile yeye ni baba wa wale waliotahiriwa; 683 Roma 4 14 | watakaopewa hayo aliyoahidi Mungu ni wale tu wanaoitii Sheria, 684 Roma 4 16 | neema ya Mungu, na kwamba ni hakika kuwa ahadi hiyo ni 685 Roma 4 16 | ni hakika kuwa ahadi hiyo ni kwa ajili ya wote: si kwa 686 Roma 4 16 | imani kama Abrahamu. Yeye ni baba yetu sisi sote.~ 687 Roma 4 17 | mataifa mengi." Ahadi hiyo ni kweli mbele ya Mungu ambaye 688 Roma 5 9 | waadilifu kwa damu ya Kristo, ni dhahiri zaidi kwamba atatuokoa 689 Roma 5 10 | sasa tumepatanishwa naye, ni dhahiri zaidi kwamba tutaokolewa 690 Roma 5 17 | huyo mtu mmoja; lakini, ni dhahiri zaidi kwamba alichokifanya 691 Roma 5 17 | mmoja, yaani Yesu Kristo, ni bora zaidi. Wote wanaopokea 692 Roma 6 16 | dhambi, na matokeo yake ni kifo, au wa utii, na matokeo 693 Roma 6 16 | wa utii, na matokeo yake ni kukubaliwa kuwa waadilifu.~ 694 Roma 6 21 | Maana, matokeo ya mambo haya ni kifo!~ 695 Roma 6 22 | Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake 696 Roma 6 22 | utakatifu, na matokeo yake ni uzima wa milele.~ 697 Roma 6 23 | maana mshahara wa dhambi ni kifo; lakini zawadi anayotoa 698 Roma 6 23 | lakini zawadi anayotoa Mungu ni uzima wa milele katika kuungana 699 Roma 7 4 | kuhusu Sheria kwa kuwa ninyi ni sehemu ya mwili wa Kristo; 700 Roma 7 7 | tuseme basi, kwamba Sheria ni dhambi? Hata kidogo! Lakini 701 Roma 7 7 | mimi nisingalijua dhambi ni kitu gani. Maana, nisingalijua 702 Roma 7 7 | gani. Maana, nisingalijua ni nini hasa kutamani mabaya, 703 Roma 7 8 | Maana, bila Sheria dhambi ni kitu kilichokufa.~ 704 Roma 7 12 | 12 Basi, Sheria yenyewe ni takatifu, na amri yenyewe 705 Roma 7 12 | takatifu, na amri yenyewe ni takatifu, ni ya haki na 706 Roma 7 12 | amri yenyewe ni takatifu, ni ya haki na nzuri.~ 707 Roma 7 13 | changu? Hata kidogo! Iliyo ni kwamba, dhambi, ili ionekane 708 Roma 7 13 | ili ionekane dhahiri kuwa ni dhambi, imekitumia kile 709 Roma 7 14 | 14 Tunajua kwamba Sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni 710 Roma 7 14 | ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kidunia, mimi nimeuzwa 711 Roma 7 16 | nakubali kuwa ile Sheria ni nzuri.~ 712 Roma 7 20 | mimi ninayefanya hayo, bali ni ile dhambi iliyo ndani yangu.~ 713 Roma 8 7 | kutawaliwa na fikira za mwili ni adui wa Mungu; haitii sheria 714 Roma 8 14 | wanaoongozwa na Roho wa MUngu ni watoto wa Mungu.~ 715 Roma 8 16 | kuthibitisha kwamba sisi ni watoto wa Mungu.~ 716 Roma 8 17 | 17 Basi, kwa vile sisi ni watoto wa Mungu, tutapokea 717 Roma 8 24 | kile tunachotumainia. Maana ni nani anayetumaini kile ambacho 718 Roma 8 33 | 33 Ni nani atakayewashtaki wateule 719 Roma 8 34 | 34 Ni nani atakayewahukumu? Hakuna! 720 Roma 8 35 | 35 Ni nani awezaye kututenga na 721 Roma 8 35 | na mapendo ya Kristo? Je, ni taabu, au dhiki, au mateso, 722 Roma 9 5 | 5 Wao ni wajukuu wa mababu, naye 723 Roma 9 6 | si watu wote wa Israeli ni wateule wa Mungu.~ 724 Roma 9 7 | wazawa wote wa Abrahamu ni watoto wake wa kweli. Ila, 725 Roma 9 9 | 9 Maana ahadi yenyewe ni hii: "Nitakujia wakati maalum, 726 Roma 9 18 | 18 Ni wazi,basi, kwamba Mungu 727 Roma 9 27 | Hata kama watoto wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, 728 Roma 9 27 | wengi kama mchanga wa pwani, ni wachache tu watakaookolewa;~ 729 Roma 9 29 | 29 Ni kama Isaya alivyosema hapo 730 Roma 9 30 | 30 Basi, tuseme nini? Ni hivi: watu wa mataifa ambao 731 Roma 10 9 | kinywa chako kwamba Yesu ni Bwana na kuamini moyoni 732 Roma 10 12 | 12 Jambo hili ni kwa wote, kwani hakuna tofauti 733 Roma 10 12 | Wayahudi; Bwana wa wote ni mmoja, naye ni mkarimu sana 734 Roma 10 12 | Bwana wa wote ni mmoja, naye ni mkarimu sana kwao wote wamwombao.~ 735 Roma 10 15 | yasemavyo Maandiko Matakatifu: "Ni jambo la kupendeza mno kuja 736 Roma 10 16 | Maana Isaya alisema: "Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?"~ 737 Roma 10 19 | hawakufahamu? Mose mwenyewe ni kwa kwanza kujibu: "Nitawafanyeni 738 Roma 11 1 | Hata kidogo! Mini binafsi ni Mwisraeli mzawa wa Abrahamu, 739 Roma 11 3 | kubomoa madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, 740 Roma 11 12 | wa mataifa mengine. Basi, ni dhahiri zaidi kwamba utimilifu 741 Roma 11 21 | hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, 742 Roma 11 22 | alivyo mwema na mkali. Yeye ni mkali kwa wale walioanguka, 743 Roma 11 22 | kwa wale walioanguka, na ni mwema kwako wewe ikiwa utaendelea 744 Roma 11 24 | mataifa mengine, kwa asili ni kama tawi la mzeituni mwitu, 745 Roma 11 24 | Lakini, Wayahudi kwa asili ni kama mzeituni bustanini, 746 Roma 11 25 | Ukaidi wa Wayahudi ulikuwa ni wa muda tu, mpaka watu wa 747 Roma 11 28 | kwa kuwa waliteuliwa, bado ni rafiki wa Mungu kwa sababu 748 Roma 11 33 | hekima na elimu ya Mungu ni kuu mno! Huruma zake hazichunguziki, 749 Roma 12 1 | ndugu zangu, maadam Mungu ni mwenye huruma nyingi, nawasihi 750 Roma 12 3 | ninyi nyote: msijione kuwa ni kitu zaidi kuliko mnavyopaswa 751 Roma 12 5 | Hali kadhalika ingawa sisi ni wengi, tu mwili mmoja kwa 752 Roma 12 5 | na Kristo, na kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.~ 753 Roma 12 19 | yasema: "Kulipiza kisasi ni shauri langu; mimi nitalipiza 754 Roma 13 4 | 4 maana yeye ni mtumishi wa Mungu anayefanya 755 Roma 13 4 | uwezo wa kutoa adhabu. Yeye ni mtumishi wa Mungu na huitekeleza 756 Roma 13 5 | 5 Kwa hiyo ni lazima kuwatii wenye mamlaka, 757 Roma 14 2 | mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za 758 Roma 14 4 | 4 Wewe ni nani hata uthubutu kumhukumu 759 Roma 14 4 | Akisimama au akianguka ni shauri la Bwana wake; naam, 760 Roma 14 8 | tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana.~ 761 Roma 14 11 | mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu."~ 762 Roma 14 14 | akidhani kwamba kitu fulani ni najisi, basi, kwake huwa 763 Roma 14 16 | kitu mnachokiona kuwa kwenu ni kitu chema kidharauliwe.~ 764 Roma 14 20 | ya chakula. Vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula 765 Roma 14 23 | msingi wake katika imani ni dhambi.~ ~ ~~ ~ 766 Roma 15 16 | Kristo kwa watu wa mataifa. Ni jukumu langu la kikuhani 767 Roma 15 27 | lakini, kwa kweli, hilo ni jukumu lao kwa hao. Maana, 768 Roma 16 1 | kwenu dada yetu Foibe ambaye ni mtumishi katika kanisa la 769 Roma 16 5 | rafiki yangu Epaineto ambaye ni kwa kwanza katika mkoa wa 770 Roma 16 13 | Bwana, na mama yake ambaye ni mama yangu pia.~ 771 1Cor 1 9 | 9 Mungu ni mwaminifu; yeye aliwaita 772 1Cor 1 12 | chake: mmoja husema, "Mimi ni wa Paulo," mwingine: "Mimi 773 1Cor 1 12 | Paulo," mwingine: "Mimi ni wa Apolo," mwingine: "Mimi 774 1Cor 1 12 | Apolo," mwingine: "Mimi ni wa Kefa," na mwingine: " 775 1Cor 1 12 | Kefa," na mwingine: "Mimi ni wa Kristo,".~ 776 1Cor 1 18 | kifo cha Kristo msalabani ni jambo la kipumbavu kwa wale 777 1Cor 1 18 | njia ya wokovu ujumbe huo ni nguvu ya Mungu.~ 778 1Cor 1 21 | wenye hekima wanakiona kuwa ni upumbavu, yaani ujumbe tunaohubiri.~ 779 1Cor 1 23 | Kwa Wayahudi jambo hili ni kikwazo, na kwa watu wa 780 1Cor 1 23 | na kwa watu wa mataifa ni upumbavu;~ 781 1Cor 1 24 | Wayahudi kwa Wagiriki, Kristo ni nguvu ya Mungu na hekima 782 1Cor 1 25 | Maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa Mungu, kina 783 1Cor 1 25 | na kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa Mungu, kina nguvu 784 1Cor 1 27 | ambayo ulimwengu huyaona ni upumbavu, ili awaaibishe 785 1Cor 1 27 | ambayo ulimwengu huyaona ni dhaifu, ili awaaibishe wenye 786 1Cor 1 28 | ambayo kwa fikira za dunia ni mambo yaliyo duni na yanayodharauliwa, 787 1Cor 1 28 | ambayo kwa fikira za binadamu ni mambo ya maana.~ 788 1Cor 2 7 | 7 Hekima tunayotumia ni hekima ya siri ya Mungu, 789 1Cor 2 8 | 8 Ni hekima ambayo watawala wa 790 1Cor 2 9 | 9 Lakini, ni kama yasemavyo Maandiko 791 1Cor 2 14 | Kwake mtu huyo mambo hayo ni upumbavu mtupu; yanapita 792 1Cor 3 3 | yanaonyesha wazi kwamba ninyi bado ni watu wa kidunia, mnaishi 793 1Cor 3 4 | Mmoja wenu anaposema, "Mimi ni wa Paulo", na mwingine, " 794 1Cor 3 4 | Paulo", na mwingine, "Mimi ni wa Apolo", je, hiyo haionyeshi 795 1Cor 3 5 | 5 Apolo ni nani? na Paulo ni nani? 796 1Cor 3 5 | Apolo ni nani? na Paulo ni nani? Sisi ni watumishi 797 1Cor 3 5 | na Paulo ni nani? Sisi ni watumishi tu ambao tuliwaleteeni 798 1Cor 3 6 | lakini aliyeiotesha mbegu ni Mungu.~ 799 1Cor 3 7 | aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu 800 1Cor 3 8 | aliyemwagilia maji wote ni sawa, ingawa kila mmoja 801 1Cor 3 9 | 9 Maana sisi ni ndugu, wafanyakazi pamoja 802 1Cor 3 9 | pamoja na Mungu; na ninyi ni shamba lake; ninyi ni jengo 803 1Cor 3 9 | ninyi ni shamba lake; ninyi ni jengo lake.~ 804 1Cor 3 16 | Je, hamjui kwamba ninyi ni hekalu la Mungu, na kwamba 805 1Cor 3 17 | atamharibu; maana hekalu la Mungu ni takatifu, na hekalu hilo 806 1Cor 3 17 | takatifu, na hekalu hilo ni ninyi wenyewe.~ 807 1Cor 3 19 | Maana, hekima ya kidunia ni upumbavu mbele ya Mungu. 808 1Cor 3 21 | asijivunie watu. Maana kila kitu ni chenu.~ 809 1Cor 3 22 | sasa na ya baadaye, yote ni yenu.~ 810 1Cor 3 23 | 23 Lakini ninyi ni wa Kristo naye Kristo ni 811 1Cor 3 23 | ni wa Kristo naye Kristo ni wa Mungu.~ ~~ ~ 812 1Cor 4 1 | Mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa Kristo tuliokabidhiwa 813 1Cor 4 2 | yule aliyekabidhiwa kazi ni kuwa mwaminifu.~ 814 1Cor 4 6 | juu ya Apolo na juu yangu, ni kielelezo kwenu: kutokana 815 1Cor 4 10 | 10 Sisi ni wapumbavu kwa ajili ya Kristo, 816 1Cor 4 10 | ya Kristo, lakini ninyi ni wenye busara katika kuungana 817 1Cor 4 10 | kuungana na Kristo! Sisi ni dhaifu, ninyi ni wenye nguvu. 818 1Cor 4 10 | Kristo! Sisi ni dhaifu, ninyi ni wenye nguvu. Ninyi mnaheshimika, 819 1Cor 4 13 | dunia; na kwa kila mtu sisi ni takataka!~ 820 1Cor 4 15 | yenu ya Kikristo, baba yenu ni mmoja tu, kwani katika maisha 821 1Cor 4 17 | nimemtuma Timetheo kwenu. Yeye ni mtoto wangu mpenzi na mwaminifu 822 1Cor 4 20 | shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.~ 823 1Cor 5 1 | uzinzi miongoni mwenu; tena ni uzinzi mbaya ambao haujapata 824 1Cor 5 10 | 10 Ukweli ni kwamba sikuwa na maana ya 825 1Cor 5 11 | 11 Nilichoandika ni hiki: msishirikiane na ndugu 826 1Cor 5 12 | 12 Je, ni shauri langu kuwahukumu 827 1Cor 6 12 | Kwangu mimi kila kitu ni halali." Sawa; lakini si 828 1Cor 6 12 | Nakubali kwamba kila kitu ni halali kwangu lakini sitaki 829 1Cor 6 13 | Unaweza kusema: "Chakula ni kwa ajili ya tumbo, na tumbo 830 1Cor 6 13 | ajili ya tumbo, na tumbo ni kwa ajili ya chakula." Sawa; 831 1Cor 6 13 | kwa ajili ya uzinzi bali ni kwa ajili ya kumtumikia 832 1Cor 6 13 | kumtumikia Bwana, naye Bwana ni kwa ajili ya mwili.~ 833 1Cor 6 15 | hamjui kwamba miili yenu ni viungo vya mwili wa Kristo? 834 1Cor 6 19 | hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu 835 1Cor 7 1 | yale mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi;~ 836 1Cor 7 6 | 6 Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri.~ 837 1Cor 7 8 | wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama 838 1Cor 7 9 | kujizuia basi, na aoe; maana ni afadhali zaidi kuoa kuliko 839 1Cor 7 10 | amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane 840 1Cor 7 14 | si wa Mungu; kumbe sasa ni watoto wake Mungu.~ 841 1Cor 7 19 | si kitu; kilicho muhimu ni kuzishika amri za Mungu.~ 842 1Cor 7 29 | kusema hivi: muda uliobaki ni mfupi. Na tangu sasa wale 843 1Cor 7 40 | akibaki hivyo alivyo. Hayo ni maoni yangu, na nafikiri 844 1Cor 8 4 | duniani; twajua kwamba Mungu ni mmoja tu.~ 845 1Cor 8 7 | Na kwa vile dhamiri zao ni dhaifu, hutiwa unajisi.~ 846 1Cor 8 10 | mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, akikuona wewe mwenye 847 1Cor 9 2 | lakini walau kwenu ninyi mimi ni mtume. Ninyi ni uthibitisho 848 1Cor 9 2 | ninyi mimi ni mtume. Ninyi ni uthibitisho wa mtume wangu 849 1Cor 9 6 | 6 Au ni mimi tu na Barnaba ambao 850 1Cor 9 11 | ya kiroho kati yenu, je, ni jambo kubwa tukichuma kwenu 851 1Cor 9 15 | nijipatie haki hizo; kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kumfanya 852 1Cor 9 16 | jambo la kujivunia; hilo ni jukumu nililopewa. Na, ole 853 1Cor 9 17 | lakini maadam naifanya ikiwa ni wajibu, hiyo ina maana kwamba 854 1Cor 9 17 | wajibu, hiyo ina maana kwamba ni jukumu nililopewa nitekeleze.~ 855 1Cor 9 18 | 18 Mshahara wangu ni kitu gani, basi? Mshahara 856 1Cor 9 18 | gani, basi? Mshahara wangu ni fursa ya kuihubiri Habari 857 1Cor 9 24 | wapiga mbio wote hukimbia, ni mmoja tu anayejinyakulia 858 1Cor 10 6 | 6 Sasa, mambo hayo yote ni mfano tu kwetu; yanatuonya 859 1Cor 10 11 | mambo hayo yaliyowapata wao ni kielelezo kwa wengine, na 860 1Cor 10 13 | Majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. 861 1Cor 10 13 | kawaida kwa binadamu. Mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu 862 1Cor 10 17 | 17 Kwa kuwa mkate huo ni mmoja, sisi, ingawa ni wengi, 863 1Cor 10 17 | huo ni mmoja, sisi, ingawa ni wengi, tu mwili mmoja; maana 864 1Cor 10 19 | kilichotambikiwa sanamu ni kitu zaidi ya chakula? Na 865 1Cor 10 19 | chakula? Na hizo sanamu, je, ni kitu kweli zaidi ya sanamu?~ 866 1Cor 10 20 | Hata kidogo! Ninachosema ni kwamba tambiko wanazotoa 867 1Cor 10 23 | 23 Vitu vyote ni halali, lakini si vyote 868 1Cor 10 23 | vyote vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.~ 869 1Cor 10 26 | Dunia na vyote vilivyomo ni mali ya Bwana."~ 870 1Cor 10 31 | chochote mfanyacho iwe ni kula au kunywa, fanyeni 871 1Cor 11 3 | napenda pia mjue kwamba Kristo ni kichwa cha kila mwanamume, 872 1Cor 11 3 | mwanamume, na mwanamume ni kichwa cha mkewe, na Mungu 873 1Cor 11 3 | kichwa cha mkewe, na Mungu ni kichwa cha Kristo.~ 874 1Cor 11 5 | mumewe; anayefanya hivyo ni sawa tu na mwanamke aliyenyoa 875 1Cor 11 6 | anyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa 876 1Cor 11 7 | kichwa chake, kwa kuwa yeye ni mfano wa Mungu na kioo cha 877 1Cor 11 7 | wake Mungu; lakini mwanamke ni kioo cha utukufu wa mwanamume.~ 878 1Cor 11 14 | mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe;~ 879 1Cor 11 15 | mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake 880 1Cor 11 19 | 19 maana ni lazima fikira tofauti ziweko 881 1Cor 11 25 | akatwaa kikombe akasema: "Hiki ni kikombe cha agano jipya 882 1Cor 11 30 | Ndiyo maana wengi kati yenu ni dhaifu na wagonjwa, na wengine 883 1Cor 12 3 | yeyote hawezi kusema: "Yesu ni Bwana," asipoongozwa na 884 1Cor 12 4 | 4 Vipaji vya kiroho ni vya namna nyingi, lakini 885 1Cor 12 4 | nyingi, lakini Roho avitoaye ni mmoja.~ 886 1Cor 12 5 | lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.~ 887 1Cor 12 6 | ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi 888 1Cor 12 11 | 11 Hizo zote ni kazi za Roho huyohuyo mmoja, 889 1Cor 12 12 | viungo hivyo vyote-ingawaje ni vingi - hufanya mwili mmoja, 890 1Cor 12 20 | 20 Ukweli ni kwamba, sehemu za mwili 891 1Cor 12 20 | kwamba, sehemu za mwili ni nyingi, lakini mwili ni 892 1Cor 12 20 | ni nyingi, lakini mwili ni mmoja.~ 893 1Cor 12 22 | mwili zinazoonekana kuwa ni dhaifu ndizo zilizo muhimu 894 1Cor 12 27 | 27 Basi, ninyi nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja 895 1Cor 12 27 | Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.~ 896 1Cor 12 29 | 29 Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? 897 1Cor 12 29 | Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni walimu? 898 1Cor 12 29 | mitume? Wote ni manabii? Wote ni walimu? Wote ni wenye kipaji 899 1Cor 12 29 | manabii? Wote ni walimu? Wote ni wenye kipaji cha kufanya 900 1Cor 12 30 | 30 Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? 901 1Cor 12 30 | kipaji cha kuponya? Wote ni wenye kipaji cha kusema 902 1Cor 13 8 | vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha 903 1Cor 13 11 | Lakini sasa, maadam mimi ni mtu mzima, mambo ya kitoto 904 1Cor 13 12 | 12 Tunachoona sasa ni kama tu sura hafifu katika 905 1Cor 13 13 | lakini lililo kuu kupita yote ni upendo.~~ ~ 906 1Cor 14 5 | kutangaza ujumbe wa Mungu, ni wa maana zaidi kuliko yule 907 1Cor 14 11 | asemayo mtu fulani, mimi ni mgeni kwake mtu huyo naye 908 1Cor 14 11 | kwake mtu huyo naye pia ni mgeni kwangu.~ 909 1Cor 14 20 | wachanga lakini katika kufikiri ni lazima muwe kama watu waliokomaa.~ 910 1Cor 14 22 | kipaji cha kusema lugha ngeni ni ishara, si kwa ajili ya 911 1Cor 14 22 | kutangaza ujumbe wa Mungu ni kwa ajili ya wale wanaoamini 912 1Cor 14 32 | kutangaza ujumbe wa Mungu ni lazima kitawaliwe na huyo 913 1Cor 14 35 | waume zao nyumbani, maana ni aibu kwa mwanamke kusema 914 1Cor 14 37 | yeyote anadhani kwamba yeye ni mjumbe wa Mungu au kwamba 915 1Cor 14 37 | haya ninayowaandikia ninyi ni amri ya Bwana.~ 916 1Cor 15 9 | 9 Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa 917 1Cor 15 10 | wote; si mimi hasa, ila ni neema ya Mungu ifanyayo 918 1Cor 15 15 | kumbe yeye hakumfufua - kama ni kweli kwamba wafu hawafufuliwi.~ 919 1Cor 15 16 | 16 Maana, ikiwa ni kweli kwamba wafu hawafufuki, 920 1Cor 15 17 | hakufufuliwa, basi, imani yenu ni ya bure; mngali bado katika 921 1Cor 15 19 | haya ya sasa, basi, sisi ni watu wa kusikitikiwa zaidi 922 1Cor 15 20 | 20 Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa 923 1Cor 15 26 | mwisho atakayeangamizwa ni kifo.~ 924 1Cor 15 27 | ya miguu yake avitawale" ni dhahiri kwamba Mungu haingii 925 1Cor 15 34 | kabisa. Hii nawaambieni, ni aibu kubwa kwenu!~ 926 1Cor 15 36 | 36 Hayo ni maswali ya kijinga! Ukipanda 927 1Cor 15 37 | 37 Unachopanda ni mbegu tu, labda ya ngano 928 1Cor 15 39 | sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama 929 1Cor 15 39 | ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege 930 1Cor 15 39 | namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili 931 1Cor 15 39 | nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.~ 932 1Cor 15 40 | uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na na uzuri wa 933 1Cor 15 40 | uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.~ 934 1Cor 15 44 | 44 Unapozikwa ni mwili wa kawaida, unapofufuliwa 935 1Cor 15 44 | wa kawaida, unapofufuliwa ni mwili wa kiroho. Kuna mwili 936 1Cor 15 45 | lakini adamu wa mwisho ni Roho awapaye watu uzima.~ 937 1Cor 15 53 | 53 Maana ni lazima kila kiharibikacho 938 1Cor 16 9 | hapa, ingawa wapinzani nao ni wengi.~ 939 1Cor 16 15 | mnaifahamu jamaa ya Stefana; wao ni watu wa kwanza kabisa kuipokea 940 2Cor 1 5 | yanavyozidi ndani yetu, ni kadiri hiyohiyo tunazidi 941 2Cor 1 6 | Ikiwa tunapata taabu, basi ni kwa ajili ya faraja na wokovu 942 2Cor 1 6 | wokovu wenu. Tukifarijika, ni kwa ajili ya kuwafariji 943 2Cor 1 7 | tuliyo nayo kwa ajili yenu ni imara; tunajua kwamba mkishiriki 944 2Cor 1 18 | 18 Mungu ni ukweli mtupu; basi, kile 945 2Cor 1 19 | Siyo"; bali yeye daima ni "Ndiyo" ya Mungu.~ 946 2Cor 1 24 | imani yenu. Wajibu wetu ni kufanya kazi pamoja kwa 947 2Cor 2 2 | nikiwahuzunisha ninyi, basi, ni nani atakayenifariji? Ni 948 2Cor 2 2 | ni nani atakayenifariji? Ni walewale niliowahuzunisha!~ 949 2Cor 2 7 | 7 Iliyobakia ni afadhali kwenu kumsamehe 950 2Cor 2 15 | 15 Maana sisi ni kama harufu nzuri ya ubani 951 2Cor 2 16 | wanaopotea, harufu hiyo ni kifo; lakini kwa wale wanaookolewa, 952 2Cor 2 16 | wanaookolewa, harufu hiyo ni uhai. Nani basi, awezaye 953 2Cor 3 2 | 2 Ninyi wenyewe ni barua yetu; barua iliyoandikwa 954 2Cor 3 3 | 3 Ni dhahiri kwamba ninyi ni 955 2Cor 3 3 | Ni dhahiri kwamba ninyi ni barua ya Kristo aliyoipeleka 956 2Cor 3 9 | huduma ile iliyoleta hukumu, ni wazi kwamba huduma ile iletayo 957 2Cor 3 17 | 17 Hapa "Bwana" ni Roho; na pale alipo Roho 958 2Cor 3 18 | utukufu mwingi zaidi. Hiyo ni kazi yake Roho wa Bwana.~ ~ ~~ ~ 959 2Cor 4 4 | utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.~ 960 2Cor 4 15 | 15 Yote haya ni kwa faida yenu; ili kama 961 2Cor 4 17 | 17 Taabu tunayopata ni kidogo, tena ya muda tu: 962 2Cor 4 18 | visivyoonekana. Maana vinavyoonekana ni vya muda tu; lakini vile 963 2Cor 4 18 | lakini vile visivyoonekana ni vya milele.~ ~ ~~ ~ 964 2Cor 5 6 | kuishi katika mwili huu tu ni kukaa mbali na Bwana.~ 965 2Cor 5 10 | 10 Maana sote ni lazima tusimame mbele ya 966 2Cor 5 13 | tumeonekana kuwa wendawazimu, hiyo ni kwa ajili ya Mungu; na ikiwa 967 2Cor 5 13 | akili zetu timamu, hiyo ni kwa faida yenu.~ 968 2Cor 5 18 | 18 Yote ni kazi ya Mungu mwenye kutupatanisha 969 2Cor 6 9 | waliokufa, lakini mwonavyo, sisi ni wazima kabisa.~ 970 2Cor 6 16 | sanamu za uongo? Maana sisi ni hekalu la Mungu aliye hai. 971 2Cor 8 13 | wapunguziwe mzigo wao; sivyo, ila ni lazima tujali usawa na haki.~ 972 2Cor 8 21 | 21 Nia yetu ni kufanya vema, si tu mbele 973 2Cor 8 22 | mbalimbali, tukamwona kuwa ni mwenye hamu kubwa ya kusaidia; 974 2Cor 8 23 | 23 Tito ni mwenzangu; tunafanya kazi 975 2Cor 8 23 | wanaokuja pamoja nao, hao ni wajumbe wa makanisa, na 976 2Cor 8 24 | fahari ninayoona juu yenu ni ya halali.~ ~~ ~ 977 2Cor 9 5 | 5 Kwa hiyo, nimeona ni lazima kuwaomba hawa ndugu 978 2Cor 9 5 | nayo ionyeshe kweli kwamba ni zawadi iliyotolewa kwa hiari 979 2Cor 10 4 | si silaha za kidunia, ila ni nguvu za Mungu zenye kuharibu 980 2Cor 10 7 | yeyote anayedhani kwamba yeye ni wa Kristo? Sawa! Basi, afikirie 981 2Cor 10 7 | vilevile kwamba sisi pia ni wa Kristo kama yeye alivyo 982 2Cor 10 10 | kusema: "Barua za Paulo ni kali na zenye maneno mazito, 983 2Cor 10 10 | mwenyewe anapokuwa pamoja nasi ni mtu dhaifu, na hata anapoongea 984 2Cor 10 10 | hata anapoongea maneno yake ni kama si kitu."~ 985 2Cor 10 12 | wanaojilinganisha wenyewe kwa wenyewe, ni wapumbavu.~ 986 2Cor 11 1 | mngenivumilia kidogo, hata kama mimi ni mjinga kiasi fulani! Naam, 987 2Cor 11 2 | Ninawaoneeni wivu lakini ni wivu wa Mungu; maana ninyi 988 2Cor 11 2 | wivu wa Mungu; maana ninyi ni kama bikira safi niliyemposa 989 2Cor 11 5 | 5 Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao "mitume 990 2Cor 11 13 | 13 Maana, hao ni mitume wa uongo, wafanyakazi 991 2Cor 11 19 | 19 Ninyi ni wenye busara, ndiyo maana 992 2Cor 11 22 | 22 Je, wao ni Waebrania? Hata mimi. Je, 993 2Cor 11 22 | Waebrania? Hata mimi. Je, wao ni Waisraeli? Hata mimi. Wao 994 2Cor 11 22 | Waisraeli? Hata mimi. Wao ni wazawa wa Abrahamu? Hata 995 2Cor 11 23 | 23 Wao ni watumishi wa Kristo? Hata 996 2Cor 11 23 | nanena hayo kiwazimu - ni mtumishi wa Kristo zaidi 997 2Cor 11 29 | 29 Kama mtu yeyote ni dhaifu, nami pia ni dhaifu; 998 2Cor 11 29 | yeyote ni dhaifu, nami pia ni dhaifu; mtu yeyote akikwazwa, 999 2Cor 12 9 | zaidi katika udhaifu." Basi, ni radhi kabisa kujivunia udhaifu 1000 2Cor 12 12 | yaonyeshayo wazi kwamba mimi ni mtume yalifanyika miongoni


1-500 | 501-1000 | 1001-1440

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License